CEO IMANI KAJULA AELEZA MIPANGO YA SIMBA KUBORESHA UWANJA WA BUNJU/SEN INA MAANISHA NINI?/MSIKIE CEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • SUBSCRIBE NOW:

    🌐 Site: simbasc.co.tz/
    📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
    📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
    🔵 Facebook: / simbatanzania
    📸 Instagram: / simbasctanzania
    𝕏 Twitter: / simbasctanzania
    🎶 Tiktok: / simbascofficial
    About the Official Simba SC RUclips Channel:
    Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
    🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
  • СпортСпорт

Комментарии • 85

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 23 дня назад +1

    MUNGU IBARIKI SIMBA SPORT CLUB❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO

  • @shamimuhossein223
    @shamimuhossein223 24 дня назад +3

    simba nguvu mija🦁🦁

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 24 дня назад +1

    Simba mnapenda vikao vingi visivyo na tija

  • @jinaothman4406
    @jinaothman4406 23 дня назад

    Simba aoooo😅

  • @fadhilinyengo8262
    @fadhilinyengo8262 23 дня назад

    Huyo Kajura ni mpigaji tu kama Mangungu na Try agsin amekuja kujinufaisha yeye Simba iporomoke

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 23 дня назад

    Siasa nyingiiiiiiiii ,kila mwaka tutafanya hiki, tutafanya kile Yani tumekasirika

  • @innosentmolel8057
    @innosentmolel8057 23 дня назад

    wasenge tu vikao vingi mafanikio ziro

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 22 дня назад

    Mmekuwa na mipango mingi Haina tija mnatumia nguvu kubwa sana kumtafuta vyanzo lkn matokeo Bure,Ili hayo yawe rahisi ni matokeo mazuri ya timu ndio yanayoweza kuvutia sio wawekezaji tu hata sisi akina yahe tunaweza kuchangia punguzeni upigaji sajilini wachezaji wa maana wenyehadhi ya kucheza timu no 5-6 Africa sio akina Fredy Jobe,baba car onana,saidoo na wengine.Ambao wanaweza kuvaki hapo wa nje ni Ayoub,Malone akipunguza utoto,chama na Luis kwa kumwangalia Hadi dirisha dogo wengine wote muda umeisha kucheza Simba tusipake mafuta.oia kwanini viongozi hamuwajibiki ilihali timu inaenda mrama?

  • @AnthonyGabriel-ou7wz
    @AnthonyGabriel-ou7wz 23 дня назад

    Yaani Hawa Viongozi walio wekwa na Machawa Hawana ufahamu kabisa Wanachama hawwataki lakin wameng'ng'ania Madaraka Kwa kuibia Timu pesa .wanashindwa kujenga Timu kwakuwa Sio wapenzi wa Simba ni mapandikizi kutoka Yanga kuja kuibomoa Simba Dawa ya Hawa viongozi ni kukataa kwenda Uwanjani kipindi Cha Mechi za Aibu

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 23 дня назад

    Tengenezeni timu achaneni na hizo adisi

  • @joviinnocent624
    @joviinnocent624 23 дня назад +1

    Simba maneno meng kuliko vitend

    • @salamasuleiman
      @salamasuleiman 23 дня назад

      Vikao vya with hivooo

    • @salamasuleiman
      @salamasuleiman 23 дня назад

      Vikao vya kuiba 😂h😂v😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JohnMkinda-nm3jl
    @JohnMkinda-nm3jl 24 дня назад

    Acheni kashfa Mo anatumia pesa zake Nyingi kusaidia Simba

  • @user-fj3ol4fj1i
    @user-fj3ol4fj1i 24 дня назад

    Acheni wivu yanga

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 23 дня назад

    Maneno maneno meengi utekelezaji ziro

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 24 дня назад

    Hmn kitu huyu jamaa kazi kula hela za klabu yetu kwa maneno ya janja janja zisizo na tija kwa klabu☹️

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 24 дня назад

    Punguzeni siasa tunataka mabadiliko tumechoka kudanganywa, nawewe kipewa nafasi yakuleta wachezaji lete wachezaji wazuri sio unaleta jobe na fledy

  • @bonfacetemu5192
    @bonfacetemu5192 23 дня назад

    Daaah!! Mipango Ni mingi lkini utendaji ndo zero yaani tumechoka kwa kweli😰😰😒😒

  • @JAMESNASHON
    @JAMESNASHON 24 дня назад

    Nilitamani kumuona kaduguda kwenye huu mchakato mbn sijamuona Kama mnatengeneza umoja na wengine hawapo maana yake bado ila pia niwalaum kwann hawajafika kutoa maoni yao

  • @user-qw9zu3ly8m
    @user-qw9zu3ly8m 24 дня назад

    Wewe kajula atukutaki achia ngazi mbona kin,gan’ganizi tim inateketea kwenda zako tunamtaka babra

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 24 дня назад

    Tatizo siasa ni nyingi ndani ya timu,hakuna mipango endelevu ndani ya timu

  • @user-fe7sh8tz7l
    @user-fe7sh8tz7l 24 дня назад

    Mtokeo mazuri uwanjani ni chonzo kikubwa Cha mapatp

  • @Mizamuhammad-wh6pd
    @Mizamuhammad-wh6pd 23 дня назад

    Unafik tumechoka nao .

  • @WalterJosephat
    @WalterJosephat 24 дня назад

    Mnaona sasa hata hao viongozi wa simba hawakuwepo kwenye vikao vyenu. Ina maana hamuelewani.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 24 дня назад

    Mmegeuza timu kuwa genge la wanasiasa

  • @PeterKasiga-mf8gw
    @PeterKasiga-mf8gw 24 дня назад

    Jamani punguzeni siasa

  • @user-xk3ve2wo3l
    @user-xk3ve2wo3l 24 дня назад

    Tunaitaji kadi za wanachama wapya

  • @danielkajiru6017
    @danielkajiru6017 24 дня назад

    Hivi hii SEN na ile FRIENDS OF SIMBA vinatofauti gani na kazi za muwekezaji ni nin kama tunarudi kuwaomba watu michango tukiwabafisha jina na kuwaita SEN. hii timu haina muelekeo kwa sas hata mipango yake si madhubuti kabisa

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 24 дня назад

    Ongea upendavyo eti havina tija hakuna kitu kisicho na hasara kikakosa faida hata samaki ukifuga wakafa hutakosa cha kufanya nao

  • @user-iv7ti8ir3e
    @user-iv7ti8ir3e 24 дня назад

    Unayekoment pumba hui kama hui,SI kosa lako.

  • @NathamYusuph
    @NathamYusuph 24 дня назад

    Mpigaji uyoo mbwaa tim ikiwa inapata matokeo mabaya ana jificha atoke ajiuzuru

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 24 дня назад

    Kama huu kajura sijaona arichofanya zaidi ya babra

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 24 дня назад

    kumbeeee huuuu upangoooo kaziiiiii basiii tupambaneeee kwanzaa

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 24 дня назад

    ubunifu wote ni bure kama uwanjani mnawaleta akina Jobe

  • @user-xk3ve2wo3l
    @user-xk3ve2wo3l 24 дня назад

    Ila viongoz wetu bwana kwa kupanga mambo 😂😂😂😂

  • @ismailburhan8622
    @ismailburhan8622 24 дня назад

    Porojo tupu hakuna la maana

  • @noelmsofe2589
    @noelmsofe2589 24 дня назад

    Mwaka wa tatu amna kombe lolote la ligi

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 24 дня назад

    huyo mipango yake mingi ni pesa lakini kuhusu uwanjani hafikilii kabisa ,anawaza pesa ili apige,hawazi kwamba kinacholeta pesa kuwa ni matokeo mazuri uwanjani

  • @KasimuHamadii
    @KasimuHamadii 24 дня назад

    Enyi viongozi wetu mutatuuwa jamani fanyeni usajili wa kweli pls tumechoka dhihaka mitaani

  • @priscakwannhamfungimipakam9231
    @priscakwannhamfungimipakam9231 24 дня назад

    Uwanja wa nn timu mbovu 😮😮😮

  • @rumanyikajoe7038
    @rumanyikajoe7038 24 дня назад

    Mtaishia nafasi ya tatu. Na wachezaji wenu wanaosuka nywele na kushinda kwenye kioo kujipodoa

  • @benardmassawa3599
    @benardmassawa3599 24 дня назад

    Wewe hatujakutuma hayo mambo tunataka kuona timu ikifanya vizuli acha siasa

  • @user-yh6mq4ds1m
    @user-yh6mq4ds1m 24 дня назад

    Timu haina viongoz wa mpira badala wakae wawaze msimu wa tatu hawana kikombe chochote cha mana ni vikao tu

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg 24 дня назад

    Mikundu nyinyi viongozi wa simba mipara kama mkundu uongozi mbovu

  • @user-xd4lu1xl6c
    @user-xd4lu1xl6c 24 дня назад

    Uwanja wenu lini kz kutumia chamazi

  • @nuwaymsalim-zl8lt
    @nuwaymsalim-zl8lt 24 дня назад

    Timu ya mpira baada ya kujishughulisha na mpira imebezi kwenye mabonanza,,,Poor leadership ya kajuna kama mtendaji na Mwekezaji ndo Uozo zaidu

  • @user-hi5hi7nt3b
    @user-hi5hi7nt3b 24 дня назад

    Huyu kajura si walisema kafukuzwa simba hawa wote ndio wanaosababisha simba kuwa mbovu maneno mengi akili hawana kajura mangungu na trai ageni wote wala hela tu hawana chochote zaidi ya matumbo yao tu

  • @enocksangova7810
    @enocksangova7810 24 дня назад

    Hivi clip vyakupoteza watu maboya.Sajilini wachezaji acheni maneno maneno na CEN yenu

  • @MoonFrance
    @MoonFrance 24 дня назад +1

    Kajura anahujumu timu huyuuu

    • @joshuakitunzi9500
      @joshuakitunzi9500 24 дня назад

      Hana jipya jamaa siasa nyng tu kw kujifny kuzindua Apps na Blogs bila makombe.Bora atoke bhn☹️

  • @JackisoniJonasi-nz9tv
    @JackisoniJonasi-nz9tv 24 дня назад

    WE ACHA UONGO TENGENEZENI TIMU KAMA UONGOZI UMEWASHINDA TOKEN

  • @noelmsofe2589
    @noelmsofe2589 24 дня назад

    Timu bovu

  • @jamalkishoma1438
    @jamalkishoma1438 24 дня назад

    Kajuna ndani ya uongozi wako umefeli na umeifelisha simba

    • @bakarimlandulla2983
      @bakarimlandulla2983 24 дня назад

      Kajula analeta pesa wewe unamtukana. Ushawahi kichangia shilingi ngapi. Hebu google umjue Kajula

    • @jamalkishoma1438
      @jamalkishoma1438 24 дня назад

      @@bakarimlandulla2983 kwanza neno kufeli sio kutukana,pili pesa ingekuepo wasingesuasua kwenye usajili simba sio yakupambania nafasi yapilii

  • @austorb.nyondo2708
    @austorb.nyondo2708 24 дня назад

    Ttimu inaviongozi wengi kuliko mafanikio yake. Ivi wote nyie mnafanya nini hasa?

  • @nyamisimbaonlinetv9757
    @nyamisimbaonlinetv9757 24 дня назад

    Kiukweli tuna viongozi wapumbavu Sana hasa huyu kajuna hata hajielewi

  • @user-qw9zu3ly8m
    @user-qw9zu3ly8m 24 дня назад

    WEWe KAJULA BWEGE MTOZENI KAZEZETA AuJITAMBUI BABRa AMEKUzIDI KILaKIKITu MBWA WEWE KWEDRAAAAAAA ZAKO

  • @PeterKasiga-mf8gw
    @PeterKasiga-mf8gw 24 дня назад

    Kila saa mnasajili upumbavu

  • @BernadinoChuwa
    @BernadinoChuwa 24 дня назад

    Mnawaza kuingiza mapato tuu sis tunataka mafanikio kuwa na uwanja pia ni jambo zuri ilaa tunataka furaha na furaha ipo kweny ushindi

  • @AnthonyGabriel-ou7wz
    @AnthonyGabriel-ou7wz 23 дня назад

    Kajila huna jipya hii ni taasisi ya Mpira na sio Mabenk hunaunalo liongea Kwa kipindi hiki Wanachama wakakuelewa Mbuzi wewe .kwanza habari za Soka hujui hata Chembe ndio maana huongei mpira unaongelea Ma Benk ktk mambo ya Mpira? Viongozi Mbuzi nyie

  • @SwaibaJumanne
    @SwaibaJumanne 24 дня назад

    Simba tumekwama wap?

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 24 дня назад

    TATIZO LA UONGOZI A SIMBA HUWA WANASAJILI KWA MAJINA NA C VITENDO. HUWA WANAONGEA HVHV KUMBE NI KUWADANGANYA MAABIKI. WAIGE NGOZI WA YANGA. VIONGOZI NI POROJO SANA.

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 24 дня назад

    Mnakula mipesa ya dogo moo tu

  • @eliaskilendi8187
    @eliaskilendi8187 24 дня назад +1

    Tunahitaji kuona wachezaji wazuri mnao wa sajili wakuifikisha Simba ncho ya ahadi siyo Bora lu

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 24 дня назад

    Sajili wachezaji wewe CEO acha Polojo wewe

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 24 дня назад +1

    Unaongea ujinga fanya usajili mbwa wewe

  • @Franccoz
    @Franccoz 24 дня назад +1

    HII SIO TEAM YA MPIRA KWA SASA NI CHAMA CHA SIASA, BILA KUVUNJAA UONGOZI MBOVU ULIOPO MADARAKANI TUTALIA SANAA KWA MISMU IJAYOO

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 24 дня назад

      KAMA KESHO YAKO MWENYEWE HUIJUI KAMA UTAKUWEPO AU LAH SASA MSIMU UJAO WA SIMBA YETU NDIO UNAJIFANYA KUUTABIRIA MABAYA? WE KAMA UNAIONA SIMBA NI CHUNGU KWAKO HUJALAZIMISHWA KUISHABIKIA..

    • @Franccoz
      @Franccoz 24 дня назад

      @ibrahimally8073 ENDELEA NA UCHAWAA WAKOO HUKU TEAM INATEKETEA,SS NDOO TUNAITAKIA SIMBA MEMA ,WEWE KAMA HUONI KUA SIMBA UONGOZI NI MBOVU WAWE SIO SHABIKI WA SIMBA ILA NI SHABIKI WA VIONGOZI

    • @chriskudilla5355
      @chriskudilla5355 24 дня назад

      Hujitambui ndugu yangu

    • @Franccoz
      @Franccoz 24 дня назад

      @@chriskudilla5355 Mwisho wa sku wewe ndoo utakuja kuelewa kua hujitambui but will be late

    • @swailudo1944
      @swailudo1944 24 дня назад

      Chama cha siasa ni kijani,tafuta Timu inayojinasibu kwa rangi hizo.Simba ni Timu kubwa no.7 Africa❤

  • @JumaMasalu-dm5nu
    @JumaMasalu-dm5nu 24 дня назад

    Tengeneza timu acha maneno mengi wewe , team yetu mbovu

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 24 дня назад

    Pelekeni siasa zenu huko, tunahitaji timu bora yenye wachezaji wazuri na siyo polojo zenu.

  • @PhilipoFabian
    @PhilipoFabian 24 дня назад

    Mm nashabikia simba ila sio ya hawa viongozi wanaopenda juisi na plopoganda zao kiwanja unamjengea jobs??? Usajili wa viongozi wa hovyo.

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 24 дня назад

    Hayo yote bila Ubingwa ni USENGEEE!!! Tunataka UBINGWA KWANZAA !!

  • @PhilipoFabian
    @PhilipoFabian 24 дня назад

    Bila kutengeneza tim acha hata kuongea tunajua ni yale yale. Ongea na jobe sio mashabiki wa simba tunaojielewa. Polen na mipango yenu yakuleta manzuki awachezee tim yenu 😭😭

  • @EdwinAugustine-up5kd
    @EdwinAugustine-up5kd 24 дня назад

    Shuhuri wap waongo nyie

  • @sijaonamjungufinias481
    @sijaonamjungufinias481 23 дня назад

    Tengenezeni timu achaneni na hizo adisi

  • @amannesphory7343
    @amannesphory7343 24 дня назад

    Jameni mbona hamuelewi nyie ni viongozi gani msiosikiliza mashabiki wenu hebu mujiuzuru hamna mvuto kwa mashabiki

    • @Lusindehalima-si3ej
      @Lusindehalima-si3ej 24 дня назад

      Nikweli mashabiki, mnachangia nini timu au mnatoa kashfa tuu