HEKAHEKA: Cheti cha kuzaliwa chafichua siri ya mtoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 окт 2017
  • Kwenye Leo Tena ya Clouds FM leo October 11, 2017 Mtangazaji Geah Habib ameifikisha Hekaheka iliyotokea Keko Dar Es Salaam baada ya mdada mmoja ambaye aliolewa na kukuta mtoto wa mume wake akilelewa na mama mkwe wake bila kujua kuwa mtoto huyo sio wa familia hiyo.
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 85

  • @neemachalamila9494
    @neemachalamila9494 6 лет назад +3

    Dah it very hurt kwa mtoto ,yaani haya mambo yasikie tu kwa mwenzio,mtoto cku zote anajua yule ni bibi yake Na ameishi vizuri,ni mcba mkubwa sana,Mungu amsaidie mtoto

  • @obedjobu306
    @obedjobu306 6 лет назад +1

    Nomaaaaaaà sana ,wanawake muogopen mungu

  • @maximiliannestor5358
    @maximiliannestor5358 6 лет назад +1

    noma

  • @saudasj4379
    @saudasj4379 6 лет назад

    Kaazi kweli kweli

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 6 лет назад

    kaz kwel

  • @mpakarangi8704
    @mpakarangi8704 3 года назад

    source of all is wealth

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 6 лет назад +1

    Duniani kuna mambo

  • @user-gd8kg5md9v
    @user-gd8kg5md9v 6 лет назад +4

    Mmmmmh ila mama ndio anajua baba yake ni nani

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 лет назад +1

    Mackini cjui ni njaa, Mmmh! ni sheeeeeeeeedah!

  • @naimarama5741
    @naimarama5741 6 лет назад

    😩😩😩😩😩😩😩😩

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 лет назад +2

    Looo hatari jamani niugumu wa maisha au inakywaje?

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 года назад

    mumemtia mtihani mtto maskin. 😭😭😭hadi huruma.

  • @neemaladislaus1331
    @neemaladislaus1331 6 лет назад

    duh hatar

  • @hadijanoro5547
    @hadijanoro5547 3 года назад

    Raha ya kudanga

  • @comfort-rjtv3291
    @comfort-rjtv3291 6 лет назад

    Mazee haya jaman sio magig tuuu

  • @du8284
    @du8284 3 года назад

    NAMAPA, NAMPA , NAMPA, NAMPA MWANDU💃💃💃💃🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @shuwehaomar6658
    @shuwehaomar6658 6 лет назад +3

    yawenzenu mwatangaza mbona ya bosi wenu Ruge hamjatangaza

    • @du8284
      @du8284 3 года назад

      😀😀😀

  • @johnngunga4717
    @johnngunga4717 6 лет назад

    umalaya mbaya, tuwe waaminifu

  • @hadijanoro5547
    @hadijanoro5547 3 года назад

    Looh

  • @aminabhaya1518
    @aminabhaya1518 3 года назад

    Kilichokufurahisha Nini Sasa uyo n mwanamke mwenzio napia mtoto Hana kosa jitambue wer mwanamke

  • @rubyibrah2942
    @rubyibrah2942 6 лет назад

    duuuuuh

  • @mototv1599
    @mototv1599 6 лет назад +2

    anaeathirika zaidi hapo ni mtoto

  • @leilakulwa3591
    @leilakulwa3591 6 лет назад +6

    Kabla hujafa hujaumbika mwanadam, umbea tu, nayakwenu yasemeni.

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 лет назад

    yatakushinda ww dada .mume Wa marekani kaoa kimeo

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 6 лет назад

    Kweli kuku wangu mwenyewe, manati ya nini? Mhh.

  • @jumamwita2317
    @jumamwita2317 4 года назад +1

    yote kwa yote hakuna hekima apo na ww unajiita eti uko marekani huna mke apo bali una wataka urithi apo jipange

  • @sakinasheidhan4642
    @sakinasheidhan4642 5 лет назад

    Wazazi mambo mengine wakati tunafanya tujue yanamuathiri vp mtoto hapo mtoto ndio itamuumiza sana

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 года назад +1

    Soko matola

    • @catherinejumanne9378
      @catherinejumanne9378 3 года назад

      Cha ajabu hapo ni nn nawakati na nyie ni wanawake muwe mnaleta habari za kuelimisha watu hata nyie hapo ya kwenu mbon hamyasemi nyoooooooo

  • @comfort-rjtv3291
    @comfort-rjtv3291 6 лет назад

    Channel yangu mpya kabisa narusha matukio ya kila aina ili kuyapata bonyeza #picha_yangu hapo kwenye kitufe cha njano #like_tuweze_kwenda_sawa Asante

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 3 года назад

    Mmmmm yan nyie ebu tuleteeni habari zinazoeleweka , mbona mwaanika ya wenzenu mazambi yenu mmeficha

  • @dynesssteve7532
    @dynesssteve7532 3 года назад

    Namuonea huruma mtoto jamani

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 6 лет назад

    Hahahahaha akina bisandra hao wanafananisha y mtu😂😂😂ati midomo jamanii

  • @halimashtwe8982
    @halimashtwe8982 6 лет назад

    Ilikua haina haja uanike

  • @halimkepa7766
    @halimkepa7766 6 лет назад +1

    Kaxi mnayo kweli

  • @purryselestine4000
    @purryselestine4000 6 лет назад +4

    Dunia simama me nishashuka mweeeeeh wanawake wana mambooo ila ata mtt wa zari pia sio wa D ni wa marehem napita kwa kunyapiaanyapia

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 лет назад +5

    dreva bajaj nae mshikaji wako eh nawe atakutia mimba mke wa mtu una ushikaji na dreva bajaj wa nn

  • @elizambilinyi8449
    @elizambilinyi8449 6 лет назад

    ngh

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 лет назад +1

    Mmh wanawake tunamambo wanawaza ulisitu

    • @nadirsaleh2347
      @nadirsaleh2347 6 лет назад

      Tatu T
      Yn akilizenu cjui mnakamatiwa na nani.
      Nimechoka icho kituko

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 лет назад +1

    tanga hakuna soko kuu

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 6 лет назад

      +Sophie Alexander kwahiyo nikikwambia uje soko kuu utakika tangamano au ngamian au mgandin au uzungun

  • @biommy6700
    @biommy6700 6 лет назад +1

    Umbea tu...hizi nazo habari..munapeperusha hewani...musoleta habari za maana

  • @fridamapundasafi1862
    @fridamapundasafi1862 4 года назад

    Mama G dadaangu huyo naninamjua huyo Dada namkemwenzio

  • @johnngunga4717
    @johnngunga4717 6 лет назад

    mie nisingewapa uyo mtoto

  • @lucylucy2404
    @lucylucy2404 3 года назад

    Wasengee nyiee tu marekan mwajua au mwaisikia chukua mtoto huyo etiii

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 6 лет назад +1

    Kitanda akizai haramu 😁😁😁

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 6 лет назад +2

    😂😂😂😊😊😂😊😂😂😂😂😂maana ya wanazengwe ndo nini? Kama nikabila naombeni kulifahamu maana siokwaa kubambikiziana

    • @kitonekantasha1687
      @kitonekantasha1687 6 лет назад

      Mie baba angu anaitwa adam ila sina time naye maana kujipendekeza

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 лет назад

      Kitone Kantasha1 wanazengo ni wananchi

    • @reemiiomar9386
      @reemiiomar9386 6 лет назад

      Kitone Kantasha1 n majirani wa mtaa unaoishi

    • @MariamsLifestyle
      @MariamsLifestyle 6 лет назад

      Habari Karibuni sana kwenye channel yangu nafanya video za maisha ya huku italy ukitaka kuingia kwenye channel yangu bonyeza picha yangu hapo ili uweze ingia kwenye channel yangu

    • @obethmdeka4222
      @obethmdeka4222 6 лет назад +1

      Kitone Kantasha1 Wananzengo ni wananchi lugha hiyo i atumika saaaana ukanda wa ziwa. Hada mwanza

  • @hildadaniel4892
    @hildadaniel4892 6 лет назад

    wangeambiwa warudishe garama ili wakome

  • @denarddavid9202
    @denarddavid9202 6 лет назад

    KWANI CHETI CHA USAJILI WA KUZALIWA UKATAJA JINA LANGU INA MAANA NI MATOKEO YA DNA? WE ANDIKA JINA UJIFURAHISHE IKO SIKU UKWELI UTAJULIKANA.

  • @arafaiddy8962
    @arafaiddy8962 6 лет назад +1

    Duh noma sana😨

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 6 лет назад

    hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii makubwa dou mbona msitaje ni mtoto wa msanii yupi tujue

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад +1

    mabig ha ha ha ha

    • @hamisimachemba1743
      @hamisimachemba1743 6 лет назад

      Yote njaa

    • @MariamsLifestyle
      @MariamsLifestyle 6 лет назад

      Mwanajuma Mahundumla sana😂😂

    • @MariamsLifestyle
      @MariamsLifestyle 6 лет назад

      Karibu kwenye channel yangu nafanya video za maisha yangu huku italy bonyeza picha yangu hapo ili uweze ingia kwenye channel yangu

  • @grorymchina342
    @grorymchina342 6 лет назад

    mabig hahahahaha nimecheka jamani mwe

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 6 лет назад +1

    Lol?

  • @josephmapunda7321
    @josephmapunda7321 3 года назад

    Me nasikiliza king kiba seduce

  • @miriampaulo9027
    @miriampaulo9027 6 лет назад

    🙄🙄😂😂😂

  • @hamisikayanda3281
    @hamisikayanda3281 4 года назад

    Shostialimzoeamtt hajammiss

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 лет назад +4

    hahaha mtoto fake hahaha so mtoto nae bashite au hahahaha

  • @hadijasharifu1463
    @hadijasharifu1463 6 лет назад +1

    hahaha

  • @SHEMAHONGE
    @SHEMAHONGE 6 лет назад

    Hahahahah

  • @neemachalamila9494
    @neemachalamila9494 6 лет назад +4

    Dah it very hurt kwa mtoto ,yaani haya mambo yasikie tu kwa mwenzio,mtoto cku zote anajua yule ni bibi yake Na ameishi vizuri,ni mcba mkubwa sana,Mungu amsaidie mtoto

  • @sophiealexander8703
    @sophiealexander8703 6 лет назад +1

    Mmmmmhh!! Kuwa baba pia kunaitaji kuwa na wazfa