Touch me, O Lord, and fill me with your light and your hope. Amen. Dear God, please give me strength when I am weak, love when I feel forsaken, courage when I am afraid, wisdom when I feel foolish, comfort when I am alone, hope when I feel rejected, and peace when I am in turmoil
I am here after I've heard of how you settled most of the bills of our departed brother in Christ and took lead to ensure he was treated and even after he departed you ensured together with other ministers he's given decent send off And in all this you've not bragged of how you helped him,God bless you #thankyousolomon
Wauh,can't have enough of your songs brother.Renewed my relationship with God.More blessings brother. Thanking God for the blessings and standing with me.
SOLOMON BIG UP i love ur songs they are so powerful may almighty always bless u......u are a blessing to soooooo many ......i always feel blessed when i listen to ur songs and more hopeful to life...thank you🙏
😍😍😍🥰🥰🥰💯💯💯🙌🙌🙌🙏🙏🙏 Thank u God give me strength to stick w u forever I want eternal life
Kaka nipo nakufuatilia,yule tuliyekutana Mwanza,kule Kabangaja, tukaenda kule Rock City Mall.....
Haleluya soromoni
Kazi nzuri sana kabisa Dady
For sure nimeona akitenda maishani mwangu
Mungu ana mpango mzuri🙏
@@donstarmotormaster amen 🙏🏼
Wow amen napokeya kwa jina la yesu 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Hakika Mungu ni mwaminifu,,,karibu Maseno tena, ubarikiwe sana.
wimbo nzuri sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana
Nimepata wimbo wa harusi yangu..utukufu kwa Mungu..barikiwa sana Mkubwa.
Nimemwona Yesu ubarikiwe sana Bro
Ilagosa wa ilagosa..... God bless you Solomon Mkubwa
Ana lipaka vizuri uyu yesu.... Baraka tele
Moree blessing mtumishii
Nakupenda Sana ndugu yangu Solomon mkubwa acha Mungu azidi kukuonekania
Napenda kila wimbo yani Solomon Mungu akuwe miaka Na miaka 🙏 l love this song 😘 here from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante Mungu hakika kweli unaniwazia mema kweli sitowahi waza kujitoa uhai ulio nipa baba kweli.
Nice one my big brother ubalikiwe sana
Napenda nyimbo zako kaka,,on 25th to 27th umetubariki kwa nyimbo zako ALL SAINTS maseno,,uzidi kubarikiwa milele
Be blessed man of God your songs really changed my life and gave me a new hope Wich is Jesus
Touch me, O Lord, and fill me with your light and your hope. Amen. Dear God, please give me strength when I am weak, love when I feel forsaken, courage when I am afraid, wisdom when I feel foolish, comfort when I am alone, hope when I feel rejected, and peace when I am in turmoil
Anicee song nimependaa sanaa ni munguu anayetenda na kuondowaa vichekoo amen amen 🙏 barika
Mziki wako ume beba nemaa na baraka papa kenya tunajivunia kuwa na Mtumishi wa mungu kama wewe keep moving up sir
Amen A big amen from juja
Hakika Yesu analipaga vizuri, nimetendewa hata mimi, ubarikiwe sana kaka Solomon.
Wow nimemuona akinitendea ...mungu akubariki pastor wangu napenda hii song
Thank you God bless you too
Nimemuona akinitendea, I'm blessed with this song God bless you Solomon mkubwa 😭🙌🙏
Amen nimemuona akinitendea makuu amin funga omba kuwa mwaminifu
I am here after I've heard of how you settled most of the bills of our departed brother in Christ and took lead to ensure he was treated and even after he departed you ensured together with other ministers he's given decent send off
And in all this you've not bragged of how you helped him,God bless you
#thankyousolomon
P. God, barikiwa sana Mtumishi wa Mungu umekuwa wa baraka kwangu tangia tuko Cashem Mtopanga.
Mungu akubariki kwa huduma nzuri unafanya kwa kujenga mwili wa Kristo. Uendelee mbele n'a upako mwingi katika jina la Yesu Kristo
Amen anatenda yesu
Tiktok brought me here.Amen🙏🙏🙏
God bless you 🙏
Hongera bof wangu wimbo nzuri sana
Asante yesu unatenda, ameeeeen
Hakika yesu ni mzuri,barikiwa mtumishi❤
MY BEST GOSPEL SINGER! LAISSEZ- MOIDANCER ICI AUX USA.
Kweli Mungu ametutendea makubwa sisi Kama ACK maseno 🙏 Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Welcome again and again God's minister
Sitakata tamaa....Najua atatenda.
Woooow I can wait to watch this from my people❤️❤️
Eagerly waiting ooh,🙏🙏✅
Awesome 🙏🙏🙏amen
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu. Mungu akuinue katika viwango vya juu
God bless mtumishi wa Mungu wimbo umenivusha kwenye Mambo ninayopitia Amen
Nice song King of gospel solomon mkubwa
Woooow 💕💕💕 God bless you bro Mike
When I was almost giving up God did it... this is a great testimony song man of God. Be blessed....anatenda Yesu
powerful message akika anatenda🔥🔥💒🧎♂️💒💪💪💪🎊
Mpaka maadui wafunge midomo kwa yale atatenda🙏
Anatenda yesu
Kazi ni nzuri nimependa Baba
Mungu akubariki🙏
My song of the year ...barikiwa sana my favorite somon mukubwa huu wimbo umenibariki Sanaa🙏🙏😥🙏
amen God bless you servant of God
Your kindness brought me here ,, you're a true friend may God bless you for what you did to our brother ilagosa,, more blessings to you
Kwa kweli anatenda na ata endeleya natenda. Avance Pasteur.
Hananga deni ya mtu.. analipa vizuri🙏
Amen amen Barikiwa sana soon nakujia collabo moja please 🙏
The introduction iko kwa one of my songs. Be blessed
YESU Anatenda🙌
This song is a big blessing. I keep on listening to it as I wait upon him to do it for me too, because I can't take it anymore
Great. Nimemwona anatenda kwangu. Blessings
Eagerly Waiting Man of God
Anatenda kwa wakati wake, Amen!!!
Anakuja na malipo ya maombi umeomba🙏
Tumebarikiwa. Amina.
Wow..baraka tele amen🙏🙏🙏Mungu akubariki
#solomon mkubwa fans
Mungu akutendee makubwa🙏
Ni kweli mungu hutenda be blessed man of God
Mungu nitendee
Coming with a testimony after listening to God's servant
Baraka tele nimemuona yesu akitenda kwangu kabisaa 🙏💪
Amen asante mtumishi wa Mungu kwa kututia moyo na wimbo huu.Mungu azidi kukuneemesha kwa ajili ya utukufu wa jina lake
Woow,,,he's faithful God
Wauh,can't have enough of your songs brother.Renewed my relationship with God.More blessings brother. Thanking God for the blessings and standing with me.
God bless you for the good work Man of God, moreso for standing with Illagosa till the last minute.
Boses wangu
Woooow🙏🙏good job daddy
Safii kabisa
Mungu aendelee kukufunulia nyimbo zaidi.Wewe ni wa baraka sana ndugu.i cherish you
Baraka🙏
Amenitendea,ananitendea na atanitendea. Ypu did total justice to this song,nimebarikiwa
This is my song this mungu amenitedea my happy mum😍😍😍😍😊💞
Wow 💕💕💕 na mungu azidi kutenda
Wow glory to God. Ujumbe wa baraka
Mtumishi @SolomonMkubwa tuwekee pia Mbinguni Tutaimba Haleluya hata kwa RUclips hata kama ni audio tu tafadhali
Kazi ya kiungu...Baraka tele.
God bless you🙏
Amina🙏🙏🇱🇧🇱🇧🇰🇪
💥💥💥💥🙏amen amen daddy
Aaaaaamen
I like your songs .
Mungu akubariki sana, nyimbo hii inanibariki
This song give me slot of hopes
Jehovah anatenda kweli Kwa hakika 🔥🔥🙏🙏🎶
Twashima nguru
Félicitations 🎉🎊🇫🇷🇨🇩❤️🔥🔥
This is my Prayer that Atatenda kwa maisha yangu na jamii yangu
Much love from Kenya our brother 🥰🥰
Amen! Cant get enough of this song. Barikiwa mtumishi
Barikiwa mtumishi wa Mungu. kazi nzuri
Asante yesu najua hatatenda kwangu
Nimeona muujiza ule unakuja🙏usikate tamaa
@@donstarmotormaster Amina!
I came here to Subscribe because the love you had to our brother Illagosa was on another level...not easy for a person to do that🥰🥰
Amen man of God you are blessed.
Sijakufa moyo mungu atanitendea
Mungu aendelee kukubariki
Anatenda makubwa huyu Yesu😍🥰🔥❤
SOLOMON BIG UP i love ur songs they are so powerful may almighty always bless u......u are a blessing to soooooo many ......i always feel blessed when i listen to ur songs and more hopeful to life...thank you🙏
Have watched a song ft sunshine👌👌 Will be following you brother napenda mziki wako
Yes,God will do it in my life😊🥰
💥💥💥💥💥AMEN 🙏🙏🙏🙏
Asante sana baba
Glory to God, Am really blessed abundantly with this beautiful song. God bless you abundantly Solomon mukubwa
A great man of God may God bless you more I'm really blessed by your songs💗💗
Big up Solomon.., you're the commando of Kenya singers