MAJARIBU PASCHAL CASSIAN VIDEO OFFICIALY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2023
  • #call0688199370 #paschalcassian #0766998994 #watsp_status

Комментарии • 362

  • @josephbaraza8800
    @josephbaraza8800 Год назад +17

    Kazi nzuri sana...ninapenda nyimbo zako mtumishi...usichoke ata mimi huku Kenya napambana na kuzimu hadi kieleweke.haturudi nyuma

    • @mamy1605
      @mamy1605 Год назад +1

      Amen amen 🙌🙌🙌

  • @geofleyfreenwelluka
    @geofleyfreenwelluka Год назад +42

    Mtumishi mi Niko nyuma yako ata Mimi sijawayi fulahia uongo ao wanaotaka kkunyamazisha tambua wako pamoja nawo wewe songa mbele na mungu atakushindia mungu akubaliki Sana amen

    • @jerryminenewtony9665
      @jerryminenewtony9665 Год назад +1

      MATHAYO 7, 20-23

    • @millicentakinyi5504
      @millicentakinyi5504 Год назад +1

      Mungu atupoye😥😥💘

    • @juhudykahulo
      @juhudykahulo Год назад +3

      Bado Mungu anakutazam,,

    • @vickness5403
      @vickness5403 Год назад +1

      Sina lakusema zaidi ila Mungu wa Mbinguni Akusimamie katika safari yako. Uzidi kutuinua katika Imani,🙏

    • @vickness5403
      @vickness5403 Год назад

      Sina lakusema zaidi ila Mungu wa Mbinguni Akusimamie katika safari yako. Uzidi kutuinua katika Imani,🙏

  • @williamwasafi61
    @williamwasafi61 Год назад +19

    May God bless you,,,,nyimbo zako zilifanya nikaokoka aki ubarikiwe xana

  • @user-hm9fu2to8k
    @user-hm9fu2to8k 6 месяцев назад

    Mimi mslamu Ila napenda sana nyimbo zako zinaujumbe ktk maisha,pia kufundisha hakuna km mungu

  • @reginakimaro
    @reginakimaro 4 дня назад

    Songa mbele mtumwa wa yesu mungu amekupa sauti nzuri

  • @reginakimaro
    @reginakimaro 4 дня назад

    Yaani mtumishi una karama kubwa kila wimbo ni mzuri hongera sana❤

  • @KarenKetura
    @KarenKetura 9 месяцев назад

    New fan from tiktok am blessed mateso ya mwenye haki ni mengi ila Mungu humtengenezea njia yakuondokea Mungu akutie nguvu zaidi na neema iwe juu yako milele na milele much love from 🇰🇪 🇰🇪

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 Год назад +4

    Baba HAKIKA MUNGU akukumbuke Sana MUNGU akuondolee madui wote wakusogeleao awtawanye kwa njia7 kaka nakupenda sana uBARIKIWE sana sana sana sana sana 🙏🙏🙏🙏👏👏🤲🔥🔥🔥

  • @LindaelIbrahimpanga
    @LindaelIbrahimpanga 2 месяца назад

    Vishawishi vingi sana duniani majaribu ni sehem ya kipimo Cha Iman zetu hakuna kukata tamaa mtumishi nyimbo inabariki sana MUNGU akutie nguvu katika huduma yako

  • @davidmathew1714
    @davidmathew1714 Год назад +4

    Ubarikiwe mpedwa mtumishi wa BWANA

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 Год назад +1

    Mungu akutie nguvu,mtumishi ,hata waasisi wa injiri waliyapitia haya ,ukimkiri kristo kwa Nia umetangaza vita

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 Год назад +4

    Wow let God bless you sir sana sana sana

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 Год назад +2

    Kwanzia leo Mimi takuita UWEZO.nyimbo zako huwa zina nikosha nafsi yangu.the love from the DRC Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩.God bless your hard work.UWEZO

  • @Evangelist-Joseph-sikanyika
    @Evangelist-Joseph-sikanyika Год назад

    Nayipenda sana hiyi nyimbo Mungu azidi kukuinua nakukurinda Man of God, sio hiyi tu ila uduma zako zote nabarikia nazo

  • @davidjackson448
    @davidjackson448 Год назад +2

    Mungu akulinde na akutie nguvu

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm Год назад +1

    Mungu akutie nguvu,,vumilia utavikwa taji ,,,lazima ujue vita kwa aliyeamua kumtumikia Mungu sawasawa lazima viwepo,,,,hata mitume waliyapitia hayo

  • @everlinemutimba8052
    @everlinemutimba8052 Год назад

    Alicho kihadi katika Maisha yako Nani mwanadamu akipangue Haya n mapito yanapita Shika Imani usiche ukamkifuru Mungu Kwa ajili ya watesi wako songa mbele Kwa ushindi wako hata Ayubu alijaribiwa hata we hilo n jaribu tu utasinda kitambo kidogo tu mtumishiii utaingia Kwa Baraka zako

  • @remigiusrwechungula7047
    @remigiusrwechungula7047 Год назад

    Bado hajajua karama yake ilipo...Ana nyimbo nzuri sana zinazohubiri neno,, kuliko kukaa akiwasakama watumishi wa Mungu

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 Год назад +1

    Mungu Yuko tunakumbea yataisha kaza mwendo ndungu yangu mungu wanezareti Yuko nawe

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 Год назад +1

    Bwana YESU KRISTO, nisaidie niweze kushinda majaribu ktk wokovu, nisije nikaanguka.

  • @user-ee9ye3qt6l
    @user-ee9ye3qt6l 9 месяцев назад

    Mchungaji Paschal,nipopamoja nawe na hii habari njema naitwa Emmanuel kutoka Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @clairemakotswi9666
    @clairemakotswi9666 Год назад +3

    Be blessed the man of God 🙏 actually wimbo huu umenikumbusha mbali sana tangu nilipo jua neno la mungu Asante sana barikiwa Wacha tuendelee kupikania ufalme wa mungu kuliko wa hapa duniani

  • @namtiticomedy1675
    @namtiticomedy1675 Год назад +3

    Mungu mwema kila wakatii TUZIDI kumwomba Mungu wapendwa

  • @ReginaFaida
    @ReginaFaida Месяц назад

    Huu wimbo nasikiliza unanifariji sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu Paschal

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 Год назад +5

    Amen Amen barikiwa sana Mutumishi wa Mungu akika tunabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @JohnsonMpinga
    @JohnsonMpinga 7 месяцев назад

    Mtumishi kiukweli nakupenda katika Kristo Yesu ila ombi langu Mungu akupe kibali ufike kwetu

  • @harrisonmaghanga9884
    @harrisonmaghanga9884 Год назад +4

    The best beats, the song is so much encouraging and the video reflects the emotions of its words ❤😊

  • @msumbaalihappytokenyan5714
    @msumbaalihappytokenyan5714 Год назад +15

    I always blessed with your songs,,, powerful song

  • @Paulo-jy2fn
    @Paulo-jy2fn 4 месяца назад +1

    Mungu akuinue sana kwa kazi unayofanya🙏🏻🙏🏻

  • @magrethnyambari2034
    @magrethnyambari2034 Год назад +1

    Ujumbe mzuri sana mtumishi na unatia moyo kwani kuna baya gani hapo, pambana sana best umetoka mbali toka bss mchezo, kuna kitu ndani yako🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jackabanga2958
    @jackabanga2958 Год назад +3

    Amina, jamani Yesu tutie nguvu tu tumalize safali

  • @geofleyfreenwelluka
    @geofleyfreenwelluka Год назад +2

    Kweli mungu akutie nguvu mpaka uvuke ukavikwe taji mbingun

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 Год назад +3

    Nmeisikiliza hii nyimb nimekosa cha kukommenti zaiid ya kusem ubalikiwe mtumishi

  • @paulpastory1193
    @paulpastory1193 Год назад

    Kaka Paschal bibilia Inasema Ufalume Wa Mungu Unatekwe Nawenye nguvu kaka Pambana Hata mimi Niko nyuma yako Mungu Atutie Nguvu

  • @Leonarnk3
    @Leonarnk3 Год назад +1

    Nashukuru Mungu kwa kipaji chako, Songa mbele ...

  • @ReboMikeBernadette
    @ReboMikeBernadette 2 месяца назад

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu na akuzidishiyee,hii nyimbo inanibariki kila wakati ninapo isikia🙏 Yesú atusaidiye

  • @championbeatsafrica9773
    @championbeatsafrica9773 Год назад +1

    Nyimbo kalii saanaaaa,Mtumishii

  • @user-ql7xh2tt8m
    @user-ql7xh2tt8m 11 месяцев назад

    Barikiwa sana baba mungu akupe nguvu zaidi ushinde zaid ya kushinda Yuko pamoja

  • @godwinambani
    @godwinambani Год назад +5

    Ubarikiwe kwa wimbo mzuri

  • @emk6360
    @emk6360 10 месяцев назад

    Amen , mungu gusa mtoto wangu aache madawa ya kulevya, nakutegemea maana vita imenisonga😭😭😭😭😭

  • @alfredngongi7509
    @alfredngongi7509 Год назад

    Kazi hii si bure Bwana atakufuta machozi barikiwa mwinjilisti. Paschal

  • @gib3888
    @gib3888 Год назад

    mtumishi wa mungu usiridi nyuma wewe fanya kazi ya mungu hizi n nyakati za mwisho,naomba mungu apikane nao

  • @christinasebastian9546
    @christinasebastian9546 Год назад

    Ee Mungu wa mbingu na nchi mtie nguvu mtumishi wako Ili azidi kuihubiri kweli Yako🙏

  • @fideleemmanuel3035
    @fideleemmanuel3035 Год назад +2

    Amin mtumishi siku zote ukweli unachoma, ila na kukubali sana, endelea kusema kweli maana ndo utakuweka huru.

  • @leodiansamba4682
    @leodiansamba4682 Год назад +1

    😭😭😭😭😭naumia sanaa moyoni mwangu nikiona mtumishi wa mungu unaongea ukweli watu wanakupuzia lakini mtumishi usichoke ata enzi za nuhu ilikua Ivo Ivo alihubili sanaaa lakini waliokoka ni wachache sana mungu atubaliki wote Tanzania tujue kweli ya mungu🙏🙏

  • @yvonneamulabu7902
    @yvonneamulabu7902 Год назад

    Utukufu kwa mungu, kaza mwendo mtumishi na taji yako ya ushindi na furaha utavikwa na mungu

  • @dottosahani3973
    @dottosahani3973 Год назад +1

    Bwana akutie nguvu

  • @maulidmustapher3819
    @maulidmustapher3819 Год назад

    Mungu akubaliki sana napenda nyimbo zako zote n za uhakika ameni

  • @mozeselisha8963
    @mozeselisha8963 Год назад +1

    Hakika wimbo huu umefanya niwe na furaha ndani ya moyo wangu ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @AllenMgogo-hc6wb
    @AllenMgogo-hc6wb 9 месяцев назад

    Wimbo wako unaniliza pia unanitia moyo mungu akubariki sana

  • @childofgoddorsila5338
    @childofgoddorsila5338 Год назад +2

    Sincerely wokovu ni ghalama but tukaze mwendo😭😭😭

  • @happey2878
    @happey2878 Год назад +6

    Amen, endelea mbele ndugu mungu yuko pamoja nawe
    .

  • @mamanbinwashadrack2257
    @mamanbinwashadrack2257 Год назад +1

    Amina kubwa

  • @marrybahati4927
    @marrybahati4927 Год назад

    Usiwasikilize wanadam msikilize mungu tu kumbuka neno la kuwa mtatupwa wengi gerezani kwa ajili ya jina langu .songa mbele yesu anakuja

  • @faithmekulu9595
    @faithmekulu9595 Год назад +3

    Song of the year it fit my situation 🙏🙏🙏God fight for me 😢😢😢

  • @happyiskaka
    @happyiskaka Год назад

    MUNGU akupe nguv mtumishi barikiwa mnoo hakika umekuwa baraka utumishi wako

  • @danielmacharia5945
    @danielmacharia5945 Год назад +6

    God bless you sir can’t stop listening to this good and inspiring great song,keep it up the man of God,be blessed brother.

  • @rmaryp6269
    @rmaryp6269 Год назад +2

    Barikiwa kwa kz nzuri Mtumishi wa Mungu.

  • @TheresiaLucas-vo4wz
    @TheresiaLucas-vo4wz Год назад

    Wimbo nimeupenda sana mtumishi umenitia moyo sana

  • @Joseph-qk4vq
    @Joseph-qk4vq Год назад

    Neno langu kwako ni moja2 mtumishi wa mungu jicho la baba likutazame ameen

  • @reginaapualotome-hk8ui
    @reginaapualotome-hk8ui Год назад

    Kaza mwendo you are not alone mungu wako Yuko na wewe,am hakika Mimi nayaona jinzi watu wengi wanapitoshwa inchini Tanzania na kutokuwa na maarifa waa

  • @SIMBAKOCHA-fl2fr
    @SIMBAKOCHA-fl2fr Год назад

    Yani Kassiani unajua kuimba yani unajua mpaka unajua !!! Mungu wa mbinguni yani akuzidishe mara mia moja.

    • @SabasMbuya-vn4yz
      @SabasMbuya-vn4yz Год назад

      Unafiti Kila Mahali sifa na utukufu kwa Yesu kwa ajili yko

  • @josetomasnyangu3021
    @josetomasnyangu3021 Год назад

    AMINA Nakupenda sana mtumishi.,,,,. , 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @barakampambwe9791
    @barakampambwe9791 Год назад

    barikiwa sana mteule unatubariki sana na ujumbe mzuri😇😇

  • @AMBROSIJOSEPH-qc7xo
    @AMBROSIJOSEPH-qc7xo 2 месяца назад

    Amen amen very Good song usually Show that God will help us

  • @lucymwangi8590
    @lucymwangi8590 9 месяцев назад

    At last nimepata hii nyimbo it's nice song it's teach me

  • @bonnymeza2238
    @bonnymeza2238 11 месяцев назад

    Mtumishi mwimbo unanijenga kiimani !Mungu akubariki sana uendelee kumtumikia katka maisha yako tote.

  • @quintaanyango9114
    @quintaanyango9114 Год назад

    Tukonpamoja na wewe Hadi mwisho you are very powerful man of God

  • @claudinebatamuriza4936
    @claudinebatamuriza4936 Год назад +1

    Mungu yuko nawewe usiwogope wanadamu Mungu atakupinganiya

  • @barakajohnh.b8580
    @barakajohnh.b8580 Год назад

    Mtumishi wamungu naomba sana Mungu akulinde sana 🙏🙏 nyimbo zako zinanipa nguvu sana Kila nikisikiliza pia Zina ujumbe sana

  • @alicejuma3739
    @alicejuma3739 Год назад

    Good song my brother mungu akutie nguvu kwa imani

  • @alicebeautiful4114
    @alicebeautiful4114 Год назад +11

    May the LORD PROTECT YOU MAN OF GOD 🙏🏾🙏🏾

    • @killakadudu5589
      @killakadudu5589 Год назад

      Endelea kutuelimisha pascal Mimi nilipigiwa simu Toka kuzimu why because niikuwa naelezeasana ufreemason NAMI sikuwa mkamilifu kiroho. Ukiwaelezea wanaumia Sana na kutangaza vita juu yako. Amina Mtumishi

    • @gesabdanyambane-fr8je
      @gesabdanyambane-fr8je 4 месяца назад

      😊​@@killakadudu5589

  • @homebest9258
    @homebest9258 Год назад +1

    Mwenyezi Mungu akupe nguvu

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 Год назад +1

    I don't know why this song is making me to cry😢😢 Sana majaribu ni mengi sana tena yanaumiza mno, lakini tukimuani uyu Mungu hawezi tuwacha, maisha ni kama exam tukijikaza kwa imani ya bwana tutashinda, asante sana kwa good news mtumishi wa mungu and may God bless you Amen 🇰🇪🇰🇪

  • @ezekiamwafumba6232
    @ezekiamwafumba6232 Год назад

    Daa nimependa sana uo wimbo maan unaujumbe mzr

  • @lusajomwakipesile7203
    @lusajomwakipesile7203 Год назад +1

    Amen kaka

  • @yonamsamba4464
    @yonamsamba4464 Год назад

    Nyimbo nzuri ujumbe mzur sana

  • @henrietakataka
    @henrietakataka Год назад +1

    your songs always the truth em encouraging keep on motivating mkuu zidii kupokea barakaa

  • @naomichawala8701
    @naomichawala8701 Год назад

    Mwimbo mzuli mungu akubaliki sana nivukengambo mwimbo umekua falaja mtumishi

  • @alfoncelissu9019
    @alfoncelissu9019 Год назад

    Mungu akulinde na maadui pia awape na watumishi wengine ujasiri kama wewe watumishi wa bandia waishe kabisa

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 Год назад +2

    Nice song my best big Brother, Grory to Living God

  • @user-uy7ys4in8g
    @user-uy7ys4in8g Год назад

    Safiii Nimeipenda Hii Tena Sana Munguu Akupe Uzimaaaa

  • @amondaud9319
    @amondaud9319 Год назад

    Mungu anajua ariko kutoa na hauwezi kufa Kama haujaimarza kazi yake Mungu atakusaidia Majaribu ni mtaji wa kuongeza Imani kwa Mungu

  • @pettybrown2655
    @pettybrown2655 Год назад

    Ongera sana The son of Zion keep it up Brother

  • @daudyernest7335
    @daudyernest7335 Год назад +1

    Hakika mtumishi wa Mungu aliye hai, huduma yako hii inatuponya wengi Mungu wa mbinguni akulinde na kukupa nguvu 🙏🙏🙏.

  • @saidmatikiti1566
    @saidmatikiti1566 Год назад +1

    Barikiwa

  • @jafeti-ut7gq
    @jafeti-ut7gq Год назад

    AMEN BARIKIWA SANA HAKIKA MAJARIBU NI MENGI MNO ILA MUNGU PEKE YAKE NDIO MTATUNZI NMEFURAHI SANA

  • @johnalagwa3585
    @johnalagwa3585 11 месяцев назад

    Wimbo una ujumbe mzito. Mungu akubariki mtumishi wa mungu.

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 Год назад

    Amen Asante mtumishi wa MUNGU wanimbariki sana Asante MUNGU wa BINGUNI akuie ngufu

  • @nehemiahsamsony1085
    @nehemiahsamsony1085 Год назад

    💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏barkiwa sana mtumishiiiiiiiiii

  • @obadiadaniel7274
    @obadiadaniel7274 Год назад

    Napenda huduma yako mtumishi wa Mungu tunabarikiwa sana

  • @esterihadike5103
    @esterihadike5103 Год назад

    Barikiwa sana kaka kazi yako ni njema

  • @annambilinyi4753
    @annambilinyi4753 Год назад

    Amina majaribu ni mtaji lakina tunajaribiwa Kwa ajili ya ule ufalme wa mbinguni kama twastahili kuumiliki ndomana tunapitia haya. Maana mmepewa Kwa ajili ya Krisro si kumwamini tu ila na kuteswa Kwa ajili yake.( Wafilipi. 1:29 Amina sana Mungu atusaidie tuwe watakatifu kama yeye alivyo mtakatifu)

  • @simonlaizer6261
    @simonlaizer6261 Год назад

    Tuko nawew bab jipe moyo safari hii ya kutumika Ina miba nyingiii sanaaa😥😥😥😭

  • @peterkarimu00
    @peterkarimu00 Год назад

    Kamanda, hakika Wimbo huu Yesu ametukuzwa sana

  • @GambumDilla-tu7fw
    @GambumDilla-tu7fw Год назад +1

    Amen what a message jamani.. 🙏🙏

  • @alicejuma3739
    @alicejuma3739 Год назад

    Good song my brother mungu akupe nguvu

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 Год назад +1

    Yaan narudia tena na tena wara sichok kuisikizia hii nyimbo

  • @michaelalfonce6340
    @michaelalfonce6340 Год назад

    Mungu akupe nguvu ktk huduma yako,hakuna atangazaye mwisho wa Mtu wa Mungu ni Mungu tu .

  • @miriamdanda6830
    @miriamdanda6830 Год назад +5

    God bless Pastor Paschal ....May your life be a testimony all over the world