Asante sana. Nawapenda sana wainjilisti wangu. Hakika mumenihimiza kwa yale ninayo yapitiya. Ninakaa nakusubiri shule la Mungu. De Julie de Butembo RDC
Hey... Solomon Mkubwa my all time artist...Napenda Solomon with all my heart...saa ii tuko one on one with his new music...I just love it 💕💕💕💕😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
This song is Very timely to many of US KENYANS and especially me in particular Lipo jibu wapendwa very powerful annointed Song GOD BLESS YOU Solomon and Pendo ❤❣️🙏🙏
[Verse:1 Solomon] Unayopitia, limeumiza moyo wako Unayopitia, imesababisha shinda maishani Unayopitia, watu hawakuelewi- lakini sio mwisho wa maisha bado kuna jibu Unayopitia, imesababisha ata pressure zimepanda Unayopitia, imeumiza akili Unayopitia, imesababisha watu wakukatae, lakini sio mwsho wa maisha bado kuna jibu [Upendo nkone) Nakuona unalia, moyo wako unaumia Nakuona unalia , maumivu yamepita kipimo Mawazo yameujaza moyo, wala hujui la kufanya wewe Ninakushauri tulia, jibu lako linakuja Umejaribu kuomba ushauri, bado hujapata jibu kamili Umeangaika kwa waganga, bado wewe hujapata suluhisho Akili zako zimefika mwisho, wala hujui hufanye nini Nina kushauri tulia, jibu lako linakuja [Chorus] [ Lipo jibu × 3] Mwachie bwana [ Lipo jibu × 3] Bwana atatenda ( Repeat) [ Verse: 2 Solomon ] Mengine majaribu yanayotupata Ni shule mbele zetu Kubali shule ya mungu, kusudi ufaulu maishani Haujui ya kesho, Mungu anayajua Sio mwisho wa maisha, jikabidhi kwa bwana Mengine ni majaribu tu, na yanatufunza kiimani Yanatufanya tusimame ili wengine tuwape shauri Watakayo yapitia, wakija kwetu tuwahimize moyo Mungu ni mwaminifu, anajua unakoenda [Upendo] Usidhani kujinyonga kwako, ndio suluhisho la matatizo Usidhani kuuondoa uhai, ndio utakuwa umeyakomesha Huo ni uongo tu wa adui, anataka kukuharibia wewe Usijidhuru kwa lolote, wewe mungojee bwana Ayubu alijaribiwa, Mali zake zote zikaisha Watoto wake nao wakafa Aliyapitia mambo mazito Lakini Ayubu alivumilia, alayashinda majaribu yoote Na wewe ndugu yangu jipe moyo, ushindi wako unakuja [Chorus] [ Lipo jibu × 3] Mwachie bwana [ Lipo jibu × 3] Bwana atatenda ( Repeat) (Speaking) Usifadhaike.. Macho yake yanaona Yanaona watu wote duniani Tena anawapenda wote wenye mwili Eeeeeeeeeeee Skia, inawezekana kabisa umefikia mwisho. Mwisho wa akili yako Lakini kumbuka kwamba yesu anaweza kukuinua tena Yesu anaweza kukuponya tena Maana yeye anaweza mambo yote Usijali, usivunjike moyo atafanya kwa ajili ya jina lake Hallelujah
Ameeeen lipo jibu mbele ninako kwenda hata kama since 2020 nimepita mengi ...najua 2023 kuna jibu la maisha yangu.
Asante sana. Nawapenda sana wainjilisti wangu. Hakika mumenihimiza kwa yale ninayo yapitiya. Ninakaa nakusubiri shule la Mungu. De Julie de Butembo RDC
Ni kweli ni nayopitia sahiziii ni Mungu tu anajua 😢😢
Kweli Bwana anatenda ukimwachia. Asante Kwa wimbo mzuri
Solomon mkubwa napenda sana uimbaji wako naomba Mungu anifikishe hapo ulipo Amen God bless you
Amen watumishi napenda kazi yenyu mbarikiwe,lipo jimbu
Nimetoka mbali najua sikua moja mapito yatapita mungu nitie nguvu lipo jibu
Nilikuwa nawaza kujitoa uhai lkn kumbe ni Vzr niendelee kumngoja Mungu
Watu hawaelewi tu Ila Kuna Mungu ambaye iko in control🤦♂️🥰🥰🙏🙏🇨🇩🇳🇴
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Solomon Barikiwa sana huu wimbo umeniamsha kutoka kwenye huzuni kubwa. Nangoja jibu la Mungu najua atatenda
Hallelujyah...kweli Bwana Yesu ako Na jibu....I like that man's base at the end of the song
This song is so blessed, I am glad for such ministers, I know this song is a powerful message to many, God bless you for the good work
1st collap Solomon and upendo thank God love all your songs
Kweli lipo jibu....sikuwa nmeona huu wimbo nmeusikia leo nikisikiza hope fm...kweli ninayopitia lipo jibu.
Kweli lipo Jibu kwa Mungu🙏...Nami sina budi kusubiri maana najua yeye ndiye ana Jibu langu...
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Am blessed with this song Amen 🙏
Nice song 😊 thanks Mungu awafunuliye mengi zaidi
kweli lipo jibu mungu atatenda wakati hufahao
Hey... Solomon Mkubwa my all time artist...Napenda Solomon with all my heart...saa ii tuko one on one with his new music...I just love it 💕💕💕💕😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
So encouraging. God knows my heart. Help me Lord.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen. Nitamngojea Bwana
Am waiting 😢 for that answer patiently because I know he does everything with a reason .All I can do is continue affirming my in my lord😊
Sauti mbili nisikia tango zamani naona niko karibu na mungu kazi zuri mungu awabariki
Ooh haleluyah...Jesus Will Answer US no matter what we go through...
Lipo jibu shalom 🙏
No matter how long it takes. ..our God will answer
Kwako tena ne Bwana nainuwa macho wacho !!
Kwamba Yesu ndjo uwezo Na kusegemeya kwangu !! I believe in him !!Praise you my God !
This song is Very timely to many of US KENYANS and especially me in particular
Lipo jibu wapendwa
very powerful annointed Song GOD BLESS YOU Solomon and Pendo ❤❣️🙏🙏
Bwana atatenda🙌lipo jibu🔥❤️❤️
Upendo aki ❤
Asante sana mungu awapandishe viwango
This song talks about me...God help me
I believe lipo jibu in Jesus name Amen Amen and Amen 🙏
Wow I was giving up thank you so much this one it has lift me up I'm strong
What i need to hear for long. Lipo jibu🙏 be blessed
Lipo jibu wacha nimuachie bwana atatenda, Amen shule ya Mungu inaitaji kuvumilia
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Lipo jibu! asanteni sana watumishi wa Mungu kwa huu wimbo, mbarikiwe sana.
[Verse:1 Solomon] Unayopitia, limeumiza moyo wako Unayopitia, imesababisha shinda maishani Unayopitia, watu hawakuelewi- lakini sio mwisho wa maisha bado kuna jibu Unayopitia, imesababisha ata pressure zimepanda Unayopitia, imeumiza akili Unayopitia, imesababisha watu wakukatae, lakini sio mwsho wa maisha bado kuna jibu [Upendo nkone) Nakuona unalia, moyo wako unaumia Nakuona unalia , maumivu yamepita kipimo Mawazo yameujaza moyo, wala hujui la kufanya wewe Ninakushauri tulia, jibu lako linakuja Umejaribu kuomba ushauri, bado hujapata jibu kamili Umeangaika kwa waganga, bado wewe hujapata suluhisho Akili zako zimefika mwisho, wala hujui hufanye nini Nina kushauri tulia, jibu lako linakuja [Chorus] [ Lipo jibu × 3] Mwachie bwana [ Lipo jibu × 3] Bwana atatenda ( Repeat) [ Verse: 2 Solomon ] Mengine majaribu yanayotupata Ni shule mbele zetu Kubali shule ya mungu, kusudi ufaulu maishani Haujui ya kesho, Mungu anayajua Sio mwisho wa maisha, jikabidhi kwa bwana Mengine ni majaribu tu, na yanatufunza kiimani Yanatufanya tusimame ili wengine tuwape shauri Watakayo yapitia, wakija kwetu tuwahimize moyo Mungu ni mwaminifu, anajua unakoenda [Upendo] Usidhani kujinyonga kwako, ndio suluhisho la matatizo Usidhani kuuondoa uhai, ndio utakuwa umeyakomesha Huo ni uongo tu wa adui, anataka kukuharibia wewe Usijidhuru kwa lolote, wewe mungojee bwana Ayubu alijaribiwa, Mali zake zote zikaisha Watoto wake nao wakafa Aliyapitia mambo mazito Lakini Ayubu alivumilia, alayashinda majaribu yoote Na wewe ndugu yangu jipe moyo, ushindi wako unakuja [Chorus] [ Lipo jibu × 3] Mwachie bwana [ Lipo jibu × 3] Bwana atatenda ( Repeat) (Speaking) Usifadhaike.. Macho yake yanaona Yanaona watu wote duniani Tena anawapenda wote wenye mwili Eeeeeeeeeeee Skia, inawezekana kabisa umefikia mwisho. Mwisho wa akili yako Lakini kumbuka kwamba yesu anaweza kukuinua tena Yesu anaweza kukuponya tena Maana yeye anaweza mambo yote Usijali, usivunjike moyo atafanya kwa ajili ya jina lake Hallelujah
Amen , lipo jibu.Bwana anatenda
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana huu mi nafarika.MBARIKIWE.WATUMISHI
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Lipo jibu nice song Mungu ni mwaminifu kwa kila jambo sitakata tamaa
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Hallelujah what a powerful song..Mungu azidi kuwabariki
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen, lipo jibu hata sasa. Mungu awabariki kwa ujumbe huu wenye nguvu
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Waooo barikiwa sana kaka Solomon na da Pendo
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Powerful song, huu wimbo unaponya roho
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Mon préféré Salomon mkubwa nous vous aimons ici au Congo 🇨🇩 surtout à l'est ,Ubarikiwe na Mungu
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
inspired ,early in the morning
This is a timely song of my life.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
I listened to this song at the right time.
So encouraging Glory to God .
#Lipo jibu
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏
Amen kweli lipo jibu.
wow my favourites gospel musicians
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
AMEN AMEN,,Nabarikiwa Sana na ujumbe
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Tuned in 💃💃
Asaante YESU
Very powerful! God bless you abundantly
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
inspiring🙏🙏b blessd more
Amen mungu anaweza napenda nyinbo
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Aminaa
Powerful lndeed hallelujah
Wimbo tamu umenipa nguvu thanks 👍
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Great Ministers
Wende mbele
iko poa sana
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏
😢😢😢😢😢😢
Amenbro
Barikiwa sana
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Jibu lipo kweli
Mubarikiwe sana watumishi
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah glory be to GOD , keep shining my Daddy
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Kwa yote "Lipo Jibu".
Ndiooo mwachie Bwana
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Am blessed more grace 🙏🙏
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Am right way. Amen
Ur blessing me🙏🙏
Exactly what I needed to hear this morning,for sure lipo jibu🙏.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
At the right time.... When am extremely going through hell in life
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
wonderful collaboration.
He is the only solution to our problems
Powerful message. God bless you
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Lipo jibu
Safi sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
So touchable
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Best song of the year
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Amen Amen Amen Amen
I'm encouraged
Powerful song
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
talented solomon
Very powerful song 👏👏👏👏👏
A VERY BLESSING SONG
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
Ameeen
Mungu yuko
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen amen
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
💪💪
❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante
Amena
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
My song my situation 😭
Amen 🙏🏾!
🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you 🙏🙏🙏🙏
🙏🙏
#lipo Jibu🙏
Soromoni barikiwa kwa ujumbe mzuri tafazar naomba namba yako