Azma Mponda - GaraGasha ft. Jongwe (Sugu) , Izzo Bizness & Abela Music

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии •

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 года назад +2

    Tunagaragasha mpaka level za akina katumbi chapwe

  • @adsonchisongela3768
    @adsonchisongela3768 8 месяцев назад +2

    💥💥💥💯🕸️🆒garagasha mr 2 izoo abela mponda 💯💯💯🕸️

  • @manmborrow212
    @manmborrow212 6 лет назад +3

    Respect wote ila my #jongwe yanaaanii umeuwaaa unaimba uhalisia wa life kabsa c unaimba 2 Respect GaraGasha💪🇹🇿

  • @emanuelivalery3111
    @emanuelivalery3111 Год назад

    Wozaaaaa❤

  • @frankmwakingwe7567
    @frankmwakingwe7567 7 лет назад +7

    niggah kutoka mbeya ata navotembea najulikana ww mr atare mmetembea na beat frsh na hio location ipo good sana mmeuaaaa

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 4 года назад

    Green City haraaaaa

  • @amonijajila1218
    @amonijajila1218 4 года назад

    Bdo npoo juu zaid yawanavozania ,,love IPO juu hata wakinibania km unahisi swez Fanya ww tuone

  • @musapfute6608
    @musapfute6608 7 лет назад +1

    bonge la ngoma aiseeee collabo imekaaa poa, azma umetisha mzaz
    mbeya City up!!!!!!!!

  • @realbj3230
    @realbj3230 3 года назад

    Nice one my brother

  • @dizonganyondo9259
    @dizonganyondo9259 4 года назад +1

    Ngoma ina Madin Sana

  • @baberaape1380
    @baberaape1380 3 года назад

    Wow that fantastic

  • @eliudmasebo7321
    @eliudmasebo7321 7 лет назад

    Hatar Sana my Bro wangu toka mbeya mwakata😂😂😂

  • @Rickson-t8o
    @Rickson-t8o 10 месяцев назад

    ❤2024 inasound still fresh Team Kenya

  • @LugomboMaKaNTa
    @LugomboMaKaNTa 7 лет назад +9

    Nimeipenda hii, sana tu brothas!

  • @seurisanare8015
    @seurisanare8015 7 лет назад

    Mmetisha sana brothers Amani sana mr Sugu piga kazi brother tunakupenda sana

  • @hajuboy2882
    @hajuboy2882 6 лет назад

    nakubale #ngomakale #hatupigingomazakukaamatopten tunapiga ngoma tupate show mikoan nimekuelewa sana

  • @KlikHapaTV
    @KlikHapaTV 7 месяцев назад

    Mbeya Boys hapa Mliua sanaaa

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 4 года назад

    Sema ww Azma Mponda wewe ni noma wewe, naichekigi sana hii na hadi leo still 2021 bado naicheki

  • @nelsonanthony2009
    @nelsonanthony2009 7 лет назад

    hahaha 2030 chamwino au magogoni sio...respect jongwe...
    AZMA tisha sana

  • @rasheedmbegu6886
    @rasheedmbegu6886 7 лет назад +3

    Very good music, Abella Music will be very big artist in Africa. It just matter of time and timing.

  • @juliusjustin4813
    @juliusjustin4813 7 лет назад

    duhhhh dope kali sanaaaa..Sugu umeua sanaaaa..ahahahahaha i beliave iam the best in many way ....now dayz money come first ahahahahaha......Hipo hop fanz stand uppppp.....

  • @kaloymlambi8038
    @kaloymlambi8038 7 лет назад

    azma ,,,toka ,huyu anampenda yule,,yule anampenda mwingne ,mapenz cjui nn huko ahaha tisha xan wap ezden da
    nice song garagasha

  • @joshuamwangoka918
    @joshuamwangoka918 7 лет назад +5

    wote mmeumiza vichwa ndivyo inavyotakia gren city juuuuuuu

  • @oscarsanga342
    @oscarsanga342 7 лет назад +1

    Ngoma kali sana Abela music kainogesha kichizi na hiyo sauti yake ya ukali

  • @dickensndadema5403
    @dickensndadema5403 7 лет назад +2

    izzo business One Love hujai niangusha Am your no 1fan

  • @bakarizema7910
    @bakarizema7910 7 лет назад +3

    Nice work Azma Mponda na crew nzima, kazi safi

  • @ibrahimpius893
    @ibrahimpius893 7 лет назад

    hii ni hit ya kila kona no question imepenya

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 7 лет назад

    Sugu nakuona namuona Sugu
    anasikilizia zamu yake ifikie ateme cheche.... awesome truck Izzo

  • @fadhilikangusi
    @fadhilikangusi 7 лет назад +3

    Hizi Ndio Nyimbo Za Kusikiliza Sio Astaravaste

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 7 лет назад

    Safi sana Man Ngoma kali sanaaaa.

  • @alleninebway5652
    @alleninebway5652 7 лет назад +1

    tishaaaaaaa sanaaaa mzee is alle9

  • @kartelgizemc1590
    @kartelgizemc1590 3 года назад

    👏👏👏

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 6 лет назад

    Dr Dre feelin....
    The key board

  • @diti4899
    @diti4899 7 лет назад

    bonge la ngoma.
    salute azma

  • @soipei3359
    @soipei3359 7 лет назад +4

    #Azma mmetisha kinoma garagasha

  • @timomgimba1988
    @timomgimba1988 7 лет назад

    Azma hongera xn kaza ngoma zko Ziko poa naziewa bila kipingamiz.

  • @basagabernad4253
    @basagabernad4253 7 лет назад +4

    MUNGU azaidi kukupa ujuzi broooo

  • @razackamon7079
    @razackamon7079 7 лет назад

    uko vizur jembe garagashaaa sichok listen hii songi kwa kwel

  • @stanleyjaphar5474
    @stanleyjaphar5474 7 лет назад

    Ngoma kali chupa limesimama big up ninja

  • @luisjackmosses1122
    @luisjackmosses1122 7 лет назад

    Kkaka kazi kubwa hongera sana,#Garagasha,mdundo mkali floo nzito. Mkongwe Jongwe heshima,dada kaifanyie kweli #Garagasha

  • @EmanuelMalugukunauzima
    @EmanuelMalugukunauzima 5 лет назад

    Bro, nakubali

  • @razackamon7079
    @razackamon7079 7 лет назад +1

    noma san mbeya boy saluuuuuti

  • @christiankakungulu2260
    @christiankakungulu2260 7 лет назад +6

    nimerudiarudia sana verse ya muheshimiwa hua napenda sana anavyorap huku akijisifia n that's hip hop... endelea kukaza azma. afu ile ngoma yako na belle ilikua poa sana but nadhani management yako inabidi ikazie sana issue za promo, ile ngoma ilikua Kali lkn promo hakua kivile

  • @110nisaardani6
    @110nisaardani6 4 года назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @karimjuma8671
    @karimjuma8671 7 лет назад

    in many ways i believe your the best no dought mzazi...this is what we want to hear 'beat na vocal' zimebebana vizuri sema izzo b kama bongo bahati mbaya hiyo flow hatari sanaaaa

  • @naitwapro
    @naitwapro 7 лет назад

    Napenda sana bro. Garagasha.. kazi safi. Playing loud

  • @RDFISLANDBLOG
    @RDFISLANDBLOG 7 лет назад

    BIG UP AZMA MPONDA NA KITA... KITAMBO SANA TOKA ROCK TOWN ROCORDS NA SAHARA LEO GARAGASHA.... GO BRO... GOOD JOB, NAELEWA HUSTLES ZAKO... KEEP IT UP AFRICAN AMBASSADOR..

  • @daveme9180
    @daveme9180 7 лет назад

    mbeya city nomaaa

  • @nellsomimi1726
    @nellsomimi1726 7 лет назад +7

    Good music, quality audio and video...Siafu representing 254

  • @abbasboniphace5444
    @abbasboniphace5444 7 лет назад +5

    sugu ur rap style it sound so american and its dope u can't be compared with other bongo hip hip artists ur at another level brother... u doing old school hip hop like that of 2pac shakur rip to em and of biggggiiieeh u see that eeeh damn I know u can't feel the way Im feeling ur rap style brothaaah😂😂😂😂😂

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 лет назад

    hahaa! Sugu bhana eti am jocking hupendi uprezdaa

  • @diamondplatnumz5120
    @diamondplatnumz5120 7 лет назад

    Ga Ga Garagasha

  • @shabanismail4492
    @shabanismail4492 7 лет назад +4

    Mbeya imeludi kwenye level zake... Saafi sana bonge la ngoma na chupa pia! Production from saruji playmali iyo hahahaaaaaaa nafrai kukuona ukooo juuu

  • @saidriphat3491
    @saidriphat3491 7 лет назад

    Am super happy to see this dope video got number one on Top ten ya Eatv jana kaza baba garagasha mnyama

  • @josephjosephat7826
    @josephjosephat7826 7 лет назад

    ukinidiss sikujibu ila lazima utapotea hahahahahhahaaaaaaa dah Sugu bwana

  • @BreakkaMusic
    @BreakkaMusic 6 лет назад

    from 254 hio ndo realist..i wish ifanywe remix na wasanii kibao as hiphop unity ft kenya hiphop ster MaBreakka

  • @saulmwakyusa1001
    @saulmwakyusa1001 7 лет назад +8

    ngoma Kali sana ila location ni moja tu BT chupa Kali

  • @jeffreymwandepu3165
    @jeffreymwandepu3165 7 лет назад +1

    this is when ma homeboys doing good am feeling so proud! Keep it up niggaz!

  • @eliahpatson
    @eliahpatson 7 лет назад

    Hii ngoma next level isipoe dondosha nyingine tusije tukakusahau broo azma

  • @Nickbrown127
    @Nickbrown127 7 лет назад

    Iko poa sana from audio to video. Much love Sugu

  • @tumpiliksye
    @tumpiliksye 7 лет назад +1

    safi sana kaka, umetisha.. Mbeya City on Top !!!

  • @elishakamwela1773
    @elishakamwela1773 7 лет назад

    bonge la ngoma hongera bro

  • @octavianmbiza6970
    @octavianmbiza6970 7 лет назад

    level za kina katumbi kutembea na ndege anganiii

  • @staminachrissteve2569
    @staminachrissteve2569 7 лет назад +1

    nice one agaain mzee wa umabe...first eleven ya mbeya city

  • @buruanisaidi2411
    @buruanisaidi2411 7 лет назад

    Bonge la hit song

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 7 лет назад +2

    Mh azeeki Azma.. It's dope!

  • @nelsoncosmas3820
    @nelsoncosmas3820 6 лет назад

    Daaaah very nice broo

  • @superdupaproducer4294
    @superdupaproducer4294 7 лет назад +1

    booonge ya ngoma.
    Much respect from a city kwenu majamaa wa mbeya

  • @emmanuelmagala555
    @emmanuelmagala555 7 лет назад

    Good music home brothers... much respect!!!

  • @kabongoram2109
    @kabongoram2109 7 лет назад

    UmeChange ivi ndo safii broo ngoma ipo pw

  • @mwalyanga_94
    @mwalyanga_94 7 лет назад

    Mbeya City we Back on Top

  • @naikenivoxmboya8970
    @naikenivoxmboya8970 7 лет назад

    kaka umeumizaaa knyama

  • @patrickmwakasungu7121
    @patrickmwakasungu7121 7 лет назад

    big up Azma!

  • @Hauleshabby
    @Hauleshabby 7 лет назад

    azma umechemka sugu u have done well good

    • @Hauleshabby
      @Hauleshabby 7 лет назад +1

      AZMA MPONDA okay mkuu cz sauti yako imekuwa low sana video nzur sanaaa na mimi ni shabiki yako mkubwa toka ile tungo

  • @petromashauri4720
    @petromashauri4720 6 лет назад

    suguuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  • @philljombs1151
    @philljombs1151 7 лет назад

    One of the best from Tanzania..love you cousins

  • @rajuabdou8293
    @rajuabdou8293 4 года назад

    Green city

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 7 лет назад

    GaraGasha.... Kombi hatari. Ngoma Kali, Video Kali. Moja Kati Ya Kazi Ambazo Zipo Improved Sana

  • @josephmwangomo9404
    @josephmwangomo9404 7 лет назад

    ngoma kaliiii xn

  • @QamaMwanaharakati
    @QamaMwanaharakati 7 лет назад

    Kazi safi

  • @desmondcharls4915
    @desmondcharls4915 7 лет назад +1

    great work brother!

  • @richcash8175
    @richcash8175 7 лет назад

    jongwwwweeeeeeee ametishaa

  • @gwatanotheuniversaldonor
    @gwatanotheuniversaldonor 7 лет назад +1

    We are in TOP brothers

  • @markhassan4506
    @markhassan4506 7 лет назад

    Nzuri sana

  • @juliusjustin4813
    @juliusjustin4813 7 лет назад

    kali.sanaaa

  • @razackamon7079
    @razackamon7079 7 лет назад

    poa broo

  • @Skreept
    @Skreept 6 лет назад

    Garagashaaa..Garagasha! the vibe is off the hook!

  • @joemicrpg
    @joemicrpg 7 лет назад

    kazi nzuri

  • @saidriphat3491
    @saidriphat3491 7 лет назад +6

    This absolutely dope can't wait to see 3000000 views wabongo tumezoea location za tomato tomato mara magari mara madem mara drone. Mwamba hili chupa ni level za kina Young jeezy nakwambia kidoe kipo poa Hip Hop ndo iko ivo na imetosha apo

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 лет назад

    Good good

  • @mallyajohn3721
    @mallyajohn3721 7 лет назад

    talents...real talents

  • @NeneMedia
    @NeneMedia 7 лет назад

    safiiiiii

  • @samwelotachi3390
    @samwelotachi3390 6 лет назад

    From 254 listening this coolest hiphop hit..hongera bro Azma kwa kazi nzuri

  • @mariahishka6596
    @mariahishka6596 7 лет назад

    Nicerrrr

  • @mecsonreuben
    @mecsonreuben 7 лет назад +1

    autro ya wimbo huu,pale uyo dem ueiba kwa intro na autro ya B.I.G,mase na DIDY ngoa ya ONLY YOU

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 лет назад

    Chezea mbeya City wewe

  • @jkasindi
    @jkasindi 7 лет назад

    this is azma i know. big up sana this is the quality u hv to maintain and above. regards kasindi

    • @jkasindi
      @jkasindi 7 лет назад

      former ifmso from dar

  • @frankfiretz
    @frankfiretz 7 лет назад

    Noma sana kaka

  • @nasreenmohamed5985
    @nasreenmohamed5985 7 лет назад +16

    Very nice Song my dear, i was not a fun of Hip Hop but since i started listerning to ur music, u changed me... For really ur very Talented, i love u and ur music... keep it up i am always here to support u..

  • @EmanuelTheChampion
    @EmanuelTheChampion 6 лет назад

    Dope.