HEKAHEKA: DSM haiishiwi mambo, isikupite hii ya Kawe
HTML-код
- Опубликовано: 27 июн 2017
- Leo June 28, 2017 kwenye Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM ni story iliyotokea Kawe, DSM ambapo mtu mmoja anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuzua gumzo akidai kulipwa fedha zake baada ya kuambiwa aondoke kwa mama aliyekuwa anaishi nae.
Развлечения
Astaghafirullah,Dunia imeisha ila huyo mama Abdulkarim na yy amefanya makosa Sana kukaa na mtu km huyo Alf anamlisha mume wake chakula anachopika uyo Kijana tena ni ftari jamani tusipende kucheza na Allah.
Mtihani
@geah habib mwe mwatuwekea na video sio kusikiliza audio tu
Uwe naomba mume usiwe na mume watu wa hivyo kuishi unaishi nao wa nini jamani mm Karim
Niki anajulikana kawe nzima anapakuhishi akisaidiwa pakukaa alifukuzwa ndio ivyo
lakini mambo mengi wenawake tunajitakia wenyew tuwe tunafikilia hiki kitu nikifanya mbele itakuaje jmn tunashindwa vitu vidogo ivo mpk tuaibike ndo akili ikae Sawa jmn mwanamke kushughulik Kwa waume eeeeh
hahhahahahhahh hili choko halina hayaa kabisa linabishana linajua kumpikia mwanaume mwenzie
Aaaaaaaaa duniya inamambo hatari du da geya umenichekesha mpaka nimeunguza baibui eti siatekeye mwanaume
Apewe haki yake mikk buanaaa
Huhuhu mbavu zangu miee jmn huyo mkaka looooh!!
Sauti taamuu kambae msichana 😄😄😄😄
Sasa mwanaumke unaishije na mtu bila mume KUJUA ? Tena shoga .... Huyo mwanamke hafai kbsa, mungu anakubadirishaje usenge wenu tu wa tamaa za material things
uyo mama alijua kabisa anaingia ktk ndoa sasa ilikuaje akaendelea kumfuga uyo mtu? ndoa inaheshima yake jmn hao yaweza kuwa walikuwa na mipango Yao! mmh ila uyo mnasema ndo kaka iyo sauti yangu ikasubili akaah
Haaaaaaaaa
Mh huyo mkaka ana balaaa Na Hali aliyonayo tyu Mwenyez Mungu atujali hili kizaz
Kwa sauti hiyo sitaki kuamini!
Kaacha kazi ya baba yake kachaguwa kazi ya mama yake
Hatar kwa kwel wamaume tunavuliw nguo hv hv jaman duh!
ilo kaka lilokua linapikishwa humo linaitwa panya punga.😲
😨😨😨
Uyo mama na uyo kaka sio bure kuna kitu.
hilo linalojiita lanaume boga kabisaaaaaaa... na ninashangaa wanaolisupport..!
mmmh jmn uyo ni mkaka kweli mchekin vizur?
Yani hawa watu wa ivyo kwa dini ya kiislamu huruhusiwi kushirikiana nao kabisa tena kwenye dola za kiislamu hukumu yake ni kuchinjwa.
G H ww Dada ni mtangaji wa kimataifa
Uyo kaka kwann usitake pesa siku zote????
Hao wana mwanzo mwisho waujua wenyewe
yani hasina umejua kunichekeshe uyu kaka au dada hahahaha
huyo miki sauti gani hiyo
Dunia simama nishuke walah
hekaheka. noma sana
asilipwe aende popote pale kwaza jeuli hiyo hana aende akashtaki aone kama atarudi
Shoga uyo aisee
Na ww mama Kwann ukae nauyo shoga nn
musa utaniuwa na cheko
daah
Wafanya kazi wote waliojaa mpk amuhifadhi huyo hanithi ndani! Tena wanakuwaga wachafu wanatoka mavi hawa. Angekuwa kaolewa na kaka yangu huyo ningehakikisha anapewa talaka 10.
MGD Iknow him miki 🐲
mh
maumbile boya nn ww na wakt umechaguw mwnyw
miki bhana hahahah
mwanamke mtu mzima lkn Akili hana' wewe mama mtu mzima una watoto inakuaje umfiche huyo msenge baridi ....kwa nini amfiche ' huyo mama ana makosa na Mume lazma uangalie hilo' haiwezekani mtu awekwe ndani mtu bila ww kujua '..na kwanini alikua anamficha. .?
Suma Lago duuu
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
haaaaa dah
😂😂😂
Astaghfirulla
Mtu kaacha kazi ya baba yake kaifata kazi ya mama yake