Safi sana huo ndio uongozi bora tunaoutaka very excellent serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuendlea kuupiga mwingi kwendleza sekta ya usafrishaji kuwa na ndege mpyaa excellent just keep it up
Makonda nakuona mbali sana ww ni myetezi wa wanyonge nakupenda mpaka naumwa kwa uvhapaji wako wa kazi wewe ni jembe Baba nakukubali sana makonda piga kazi bb❤❤❤❤❤💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Ninapo muoma kasim majaliwa,makonda, chalamila nasikia kububujika machozi naioma timu magufuli nondo zao nizakizalendo na zinawakosha watanzania wenye uchungu na nchi yap lkn wale vibaka awawapendi watu hawa NA HASWA KIKWETE NA TIMU YAKE.
Mungu aendelee kukuinua na akawapige ote wanao kuwazia mabaya nakuombea ata uko uliko pelekwa katika kazi ya mkuu wa mkoa arusha sina mashaka na wewe kizuri chajiuza acha wabaya waendelee kua machawa wewe piga kazi naamini Mungu amekuandalia jambo kubwa litakolo komboa wa watanzani wanyonge.
Kupata nafasi ya kuongea kwenye hadhara kubwa kunahitaji vitu vikuu viwili mosi Hekima pili kujiandaa na ni vema kujikiti kwenye jambo kuu la hadhara yenyewe na si sahihi kuleta hoja mpya nje ya hoja kuu iliyopo mbele ya hadhara. Heko waziri mkuu una hekima kubwa sana na unajua la kusema kwenye hoja iliyopo mbele ya hadhara unafanya hivi kila upatapo nafasi vitu kama hivi ndio vinahitajika kuunganisha wa Tanzania Kiukweli maendeleo kila mtu wa hitikadi yyt anayapenda na maendeleo hayana chama ni kuunganisha Taifa si vema kuletq itikadi kwenye maendeleo ya Umma hongra sana Mh.PM hongera sana Mh.Rais kazi iendelee hata wasiotaka watataka kwa hekima kubwa ya viongoz wetu na maneno ya kizalendo lengo kujenga utaifa na tuvuke huku tulipo kazi iendelee na MUNGU atubariki tufikie maendeleo ya kweli.
Kukaribisha sekta binafsi kwenye njia kuu za uchumi za umma unadhoofisha nguvu ya umma kwenye kumiliki uchumi wa nchI pia ni kuuza fursa za uchumi za kizazi kijacho.Hao hawaleti ufanisi wanataka faida ya nchi wachukue wao
Hakumtumbua..Makonda aliitaji UBUNGE ili apate nafasi Yakuwa Waziri kwaiyo ilibidi UKUU wa MKOA aachane nao kwa bahati mbaya akazidiwa kura kidogo sana Pale Kigamboni na Ndugulile
@@PFD123makonda ni kama alitumbuliwa tu kwani hata kama alizidiwa kura kidogo, pia na mwenyekiti wa Chama magufuli hakulidhia makonda agombee ubunge kama angeridhia angepitisha jina lake kama ambavyo alifanya kwa gwajima kawe na maeneo mengine
hi imeenda makonda umeufikisha ukweli kwa wahusika wanafiki hasa wakuu wa mikoa yani badala ya kusifia Juhudi za magufuli utashangaa anasifiwa samia kwa kipi alichikifanya cha maana ndo kwanza tumerudi nyuma kimaendeleo mpaka sukari imekua janga la taifa magufuli aliweza kubalansi mfumuko wa bei ya vyakula
@samia na magufuli ni watu wawili tofauti. 1.magufuli aliua waliomkosoa...samia kawapa uhuru wamkosoe 2.magufuli alifungia account za watu na kuchukua hela...samia kazifungulia na kurudisha hela 3.magufuli alifukuza watu kwa roho yake mbaya....samia kaja kawaripa jasho lao walilolitoa kwa kuitumikia nchi 4.maguful alifungia na kuminya uhuru wa vyombo vya habar ....samia kafungulia na katoa uhuru kwa vyombo vya habar 5..maguful aliuwa mahusiano ya kimataifa...samia kayafufua ma kuyaboresha... 6.magufuli aliua soko la korosho na mbaazi ...samia kalifufua na sasa bei inaridhisha.. 7.magufuli aliajir kwa ukabila na ukanda ...samia anaajiri kea weledi na sifa kwa watanzania wote.. 8.maguful hakuongeza mishahara wala madaraja wala ajira mpya za maana...samia kaongeza mishahara...watumishi wamepanda madaraja na ameajiri vijana wengi zaidi.. 9.maguful alikimbiza wawekezaji watu wakakosa ajira...samia kawarudisha wawekezaji na watu wanaajiliwa secta binafsi. 10.maguful kaua mradi wa gesi....samia kaendeleza miladi aliyoikuta na kuanzisha mipya.. 11.maguful alipiga marufuku siasa...samia karuhusu siasa... HAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI NI MJINGA PEKEE NDIE ANAEWEZA KUSEMA HAWA NI SAWA...NA KULAZIMISHA WOTE KUWA NI SAWA NI KUAMINI MMOJA HAWEZI KUENDELEA KUSIMAMA BILA MWINGINE.... TUAMINI KILA KITABU NA ZAMA ZAKE.... Kuhusu suala la kusifia acha kila mtu asifie kwa kadili ya kipimo cha maono yake....hakuna unafiki mbaya kama ule wa wale waliokuwa wakimuita maguful mungu...mbona makonda hukutoka kuwapinga...mbona hukumpinga cyplian musiba pale alipokuwa akiwatukana viongoz wastaafu na kumtukuza maguful... Sheria ni msumeno....
Ndio Maana Mama Samia kabaki zake Nyumbani hakutaka kuja kwenye huu Unafiki !!...Fanya ibada Mama kununua ndege kama Taifa isiwe jambo la Taharuki na kugeuka kuwa Jukwaa la vijembe kwa viongozi kwa viongozi
Barabara inajuta , nini maana yake !? 😂😂 Mbona sayansi yake ni ngumu sana ," hata iweje barabara hazitajuta maana ardhi haiwezi kuhisi maumivu kadiri ya uumbaji na maelekezo ya Mungu.
Ivi kwenye hayo mapokezi wsle wahuni hawajaja na yule mzee wao msema hovyo ambae kichwani box msije mkampa nafasi ataharibu kikao eti ereeer wazuri hawafi ndiyo maneno ya kuongea hayo siasa za kizamani kabisa
Ukaribishwe bado umtukane alie kukaribisha, pia hutaki amsifu aliekupa kazi, hii sio jambo zuri, mafumbo yako ya kumtukana mkuu wetu wa mkoa sio jambo zuri
Mama haufai anatuingizia hasara taufa mafisadi ndy wanamuendesha anaibiwa san anapoteza ela san sas raisi kma hyo wa nn sisi tunataka raisi mkakamavu mwenye ujanja wa kuitunza nchi achaneni na maneno ya ccm mtakuwa mnajutia mpk munakufa badilisheni upande
Huyu jamaa namkubari sana hanaga unafiki na anafanya kazi kwa ilani Yao inavyosema kwamba kuusema ukweli na unafiki mwiko ila Kwa hawa viongozi wa sasa hawataki kuambiwa ukweli ndo maana wameshanshauri Samia amuondoe kwenye ukatibu make angeendelea kuwasema na ujinga wenu mwiguru kapigiwa kelele na wananchi aondolewe lakin wap ila huyu makonda kipenzi cha watanzania asubh mapema kashamuondoa bcs hawataki kuambiwa ukweli
Sasa hivi kila mradi ni hela ya raisi as if katoa hela mfukoni kwake, labda kwa vile labda raisi angeweza kutumia hiyo hela kwa shughuli nyingine au kuweka mfukoni kama maraisi waliopita.
Aaaa, sisi tunakusanya pesa kutoka wapi? Acheni uwongo, bado mataifa ya ulaya magharibi wanatufadhili katika miladi mingi sana, ndo maana mama samia anapambana sana kutengeneza mahusiano na watu wa ulaya kuendelea kutufadhili, watanzania tutauza nyanya tufanye miladi mikubwa kama hiyo kwa fedha yetu! Bado hatuwezi.
Uwezo wa samia ni mkubwa, sawa na magufuli, tunao amini hilo tupo! Shida ya dada etu samia anayadekeza sana mafisadi, yanatupiga sana. Samia ni mtu mwenye heshima kubwa sana hapa africa mashariki, alipaswa hayo mafisadi asishikamane nayo kabisa, maana yeye bila mafisadi ana uwezo wa kuendesha inchi hii na watendaji wapya bila shaka, na watu watafika kaanani bila musa na haruni.
Ni sawa anaweza yeye anatumika au watu ndy wanamuibia sas tirioni 30 ndani ya miaka mitatu je tukimpa Tena MITANO itakuwa tirioni 80 Kwa ujumla MPKA 2025 tutakuwa na deni la tirioni 140 haha hii nchi wanaotaka kuiuza Kwa kudhamiria au kwakuto dhamiria
Hapo ndipo Makonda hunaponikoshaga kwa kusema ukweli humungunyagi maneno hongera sana Bwana wa majeshi akutunze.Aimen
MAKONDA kwa kipindi hiki tangu nianze kufuatilia siasa ni mtu mwenye nyota ya uongozi na anakubalika sana kwa ujasiri wake
Hizi ndege alinunua JPM.Sema ndiyo zimekamilika kwa sasa.
Makonda unaongea maneno yenye kunifanya nione magufuli hajafa Bali anaishi kupitia wewe
Safi sana huo ndio uongozi bora tunaoutaka very excellent serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuendlea kuupiga mwingi kwendleza sekta ya usafrishaji kuwa na ndege mpyaa excellent just keep it up
Makonda nakuona mbali sana ww ni myetezi wa wanyonge nakupenda mpaka naumwa kwa uvhapaji wako wa kazi wewe ni jembe Baba nakukubali sana makonda piga kazi bb❤❤❤❤❤💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Yote Hii ni Kazi ya JPJM.Wanasiasa Uchwara Kweli
JPM LEGACY WILL LIVE 4REVER
Makonda anajielewa sana kaka etu safi safisana
Maneno makali hayo makonda mungu akubariki.
Sio vizuri leo kumsema hayati magufuli vibaya.
😢
Asante sana Ndugu Makonda. Kama hawajakuelewa watapata tabu sana
Yaan Makonda umekosea hawa ni watu wawili tofauti kabisa.....
Makondo umewachana 😅😅😅 kweli kweli uko sawa kuna viongozi kazi yao nikusifia to
Nampenda makonda
Safi sna makonda
Pamoja sana makonda
Makonda we chuma , we ndo Raisi akitoka Samia
Musisahau yale yalotokea kwenye TV STUDIO wakati akiwa mkuu wa mkoa wa Dsm
wewe hukosei???@@ahmedalbalooshi8518
Mh makonda kila nikiona hotuba yako machozi yananitoka mungu wa mbingun aliie hai akulindee nakukuonesha mwema na mbaya uishi kwa Aman
Makonda Makondaaaaaaaaaaa❤
Ningekupigia simu mh makonda bahati mbaya Sina nambaako ilaa wenijembee Tena lenye mpini barikiwaa saana njoo bukoba nikuonepo Tena bujugo
Naomba mama ampe wizara ya tamisemi anyoshe mambo
Ninapo muoma kasim majaliwa,makonda, chalamila nasikia kububujika machozi naioma timu magufuli nondo zao nizakizalendo na zinawakosha watanzania wenye uchungu na nchi yap lkn wale vibaka awawapendi watu hawa NA HASWA KIKWETE NA TIMU YAKE.
Ujasiri mavi siku zote ndio unaomponza makonda...
Halafu kitu kingine niwaambie tu kwa sasa makonda ni kipenz cha watu yaani ikitokea akaamua kliamsha kwa njia yoyote utashangaa vumbi litakalo timka
ivi dar inakusanya kodi kiasi gani wanakua na bugdet kubwa kiasi hicho
Baada ya mama makonda
Mungu aendelee kukuinua na akawapige ote wanao kuwazia mabaya nakuombea ata uko uliko pelekwa katika kazi ya mkuu wa mkoa arusha sina mashaka na wewe kizuri chajiuza acha wabaya waendelee kua machawa wewe piga kazi naamini Mungu amekuandalia jambo kubwa litakolo komboa wa watanzani wanyonge.
Hapo makonda ndipo anazidi kuweka rekodi ya Uzalendo Tanzania,MUNGU AMJALIE KABISA KATIKA MAJUKUMU
Makonda msema kwel daima
Cy kweli sema anamisifa tu
SHANGWE NA VIGEREGERE KWA MH. MAKONDA KIPAJI CHAKO NI KIKUBWA
Makonda ana uzalendo gani?
Watu wanamkubali janaa
Nchi hii bado sana.
Tumsubiri yesu Kristo aje kuikomboa kwa kupindua meza za wakuu wanaokula mali za nchi huku wenye nchi wakilia ugumu wa Maisha
Pastor
Hakuna siku niliumia ulipotenguliwa ukuu wa mkoa ahsante Mungu kwakukurejesha tena
Hakutenguliwa aliacha mwenyewe
Aliacha mwenyewe ili kwenda kupigania ubunge.
Yani umesema kweli mungu akuweke
TUNAOMBA SERIKALI IJE BUZA TANESCO,BARABARA YA KIPERA UONGOZI HAKUNA ,RAIA WANAPATA SHIDA BARABARA MASHIMO MATUPU MADIMBWI YA MAJI NI TAABU TUPU
Kupata nafasi ya kuongea kwenye hadhara kubwa kunahitaji vitu vikuu viwili mosi Hekima pili kujiandaa na ni vema kujikiti kwenye jambo kuu la hadhara yenyewe na si sahihi kuleta hoja mpya nje ya hoja kuu iliyopo mbele ya hadhara. Heko waziri mkuu una hekima kubwa sana na unajua la kusema kwenye hoja iliyopo mbele ya hadhara unafanya hivi kila upatapo nafasi vitu kama hivi ndio vinahitajika kuunganisha wa Tanzania Kiukweli maendeleo kila mtu wa hitikadi yyt anayapenda na maendeleo hayana chama ni kuunganisha Taifa si vema kuletq itikadi kwenye maendeleo ya Umma hongra sana Mh.PM hongera sana Mh.Rais kazi iendelee hata wasiotaka watataka kwa hekima kubwa ya viongoz wetu na maneno ya kizalendo lengo kujenga utaifa na tuvuke huku tulipo kazi iendelee na MUNGU atubariki tufikie maendeleo ya kweli.
Kukaribisha sekta binafsi kwenye njia kuu za uchumi za umma unadhoofisha nguvu ya umma kwenye kumiliki uchumi wa nchI pia ni kuuza fursa za uchumi za kizazi kijacho.Hao hawaleti ufanisi wanataka faida ya nchi wachukue wao
Makonda wakondesheee!! Mchimbi wachimbue vizuri mafisadi
Makonda oyeeee...Ccm oyeee
Oyeeeeeeee sana
Wachumia matumbo hata baya mnasema sawa.ndege Ni Oda ya magufuri msidanganye watu.
Rais,Majaliwa baada ya Samia, waziri Mkuu atakuwa Makonda mtaniulizza niko pale
😂😂😂😂❤🇹🇿🎉
Magufuri angejua asinge kutumbua mana japo alikutumbua bado unamtetea
Hakumtumbua..Makonda aliitaji UBUNGE ili apate nafasi Yakuwa Waziri kwaiyo ilibidi UKUU wa MKOA aachane nao kwa bahati mbaya akazidiwa kura kidogo sana Pale Kigamboni na Ndugulile
Kuna watu wanamwona kama anafaa kuwa Rais kura atapata wapi?kama jimboni alifeli taifa je?@@PFD123
Magu akumtimbua makonda ile ni yeye mwenyewe aliacha na kuingia kwenye siasa za kutafuta Ubunge.
@@PFD123makonda ni kama alitumbuliwa tu kwani hata kama alizidiwa kura kidogo, pia na mwenyekiti wa Chama magufuli hakulidhia makonda agombee ubunge kama angeridhia angepitisha jina lake kama ambavyo alifanya kwa gwajima kawe na maeneo mengine
Mama samia mnafki kumtengua makonda umezingua makonda kipenzi chawatu wanyonge apakazitu
Alichokisema hiyo siku ndo kilichomuondoa
Shujaa makonda apakazitu
Makonda unastaili.
Ccm haitaki MTU mwenye moyo wakusaidia maskini
hi imeenda makonda umeufikisha ukweli kwa wahusika wanafiki hasa wakuu wa mikoa yani badala ya kusifia Juhudi za magufuli utashangaa anasifiwa samia kwa kipi alichikifanya cha maana ndo kwanza tumerudi nyuma kimaendeleo mpaka sukari imekua janga la taifa magufuli aliweza kubalansi mfumuko wa bei ya vyakula
@samia na magufuli ni watu wawili tofauti.
1.magufuli aliua waliomkosoa...samia kawapa uhuru wamkosoe
2.magufuli alifungia account za watu na kuchukua hela...samia kazifungulia na kurudisha hela
3.magufuli alifukuza watu kwa roho yake mbaya....samia kaja kawaripa jasho lao walilolitoa kwa kuitumikia nchi
4.maguful alifungia na kuminya uhuru wa vyombo vya habar ....samia kafungulia na katoa uhuru kwa vyombo vya habar
5..maguful aliuwa mahusiano ya kimataifa...samia kayafufua ma kuyaboresha...
6.magufuli aliua soko la korosho na mbaazi ...samia kalifufua na sasa bei inaridhisha..
7.magufuli aliajir kwa ukabila na ukanda ...samia anaajiri kea weledi na sifa kwa watanzania wote..
8.maguful hakuongeza mishahara wala madaraja wala ajira mpya za maana...samia kaongeza mishahara...watumishi wamepanda madaraja na ameajiri vijana wengi zaidi..
9.maguful alikimbiza wawekezaji watu wakakosa ajira...samia kawarudisha wawekezaji na watu wanaajiliwa secta binafsi.
10.maguful kaua mradi wa gesi....samia kaendeleza miladi aliyoikuta na kuanzisha mipya..
11.maguful alipiga marufuku siasa...samia karuhusu siasa...
HAWA NI WATU WAWILI TOFAUTI NI MJINGA PEKEE NDIE ANAEWEZA KUSEMA HAWA NI SAWA...NA KULAZIMISHA WOTE KUWA NI SAWA NI KUAMINI MMOJA HAWEZI KUENDELEA KUSIMAMA BILA MWINGINE....
TUAMINI KILA KITABU NA ZAMA ZAKE....
Kuhusu suala la kusifia acha kila mtu asifie kwa kadili ya kipimo cha maono yake....hakuna unafiki mbaya kama ule wa wale waliokuwa wakimuita maguful mungu...mbona makonda hukutoka kuwapinga...mbona hukumpinga cyplian musiba pale alipokuwa akiwatukana viongoz wastaafu na kumtukuza maguful...
Sheria ni msumeno....
Kuna uwongo MWINGINE Bhan mm nata munijibu tirioni30 ndani ya miaka mitatu zimetumikaje
RIP MAGUFULI
Huyu nichawa
Ndio Maana Mama Samia kabaki zake Nyumbani hakutaka kuja kwenye huu Unafiki !!...Fanya ibada Mama kununua ndege kama Taifa isiwe jambo la Taharuki na kugeuka kuwa Jukwaa la vijembe kwa viongozi kwa viongozi
Makonda sauti ya Makufuli ukiongea roho inalia sana najuwa Magu huyoooo
Amakweli raisi wetu yupo vizuri leo kupitia MBUNGE wajimbo LA buchosa erick SHIGONGO kuweka rami jimboni /2025/inawausu
Hahaaa!!!!! Hii nchi bna bax tu😅😅😅😅😂
yaani weweeee ,unamfananisha Samia na magufuli
Mheshimiwa Makonda pole hii itakuponza, ujasiri wako utakuangusha mara nyingine hapo sio Kwa kishindo Cha awali
Imemponza kweli mmh
Ni vyema Kwa kweli ila na Sisi jamani wakazi pugu station
Hapa ndio paleleta shida
Barabara inajuta , nini maana yake !? 😂😂 Mbona sayansi yake ni ngumu sana ," hata iweje barabara hazitajuta maana ardhi haiwezi kuhisi maumivu kadiri ya uumbaji na maelekezo ya Mungu.
Wewe ndie Rais ujae
Muda utaongea
Wew chala hamna kitu watu wanaakili halafu wew kama rc unaongea utumbo
Mbowe Oyeeeeeeeee
Big up po makonda raisi wetu ajae usijali uchama kama wajinga wengine wanao fokas na chama nakupakana mafuta kwa mgongo wa chupa
Mmekuwa machawa sana wote nyie kmmk sanaaa
Serikali hebu msinimalizie mb zangu bwana, hukuna kitu mm ni team MAGUFURI mpaka natoka duniani
Mtukumbuke na sisi wananchi wa mkoa wa mbeya wilaya ya mbarali, barabara yetu ya lujewa madibira ni mbovu sana
Bravo
Sasa si mmewapa posho wataachaje kuja......Habari ni ndege Mambo ya barabara yanaingiaje hapa....
Ivi kwenye hayo mapokezi wsle wahuni hawajaja na yule mzee wao msema hovyo ambae kichwani box msije mkampa nafasi ataharibu kikao eti ereeer wazuri hawafi ndiyo maneno ya kuongea hayo siasa za kizamani kabisa
Mzee makamba ni mpumbavu
Kazi nzuri but hope hizi sio zile ndege pindukapinduka
Hopefully! Si walisema hawazitengenezi tena? Hawa boing waache uhuni.
Kumbe Watanzania wengi wanadanganywa kwa vitendo😆😁badilikeni vitendo na usahihi ndy nguzo ya uwongozi
Sasa mbn mbowe jamn acha uchokoz we chalamila
Gd
Magar ya mwendo Kasi barabarani hakuna watu wanamaalama mwilin kisa kusukumana et ndege why 😊😊
Ikijengwa barabara ya machimbo banana ntaamn kweli mama anapga kazi
Barabarani zitajuta 😂😂😂😂
Hapo ndyo makonda kachemsha kumtaja magufuli ndyo maana katenguliwa
Ametenguliwa?
Bila Shaka 2025 tutaheshimiana.dalili nimeanza kuziona.Stay tuned.
Mbona kwetu kwembe mpakani hamna kitu kinachoendelea maji hamna wala barabara
Ukaribishwe bado umtukane alie kukaribisha, pia hutaki amsifu aliekupa kazi, hii sio jambo zuri, mafumbo yako ya kumtukana mkuu wetu wa mkoa sio jambo zuri
Tukumbukeni kwakweli nasi niwapiga kura wenu barabara haipitiki ya lujewa madibira tunateseka wananchi wenu
Nyie wezi tu mwamba alikua jpm tu
Makonda mboe akisikia hivi anakeleka
Ndege zamabosi izo sisi tutaishia mabas
Makonda umenusuru c c m.
Mama geukia wastaaaf Sasa wanateseka nao wametumikia nchi kwa weledi na ufanisi mkubwa wanastahili kupewa pension nzur kulingana na kazi waliyofabya
Makonda makonda
Makonda wewe kula vitu kwenye nafasi yako maana siyo ya kusomea ni ya kupewa lazima umfagilie mwajiri wako bwana
Umevimbiwa na kuanza kutangqzq kamali ...shehe kabisa
Hizi ndege spear zipo kweli?
Mama haufai anatuingizia hasara taufa mafisadi ndy wanamuendesha anaibiwa san anapoteza ela san sas raisi kma hyo wa nn sisi tunataka raisi mkakamavu mwenye ujanja wa kuitunza nchi achaneni na maneno ya ccm mtakuwa mnajutia mpk munakufa badilisheni upande
Tunashukuru
Huyu jamaa namkubari sana hanaga unafiki na anafanya kazi kwa ilani Yao inavyosema kwamba kuusema ukweli na unafiki mwiko ila Kwa hawa viongozi wa sasa hawataki kuambiwa ukweli ndo maana wameshanshauri Samia amuondoe kwenye ukatibu make angeendelea kuwasema na ujinga wenu mwiguru kapigiwa kelele na wananchi aondolewe lakin wap ila huyu makonda kipenzi cha watanzania asubh mapema kashamuondoa bcs hawataki kuambiwa ukweli
Unafiki anao..tena umechanganyikana na chuki mbaya....
Jaa People alisema tumepata mabii na mabii na mabii
Itakuwaje changamoto ziwe Barbara za pembeni ya mji wakati senta ya jiji inanuka mitaru hakuna?
Usituaminishe kuwa raise anatafuta pesa sisi wananchi ndio watafutaji wakubwa wa pesa za nchi hii
Sasa hivi kila mradi ni hela ya raisi as if katoa hela mfukoni kwake, labda kwa vile labda raisi angeweza kutumia hiyo hela kwa shughuli nyingine au kuweka mfukoni kama maraisi waliopita.
Aaaa, sisi tunakusanya pesa kutoka wapi? Acheni uwongo, bado mataifa ya ulaya magharibi wanatufadhili katika miladi mingi sana, ndo maana mama samia anapambana sana kutengeneza mahusiano na watu wa ulaya kuendelea kutufadhili, watanzania tutauza nyanya tufanye miladi mikubwa kama hiyo kwa fedha yetu! Bado hatuwezi.
Pumbavu zenu ccm
So Malinda Wala majaliwa au chalamila ugonjwa mkubwa NI CCM imefili kuendesha nchi
Na ubaya watu wanaogopa kuwaamini viongozi wa vyama vinyine.
Ww Malinda unayo?
Uwezo wa samia ni mkubwa, sawa na magufuli, tunao amini hilo tupo! Shida ya dada etu samia anayadekeza sana mafisadi, yanatupiga sana. Samia ni mtu mwenye heshima kubwa sana hapa africa mashariki, alipaswa hayo mafisadi asishikamane nayo kabisa, maana yeye bila mafisadi ana uwezo wa kuendesha inchi hii na watendaji wapya bila shaka, na watu watafika kaanani bila musa na haruni.
Ni sawa anaweza yeye anatumika au watu ndy wanamuibia sas tirioni 30 ndani ya miaka mitatu je tukimpa Tena MITANO itakuwa tirioni 80 Kwa ujumla MPKA 2025 tutakuwa na deni la tirioni 140 haha hii nchi wanaotaka kuiuza Kwa kudhamiria au kwakuto dhamiria
Mapokezi y ndege? Really, how stupid are we! Acha upumbafu wewe RC, hizo hela ni kodi zetu siyo hela ya Samia wewe fisi!