AVENUE 25 MAISON NYUMBA ZOTE ZIME ARIBIKA NA NVUA KALI ZINAZO NYESHA KILA SIKU MJINI BARAKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @OmariAsumani-h3y
    @OmariAsumani-h3y 7 месяцев назад +2

    Ongereni sana kwa kutuletea taarifa iyo sababu kubwa nyingine ni serekari inayo tumika mbaraka kwa unyanyasaji wa kupitiliza,sasa nendeni kwa ma chef wa asili muwaoji kisha wakae chini na wasimamizi wa bandarini,watu wa energy,bwana,ardhi,kunguzeni bei au tozo za ujenzi pamoja na vifaa tozo ni kubwa kuliko hâta mali unavyo kwenda kununua

    • @MBS492
      @MBS492  7 месяцев назад +1

      Tutawaoji Pia nao tujuwe kitu gani kunaendelea

    • @MBS492
      @MBS492  7 месяцев назад +1

      Asante Sana tumekusoma vizuri ❤❤❤❤

  • @nyotak969
    @nyotak969 8 месяцев назад +1

    Hongera sana MBS TV Baraka, kwakazi nzuri, Mungu awabariki ❤

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤asante Sana kwa sapoti yako dada nyota

  • @husseinwabyakeprospere6321
    @husseinwabyakeprospere6321 8 месяцев назад +1

    Safi sana kabisa ndugu zangu!

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад

      ❤❤❤❤

  • @OmariAsumani-h3y
    @OmariAsumani-h3y 7 месяцев назад +1

    Wabembe wanania ya kujenga ila wanao tuhumiza kwa asilimia kubwa ni serekali yenu ya rushwa kila kona tozo za kupitilizia kiasi mimi baraka nahijua wende tanzania ulete sola moja, batterie tu uwegeshe pale baraka utapata majibu na vitu ivyo sio biashara lakini utoki pale bila malipo,na ivo pia vinarudisha mioyoyo ya watu nyuma,kumbe tunataka maendeleo sisi ili tuendelee mutembeleeni serikali zenu za mchongo zinazo jaa hapo baraka.

    • @MBS492
      @MBS492  7 месяцев назад +1

      Asante Sana kabisa ❤❤❤

  • @benderahussein7632
    @benderahussein7632 8 месяцев назад +1

    Jamaani Hiyo vidéo inauzunisha Kwa Sisi wadau wa Muji na maendeleo ya Muji WA Baraka

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +1

      Niatari Sana nakwambia ❤

  • @benderahussein7632
    @benderahussein7632 8 месяцев назад +1

    Ila wajitaidi kutafuta ménagement Za kuaminika pia wawe wanajitaidi kuchunguza Sana Kazi wanazo pewa

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +1

      Kabisa😢

  • @AmisiHassaniTygo
    @AmisiHassaniTygo 6 месяцев назад +1

    Nyumbani ni nyumbani, nyumbani kumenoga

    • @MBS492
      @MBS492  6 месяцев назад +1

      Niatari nakwambia 🤓🤓

  • @vumiliamande2185
    @vumiliamande2185 8 месяцев назад +1

    Tumesimamicha sababu tunakuliwa pesa sana.

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +2

      Tuwasiliane kupitia WhatsApp namba ZETU +243901851326

  • @SikasabwaBahombwa
    @SikasabwaBahombwa 8 месяцев назад +1

    asante

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +1

      Karibuni Sana Kwenye MBS TV

  • @ManusuraBwanamoya
    @ManusuraBwanamoya Месяц назад +1

    Hii inaumuzi sana naeza pata namba yako ndugu?

    • @MBS492
      @MBS492  Месяц назад +1

      +243814940661

  • @AlinotishabaniBwisengo
    @AlinotishabaniBwisengo 7 месяцев назад +1

    Ndugu zangu kama pesa zinakuliwa munatumika na ndugu zenu wa mwili iyo ni sababu kubwa tafuteni watu wengine na kazi zitahendea bila shaka

    • @MBS492
      @MBS492  7 месяцев назад +1

      Iyo hapo ndo suluisho kubwa zaidi asante Sana na karibu Sana kwenye MBS TV 😊

  • @MisengengomaBernard
    @MisengengomaBernard 8 месяцев назад +1

    Muhache kudecourager watu,hizo ofisi zenu Zina sumbuwa na kutozatoza pesa kumbukeni watu wanajenga huko si kwa sababu ni wafanya biashara Bali ni kwa sababu wanapenda kwao kuendele kwa hiyo muhambiye wachefu wenu watowe hizo tax zote wanahombahomba watu

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +2

      Asante Sana kwa kutufatilia zaidi ndugu yangu tutaifanyia kazi 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @vumiliamande2185
    @vumiliamande2185 8 месяцев назад +1

    Wenye wakonasimaniye kazi wanakula pesa . Nakusema uongo sana. Na mtu hakisema wanakuuwa. Duuuhh.

    • @MBS492
      @MBS492  8 месяцев назад +1

      Niatari Sana inatakiwa tuzungumze nao waseme ukweli

    • @benderahussein7632
      @benderahussein7632 8 месяцев назад

      Ndio kwa yale unayo sema yana WEZA Kuwa vile Ila Pia wange tunge pendekeza waweke WATU wanao watumainia wakaa HAPO Kwenye nyumba ili kuzitunza palipo mtu pori lita zibitiwa.
      Kingine wale walio kata tamaa wawauzie wengine badala ya kupoteza nguvu yote