Mm niligombana na shoga angu kisa shoga wengine tukayaongea yakaisha lkn saiv wale wabaya wangu yy ndo mashoga zake 😂😂😂😂saiv sina habar na shoga natafuta hela nais shoga angu watàkua wanangu inshaallah
Nina marafiki zangu wakiume wanakushauri maisha na Namna ya kupata pesa na niishi Vipi na watu wanaonizunguka wakike ni Salam tu Kila MTU ajikatae staki shobo kabisaaa😂😂😂😂Salma Nlijua tu awezi kutulia mropokaji Haswaaaaaa
Marafiki ni wazuri sema unahitaji uchunguze ufanyike kabla ya kumwamini 100%
jaman marafik sitaki aliniimbia mpenz wang nikaona bora nuondk omani nikamuachia sas nipo natafut maokoto kwanza marafiki sitaki wala mpenzi
Mm niligombana na shoga angu kisa shoga wengine tukayaongea yakaisha lkn saiv wale wabaya wangu yy ndo mashoga zake 😂😂😂😂saiv sina habar na shoga natafuta hela nais shoga angu watàkua wanangu inshaallah
😂😂😂😂😂😂😂😂@fatimaharoun-np8uv
Tafuta hela muhim
Kabisa
Naomba no Yako
Sijawai kumuonyesha rafiki yangu mpenzi wangu niko makini sitakii shobo kabisaa yaani
Upo makin mwal rafk na mpnz lzma wawe mbingu na ardh
Ndio maana mimi katika maisha tangu sinaga rafiki
@@RehemaHussein-n5u unaishije bila rafiki
Nina marafiki zangu wakiume wanakushauri maisha na Namna ya kupata pesa na niishi Vipi na watu wanaonizunguka wakike ni Salam tu Kila MTU ajikatae staki shobo kabisaaa😂😂😂😂Salma Nlijua tu awezi kutulia mropokaji Haswaaaaaa
Sijawah kupigwa tukio na rafk ila siwataki mana naona yanayotokea kwa wengine. Bff🙌🙌🙌🙌
Ila akina salma ndivyo walivyo ninae mdogo wangu salma hatari sanaa😂😂😂
Jmn sio wote 😂
Salma hajapenda rafiki yake kuwa na mpenzi kabisaa😊😅😅😅😅
Akuna watu wanafki kma akina salma sitaki rafiki mm anaeitwa salma kabisa😂🤣😂🤣😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣
O kweli bn qla. Sio. Wote
Salma hajakosea ila apendi uongo Sasa ww unajilalamisha kweli ulilala kwake mpen mauwa ya kuwa mkweli salma
Nimeishia kucheka tu 😂😂😂😂😂
Nimelia sana😂😂😂😂
Mbona Salma mwenyewe anajiita halima
Amemuwah alikua anajimaliza
Pole bff 😢
MHUNI HUYO MBONA KAMKAZISHA MAONGENZI
Ah wee salma ni wastaarab na niwapole sana arabda huyo salma awe kafoji hilo jina😂
Labda wewe
😂😂😂
Majina ya salma chenga sana😂nilikua nae rfk wa kuitwa salma alikua mnafki kinoma
Jaman hawa marafk watatuuwa
Uyu alimtaka muachane ila basi marafiki MASHETANI wanafiki wa kuuwa
yan ndo mana sinaga marafiki wakike aiseh hatupendani duh
Ameona anataka kufunguka,,kakata fasta
😅😅😅😅😅😅
Sasa ulitaka asemeje lakini
Jamani mbn tupo wastaarabu😊
Nashangaa wna changanya wote wo
bff jmn 😂
mnaigiza kila siku vijana kwan wazee hamuwakuti humo duka n
Wazee sio vizuri bhana ila sio mbaya tutaanza kuwafanyie mpaka wazee😂😂
@@theeaglefilmproduction4567 Usiwafanyie wazee haijakaa poa kwa kwel 😢
Iyo kwel maigizo haya
Ww si ulisema una mpenzi wala ex 😂😂😂😂 umeyatimba
Namimi jaman nahitaji nguo naomba namba
0744992403
Eti nisiongee nikajimaliza na amejimaliza
Ilo Duka la toto kids liko mikocheni ipi nataka nguo za mwanangu
0744992403 palm village mikocheni
😊
Wanawake hawaaminiki
Kwani bff ndiyo nini
Best friend forever
Huna lafiki apo
😂😂😂😂😂😂
Naitaji nguo za watoto pia
0744992403
Huyo si amesema hana mpenzi wala X, sasa huyo mpenzi anaejulikana na Salma ni yupi? Maigizo haya
Kuna dada anakosa mpenzi miaka hii
@@ibrahimmwamyinga5968 hapo sasa, wanatudanganya mchana
Baada ya kusikia nguo tatu mpenz akapatkan 😂😂
@@DM.2200 🤣🤣🤣 wanazingua sana hawa aisee
Kwaiyo wwe uliamini kua hana mpenzi
Akuna watu wanafki kma akina salma sitaki rafiki mm anaeitwa salma kabisa😂🤣😂🤣😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣
Akuna watu wanafki kma akina salma sitaki rafiki mm anaeitwa salma kabisa😂🤣😂🤣😂😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣