Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kupitia hii video aaaah mm ni nomaaaaaaaa by starlone
Good
Daaah ningejua hiii Toka mda ningeua tunashukuru sana broo🤗
Hatari sana
Safi
Merci Sana Kaka iki kitu kinanitesa sana usiku n'a mchana❤❤❤
Unyama sana bro
Umetishaaaa balaaa❤❤❤
Baba unabaya ninakiti chako mbinguni
Unyama sana
🔥🔥🔥🔰⚡
Shukran sana kaka umebadilisha production yangu kabisa,nashukuru sana
Kaka
Mimi nategea jinsi ya kubalance vocals kwenye beats
Thanks bro but tusadie kweny vocals pia kam hivo
Daah leo nimejifunza kitu kikubwa mno bro..Asante kwa hili somo
Hiii noma na kilo Kaka nimekuelewa Sana mzee sema mi naitaji msaada wakujuwa upande wa hip hop na trap mix zake zikoje kaka
0719368745
🔥🔥🔥umetisha mzee unafanya vitu vikubwa sana
Umetisha
Ni kweli brother,hicho kitu mi niliwaza,bora umetuwakilisha kusema hii siri, 🙏🙏🙏🙏
😅😅😅
Naomba niwe mwanafunzi wako
Omnisphere changamoto kuinstall
Video iko ya maelekezo cheki apo chini
Nahitaji omonsphere
Unatupatia madini sana
Umeupiga mwingi mkubwa
Kupitia hii video aaaah mm ni nomaaaaaaaa by starlone
Good
Daaah ningejua hiii Toka mda ningeua tunashukuru sana broo🤗
Hatari sana
Safi
Merci Sana Kaka iki kitu kinanitesa sana usiku n'a mchana❤❤❤
Unyama sana bro
Umetishaaaa balaaa❤❤❤
Baba unabaya ninakiti chako mbinguni
Unyama sana
🔥🔥🔥🔰⚡
Shukran sana kaka umebadilisha production yangu kabisa,nashukuru sana
Kaka
Mimi nategea jinsi ya kubalance vocals kwenye beats
Thanks bro but tusadie kweny vocals pia kam hivo
Daah leo nimejifunza kitu kikubwa mno bro..
Asante kwa hili somo