This is now kind of music we need to sing wollai waaaa beka flavour am in love with your songs but this one is adirect heat 🔥💪 🔥🔥💪💪💥💪# angusha likes Kama zote Kama wamkubali huyu kaaka Kama mm
Wabongo nyie mnarudisha watu nyuma hii ngoma ilivo fire hata 1m hijafikisha jamani very sad please tumsaport ngoma ninzuri sana yani huchoki kuisikiliza kila kitu kiko kwenye point please let we sport hem
Beka flavour wewe unajuaa Sana kuimba ilaa nakuomba nakuomba hebu fanya wimbo mmoja umshirikishee Enock Bella najuaa unawezaa kumbost sehem fulan na Naamin itakuwaa poaa Sana 🙏🙏
Beka upo juu, hata ka bado utakapo bado hujafika, nna imani hii ngoma itakupa collabo zitakazokupa collabo za kukupandisha juu, bila gharama yeyote ila msanii mzito anaipenda kazi yako na anaitisha collabo, ambayo itakuinua.
Beka unaachiliaga madude noma sana you need to keep focus on usiwe ukanyamaza sana achilia kabisa utaona watu wakianza kusema wanakutaka uingie kwa label yao
I listened this song on my way home after work, I had to search for it. Man you are Super Talented, the way you rhyme with the instruments is a Master Piece
True meaning of "nakupenda hadi naumwa" I love this guys lines and voice,too bad people are so much into explicit content/music and deny support to this kind of talent.Big up Beka.Tupo Nyuma yako.
hongera sana bro una juwa sana kuhimba .kama unahamini beka nimkali tu like basi.
Mswahili wa wawapi weye😂😂😂😂kuhimba, una muhamini au msukuma jamaniiii
Beka nikali, kwanza mistari ya kuvutia
Kama King alivyosema Beka anajus kuimba kwa melody 🙌
Kuhimba ndio nn🚮🚮
@@rukiaiddyyahaya9506 qf🤙🤙🤙
Ni Yesu ndiye anayewapa raha zaidi. Mtukuzeni Yeye.
Yaan beka hana tofauti na kiba nyimbo zake zaheshima alafu zimeenda shule,jaman naomba like kwaajiki yake
The best song ever 🔥🔥...Am leaving this comment here so after someone likes it, I get reminded of this song.💯
Naombeni likes za bekaflavour 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 video Ni traaaaam 🔥
kakka nouma
Video and vocals on point 🔥🔥
Waaah imebidi nikutafute venye nimesikia hii song tiktok aki umeweza baya,nishafanya tiktok already love from kenya,
This is now kind of music we need to sing wollai waaaa beka flavour am in love with your songs but this one is adirect heat 🔥💪 🔥🔥💪💪💥💪# angusha likes Kama zote Kama wamkubali huyu kaaka Kama mm
1
BEKA is very talented with a soft and unique voice
Most underrated bongo flavour artist. Imetulia hii👊
@@TechNasr but God's time is the best
of course He is
@@Nyimbozamani When God say Go nobody will stop you
@@TechNasr fuet6
+254 first viewer...likes hata kumi tukisonga
Ngoma kali ase
Nakubali wazi beka👍
Huuyu jamani anasauti poa sana ...napenda vile Yee si msarakasi wala vituko....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Bigtune brother this a big hit Beka flavour to the World 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kali sana 🔥🔥
Huyu beka flavour angekuwa wasafi angefunika wote mpaka bosi wake.... hatar sana aisee🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nilikuwa nasibiri ngoma beka kwanini unalala sana
Hi nayo ni kali sana nakubali 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯#Gistoff
I'm in love already with everything abt this song💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hit maker talented guy with unique voice and melody
Beat kay
Fan Wa Beka Longtym Enzi za Moto Band
Wabongo nyie mnarudisha watu nyuma hii ngoma ilivo fire hata 1m hijafikisha jamani very sad please tumsaport ngoma ninzuri sana yani huchoki kuisikiliza kila kitu kiko kwenye point please let we sport hem
Twende na like chap kama unamkubari huyu mwamba
Beka flavour wewe unajuaa Sana kuimba ilaa nakuomba nakuomba hebu fanya wimbo mmoja umshirikishee Enock Bella najuaa unawezaa kumbost sehem fulan na Naamin itakuwaa poaa Sana 🙏🙏
In love with this tune. Beka Flavor among the best artistes of our generation. Big up sana.
Rayc tz kanileta huku. Wow what a beautiful song 🙏. Kuna wasani wakali bongo❤️
Sauti ya Beka flavour ni sawa na kinanda,ni ya kipekee duniani🌍, #one in a million 🔥🔥👍👍👍👏👏👏
More love from 254 ...hodari wa kunyonga sauti😂😂😂😂
Video hiii tunalisubuli na hamu kweli kweli . Maana audio umeuwa kabisa 💥💥
Yaan beka unaujua mzik
Hii ngoma inapunguza kabisa maumivu yatozo kiukweli big congratulations for beka flavour.
A good with good message love from Kenya 🇰🇪
Hili ngoma hatare kabisaaa mluguruuuu..
Fire brother big up 🔥🔥🔥🔥🔥
Beka utanirudishia mb zangu mana imekuwa kama dozi , duuh bonge la wimbooo...
Lyrics nimezipenda sana #inlove en let's play likes support the good work from Kenya
Eiish wakenya tupo wengi humu kwa beka flavor. 254 baby ✔️😋😋
Big tuneee beka flavour ❣️❣️❣️💥💥💥#in love
Kenya Kenya twakubali ,,,nice tune mr Beka In with the song..
am inlove with the song👏👏💯 from Kenya keep it up 💯
Can't get enough of this song it's making me fall deeper in love
Subscribe my RUclips channel enjoy my music ruclips.net/video/BuMUSXJUFZI/видео.htmlsi=LqQjjFLPn9E2dqnL
beka you're my favorite brother nice job😘😘
Hii ndio miziki ya kitanzania sasaa ambayo tulikuwa tunaenjoy nayo na sio Ayo amapiano ambayo wanahangaika nayo
In love bonge la nyimbo
This brother of mine is so underrated in TZ ..... Your a champ bro ....wewe nihatari
This song is a vibe manze ..................Keep going my brother beka 💥💥💥💥💥💥💥💥💥 #vinkyC was here
KBSS 1 .... 1❤... we will support you forever ...mwamba wa ifakara.
KING BEKA 🤴 AISEEE NOMA SANA PROUD OF YOU 💥💣🔥
Big tune right now
👌👌
Yooow jeshii mchukue uyo dogo uwezo ako nao
Mahadhi ya kihindi, jeshi piga naye collabo
Jeshi mchukue beka nakuomba plz
Draw me nerve.
That peculiar and of it's kind.
Forever in love with you and your music Beka!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Dope! Kali kama kawaida! One love Beka Flavour! In looooove with the song. It's a banger!
Yani nakukubar sjui ata niseme nn kiufupi huna kazi mbovu!
Yani nakukubar sjui ata niseme nn kiufupi huna kazi mbovu!
I wish this talent would have be in WCB it's more than those two Left ✈️ Beka 🙏
Big up Beka...you always releasing hits
Hi
Fact 🙌
Jamani haka kanyimbooo katembee Kama challenge tulio postiwa niwaone inlove❤️❤️
Beautiful song bro, being in love makes us look-alike...
Braza wewe sio wakushindwa kwenye game ,hebu kaza bhana , endelea kutoa bampa tu bampa , hvyo hvyo jikongoje tu
Fanya maajabu
Beka upo juu, hata ka bado utakapo bado hujafika, nna imani hii ngoma itakupa collabo zitakazokupa collabo za kukupandisha juu, bila gharama yeyote ila msanii mzito anaipenda kazi yako na anaitisha collabo, ambayo itakuinua.
Big up broo autta 254🇰🇪
Bekaaaaa.....mbona kaua..🤷🏼♂️🤷🏼♂️🤷🏼♂️....hii hapa umeipiga kinyamaa......motoooooo🎼🎼🎼🎼🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Like kama umeikubali iyo hit song 💥💥💯
Wasanii Kama Hawa ndo tunapenda huku kwetu Kenya skia mistaari mwanangu...beka on top
my all time favorite, huaga u don dissapoint. 🇰🇪♨️♨️
Beka upo vizuri sana, ili ugike mbali chagua lebo moja ujiunge kama ni WCB, KONDE GANG au KINGS hapo utagika mbali haraka
No any other artist in east Africa matches his vocals 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up guy
Mtoto mkali kwa 🎞️📷
I love this guy's voice, big hugs
Huyu ndo msanii vocal, melodies n unique kishenzi sionwale wamakonde sauti utafikir kondoo kakatwa kichwa😭😭
The only artist that I follow all the way from USA 🇺🇸
Jameni diversify your artist portfolio! 😂
Eeeeish,nice one.Veeeeery talented guy.I love love love love him!so much too!❤️
Uko juu.edelea tu utafika place unataka kuwa ofcourse nyimbo zako freshi kabisa.
Good music 🎵 don't give up continue to make work 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Big up Kaka.....Tz jamani talanta wanazo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nipeni like zake..
Ye sir!
Uuu tunaingia 2023 na bado ni my favorite song ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ #in love 😘 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Beka just dope lyrical master from 254
Beka unaachiliaga madude noma sana you need to keep focus on usiwe ukanyamaza sana achilia kabisa utaona watu wakianza kusema wanakutaka uingie kwa label yao
the most underrated artist from 254
beke halo hapohapo
Hii ngoma umeua mwamba🤸♀️🤸♂️🙏🤲💪
I listened this song on my way home after work, I had to search for it. Man you are Super Talented, the way you rhyme with the instruments is a Master Piece
Hii ndo tafsiri harisi ya mziki mzuri,no matusi ,ujumbe mzuri kabisa
True meaning of "nakupenda hadi naumwa"
I love this guys lines and voice,too bad people are so much into explicit content/music and deny support to this kind of talent.Big up Beka.Tupo Nyuma yako.
Umeuaaa sana🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Gonga likes 🤙🤙
nakubali beka mziki mzuri
In looooooooooove with this song its a masterpiece
True
The way unavoimba....napenda kukusikilizaaaa mda wowote.....ukiniita naitika Jana na leo
It's the melody for me,it flows so well, big up beka flavor, lots of love from Kenya
Aise unawez broo pga kaz
Sichoki kurudia , greatest of all time beka flavour 🔥🔥🔥🔥
In love with the video❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Great song ,,Kenyan love piga like tuonyeshe upendo
Beka never disappoints
Beka we unakosha mioyo yetuuuu
Wap like
This is a Masterpiece ❄💥🇰🇪
Ngoma Kari Sana Bro, 🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥
Beka flavour never disappoint 🇰🇪
Nyimbo mzur saaana kwa kwel
Making me fall in love again and again 🔥🔥🔥
Let’s go man like beak flavour I see 👀👀u shining that’s the definition of bongo flava
This is bongo flava pure, big up Beka 💯
Romantic song ever..ngoma ambayo unaweza mwimbia mrembo wako ama mke wako,,.what a masterpiece song👌👌❤❤❤❤💖💖..!!!!
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
🙏 Nakuomba bonyeza 👇
ruclips.net/video/hdvoEvLkiUw/видео.html
This boy needs a great support juu anajua kuimba vizuri sana
True
You made it bro keep up good music 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Beka beka...acha nisiongee ju maneno ni mingi😋🥺🥺🥺 tutapatana
Legend is back 💓💓💓😍😍😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰👑👑👑👑👑😘😘✅✅😘
Bonge la goma aisee linasumbua sana kule TikTok sivyo madada zetu wanavyojishebedua🎈📌💥