Hongereni sana wadogo ,Mungu Baba wa Mbinguni azidi kuwatumia kama vyombo vyake,Hakika Mungu anajibu,Hakika nimemuona Mungu akifanya.Hakika Mungu yupo.Damu ya Yesu Kristo inene vyema juu yenu❤
Joshua Mungu akubariki sana wewe na team yako nzima ni kielelezo tosha ya kua Mungu wa kweli Yupo YKM is so proud of you and the God you serve.... Jesus Up
How amazing God is and he love to be praised and worshipped like this a great song kusema tu how truly he is in our life bro Joshua you know this is an amazing start keep the great work hadi wajue hawajui😂😂😂😂
Wooow good amazing utafika mbalii broo
MUNGU wa kweli upo❤
Be blessed brother Mungu wa kweli yupo 🫡
Very powerful
Hongereni sana watumishi. Kazi yenu njema sana. Wimbo uko vizuri sana kumsifu Mungu na kumtukuza.
Hongereni sana wadogo ,Mungu Baba wa Mbinguni azidi kuwatumia kama vyombo vyake,Hakika Mungu anajibu,Hakika nimemuona Mungu akifanya.Hakika Mungu yupo.Damu ya Yesu Kristo inene vyema juu yenu❤
@@florashauri9228 Asante sana Sister Tunamshukuru Mungu kwa Ajili Yako
We Mungu wa kweli onekana kwa watoto wetu wakujue wewe ndo Mungu wa kweli🙏🙏
Mungu wa Kweli Yupo hakika
Jesus Up
Young beyz nakuskia 🔥
Waooh Hongera Sn Mdogo Wangu Mungu Azid kukuinua Wimbo Mzuri Sana Sana.Mung u hakika Yeye ni Wa kweli na Anatenda kwa Ukubwa Nimekuona Maishani Mwetu.
@@estherlabanghuliku4668 Nashukuru sana Sister...Mungu atukuzwe zaidi
❤🎉nyimbo nzuri
AMEN AMEN AMEN
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Great step my bro, keep it up
JESUS UP
Mungu wa kweli yupo 🙏🏽 nimemuona akifanya 🙏🏽hufanya kwa wakati zote 😇🙏🏽🎶
Ndy Shem wangu Mungu akubarik kwenye uimbaj wako nimeipenda
@@ChristinaMahole Nashukuru sana Shem Wangu
Huu uwepo wa kwenye huu ni balaa
Baba bless you
Joshua Mungu akubariki sana
wewe na team yako nzima ni kielelezo tosha ya kua Mungu wa kweli Yupo
YKM is so proud of you and the God you serve....
Jesus Up
@@YouthKingdomMinistries Jesus Up
Mungu wa Kweli Nimemuona Akitenda tena yupo maana yeye ni Halisi saana
@@johnstonekiiza396 Jesus Up
Mungu wa kweli akuzidishe sana
Jesus Up!
Hakika Mungu wa kweli yupo na ataendelea kuwepo milele
Ubarikiwe sana kwa ujumbe
Jesus Up!
@@KerenYahira Jesus Up
Mungu wa kweli yupo leo hata milele,Mungu awabariki kwa kazi nzuri hongereni
From Minister Gwamaka Mwakalinga's WhatsApp Status, I'm so blessed by this ministration....Mungu WA kweli Yupo Amen Amen Amen
Wow wow Bless You woman of God
Hallelujah
Congrats kaka Joshua Yesu akuzidishe zaidi katika utumishi
Mungu alitukuzwa sana kwenye wimbo huu na akashuka kuhudumia watu wake
Mungu wa kweli ameonekana
Jesus Up
@@poet-trevor Thanks Bro
Jesus Up
MUNGU wa Kweli YUPO 🔥🔥🔥
@@Juddielawrence Kabisa Mwanangu
🎉🎉🔥🔥
Jesus Up
Mungu wa kweli yupo tumemuona akiwa dhahiri sana 2024
Kabisa Woman of God
Hakiaka
Mungu wa kweli yupo
Kabisa
Hongera Joshua na timu yako kwa wimbo mzuri.Mungu wa mbinguni akawainue zaidi.❤❤
@@GraceNkungu Amen
How amazing God is and he love to be praised and worshipped like this a great song kusema tu how truly he is in our life bro Joshua you know this is an amazing start keep the great work hadi wajue hawajui😂😂😂😂
Thanks Man...I appriciate This
bless you bro.. kazi njema sana. MUNGU WA KWELI YUPO
Amen
🙌MUNGU wa kweli Upo 👌👌
Kabisa
Wow🔥 naingia RUclips napatana na hii
@@janedalian4490 Hallelujah
Powerfull if you believe gonga like...
Congratulations Uncle sayu
Nashukuru sana
Good ministration
Kaka ni 🔥🔥🔥🔥 Utukufuuuu 🙌
Mungu wa kweli yupo tena yupo hai. Barikiwa sana mkuu tunatarajia zaidi
Amen
Amazing sana sana!! Hongereni kwa kazi nzuriiiii
@@enockmakere1185 Thanks Man...Can't wait
Hongera Sana Jo..Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri wa kumsifu Mungu.
Hakika Mungu amekua Mkuu sana 2024. Twaamini 2025 atazidi kuwa pamoja nasi.
@@mariageorge5009 Mungu ashukuriwe sana
JESUS UP
@@GraceMgute Jesus Up
Hongereni sana Wana wa Mungu,
Kazi nzuri
@@samwelmajata1259 Kaka Nashukuru sana
Mungu wa kweli yupo 🫡🫡🫡
Jesus Up
Mungu wa kweli Yupo...
Powerful Song! Indeed He's a true God🙌
Powerful one Sir and congratulations 💃💃💃💃
@@ireen5583 Thank You Woman Of God
Powerful song!🙌🙌🔥
Hakika yeye ni Mungu anayetenda🙌
@@JimmyNkone-wp9sv Amen Bro
So good
Barikiwa sana Mpakwa Mafuta wa BWANA
@@joekitasha8412 Amen Bro
Wow this is powerful bro Joshua more Grace bro
Watching from Zambia 🇿🇲🇿🇲
@@princekeddymusic8381 Thanks Bro I real Appriciate You
😍😍😍
ongera Sana Kwa kazi nzuri
Waitikiaji saut iko low sana
🔥🔥❤️🌹🌹
Mungu wa kweli upo
I'm blessed
Jesus Up
Jesus up