Kudhibiti wageni sio ubaguzi - Othman

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 40

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 2 дня назад +5

    Huo Ndio utaratibu wa nchi🎉🎉🎉

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar День назад

    Ndio sasa na sisi tueke utaratibu wa nchi yetu sookila alieshindwa na maisha aje huku

  • @ShauriAli-o5y
    @ShauriAli-o5y 2 дня назад +5

    Zanziba tunamtaka kiongozi kama huyu wacha siku ifike tufanye maamuzi tumtoe mtalii

  • @adamjuma9672
    @adamjuma9672 2 дня назад +3

    Aloo uyu asa ajua

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 2 дня назад +5

    Upo sahihi omo

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go День назад +1

    Jamani mimi nshapata Mpenzi kutoka Tanganyika kwa iyo Mh Omo ukiingia madarakani usije nifukuzia Mpenzi wangu nampenda sana mtoto wa kabila la Warangi kutoka Bara
    Nakuunga mkono asilimia 💯 ila sisi wenye malengo na Wabara mtufikirie 😊😊

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 День назад

      Ataishi Kwaviza uyo. Malaya wako wakitanganyika ikiisha ataenda tena kuongezewa viza halafu uwo ujinga wako sisi wazanzibar hautuhusu sisi hatuja kwambia utafute uyo malaya au tume kwambia.

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar День назад

      Ataishi kwaviza kama wakitaka kufungua ubalozi kama hawatotaka utamfuata

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar День назад

      Ataishi kwaviza kama wakitaka kufungua ubalozi kama hawatotaka utamfuata

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 2 дня назад +2

    ZANZIBAR LAZIMA TUZIBITI URAIYA WETU VYENGINEVYO WATATUCHANGANYA CHANGANYA KAMA MSETO WAKATULA

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 дня назад +4

    Zanzibar si nchi kichaka cha watoro tu.

  • @Sule_Ahman
    @Sule_Ahman 2 дня назад +2

    sure 🎉

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 День назад

    Kumbe hata wenzetu wanakodisha visiwa lakini huku tukikodisha lawama
    ACT chama kutoka Tanganyika

  • @AshuraKabuma-u5u
    @AshuraKabuma-u5u 2 дня назад

    Acheni roho mbaya wazanzibari bara kila kukicha mnakuja mnajaa tu lakini hakuna mtu anayewaletea buguza mnajenga,mna maduka,mna kila kitu..... lakini wabara wakija huko mnawatenga ACHENI ROHO MBAYA NDOMANA HAMUENDELEI.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 дня назад +3

      Kwaiyo na nyie muachiwe tu muuze tamu si ndio

    • @salumhassanallymkurdistan7006
      @salumhassanallymkurdistan7006 2 дня назад

      SIYO ROHO MBAYA ZANZIBAR NI NCHI NA TANGANYIKA NI NCHI KWAHIYO KILA NCHI IZIBITI URAIYA WAKE

    • @AshuraKabuma-u5u
      @AshuraKabuma-u5u 2 дня назад

      @salumhassanallymkurdistan7006 Hivi tukisema kila nchi ithibiti raia wake hiko kisiwa si kitazama?,acheni roho mbaya wazanzibari.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 дня назад

      @@AshuraKabuma-u5u Kuhusu uwo ushoga labda fanya research tna uko bara now ndio wenyewe mbaka muonekano wa kike kabisa wanajieka

    • @LUBAINAMOHDRAJAB
      @LUBAINAMOHDRAJAB 2 дня назад

      Hujitambui