Nandy - Siwezi (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 мар 2022
  • #Siwezi #NewMusic #Nandy #BongoFlava #Afrobeats #AfricanPrincess
    Siwezi by Nandy the official music video
    Stream Nandy on Spotify:
    open.spotify.com/artist/2YfO4...
    Connect Digital Tanzania on Social Media:
    / digital_tanzania
    Siwezi Lyrics
    VERSE 1
    Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
    Kumbe kuachwa inaumaga ivii
    Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
    Kumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa
    Umeniumbua bora niseme
    Kiapo nilicho kula bora nikiteme
    Mapenz shikamoo sirudii tenaa
    Umepatwa na nn si useme
    Kinachokufanya we uniteme
    Mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa
    Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
    Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
    CHORUS
    bila weee me siwez (sauti inarudia)
    Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia)
    VERSE2
    Unanifanya me nalewa sana
    Haipiti siku bila kugombana
    Mapenz yako ya kibabe sana
    Malumbano ya mapenz siyawezi
    Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana
    Mapenz gani haya kutesana
    Wasiwasi wa mapenz
    Ivi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
    Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii
    Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
    Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa
    CHORUS
    Connect with on
    / officialnandy
    / officialnandy
    / officialnandy
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 7 тыс.

  • @emmanuelmwitakohe6745
    @emmanuelmwitakohe6745 2 года назад +787

    From the comments you can see most of the fans wanatoka kenya.The love for Nandy is unmatched.If you a kenyan like this comment 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alibee2543
    @alibee2543 2 года назад +164

    KAMA Unampenda Nandy Wapi Like Yake Hapa👍👍

  • @ElizabethJulius-oo5ez
    @ElizabethJulius-oo5ez 3 месяца назад +8

    Nilikua nikisikiliza huuu wimbo nilikua nikilia sana kaz ilikua watu kunbembeleza kila siku duuuuh 2024 mungu anisaidie nisilie kisa mapenz tena

  • @lovecraft6992
    @lovecraft6992 2 года назад +76

    Nandy Nandy Nandy..😭😭😭💔💔 umeumiza kidonda change, umenikumbusha mbali💔💔💔💔😭😭 thanks for the song

  • @recholwillison593
    @recholwillison593 2 года назад +18

    💔💔💔tuliyo umizwa namapenzi tujuane hapa

    • @cynthiafayth3305
      @cynthiafayth3305 2 года назад +1

      Ouchhhh🥰🥰🥰ata mm shikamoo mapenzisirudiiitena😢😢

    • @user-fv2sn7js7g
      @user-fv2sn7js7g 2 года назад +2

      Kwer inauma asikwambia mutu

  • @lunnestokidela1169
    @lunnestokidela1169 Год назад +8

    Au ndio nmekisa sifa naishia tu kuropokwa,bila ww siwezi 💔😭😭

  • @EdwinDonard
    @EdwinDonard Месяц назад

    dah❤bigapu Sana nandy una pambania kipaji chako tunakufa penda Sana🤣🤣

  • @user-zq2be4xr1o
    @user-zq2be4xr1o 24 дня назад

    Poleni wenye bado mngali namapenzi hayo

  • @campellvevo1774
    @campellvevo1774 2 года назад +16

    Tanzania they have Naddy🇹🇿🇹🇿Kenya we have Nadia🇰🇪🇰🇪 proud of both😊🔥🔥

  • @carloswekesa254
    @carloswekesa254 2 года назад +305

    And that's the reason we call her the African Princess because she's a masterpiece 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @GoodVibes-rk9ew
      @GoodVibes-rk9ew 2 года назад +3

      Kalibu kusikiliza muziki mzuri na mtam usiochosha kusikiliza
      itazame kupitia 👇
      ruclips.net/video/yJn0kFrr-d4/видео.html

    • @Dandywillz
      @Dandywillz 2 года назад +1

      ruclips.net/video/V__uQEgRv9Q/видео.html

    • @geraudzenges666
      @geraudzenges666 2 года назад +2

      Nandy - Siwezi (Cover by Joyce )
      ruclips.net/video/wLKo5z_TOVo/видео.html

  • @user-gw4hn8pn6o
    @user-gw4hn8pn6o 21 день назад +1

    Habal umetisha sana❤

  • @KhalidAbeid-ql2uw
    @KhalidAbeid-ql2uw 14 дней назад

    Nand umenikumbusha mbl

  • @gladynicky148
    @gladynicky148 2 года назад +14

    Nyie Nandy apewe Tuzo amegusa hisia za watu weng kupitia wimbo wake huu❤️

    • @OfficialNandy
      @OfficialNandy  2 года назад +2

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 года назад

      Mtizame Afaaizu Luheta 👇👇
      ruclips.net/video/jW0gL5a8nUM/видео.html

    • @patrickzenges1101
      @patrickzenges1101 2 года назад

      Nandy - Siwezi (Cover by Joyce )
      ruclips.net/video/wLKo5z_TOVo/видео.html

    • @SadaIddi-oq9pj
      @SadaIddi-oq9pj 26 дней назад

      Sawa dada

  • @ivaniswekha9366
    @ivaniswekha9366 2 года назад +18

    "I'm leaving my comment here, so that when you like it I listen to this masterpiece again!!!!"

  • @Asimwejay
    @Asimwejay Год назад +19

    Nandy....that's why you remain the African Princess!!!💯💯

  • @scholakanini1716
    @scholakanini1716 Год назад

    Hii nyimbo imenikumbusha mbali lakini siwezi tamani kurudi uko tena juu weeeeeh

  • @Ianohlyrics
    @Ianohlyrics 2 года назад +13

    I'm leaving my comment here so that when anyone likes it i listen to this masterpiece again!!

  • @princessnandy2472
    @princessnandy2472 2 года назад +19

    Awiiiiiii kama umeteswa na mapenzi uwez acha kuangalia hii video😥😥 really inauma sana na mapenzi yanatutesa wengi......ila kama ni kujifunza tutajifunza kupitia hii video ....I pray for you my ssy nakupenda ❤️❤️❤️❤️❤️♥️

  • @magdalenejoachim5120
    @magdalenejoachim5120 2 года назад

    Nandy wetu weeee😥😥😥wimbo unagusa hisia nyingi za watu waliopitia hiz mambo

  • @glucky2393
    @glucky2393 2 года назад

    Kwanza nichukue nafasi hii kumshukuru mh rais kuwa na msanii anaetukonga nyoyo namna hii 🥴🥴🔥🔥🔥

  • @walteroluoch8537
    @walteroluoch8537 2 года назад +137

    This song speaks a lot concerning relationship matters. Educates and entertains 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mwambafamily
      @mwambafamily 2 года назад

      ruclips.net/video/fDC8nZbKw30/видео.html

    • @natnatalie2098
      @natnatalie2098 2 года назад +1

      Yes I like the sound of it but I don’t understand the lyrics😩

    • @roselyinewairimu4060
      @roselyinewairimu4060 2 года назад

      Exactly 👌

    • @filistonefrancis8614
      @filistonefrancis8614 Год назад

      @@natnatalie2098 welcome tanzania so that i can teach you???

    • @user-cc4yi9vo6n
      @user-cc4yi9vo6n 2 месяца назад

      Me whenever I see a kiswahili word I have to first translate to English so that I can understand, watching from Uganda

  • @francodemash7235
    @francodemash7235 2 года назад +213

    The Nandy we know is back .. ... Pure talent detected .. Kenyan here loves you

    • @mariamsaidaboud4959
      @mariamsaidaboud4959 2 года назад +3

      Melodious voice, talent, ....beauty and grace. We like Nandy

    • @aliciamngur
      @aliciamngur 2 года назад

      I wish cause her songs where fire

    • @GoodVibes-rk9ew
      @GoodVibes-rk9ew 2 года назад

      Kalibu kusikiliza muziki mzuri na mtam usiochosha kusikiliza
      itazame kupitia 👇
      ruclips.net/video/yJn0kFrr-d4/видео.html

    • @clementinadeogratius2559
      @clementinadeogratius2559 2 года назад

      Nandy loves u too Kenyan people

    • @Dandywillz
      @Dandywillz 2 года назад

      ruclips.net/video/V__uQEgRv9Q/видео.html

  • @polkhalifah_
    @polkhalifah_ 2 года назад +1

    Currently nimekuwa shabiki wa Nandy mbaya sana 😊😇😇 uko vyema wakilosha Africa zima

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 2 года назад

    Duh hii ngoma kali sanaaaa kitambo cjapenda ngoma mpya zinazotoka lakini hii kitu Atari!!!!!!!

  • @mrgamers1046
    @mrgamers1046 2 года назад +7

    Jamn nandy sio wa kumfananisha na girl singer yoyote tz much love nandy😍😍😍😍❣❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥

  • @OfficialNandy
    @OfficialNandy  2 года назад +518

    Hey guys tu chart kidogo jaman comment zenu zimenipa nguvu sana kweli mil miss huu MZIKI na pia watu wanateseka sana kwneye mapenz hivi mna hisi ni kwann!

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 2 года назад +17

      🥰 watu hawapati muda wa kuchunguzana, pia uvumilivu na mali vimechangia kuleta hii shida yote

    • @erickkitundu9547
      @erickkitundu9547 2 года назад +9

      💔this master is a unique piece

    • @patriciamassawe5370
      @patriciamassawe5370 2 года назад +2

      Ingia live

    • @mariamuhady6257
      @mariamuhady6257 2 года назад +7

      Unatisha Nandy natamani uwe binam wangu wa karibu

    • @MohamedHussein-wk4hs
      @MohamedHussein-wk4hs 2 года назад +4

      Hakika umeupiga mwinyi Heart touching song

  • @hdboytz2124
    @hdboytz2124 2 года назад +1

    Aiseee dada angu umeupiga mwingii aiseeee hii ndio funika aiseeeee.......!!

  • @mkrebel360
    @mkrebel360 2 года назад +1

    Umejitahidi nandy lkn mm hapo kwa hiyo sanduku nisingeweza ww jasir sana hongera

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 2 года назад +18

    Kumbe ndoto dah Ila bonge ya nyimbo Yan umeua🔥🔥🔥

  • @TheglobalCIchannel
    @TheglobalCIchannel 2 года назад +339

    Nandy is the only Tanzanian musician I fell in love with the songs, she's been soo outstanding in her music and there is no day have passed without listening to her songs. Keep it up Siz...more love from Kenya 🇰🇪

    • @GoodVibes-rk9ew
      @GoodVibes-rk9ew 2 года назад +1

      Kalibu kusikiliza muziki mzuri na mtam usiochosha kusikiliza
      itazame kupitia 👇
      ruclips.net/video/yJn0kFrr-d4/видео.html

    • @dolphinmegatraders
      @dolphinmegatraders 2 года назад

      mi nampendaaaa saaana an afu mrembo huyooo we askwambie mtu

    • @mohammedissa3013
      @mohammedissa3013 2 года назад +1

      Same yoh

    • @jumabrezii6707
      @jumabrezii6707 2 года назад

      Nice

    • @Dandywillz
      @Dandywillz 2 года назад

      ruclips.net/video/V__uQEgRv9Q/видео.html

  • @rajabathuman9565
    @rajabathuman9565 2 года назад +1

    walaka wa mtume bilnass kwa mashabiki 12-15-16 unasema hivi yoyote atakaemfananisha nandy na muimbaji mziki wa kike yoyote umu tanzania apigwe mawe mbk afe amina

  • @khalidimsuya4165
    @khalidimsuya4165 2 года назад

    Cjawai kupenda nyimbo zako ndg yangu Ila hiii imeniliza naenda kuidanlord

  • @enockndale8472
    @enockndale8472 2 года назад +9

    kiswahili ni kitamu kweli kama unakifahamu kwa ufasaha basi gonga like . Nandy Kenya twakupenda sana

  • @gracemuta5353
    @gracemuta5353 2 года назад +146

    I send this beautiful song to all these ladies who have been in so crazy love and we gained alot of pain 😔😔😔😔😔😔 same likes Uganda ladies in the house 👍🏼 I thank my Tanzania friend to teach me swahili language oh I can hear every word 🙏🙏 God bless you so much

    • @GoodVibes-rk9ew
      @GoodVibes-rk9ew 2 года назад

      Kalibu kusikiliza muziki mzuri na mtam usiochosha kusikiliza
      itazame kupitia 👇
      ruclips.net/video/yJn0kFrr-d4/видео.html

    • @geraudzenges666
      @geraudzenges666 2 года назад

      Nandy - Siwezi (Cover by Joyce )
      ruclips.net/video/wLKo5z_TOVo/видео.html

    • @hesbornodhiambo9496
      @hesbornodhiambo9496 Год назад

      Always creative in what you do,,,,,Big Up Beautiful,,,,,,🎉 Prince Oscar

  • @leylakanga9344
    @leylakanga9344 2 года назад +1

    😢😢 Hakuna kitu yauma kama kuachwa hivi hivi ukiona inauma sana💔💔 much love from🇰🇪🇰🇪

  • @cassimananasi8882
    @cassimananasi8882 Год назад

    ni vile billnass amekuwahi tu ila you are my woman crush sikawahi kuipinga kazi yako hata siku moja keep it up my African Princess

  • @neygril857
    @neygril857 2 года назад +7

    My dear nandy ujui ninavyo kupenda naamin one day mungu akipenda tutafanya song

    • @OfficialNandy
      @OfficialNandy  2 года назад +1

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @neygril857
      @neygril857 2 года назад +1

      @@OfficialNandy da nakupenda tena sio neno tu kama dada angu nandy African princess da lite ningekuwa nauwezo ningepata nikufikie lakin sina kwa bahat mby

  • @julietmonde7325
    @julietmonde7325 Год назад +5

    Huh this song me teary..much love from Zambia😭😭

  • @AshushuAshura
    @AshushuAshura 10 дней назад

    Wimbo muzui san ryaman❤❤❤❤❤❤

  • @kayentertainment6984
    @kayentertainment6984 2 года назад

    Aki nandy,,director ame ku fanya maiti

  • @robyjey8385
    @robyjey8385 2 года назад +26

    Huyu ndio nandy sasa hiii ngoma kubwa sana

  • @realzeflin6433
    @realzeflin6433 Год назад +6

    Niwimbo ambao unagusa hisia zangu nafikiria mbaaaali!! Asante kwa Wimbo nzuri🙏 the africa princess ♥️♥️

  • @rebecahuberth2630
    @rebecahuberth2630 2 года назад +1

    weeeeeeeeeee Nand weeeeeeeeeeeee unajua ninavyokupenda jamani! usifanye hivyo mwenzio roho juujuuu nikafikili tayari kabisa kumbe movie

  • @contrastvision2631
    @contrastvision2631 2 года назад

    Mumezngua kwenye saa hapo ukutani, mazingira hayajaendna

  • @owentinashelisayi4188
    @owentinashelisayi4188 2 года назад +3

    No matter what happens in your relationship never take your life. It's not the end of the world.

  • @priscusmallya3863
    @priscusmallya3863 2 года назад +6

    Ndo sehemu zako hizo manaa unatulia unaimba nakuelewa na nimepitia haya ila ni sehemu ya maisha pia

    • @d-maxScarlageKe
      @d-maxScarlageKe 2 года назад

      challenge..ruclips.net/video/cpN7-HGF1S0/видео.html

    • @OfficialNandy
      @OfficialNandy  2 года назад

      ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @SadaIddi-oq9pj
      @SadaIddi-oq9pj 26 дней назад

      Hongela

  • @PerisKaranja-ci1qz
    @PerisKaranja-ci1qz 7 месяцев назад

    Mapenzi yamefanya nikose raha nalia mchana kutwa😢😢😢

  • @mikeomwamba5454
    @mikeomwamba5454 16 дней назад

    I think this was for me you released it when my world was falling

  • @emekageorge5179
    @emekageorge5179 Год назад +15

    Nandy has always been my best African female artist even though I don’t understand Swahili.
    Listening from Nigeria 🇳🇬

    • @hajjrahmstafa
      @hajjrahmstafa Год назад

      jamani hiii nyimbo inanikumbusha mbali sana Nilikuw nimeachwa wakati inatoka

    • @samiraaindi
      @samiraaindi 5 месяцев назад +1

      ❤one day❤

  • @frankfedericco7935
    @frankfedericco7935 2 года назад +23

    Mashallah...Nandy weh..the pain of love has been elaborated in 4 minutes...what an art👏👏👏♥️♥️
    My love for Nandy ♥️♥️🇰🇪🇰🇪

  • @beatriceadhiambo9686
    @beatriceadhiambo9686 2 года назад +1

    Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka😢😢😢😢 this hits differently

  • @neliuswanjiku1136
    @neliuswanjiku1136 Год назад

    Sidhani kuna mwanamke hajawai fika hapa....umenikumbusha mbali😭😭

  • @dalidakateme180
    @dalidakateme180 Год назад +14

    Today I came across this song 💖 and omg it almost brought me to tears .Nandy is truly the AFRICAN PRINCESS.❤️❤️😍

  • @reinsonkibisu2056
    @reinsonkibisu2056 2 года назад +2

    Nandy shukrani kwa hili muziki tamu sana kutoka 🇰🇪 ❤️🇹🇿

  • @johnnamasake7352
    @johnnamasake7352 Год назад +1

    Nandy kenya tunakupenada sana .message ni ukweli kabisa...........

  • @fatumahiribai5265
    @fatumahiribai5265 2 года назад +1

    Nimeingalia zaidi ya 10 times hii nyimbo haki😭😭

  • @pennydeogratius6481
    @pennydeogratius6481 2 года назад +30

    Tunakupenda nandy hata usipoweza sisi tutaweza❤️

  • @SabatoyetuTv
    @SabatoyetuTv 2 года назад +4

    Nampenda nandy mpk naumwa kweli anajua kuimba mziki

  • @tanayiankoromo1207
    @tanayiankoromo1207 2 года назад

    Mapenzi shikamoo sirudii tena 🇰🇪

  • @pamelaemmy8180
    @pamelaemmy8180 2 года назад

    Hii nyimbo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥kumbe ndomaana hata gigi Money kaicheza

  • @cathyoyamo
    @cathyoyamo 2 года назад +4

    Welcome back old Nandy!....... How I missed you!!!! 🇰🇪

  • @simonkefa2772
    @simonkefa2772 2 года назад +5

    Her voice is as beautiful as she looks

  • @MawazoJustin-fw2ws
    @MawazoJustin-fw2ws 13 дней назад

    Uko vizuri sana

  • @lonahanasi6910
    @lonahanasi6910 Год назад +1

    In tears right now,,mapenzi shikamoo sitarudia🥺🥺🥺😭😭😭💔💔💔💔

  • @toussaintdjuma1240
    @toussaintdjuma1240 2 года назад +5

    This is a masterpiece . Love from Burundi 🇧🇮

  • @Chugacomedy
    @Chugacomedy 2 года назад +41

    Nandy wetu jamaaaa 😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️

  • @LocalmediaUganda
    @LocalmediaUganda 2 года назад +1

    Name is type of language bro I see the gostttttt😢🎶💁💁💁

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 года назад

    Saw jmniii tamu mno hii video hata kuwa na wazee unaweza angalia

  • @CHITUS
    @CHITUS 2 года назад +34

    if you ever feel suicidal remember that you matter, talk to someone. it goes a long way.
    that being said, solid vocals, nice flow.

  • @kbmsouth
    @kbmsouth 2 года назад +39

    SONG .. 💯
    CREATIVITY .. 💯
    VOCALS .. 💯
    APPEARANCE .. 💯
    You deserve to be a princess mammy Big shout out to director you made it ..
    #lovefromsa|🇿🇦

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 2 года назад +1

    Mm team kiba lakini nimekuja apa ngoma Tamu my

  • @ruthokeyo2058
    @ruthokeyo2058 2 года назад +1

    Nimelia yangu yote😭😭😭🇰🇪

  • @muthonikimaniofficial5640
    @muthonikimaniofficial5640 2 года назад +24

    Don't cry because it happened. Smile because you moved on and you never disappoint💥💥.

  • @cynthiamaingi1095
    @cynthiamaingi1095 2 года назад +3

    She never disappoint... so touching Kwa wale wameachwa ndio wanafeel this song xana

  • @vsaintburundi9616
    @vsaintburundi9616 2 года назад

    Mama umetisha na mimi siwezi

  • @johnngure8026
    @johnngure8026 2 года назад

    Si wafanye remix na king wa milio marioo 😃

  • @emmanuelngendakumana3361
    @emmanuelngendakumana3361 2 года назад +14

    Hizo ndizo style za muziki zinazo kupendeza. Shikilia hapo-hapo dada!!👏🏻

  • @TUKAZ_
    @TUKAZ_ 2 года назад +6

    I'm from 🇿🇼Zimbabwe and I dont understand the language but I swear i love swahilli songs

  • @SaidiMtaita
    @SaidiMtaita 7 месяцев назад +1

    tunaakupenda sana dada yetu nandry

  • @agnesongachi6672
    @agnesongachi6672 2 года назад +1

    Mapenz shikamoo nakupend Sanaa nand

  • @paulmardiful
    @paulmardiful 2 года назад +230

    if you ever feel suicidal remember that you matter, talk to someone. it goes a long way.
    that being said, solid vocals, nice flow. ✌✌

  • @mixhypetv837
    @mixhypetv837 2 года назад +3

    Nakupendaga Sana Nandy yaani mpaka basi

  • @annemutua9652
    @annemutua9652 2 года назад

    mseeeewch..nyimbo gani hiyo ina encourage watu wajimalize kisa mapenzi?? maisha yana changamoto ndio laki kujiua sio suluhisho....

    • @annemutua9652
      @annemutua9652 2 года назад

      namkubali nandy lakini hii nyimbo NANDY hapana! wewe mwenyewe ushapendwa hata kama mnakosana lakini luv winz! sio lazima ifikie hatua hiyo...

  • @khabibakharun8298
    @khabibakharun8298 Год назад +1

    Pale unapenda MTU na Moyo wako wote kumbe akuona fala mapenzi sijui Nani kayaleta😭😭😭

  • @angelxwt993
    @angelxwt993 2 года назад +7

    Nandy never disappoint ❤️❤️❤️❤️ lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🍾🍷

    • @patrickzenges1101
      @patrickzenges1101 2 года назад

      Nandy - Siwezi (Cover by Joyce )
      ruclips.net/video/wLKo5z_TOVo/видео.html

  • @joecaleon7713
    @joecaleon7713 2 года назад +3

    She's my crushie since I started listening to her songs ❤❤ Kenyans show love

  • @aseliboaz
    @aseliboaz 2 года назад

    anayejidai kwamba mapenzi hayaumi basi hajui kupenda

  • @ayojaysonvevo849
    @ayojaysonvevo849 Год назад +1

    Ndugu zetu kutoka Tz tafaaadhalini mtupee Nandy tuwapee Akothee😭

  • @Amishbaby
    @Amishbaby 2 года назад +125

    The message this music video has is on point!
    Love from 🇰🇪

    • @Suma-Apaaah
      @Suma-Apaaah 2 года назад

      ruclips.net/video/vtFkOf8O-6c/видео.html

    • @GoodVibes-rk9ew
      @GoodVibes-rk9ew 2 года назад +1

      Kalibu kusikiliza muziki mzuri na mtam usiochosha kusikiliza
      itazame kupitia 👇
      ruclips.net/video/yJn0kFrr-d4/видео.html

    • @clementinadeogratius2559
      @clementinadeogratius2559 2 года назад +1

      Yah!!!

    • @gamalielialoni5538
      @gamalielialoni5538 2 года назад +1

      Yaaa

    • @geraudzenges666
      @geraudzenges666 2 года назад +1

      Nandy - Siwezi (Cover by Joyce )
      ruclips.net/video/wLKo5z_TOVo/видео.html

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 2 года назад +5

    Thank you Nandy for bringing this issue into the open...big problem especially for women...what a sad but beautiful song!

  • @deroomzii233
    @deroomzii233 2 года назад +2

    sweet song nandy at the top ......am from kenya tunakupenda

  • @simonmwangi1057
    @simonmwangi1057 2 года назад

    People going through hell I marriage people should seek advice . Mad generation. Dope song 🎵

  • @foodforthought161
    @foodforthought161 2 года назад +3

    This Is the Nandy I love and miss, singing songs that touch the heart.
    Took me back to Kivuruge. Nandy usanii unaulewa naomba uzidi kuimba nyimbo zinazogusa roho kama hizi. 💯💯💯💯

  • @nussah3158
    @nussah3158 2 года назад +97

    Big up Nandy. This song ina reflects domestic violence. Wanawake wanatakiwa kujituma na kujua thamani zao. Sio utamaduni wa kukumbatia ndoa kisa kuogopa kuchekwa mwisho wa siku unaishia kufa ama kuwa mdangaji. Love from 🇸🇪

    • @moviezetutanzania
      @moviezetutanzania 2 года назад

      Wew ujui tu unaongea

    • @moviezetutanzania
      @moviezetutanzania 2 года назад

      Yatakukuta

    • @nussah3158
      @nussah3158 2 года назад

      @@moviezetutanzania Sijui nini?

    • @naijadotcom8970
      @naijadotcom8970 2 года назад

      I BELIEVE HUYU NDO CHANZO CHA NANDY KUJINYONGA 👉ruclips.net/video/9rK399duqKM/видео.html

    • @phinergasper3008
      @phinergasper3008 2 года назад

      Ujawai kupenda ww hv unajua ukimpenda mtu hata akufqnyie kibaya gan uwez kumuacha

  • @masala8099
    @masala8099 2 года назад +1

    Kuna watu wakifa wanapendeza

  • @bchacha_official
    @bchacha_official 2 года назад

    FRESH,,,, piteni KWANGU

  • @THEEJACKSON
    @THEEJACKSON 2 года назад +4

    KENYA representing 🇰🇪❤️

  • @lidyamassawe5556
    @lidyamassawe5556 2 года назад +8

    My nandy umeweza sana my best song Kwa mwaka huu wote nimefarijika sana Narudia tu 💯🔥

    • @OfficialNandy
      @OfficialNandy  2 года назад +1

      ASANTE sanaaaaaa

    • @calvinhuruma43
      @calvinhuruma43 2 года назад

      @@OfficialNandy nandy Nina shida na wew me Zahra help me my dad plz

  • @Loriet-vl1mf
    @Loriet-vl1mf 2 года назад

    Nimeiba hii wimbo haki mapenzi tu

  • @SalomeMinja-qd3lk
    @SalomeMinja-qd3lk 4 месяца назад +1

    Umenikumbusha mbali sana🤔🤔🤔🤔🤔