Bongo bhana mtu akiwa na kacheo au na vihela anakua kisaut fulani cha mafua fulani ivi eti wachina mim nikiwa china sijawai kuona wachina wakipumzika 😊😊😂😂
@@ThePrinceUvawacha wakione mijinga sana yaani gorofa lenyewe ni 17 lakini cha kushangaza wanajenga ndani ya miyaka 3 hii akili au matope hilo JKT au wakala wa majengo wangejenga kwa mwezi mmoja tu usiku na mchana ni bora nihamie Msoga 😂😂 RIP mzee baba Magufuli 😭🙏
@@fredrickmatiku7783 na wakilazimisha watatolewa boko hadi washangae ndipo baadae tena waanza kumlalamikia mkandarasi kwa kazi mbovu. Ifike mahali taaluma isichanganywe na siasa.
Hawa wanasiasa bure kabisa,jengo limejengwa kwa miaka 3 hapa na limefika ukingoni anaibuka mwanasia nakusema natoa week 2 bila kujiuliza athari za huo ulazimishaji wake zitakazojitokeza.
Halafu utaskia lift emeporomoka barabara au jengo lakujengwa kwamiezi au mwaka mkandarasi anaambiwa ajenge kwawiki mbili likamilike mkandarasi nayeye kashapanguka anatumia wiki moja nasiku kidogo anakabizi ajali sehemu husika anatembea zake
Naona watu hawaelewi hilo jengo nimeisha ni kumalizia tu ,hapo hakuna kitu ya kuoangusha lishaa kauka kitambo ,anatoa maamuzi wamalizie kwa wiki mbili vitu ndogo ndogo kama rangi na vitu zingine ndogo ndogo
Kwan huyo waziri alikua wap kulifatilia, majengo Kama hayo ndo maana yanaanguka kwasababu ya kuwapeleka mputa mputa awape mda hata mwezi na kidgo badala ya wiki mbili coz lilivyo na mwonekano kunautofaut mkubwa sana
Naona bibi tozo ameishiwa vya kuzindua. Maana si unazindua kama unaanzisha miradi na unajenga, maana soon bibi tozo ataanza kuzindua vyoo vya kunya style ya kizungu
Madaraka bhana! Viongozi kabla ya kuongea na kutoa maagizo mnatakiwa kufikiria mno, hilo jengo ni kubwa na linatakiwa lijengwe kwa ufanisi mkubwa, sio kukurupusha watu🤦♂️ Wafanye kazi hadi weekend, kuweni na huruma mda mwengine.
Sidhani ila nilichogundua baadhi ya viongozi wa kiserikali wanamihemko kwa viongozi wa juu zaidi yao! Kwa video jinsi inavyoonekana ilo jengo ndan ya wiki mbili ni muda mchache sana coz hao wanaoifanya hyo kaz ni binaadamu na co mashine tupu kusema ztapumzshwa lisaa limoja na zitaendelea kufanya kaz kwa weledi! Hebu tusubirie matokeo negatve baada huo muda kuisha na uimara wa hlo jengo.🏬🏬
Within 2 weeks??? Mbona swala la kuotesha miti hamlitii maanani kwenye utekelezaji wa miradi yenu? Nimeona uzinduzi wa Ikulu Dodoma jana hakuna miti wala ukoka.
Mambo ya KiTanzania hayo ya ovyo ovyo hawajui vitu vizuri ni kulipua tu, huyo naibu waziri ukute amekulia kwenye nyumba za kupanga uswahilini na vyoo vya shimo , anajua wapi umuhimu wa landscaping na ukijani mzuri wa majengo na maua, ni aibu kweli mkuu ikulu haiko kijani kama hawana technology si wangeomba msaada wasaidiwe
@@kabwelasutiviraka4765 hata majirani tu wa pale chamwino wangewaomba wawe wanamwagilia tangu walipoanza kujenga mpaka jana kwa kweli kijani kingekuwepo
@@israelkisaila8401 mkuu ni si mpaka wajue muhimu wa kijana na maua, ona hata miji yetu mingi hamna park na gardens Iringa ndio mmoja wa miji Tz Una park na gardens katikati ya mji, miji zingine hazina au hawazitunzi au waliuza open spaces mfano morogoro miaka ya zamani kulikuwa na open space na mabembea katikati ya mji , ila wameuza au wamejenga makanisa au misikiti utafikiri hizo nyumba za ibada zisingejengwa sehemu zingine
Hili jengo limejengwa hapa tukiliona na hajawahi kusimamishwa ujenzi toka lianze mchina yuko kazi kila sekunde,hawa wanapendaga vitu laini laini sana wamekuja jengo likiwa linamalizikia na sehem iliyobaki wanataka butuabutua ili badae waje kumsumbua mkandarasi.
Sasa siasa zinatoaga hata professionalism aisee.haya mambo ndiyo hufanya hata kauli za maana zionekane ni kauli za kisiasa.Sasa huyu ni mhandisi na obvious anajua capacity ya kampuni zinazojenga hapo vs gharama zake..how come anasema jengo limalizike kwa 2 weeks!?
Najua anazungmzia Finishing Works lakini bado wiki mbili ni muda mchache mno kwa jinsi panavoonekana. Angetoa walau hata wiki 6
Bongo bhana mtu akiwa na kacheo au na vihela anakua kisaut fulani cha mafua fulani ivi eti wachina mim nikiwa china sijawai kuona wachina wakipumzika 😊😊😂😂
Ningeshangaa mpk saiv Millard ujapost gorofa yetu ya Arusha 😂😂😂😊
Liko Arusha sehemu gani?
@@shakilamasoud2983 philipsi nyuma kidogo ya Mount Meru hotel
@@blackeagle4441 asante sana
Wanasiasa bwana jengo la ghorofa 17 ndan ya siku 14 tumia akil brother
Jengo limeshaisha, ila bado vitu vidogo vidogo sana, ila bado hizo wiki mbili inaweza kuwa ni chache
@@ThePrinceUvawacha wakione mijinga sana yaani gorofa lenyewe ni 17 lakini cha kushangaza wanajenga ndani ya miyaka 3 hii akili au matope hilo JKT au wakala wa majengo wangejenga kwa mwezi mmoja tu usiku na mchana ni bora nihamie Msoga 😂😂 RIP mzee baba Magufuli 😭🙏
Ndio watafanya libomoke
Fishing ya jengo la ghorofa 17 ni ngumu kukamilika kwa wiki 2... Achen siasa kwenye maswala ya msingi. 100% halitokamilika.
Ata mimi ndio nashangaaa yaani uwongo mwingine ata shetani anashangaaa na kuogopa
@@fredrickmatiku7783 na wakilazimisha watatolewa boko hadi washangae ndipo baadae tena waanza kumlalamikia mkandarasi kwa kazi mbovu. Ifike mahali taaluma isichanganywe na siasa.
Hawa wanasiasa bure kabisa,jengo limejengwa kwa miaka 3 hapa na limefika ukingoni anaibuka mwanasia nakusema natoa week 2 bila kujiuliza athari za huo ulazimishaji wake zitakazojitokeza.
🤣🤣🤣🤣🤣
@@beatussagalani1397 kiherehere
Na lifti zikidondoka wanaanza kubana makalio
Week mbili mnataka lieakute JAMBO
Aww mawaziri wa chama kiengereza chingi china yenyewe uskute kaenda semina tu 😂😂😂
Aswaaaaaa
Sijaelewa kwani jengo ni la nani kwann waziri anatoa maagizo? 😢😢
Hamna kitu siasa tu. Jengo likijengwa kwa week mbili uimara unakuwaje?
Cheo,cheo,cheo,nakerwq mno na mbunge kuwa waziri.
Mbona lile bango liliwekwa 2019 lilikua na Tarehe 23/07/2024
Halafu utaskia lift emeporomoka barabara au jengo lakujengwa kwamiezi au mwaka mkandarasi anaambiwa ajenge kwawiki mbili likamilike mkandarasi nayeye kashapanguka anatumia wiki moja nasiku kidogo anakabizi ajali sehemu husika anatembea zake
Hiv mawazir hawa ndo akna nan hawaelweki sjui yanatoka wp
lait ningekuw me ndio injinia wangekom bwna Hiy Siku ya uzinduz wangeimba kwahel wafiwa
Vzr
Hakika jengo ni kali lakini anayeongea limalizike ndani ya wiki mbili Mungu anamuona
aingie na yeye mzigon
@@dfixmoblab kweli
Tushazoe gorofa 40
Kunatatizo pahala
Concrete work inaweza tolewa wiki 2 au ni madirisha na milango tu!
Kwani ni lazima azindue hiyo siku?? Kama jengo halijaisha si waache kuzindua hadi liishe?
Wanasiasa acheni upuuzi nyie mna haraka ya nini cha muhimu jengo lijengwe kwa uimara, wataanza kulipua na liuwe watu
Mbona linaenda poa. Shida siasa...
Wacheni siasa
Naona watu hawaelewi hilo jengo nimeisha ni kumalizia tu ,hapo hakuna kitu ya kuoangusha lishaa kauka kitambo ,anatoa maamuzi wamalizie kwa wiki mbili vitu ndogo ndogo kama rangi na vitu zingine ndogo ndogo
Wabongo bwana ili mradi wamekosoa
Kwan huyo waziri alikua wap kulifatilia, majengo Kama hayo ndo maana yanaanguka kwasababu ya kuwapeleka mputa mputa awape mda hata mwezi na kidgo badala ya wiki mbili coz lilivyo na mwonekano kunautofaut mkubwa sana
Naona bibi tozo ameishiwa vya kuzindua. Maana si unazindua kama unaanzisha miradi na unajenga, maana soon bibi tozo ataanza kuzindua vyoo vya kunya style ya kizungu
Punguza makasiriko
Tunajuwa unaumia lakin itabid uzowee Bibi tozo tunampa miaka mingine mitano
@@rajabu4692 unawaongolea Watanzania wote
@@rajabu4692 labda wewe na ukoo wako utampa miaka 5
uharaka huo watalipuwa nI hatari
Maagizo yake ni sawa umwambie daktari umu overdose mgonjwa dawa ili apone haraka!!! Siasa buana 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂🤣🤣 kajitu kana ongea kama kamekewa bastola mkunduni mama mtulete watu wenye hofu ya sir god
Likamilike wik mbili alafu lianguke😂😂
This is Tz
Hutu bwana wazili mwenyewe mbona kama wa mchongomchongo hata hasomeki yani ni wazi hata kwenye kuongea anajiseti Sana hapa mwendo wa vimemo
Madaraka bhana! Viongozi kabla ya kuongea na kutoa maagizo mnatakiwa kufikiria mno, hilo jengo ni kubwa na linatakiwa lijengwe kwa ufanisi mkubwa, sio kukurupusha watu🤦♂️
Wafanye kazi hadi weekend, kuweni na huruma mda mwengine.
Ww mwehu nini et hli gorafa liishe mama azindue acheni ujinga huo raisi ameishiwa na vitu vya kuzindua et
Mmmmh!
Mkuu si unazindua kama unaanzisha miradi na Una Jenia, maana soon ataanza kuzindua vyoo vya kunya style ya kizungu
Wiki mbili wazee tumechemka huo mjengi finishing yake ngumu
Kwa nini wasingefanya ufuatiliaji wa mara kwa mara ili wasije na hizi habari za jengo kukamilika ndani ya wiki mbili?
Hii video wakiiona watu wa Mwanza tumekwisha😂. Wanapenda mashindano
Shida nini kushindana kwenye mafanikio jamani 🙌
Babe lekaga kudalaha banh'u
😂😂
Majengo kama hayoo ni mazuri saana kwa muonekano wa eneo husika , ila cku tetemmeko likipita ni majanga tu🚶🚶
Nyie ndowale wenye mwazo ya kimasikin. Mnawaza kuferry tu
Kwa hiyo wwe unatushauri nin sasa
Wanasiasa kwa kujifanya wataalam
Mavi kunuka matupu na mashuzi wanasiasa
Sidhani ila nilichogundua baadhi ya viongozi wa kiserikali wanamihemko kwa viongozi wa juu zaidi yao! Kwa video jinsi inavyoonekana ilo jengo ndan ya wiki mbili ni muda mchache sana coz hao wanaoifanya hyo kaz ni binaadamu na co mashine tupu kusema ztapumzshwa lisaa limoja na zitaendelea kufanya kaz kwa weledi! Hebu tusubirie matokeo negatve baada huo muda kuisha na uimara wa hlo jengo.🏬🏬
Within 2 weeks??? Mbona swala la kuotesha miti hamlitii maanani kwenye utekelezaji wa miradi yenu? Nimeona uzinduzi wa Ikulu Dodoma jana hakuna miti wala ukoka.
Mambo ya KiTanzania hayo ya ovyo ovyo hawajui vitu vizuri ni kulipua tu, huyo naibu waziri ukute amekulia kwenye nyumba za kupanga uswahilini na vyoo vya shimo , anajua wapi umuhimu wa landscaping na ukijani mzuri wa majengo na maua, ni aibu kweli mkuu ikulu haiko kijani kama hawana technology si wangeomba msaada wasaidiwe
@@kabwelasutiviraka4765 hata majirani tu wa pale chamwino wangewaomba wawe wanamwagilia tangu walipoanza kujenga mpaka jana kwa kweli kijani kingekuwepo
@@israelkisaila8401 mkuu ni si mpaka wajue muhimu wa kijana na maua, ona hata miji yetu mingi hamna park na gardens Iringa ndio mmoja wa miji Tz Una park na gardens katikati ya mji, miji zingine hazina au hawazitunzi au waliuza open spaces mfano morogoro miaka ya zamani kulikuwa na open space na mabembea katikati ya mji , ila wameuza au wamejenga makanisa au misikiti utafikiri hizo nyumba za ibada zisingejengwa sehemu zingine
@@kabwelasutiviraka4765 Yani NANI SASA ATAKUJA ATUPE MAARIFA YA KUTOSHA SISI?
Njoon tarime barabara imejengwa huu mwaka wa nne sijui, haiishi mvua ikinyesha tunawaza, muwape wiki mbili km hao
Uko tarime ndio mmejazana wakatili wa taifa zima labda ngumu kupata wafanyakazi maana mlivyokuwa wakatili wa kuuwa na mapanga
Wiki mbili jengo lije kuanguka na kuua watu.
this is africa.. naibu waziri umesoma wapi wewe
Duuuuuh week mbili kweli wanaweza fanya ila ubora wake utakuwaje? lisije anguka hapo baadaye😂😂
Jamaa anadharau ,eti embu muiteni hapaaaa...hizo si dalili nzuri za kiongozi have to be calm.
Sure!
Uyu ni mjinga, likidondoka
Wakikamilisha chini ya kiwango je? Hatari!!!
HUYU NAIBU WAZIRI NI NYAU
Kwan jengo ni lanani, tuanzie hapo kwanza
Serikali,
@@birianination7097 head lines zao ndo zinapagawisha
Tanzania ukiwa kiongozi kazi ni kutoa maelekezo 😂😂
Wazee wa matamko bhana
Waache akili za hovyo siku kumi nanne ghorofa ya froo 17 kweli
Sasa Kukabana Kwenye Ghorofa Litakua Imara Kweli
Hili jengo limejengwa hapa tukiliona na hajawahi kusimamishwa ujenzi toka lianze mchina yuko kazi kila sekunde,hawa wanapendaga vitu laini laini sana wamekuja jengo likiwa linamalizikia na sehem iliyobaki wanataka butuabutua ili badae waje kumsumbua mkandarasi.
Ili lituponde ama
Sasa siasa zinatoaga hata professionalism aisee.haya mambo ndiyo hufanya hata kauli za maana zionekane ni kauli za kisiasa.Sasa huyu ni mhandisi na obvious anajua capacity ya kampuni zinazojenga hapo vs gharama zake..how come anasema jengo limalizike kwa 2 weeks!?
Na jamaa kweli wanapambana, me nimepita jana saa nne usiku bado wanapiga kazi
Hakuna Waziri hapo ni hewa huyo
Wiki Mbili Au Miaka Miwili...?
Hivi ni vipi jengo zuri km hili ligharimu tsh 38 bil, alafu lile jengo la makao makuu ya CRDB pale dsm mali ya nhc ligharimu 100 plus bilion?
Labda wamejumlisha na bei ya ardhi
Wizi mtamu sana brother hili ni Africa posta
😂😂😂SASA KUWALK TENA!!!!,AU SIJAELEWA KUWALK KUJA SITE AMA 😂😂😂😂😂
Liko Arusha pande za wapi mnaharakisha likamilike mara lije liwaporomokee 🐒🐒
Lipo Philips jombaa, viongozi wetu wajitahidi kutenganisha siasa na utaalamu
Nearby Mt Meru Hotel😂😂😂😂
@@ayubukaaya4576 mzee kakomaa utadhani ndiye Engineer Mwenyewe😂
@@hellendaniel3809 Asante kwa kweli nlikuwa sijui liko wapi🙈
Liko mataa ya Philip's karibu na mout meru hotel
Una kichaa wewe unadhan n kusonga ugali
😂😂😂