WIKI BAADA YA KIFO | 02 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии •

  • @Dancinonline
    @Dancinonline 11 месяцев назад +6

    Hongera brother utafika mbali❤

  • @JosuéAmisisumaili-y1n
    @JosuéAmisisumaili-y1n 11 месяцев назад +2

    Yani ka jini ni karembo kanavutiya kweli❤

  • @PiliISSAISSA
    @PiliISSAISSA 11 месяцев назад +2

    Jmn namm nahitaj kuungana na wew masta kwenye move napenda San kuigiza

  • @AlexJoel-f6d
    @AlexJoel-f6d 10 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mm ni jin ila nakupendaaaaaaaa

  • @philipmutua6643
    @philipmutua6643 11 месяцев назад +3

    Aah wee, usinizoee bwana😂😂😂😂😂😂❤

  • @happinessnyaboke4940
    @happinessnyaboke4940 11 месяцев назад +3

    Mrife don't run😅😅😅😅

  • @AsnatyNundwe
    @AsnatyNundwe 10 месяцев назад +2

    Atali sana jmn nakalba kuvunjika mbavu sasa😢😢😢😢😂

    • @aderymasta
      @aderymasta  10 месяцев назад

      Asante kwa kutazama.... Sasa waweza kuitazama movie Mpya inaitwa SHANI MWANAFUNZI MCHAWI Ipo hapahapa kwenye channel ya Adery Masta ❤🔥

  • @BarakaMayunga-u9h
    @BarakaMayunga-u9h 10 месяцев назад +1

    😂😂😂😂amemkimbia mchumbaaah anamkuta ndan hahaaaaa😂😂😂😂

  • @Marytunje
    @Marytunje 10 месяцев назад +2

    Waaah hii kali😂😂😂

    • @aderymasta
      @aderymasta  10 месяцев назад

      Asante sana kwa kutazama

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 11 месяцев назад +14

    Et huwez mwambia nduguyako kua amenikalia 😅😅😅😅😅😅😅❤

    • @MiliyNekesa-u4w
      @MiliyNekesa-u4w 11 месяцев назад +1

      😂😂😂hapo ni nomaaa

    • @SalimSalim-m9w4o
      @SalimSalim-m9w4o 11 месяцев назад

      Hhhhhhhhh wamepatana sasa mzee msisili na reporter wamchongo hhhhhhhhh kuna siku walifanya interview vizur mwishowe reporter wa mchongo amkoseee heshima mzee msisili ibidi mzee msisili aje juu mpaka akampiga reporter wa mchongo leo sasa wako pamoja wacheza movie​@@MiliyNekesa-u4w

    • @Ummukuruthum-m1m
      @Ummukuruthum-m1m 11 месяцев назад

      😂😂😂

    • @EmmaAwala
      @EmmaAwala 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

    • @BarakaMayunga-u9h
      @BarakaMayunga-u9h 10 месяцев назад

      😂😂 Kwan wew huna mdomo😅😅

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 4 месяца назад

    ADERY MASTA asante sn kwa kumtuletea Mzee Msisi wa Msisiri,mzee Mahiri sn kwenye kazi hizi za uhigizaji,Pia usikimbie kwan si wew ulomtongoza pendana nae tu jini huyo nae pia amekwisha Kukupenda,Pia kazi hii nayo Noma sn nzuri balaa,Ila KIPESILE nzuri zaidi.

  • @louisekiza759
    @louisekiza759 Месяц назад +1

    Nice movie

  • @AlexJoel-f6d
    @AlexJoel-f6d 10 месяцев назад +2

    😅😅😅😅😅😅😅 huwez kumwambia ndugu yako amenikaliaa

  • @ruthkavai3453
    @ruthkavai3453 11 месяцев назад +1

    Oh my god why you run sister love you🤗🤗🤗🤗🏃🏃🏃🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AishaMwenehanji
    @AishaMwenehanji 11 месяцев назад +1

    Ni moto sana vipaji vinang'ara

  • @DayanaSospeter-sy8wl
    @DayanaSospeter-sy8wl 11 месяцев назад +1

    Huy mzee msisili hatar❤

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii kali mwambie amemkalia shem wake😂😂😂😂😂😂

  • @Aishasaid-l9i
    @Aishasaid-l9i 10 месяцев назад +1

    Mzagamue 😂😂😂

  • @HappyBoatLake-lm9hj
    @HappyBoatLake-lm9hj 11 месяцев назад +1

    Nimeipenda movie 😂😂😂

  • @BarakaMayunga-u9h
    @BarakaMayunga-u9h 10 месяцев назад +1

    Hongeni sana jamani😂😂❤❤

  • @AhmadAlaee-x1r
    @AhmadAlaee-x1r 3 месяца назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ndoman nampend adery mastr hanaga shoo mbovu yan nimejua kucheka😂😂😂😂😂😂😂

  • @jentrixgongai2483
    @jentrixgongai2483 2 месяца назад

    Adery unapenda tamthilia za kichawi😂😂 tuletee ya storyline nyengine

  • @Bhokesusan
    @Bhokesusan 4 месяца назад

    Kazi nzuri ❤❤❤❤ From kenya

  • @ElizabethNthule
    @ElizabethNthule 10 месяцев назад +2

    N ukwi

  • @JosephPYohana
    @JosephPYohana 3 месяца назад

    Adery nina mkubali kinyama❤❤❤❤

  • @SaraKumpuni
    @SaraKumpuni 3 месяца назад

    Jaman jini Yuko Bomba💕

  • @PaulineDisaya
    @PaulineDisaya 11 месяцев назад +1

    A sorry that 😂😂😂😢

  • @SimoniKanangu
    @SimoniKanangu 4 месяца назад

    Mhmhmhmhnh irinalo bonge yamdude aiseeee. Nime wakubari sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @Dadykalumua
    @Dadykalumua 10 месяцев назад +2

    Namupenda jinii 😭😭😭😭

    • @aderymasta
      @aderymasta  10 месяцев назад +1

      Anakupenda piaa 😭😅

    • @Dadykalumua
      @Dadykalumua 10 месяцев назад

      @@aderymasta Sema Hello kubwa to her thank you

  • @AhmedKombo-gd9sm
    @AhmedKombo-gd9sm 11 месяцев назад +2

    Hongera brother

  • @FadhiliMkinga-u5q
    @FadhiliMkinga-u5q 11 месяцев назад +1

    Hongera🙏🙏🙏

  • @HaabilBiliii
    @HaabilBiliii 11 месяцев назад +1

    👍👍👍

  • @SyahavaKaserekaEzechiel
    @SyahavaKaserekaEzechiel 6 месяцев назад +1

    😂uta chukuwanje mwili ambaoo ume zikwa? Njifunje sasa😢😢😂😂😂😂

    • @aderymasta
      @aderymasta  6 месяцев назад

      Habari mzima ? Adery Masta hapa , asante kwa kutazama filamu ZETU ... Waweza tazama na hii hapa UTAIPENDA Gusa Link 👇
      ruclips.net/video/sfRn-7KqrjE/видео.htmlsi=2HNu_lWLv0JQ_vgc

  • @DemongaWanyasa
    @DemongaWanyasa 27 дней назад

    ❤❤🥰🥰🥰naipenda

  • @user-ym8er2bm6k
    @user-ym8er2bm6k 4 месяца назад

    😅😅😅inachekesha kweli...ati alale na maiti😮mshangao!

  • @AgnesyMakongo
    @AgnesyMakongo 11 месяцев назад +19

    Jamani nimecheka nusu kuvunjika mbavu😂😂😂 et huwezi kumwambia ndugu yako kuwa amenikalia like zenu jamani 😳😳😳

    • @minnahmzuri
      @minnahmzuri 9 месяцев назад +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Viviankemmy-p4k
      @Viviankemmy-p4k 5 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @JasperAmos-f6v
    @JasperAmos-f6v 11 месяцев назад +2

    Duh! Hii kali

  • @shukuboy-oc3iu
    @shukuboy-oc3iu 9 месяцев назад

    Oya dada katisha😅😅😅😅😅😅 mwambie ndugu yako kamkalia😅😅😅😅

  • @josephKongolo-uh8ps
    @josephKongolo-uh8ps 9 месяцев назад

    Nimeipenda hii movie ni nzuri kinoma

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 11 месяцев назад +1

    Yani mii nakosa😂😂😂 matamu uku eti haezi kumwambia duguyako kama ananikalia

  • @Christinerapando-y4r
    @Christinerapando-y4r 2 месяца назад

    Amkimbiaje mpenzi wake😂😂😂😂

  • @FololoKisonga
    @FololoKisonga 5 месяцев назад

    Jamani mbavu yangu yame vunjika n'a hakikisha muna ya lipa😂😂😂😂😂

  • @KhadijaKaumbata
    @KhadijaKaumbata 5 месяцев назад

    Mmmh nimecheka❤❤❤😂😂😂😂

  • @Antonymsungura
    @Antonymsungura Месяц назад

    😢😢😂😂🎉 jamani ni don't run murife I like the Girl but is a jini

  • @mwambailunga1511
    @mwambailunga1511 3 месяца назад

    Mzee Msisili ni zamani nilionaga filamu zako we ni kiboko nakuaminia mzee wangu

  • @Mollinemusanyi
    @Mollinemusanyi 11 месяцев назад

    Ambia bro amekalia jini ni nn bwana😂😂😂😂😂

  • @Janett-t9y
    @Janett-t9y 11 месяцев назад +1

    Jaman leo nimecheka kulala na mwili wake

  • @GonsalvesMusa
    @GonsalvesMusa 7 месяцев назад

    ❤ good luck

  • @georgegeorgejr
    @georgegeorgejr 5 месяцев назад

    Razim uchek 😂😂😂😂😂😂

  • @RehemaMoshi-nj7gu
    @RehemaMoshi-nj7gu 6 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 jamani nimependa iyo

  • @ErickMfuruki
    @ErickMfuruki 11 месяцев назад

    Hahahah 😂😂 eti kinikalia

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 11 месяцев назад

    Kula 😂😂 chuma hchoo mast wanaume ndyo mjifunze mkiona wake tu

  • @PolepoleTuombe
    @PolepoleTuombe 4 месяца назад

    Mara nyiye munatushangaza sana nikweli

  • @mwanza_outfits8658
    @mwanza_outfits8658 8 дней назад

    😂😂adery kwani me sio mzuri kwako??

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 11 месяцев назад +1

    Masta shikamoo chezea mapenz ww ❤❤❤ masta kaokuta nazi kweny msitu ndy huu

    • @aderymasta
      @aderymasta  11 месяцев назад

      Mwana asante sana 😂😂

    • @SalimSalim-m9w4o
      @SalimSalim-m9w4o 11 месяцев назад +1

      ​@@aderymastawe master niambie amewezaje kuweka hawa jamaa wawili mzee msisili na reporter wamchongo kuna siku walifanya interview vizur mwishowe reporter wamchongo akamkosea heshima mzee msisili ibidi mzee msisili apige reporter wamchongo uku mzee msisili akisaidiwa na mwanawe

    • @SalimSalim-m9w4o
      @SalimSalim-m9w4o 11 месяцев назад

      Hawa jamaa wawili seriously walishikana koo karibu mmoja apoteze fahamu hhh master waulize shida ilikua nini mpaka chanzo wakapigana leo hii wote wacheza pamoja

  • @urembonaprinceszey
    @urembonaprinceszey 11 месяцев назад +1

    Napenda action za humu mf alipovutwa kitambaa na mkuu halaf kikarushwa shuuuuuu juu...baada ya kusema lakn mkuu mchimba makaburi tushamuua

  • @Iqram_kipenzi_cha_watu
    @Iqram_kipenzi_cha_watu 7 месяцев назад

    Mpo vizur nawapa hongera

  • @WardamssamiMssami
    @WardamssamiMssami 10 месяцев назад +2

    Bongo muvi bado sana

    • @Valentine-k4p
      @Valentine-k4p Месяц назад

      Sx ulikuwa unatafta nn kwenye bongo muvi na sio bong move

  • @mwajumaally8374
    @mwajumaally8374 11 месяцев назад +1

    Masta 😅😅

  • @jumajuma1546
    @jumajuma1546 11 месяцев назад

    Wa kwanzaaa 🎉🎉

  • @Marim-sj7oi
    @Marim-sj7oi 11 месяцев назад

    Kazi safi sanaa😂😂😂😂😂

  • @DemongaWanyasa
    @DemongaWanyasa 27 дней назад

    Niatari kabisa

  • @EstherNajma-c3d
    @EstherNajma-c3d 11 месяцев назад

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kazi safi sana

  • @MussaJoseph-fw4fo
    @MussaJoseph-fw4fo 5 месяцев назад

    Nakubal kazi nzur

  • @SharonOnyango-ng4th
    @SharonOnyango-ng4th 5 месяцев назад

    Tamaa mbaya

  • @Irankundasadiki-yx1vf
    @Irankundasadiki-yx1vf 7 месяцев назад

    😂kupenda kunamambo

  • @YusufLule-gh4jg
    @YusufLule-gh4jg 4 месяца назад

    Jameni nabambika nikiwa Kenya ❤❤ likes

  • @urembonaprinceszey
    @urembonaprinceszey 11 месяцев назад

    Tamu saaaanaaaa❤❤❤❤

  • @Doriskapretty
    @Doriskapretty 9 месяцев назад

    Binti jini nikasupuuu❤😂😂

  • @NoreenRamadhani
    @NoreenRamadhani 6 месяцев назад

    Haha nzuri sana

  • @KatalikoJanvier
    @KatalikoJanvier 4 месяца назад

    Ah. Bado

  • @Millisentpaul
    @Millisentpaul 9 месяцев назад

    😅😅😅inauma sana

  • @EverlineawuorObungu
    @EverlineawuorObungu 6 месяцев назад

    Inashangaza sanaa😮😮😮😮

  • @fidelismnjala01
    @fidelismnjala01 9 месяцев назад

    Tamuu ajabu 💯💯

  • @ABCUPPERCLASS-r6t
    @ABCUPPERCLASS-r6t 4 месяца назад

    Aaaa wee 😂😂😂

  • @GodfreyWerema-p1i
    @GodfreyWerema-p1i 5 месяцев назад

    ata minimeipenda

  • @MariamJulius-v3c
    @MariamJulius-v3c 4 месяца назад

    Hongereni

  • @LukaVoice-nr3dl
    @LukaVoice-nr3dl 11 месяцев назад +2

    Ok

  • @arethmlashan250
    @arethmlashan250 11 месяцев назад

    Etty jamani 😅😅

  • @Pch48-ce7ol
    @Pch48-ce7ol 8 месяцев назад

    umepow🤣🤣

  • @MariaJoseph-xh2sh
    @MariaJoseph-xh2sh 11 месяцев назад +1

    et kulala maiti yangu

  • @MercyKendi-xr6mu
    @MercyKendi-xr6mu 9 месяцев назад

    Muvie tamuuu

  • @urembonaprinceszey
    @urembonaprinceszey 11 месяцев назад +1

    Ila kajini n kazuri

  • @AujeniEvaliyani
    @AujeniEvaliyani 4 месяца назад

    Move inavutia sy pw

  • @HelmanMosse
    @HelmanMosse 7 месяцев назад

    Tamaa mbays

  • @AngelaAlly-xf3bb
    @AngelaAlly-xf3bb 8 месяцев назад

    Nimependa jmn

  • @MbarakaIssa-tp2fh
    @MbarakaIssa-tp2fh 9 месяцев назад

    Kazi nzuri

  • @zaracashNassoro
    @zaracashNassoro 11 месяцев назад

    Munachelewa sana

  • @DaudiJonas
    @DaudiJonas 10 месяцев назад +1

    Huyo binti jini nahitaji mazungzo nae 😊

    • @aderymasta
      @aderymasta  10 месяцев назад

      Asante sana kwa kutazama....

  • @SophiaKadzo-j2v
    @SophiaKadzo-j2v 4 месяца назад

    Jamani kumwambia tuh inakua shinda

  • @KhalidaUridu
    @KhalidaUridu 11 месяцев назад

    Next please

  • @orlenisimoni2833
    @orlenisimoni2833 11 месяцев назад

    😢mwendelezo jamani😢

  • @PialesiCloud
    @PialesiCloud 6 месяцев назад

    Daaaaa. Hili nikubwa

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 7 месяцев назад

    😂😂❤❤

  • @AnnaLihawa
    @AnnaLihawa 11 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉😢

  • @AuraJuma
    @AuraJuma 23 дня назад

    Hii ni majini hatari sana

  • @princeilumba
    @princeilumba 11 месяцев назад

    ❤❤❤❤

  • @MwesigwaEgnitious-x8u
    @MwesigwaEgnitious-x8u Месяц назад

    😂😂😂😂❤

  • @AngelaAlly-xf3bb
    @AngelaAlly-xf3bb 8 месяцев назад +1

    7:21 7:26

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 11 месяцев назад

    Mwendelezo please 😊