PART 1: KABLA YA KUOKOKA, MREMBO AFICHUA ALIVYOISHI INDIA KWA KUDANGA na KUNUSURIKA KUFA KWA UKIMWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 86

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 года назад +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 2 года назад +28

    Mungu akubariki niko ndani ya hospitals in Rotterdam Nederland napigania maisha yangu, mombi yenu 🙏

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 года назад +8

    Lilian anajua kuhoji uyu dada kafunguka vizuri sana humu

  • @pudencianagabriel7245
    @pudencianagabriel7245 2 года назад +18

    Hongera mdogo wangu kwa kuongea ukweli ili wengine wapate kupona, nimekupenda bure

  • @gracejosephy2242
    @gracejosephy2242 2 года назад +8

    Mungu wa mbinguni tusaidie umri mrefu wa kulinda watoto wetu..

  • @miriamumbwilo164
    @miriamumbwilo164 2 года назад +5

    U'ar such a healer sent from heaven 🙏🙏 Mungu awabariki

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 2 года назад +2

    YAANI LILIAN YOU ARE ONE OF THE BEST FEW WOMEN IN THIS WORLD. YOUR HEART YOUR SOUL IS SO DIVINE MAY GOD CONTINUE TO BLESS U MNOOO WE MET ONCE ON WASAFI TV WE CAME A TEAM '"UKOMBOZI CHOIR" HOPE TO SEE YOU AGAIN❤⚘

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 2 года назад +8

    Mungu nisamehe apa amesema siwez kumsemea uongo kisha fariki akili imenipeleka kwa yule dada mwili wake uliletwa majuzi kuzikwa dar

    • @fatmaahamadabass8080
      @fatmaahamadabass8080 2 года назад +1

      Haswaa walikua mashist Hao na kutaka usanii mwisho wameangukia pua

    • @wanaupendotv7183
      @wanaupendotv7183 2 года назад

      @@fatmaahamadabass8080 oh ni hatari kwa kweli nimewaza my hilo

  • @revinaabela4281
    @revinaabela4281 2 года назад +1

    Lilian upo juu,

  • @happyhousekeeper
    @happyhousekeeper 2 года назад +8

    🤔 sijaelewa na ninasikiliza 😁... Haya twende kazi..

  • @FatmaFatmA-qk3zl
    @FatmaFatmA-qk3zl 2 года назад +5

    Subhaanallah subhaanallah subhaanallah subhaanallah subhaanallah

  • @scollalema4674
    @scollalema4674 2 года назад +8

    Hata sisi tuliko njee ya inchi tunasikkiliza kipindi chako..

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 2 года назад +2

    Anadanganya huyo dada kaenda kujiuza yeye mwenyewe na kuna wasichana pia kapeleka nasikia mpaka mmoja amekufa. Anatafuta kiki huyo wasichana aliojiuza nao wanamjua vizuri.

  • @samirakiango957
    @samirakiango957 2 года назад

    Khaaaa au yule dada aliefariki mkachangisha hapa

  • @mainermgunga1952
    @mainermgunga1952 Год назад

    Umaraya kifupi Sio issue nzuri wanajifanya wema ukifika uko wanakubadilikia Tena wapopo na maanisha wanigeria ndio wanaowaonag kama mungu Watu chefyuu sanaa

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 2 года назад +2

    Asisahau kuwaambia pia wengi wana ukimwi

  • @samchris1914
    @samchris1914 2 года назад +1

    Eti ulivunjiwa kule Mwanza au Dar 😁😂😃

  • @miriamdastan1699
    @miriamdastan1699 2 года назад +1

    Part 2 sijaiona jamani

  • @Josh_1194
    @Josh_1194 2 года назад +1

    Alitupigisha sana nyeto huyu 😢😢

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 года назад +1

    🙌

  • @estershekika8865
    @estershekika8865 Год назад

    Yaani maisha haya jamani we si ulikuwa mweupe kumbe ni mweusi hivyo

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 2 года назад +1

    Wawe wanapima afya zao kabla ya kusafiri unakuta wanaenda huko wakiwa na magonjwa matokeo yake wanafia huko wengi wao wamelazwa hospitali huko wanapigania uhai wao

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 2 года назад +5

    Nakuelewa sana jmn wasichana wanateketea huku uturuk kwa kujiuza jmn serikali ifumbue macho ni aibu

    • @monadinadi5295
      @monadinadi5295 2 года назад +3

      Hapa Tanzania ni wengi Mno serikali imewashindwa itakuwa huko uturuk my. Nikuwaachatu ndio Maisha Yao waliyoyachagua my. Kila nchi wapo watu km Hawa hta nchi za wenzetu wanapenda dini mmmh ni balaa kikubwa kujitambua tu basi

    • @fatmaahamadabass8080
      @fatmaahamadabass8080 2 года назад +2

      Kwakweli maana wanatamaa zakijinga

    • @hawarajabu4130
      @hawarajabu4130 2 года назад +1

      Jo

  • @anethsamuel2713
    @anethsamuel2713 2 года назад

    Jamn dunia imekwisha kwanz kbsa wew dad ulikuwa naroho ngumu san ten san

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Год назад

    Hiki kidada kitangazaji kinautumwa mwingi sana, habari ya kiswahili intro ya kingereza, sasa sjui huwa wanajionaje watu wa aina hii kwamba kiswanglish kingi jamii au audience ya kiswahili 😂😂😂😂

  • @marrymaganga8585
    @marrymaganga8585 2 года назад

    Wanawake tuache tamaa

  • @trizzababypatrick9814
    @trizzababypatrick9814 2 года назад +5

    Hacha uwongo malaya mbona husemi ya kwako mbwa wewe . Wasichana wangapi umewapeleka huko . Na walikuwa wakichelewesha pesa tu unawapiga kama mbwa na yule bwanako mpopo . Masenge wewe

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 года назад +2

    Nahisi kipindi cha JK, kulikua na uhuru flani ivi huyu dada km namuelewa simuelewi ,, alindika barua aonane na Rais?? Kasafiri kafika anataka tena arudi
    Mhhhh hapa pagumu wapendwa

  • @mashaali6519
    @mashaali6519 2 года назад

    Suzy acha kuji fanya mwema ume leta india wasi chana kibao wali kufa hata uku jali mbona hayo usemi ume tesa wasi chana wengi ulio waleta india kuwa lipisha madeni

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 2 года назад +1

    Sasa ameokoka na dukan kwake anauza vinguo va uchi
    😂 si auze za heshima

  • @mariahwayesu7312
    @mariahwayesu7312 2 года назад

    KWA MARA YA KWANZA AMESEMA UKWELI UMRI WAKE

  • @safiahassan6121
    @safiahassan6121 2 года назад +4

    Mbona kama muongo anasimulia story ya mtu

  • @banguha
    @banguha 2 года назад +3

    Uyu dada story yake kama ya uongo uongo naangalia ila simwelew unauza maji stand mala umepanda ndege to dar mala umepangiwa nyumba mala una maboyfrnd hawaeleweki sasa hata miaka ukumbuki ivi matukio ni yako unawezaje kusahau miaka

  • @zawiyatasha5098
    @zawiyatasha5098 2 года назад +4

    Uyo Malaya anataka kk hana lolo

    • @rejoicedaniel956
      @rejoicedaniel956 2 года назад

      Inaonyesha akili yako haijui nguvu ya MUNGU na ndomana unawaza hayo MUNGU akuponye

    • @joycemageta4876
      @joycemageta4876 Год назад

      ​@@rejoicedaniel956❤

  • @AminaAminjay-dv8tr
    @AminaAminjay-dv8tr 2 года назад +2

    Ais

  • @SamirahKiango
    @SamirahKiango 8 месяцев назад

    Bikra tena jamani

  • @sarahstephano6266
    @sarahstephano6266 2 года назад +3

    Kila mwaka unabadilika na story yako. In short ulienda kudanga kwa hiya.. Usilazimishe iwe kama kiki

    • @delphinaalicia4787
      @delphinaalicia4787 2 года назад +3

      Jaman mbona uyu dada hasemagi na yeye alipeleka wasichana 6 na akawa anawatesa ili wamlipe

  • @neemalemnje8497
    @neemalemnje8497 2 года назад

    Anaongea haraka

  • @alu_tz1
    @alu_tz1 2 года назад +5

    Maraya acha huongo wewe mwenyewe umeleta wasichana karibu Kumi na mbili acha kualibu bihashara ya wenzio sababu tu unatafuta kiki zako

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 2 года назад +1

    Sasa ameokoka na dukan kwake anauza vinguo va uchi
    😂 si auze za heshima