Samahani Mtumishi wa Mungu tumejipanga kwa mabando makubwa makubwa tunaona ikikuoendeza masomo haya yawe angalau dakika 45 na zaidi. Tunanufaika sana kwa Elimu hii ya Biblia ya Neno la Mungu
Naomba kujua bibilia inaposema Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume (mwanzo1.26) Je nitofauti na Adamu alipoumbwa katika (mwanzo 2.7) Na je kaini alizaa na ndugu yake au mkewe alitokea wapa? Je wanafili ambao alikuja kuzaa na bint za wanadamu je walikua duniani au
Kwanini Biblia haitaji muda na wakati tangu Kuumbwa kwake na hivyo hata watumishi wamebaki kukisia tu muda wa umri wa Dunia? Kama Biblia haiwezi kutaja je tutapata wapi ushahidi?
Sitakaa mbali na somo hili ,ni tamu kwwli kweli kweli.Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi
Elimu hii safi sana baba askofu! Hakika hii ni saa ya maarifa.
Safiiiiii👏👏👏👏👏👏
Samahani Mtumishi wa Mungu tumejipanga kwa mabando makubwa makubwa tunaona ikikuoendeza masomo haya yawe angalau dakika 45 na zaidi. Tunanufaika sana kwa Elimu hii ya Biblia ya Neno la Mungu
Tuko pamoja Askofu Aurelian
Super teacher
Mwalimu nawezaje kupata vitabu vyako
💪💪💪💪
Mnasikika siku Gani sibuka
Kila jumanne saa 11 mpaka 12 jioni
Mchungaji utufundishe na huo mwanzo wa giza na maji
😂😂
Naomba kujua bibilia inaposema
Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume (mwanzo1.26)
Je nitofauti na Adamu alipoumbwa katika (mwanzo 2.7)
Na je kaini alizaa na ndugu yake au mkewe alitokea wapa?
Je wanafili ambao alikuja kuzaa na bint za wanadamu je walikua duniani au
Ila kamuda kama kafupi hivi 😄kama mtapata kibali muongeze kidogo.samahani lakini.
Huyo Esau ndo isaka au
Isaka ni Baba wa Esau na Yakobo
Kwanini Biblia haitaji muda na wakati tangu Kuumbwa kwake na hivyo hata watumishi wamebaki kukisia tu muda wa umri wa Dunia? Kama Biblia haiwezi kutaja je tutapata wapi ushahidi?