- Видео 5
- Просмотров 7 736
Joshua Mtango
Танзания
Добавлен 13 июл 2022
Joshua Mtango is a passionate gospel artist and worship leader known for his heartfelt music that touches lives and spreads the message of hope and faith. With a deep commitment to glorifying God through his music, Joshua’s songs inspire spiritual growth and encourage believers to walk in the truth of God's word. His ministry through music continues to impact hearts, drawing people closer to the presence of God
Mungu wa kweli ( official Video ) - Joshua Mtango ft Miriam Lukindo mauki -
#Munguwakweli#joshuamtango#miriammauki#swahiligospel
Nasi pia twajua ya kwamba Mwana wa Mungu amekuja, naye ametupa sisi ufahamu ili tupate kumjua yeye aliye Kweli. Nasi tumo ndani yake yeye aliye Kweli, yaani, ndani ya Yesu Kristo Mwanawe. Yeye ndiye 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 na uzima wa milele. '
1 Yohana 5:20
𝐋𝐞𝐚𝐝 𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐫: Joshua Mtango
𝐒𝐨𝐧𝐠 𝐰𝐫𝐢𝐭𝐞𝐫 : Miriam Lukindo Mauki
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫 : Daniel malle
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨 𝐂𝐚𝐩𝐭𝐮𝐫𝐢𝐧𝐠 & 𝐦𝐢𝐱 : mix_line studio
𝐁𝐚𝐧𝐝 : Pillars of Worship
𝐌𝐮𝐬𝐢𝐜 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫 : Kepha Mndeme
𝐕𝐞𝐧𝐮𝐞 : TAG - VCCT Mbezi Beach
Nasi pia twajua ya kwamba Mwana wa Mungu amekuja, naye ametupa sisi ufahamu ili tupate kumjua yeye aliye Kweli. Nasi tumo ndani yake yeye aliye Kweli, yaani, ndani ya Yesu Kristo Mwanawe. Yeye ndiye 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂 𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 na uzima wa milele. '
1 Yohana 5:20
𝐋𝐞𝐚𝐝 𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐫: Joshua Mtango
𝐒𝐨𝐧𝐠 𝐰𝐫𝐢𝐭𝐞𝐫 : Miriam Lukindo Mauki
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫 : Daniel malle
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨 𝐂𝐚𝐩𝐭𝐮𝐫𝐢𝐧𝐠 & 𝐦𝐢𝐱 : mix_line studio
𝐁𝐚𝐧𝐝 : Pillars of Worship
𝐌𝐮𝐬𝐢𝐜 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫 : Kepha Mndeme
𝐕𝐞𝐧𝐮𝐞 : TAG - VCCT Mbezi Beach
Просмотров: 6 384
Видео
Joshua Mtango ft Pillars of Worship-Tunaosaidiwa na Bwana(Official video lyrics)
Просмотров 649Год назад
Hata Twathubutu kusema Bwana Ndiye anisaidiaye,Sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini? Waebrania 13.6 Tunao ujasiri wa Kusema Bwana Ndie anayetusaidia kwa sababu tumemuona akifanya Mengi na halisi katika Maisha Yetu. Kama Yesu Kristo ametusaidia sisi basi Ni maombi yetu kwa kila mwenye uhitaji akakutane na Nguvu za Yesu Kristo na akasaidike katika kila uhitaji wa Maisha yake Audio captured by; KM...
😍😍😍
MUNGU wa kweli upo❤
Hallelujah
Great
Powerful one Sir and congratulations 💃💃💃💃
@@ireen5583 Thank You Woman Of God
Great step my bro, keep it up
Ndy Shem wangu Mungu akubarik kwenye uimbaj wako nimeipenda
@@ChristinaMahole Nashukuru sana Shem Wangu
MUNGU wa KWELI YUPO 🙌🏾
AMEN AMEN AMEN
Hakika ukuu wa Mungu ulioonekana siku hii unathibitisha kua Mungu wa kweli yupo
JESUS UP
Powerful Song! Indeed He's a true God🙌
❤🎉nyimbo nzuri
Be blessed brother Mungu wa kweli yupo 🫡 Very powerful
Wooow good amazing utafika mbalii broo
Waooh Hongera Sn Mdogo Wangu Mungu Azid kukuinua Wimbo Mzuri Sana Sana.Mung u hakika Yeye ni Wa kweli na Anatenda kwa Ukubwa Nimekuona Maishani Mwetu.
@@estherlabanghuliku4668 Nashukuru sana Sister...Mungu atukuzwe zaidi
Hongereni sana wadogo ,Mungu Baba wa Mbinguni azidi kuwatumia kama vyombo vyake,Hakika Mungu anajibu,Hakika nimemuona Mungu akifanya.Hakika Mungu yupo.Damu ya Yesu Kristo inene vyema juu yenu❤
@@florashauri9228 Asante sana Sister Tunamshukuru Mungu kwa Ajili Yako
Mungu wa kweli upo
Kaka ni 🔥🔥🔥🔥 Utukufuuuu 🙌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
How amazing God is and he love to be praised and worshipped like this a great song kusema tu how truly he is in our life bro Joshua you know this is an amazing start keep the great work hadi wajue hawajui😂😂😂😂
Thanks Man...I appriciate This
We Mungu wa kweli onekana kwa watoto wetu wakujue wewe ndo Mungu wa kweli🙏🙏
So good
Huu uwepo wa kwenye huu ni balaa Baba bless you
Mungu wa kweli akuzidishe sana Jesus Up!
I'm blessed
Powerfull if you believe gonga like...
Hongereni sana Wana wa Mungu,
Waitikiaji saut iko low sana
Mungu wa kweli yupo 🫡🫡🫡
Good ministration
🔥🔥❤️🌹🌹
ongera Sana Kwa kazi nzuri
Congrats kaka Joshua Yesu akuzidishe zaidi katika utumishi
Mungu wa kweli yupo leo hata milele,Mungu awabariki kwa kazi nzuri hongereni
Jesus up
Barikiwa sana Mpakwa Mafuta wa BWANA
@@joekitasha8412 Amen Bro
Powerful song!🙌🙌🔥 Hakika yeye ni Mungu anayetenda🙌
@@JimmyNkone-wp9sv Amen Bro
Mungu wa Kweli Nimemuona Akitenda tena yupo maana yeye ni Halisi saana
@@johnstonekiiza396 Jesus Up
Hongera Joshua na timu yako kwa wimbo mzuri.Mungu wa mbinguni akawainue zaidi.❤❤
@@GraceNkungu Amen
Wow this is powerful bro Joshua more Grace bro Watching from Zambia 🇿🇲🇿🇲
@@princekeddymusic8381 Thanks Bro I real Appriciate You
MUNGU wa Kweli YUPO 🔥🔥🔥
@@Juddielawrence Kabisa Mwanangu
Wow🔥 naingia RUclips napatana na hii
@@janedalian4490 Hallelujah
Joshua Mungu akubariki sana wewe na team yako nzima ni kielelezo tosha ya kua Mungu wa kweli Yupo YKM is so proud of you and the God you serve.... Jesus Up
@@YouthKingdomMinistries Jesus Up
Hakika Mungu wa kweli yupo na ataendelea kuwepo milele Ubarikiwe sana kwa ujumbe Jesus Up!
@@KerenYahira Jesus Up
Jesus Up Mungu wa kweli Yupo...
Mungu alitukuzwa sana kwenye wimbo huu na akashuka kuhudumia watu wake Mungu wa kweli ameonekana Jesus Up
@@poet-trevor Thanks Bro Jesus Up
Kazi nzuri
@@samwelmajata1259 Kaka Nashukuru sana
From Minister Gwamaka Mwakalinga's WhatsApp Status, I'm so blessed by this ministration....Mungu WA kweli Yupo Amen Amen Amen
Wow wow Bless You woman of God
Mungu wa kweli yupo 🙏🏽 nimemuona akifanya 🙏🏽hufanya kwa wakati zote 😇🙏🏽🎶