TWAKUSIFU MARIA -Ray Ufunguo |Kwaya ya Mt Malaika Mkuu Mhandu| (official video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025
  • Twakusifu Maria Mama yetu uliyebarikiwa sana mwombezi wetu nyakati zote
    Wimbo:Twakusifu Maria
    Mtunzi: Ray Ufunguo
    Waimbaji: Kwaya ya Mt Malaika Mkuu Mhandu
    Audio Pro: RAJO Pro
    Video Pro: MOZEN Pro

Комментарии • 76

  • @patriciamoses6037
    @patriciamoses6037 Год назад +5

    Mimi husikiliza huu wimbo mara mingi nikirundiarundia kabla nilale.

  • @ChristinaChrispine-rf9bl
    @ChristinaChrispine-rf9bl Год назад +2

    Kwafuraha nashangwe tumsifu mama yetu maria ameni huu wimbo unanibariki sanaaa kwaupande wangu kama unakubariki pia tusaidiane kugonga hii Alama ♥️ &👍

  • @piusmaiyo1118
    @piusmaiyo1118 5 месяцев назад

    Asante kwa kutumia talanta zenu kumsifu mungu, mungu awazidishie baraka mara Mia.

  • @MaryMushi-s6o
    @MaryMushi-s6o 7 месяцев назад

    Ongera sana mtoto wa ufunguo wimbo nzuri sana

  • @tituskivia
    @tituskivia 4 месяца назад

    ninabarikiwa sana kwa huu wimbo. na siuchoki

  • @rahimaramathani7402
    @rahimaramathani7402 10 месяцев назад +1

    Wimbo mzuri sana hongeren sana alifos uliimba vizuri sana kunywa soda nitalipa

  • @livingstonemasikonte916
    @livingstonemasikonte916 9 месяцев назад

    So so do la fa so tunakushukuru mama maria.
    Kazi tamu sana.

  • @antoniabukuku5060
    @antoniabukuku5060 Год назад

    Mmeimba vizuri sana nimewapenda sana Mungu awabariki sana❤

  • @EmanuelDanielIrro-ee5eh
    @EmanuelDanielIrro-ee5eh Год назад +1

    Ee Mama utuhurumie ❤❤Tunakupenda Mama bikira MARIA ❤❤

  • @AntoniNdea
    @AntoniNdea Год назад

    Asante tunabalikiwa tumsifu yesu kiristo na mama bikira maria

  • @FABIANNYAMBATI-pi1zd
    @FABIANNYAMBATI-pi1zd Год назад

    Hiyo feeling weeh!Hongereni wanakwaya angasha zingeni tafadhali ndiposa tumuenzi mama Maria kwa kumzaa mkombozi wa ulimwengu.

  • @mackenzienzausimon1815
    @mackenzienzausimon1815 Год назад +2

    This song is so amazing.
    May you be blessed all and may the Almighty God grant your heart's desires. Amen

  • @maronwandera576
    @maronwandera576 Год назад +1

    Ray Ufunguo never disappoints. Sweet message. Congratulations are in order.

  • @DionizKasemaPambe-kf4pf
    @DionizKasemaPambe-kf4pf Год назад

    Wimbo mzur sana

  • @benedictkilonzo9546
    @benedictkilonzo9546 Год назад +1

    This is great Ray Ufunguo.. This is wonderful.. A very sweet and spicy Marian song.

  • @Medicalstevo95th
    @Medicalstevo95th Год назад +1

    First to view

  • @MartinOmuse-s1r
    @MartinOmuse-s1r Год назад +1

    Blessed song kep it up

  • @JohnKibathi-x2z
    @JohnKibathi-x2z Год назад +1

    This choir amazing,,,,God give them everything for respecting mother Mary,,your chosen dearest mother,to take care of you.for us to live freely,,oh God bless this choir,,for beautiful such song

  • @Pinky_128
    @Pinky_128 Год назад +2

    Beautiful and blessing song and voices 👏🏼 🔥 🔥

  • @ngelixdaniels3143
    @ngelixdaniels3143 Год назад

    Naomba nota za huu wimbo Bwana Ray

  • @edwardedwardbuberwa3701
    @edwardedwardbuberwa3701 Год назад

    Hongereni wana malaika mkuu..mwanzo mzuri

  • @janemwangi605
    @janemwangi605 Год назад

    Hongereni WANAKWAYA KWA WIMBO MTAMU SANA WA mama Maria. MUNGU AENDELEE NA KUWALINDA NA KUWABALIKI AMINA

  • @LucyTitus-v1c
    @LucyTitus-v1c Год назад

    Wimbo mtamu sana wa kumsifu mama yetu Maria. Sauti za kumtoa nyoka pangoni. Hongera sana mtunzi wa huu wimbo. Mungu akubariki

  • @benedictkilonzo9546
    @benedictkilonzo9546 Год назад

    A very good artistry... I really love Marian songs... This one is at the peak!!!

  • @kipkoechambrose-ny1rh
    @kipkoechambrose-ny1rh Год назад +1

    Hongera mwalimu Ray

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 Год назад

    Asanteni sana wimbo mzuri wa kumsifu Mama yetu Maria .Mbarikiwe sana.

  • @musichealsTz
    @musichealsTz Год назад

    Mwarabu tutungie nyimbo nyingine za Mama Bikira Maria

  • @antonymuinde
    @antonymuinde Год назад

    Ray daima I like your songs God bless you all in your life ukiwa na tumaini swai and Annastacia muema

  • @EvaristoMbilinyi-d8s
    @EvaristoMbilinyi-d8s Месяц назад

    Very blessed me

  • @rwanjalah
    @rwanjalah Год назад

    Ama kweli nimeucheza wimbo huu nikirudia zaidi ya mara tano asubuhi hii. Asanteni sana wanakwaya wenzangu kwa ustadi wenu. Mungu wetu na awabariki mno leo na siku zote.

  • @KwayaYaWatakatifuWoteTMCS-Must
    @KwayaYaWatakatifuWoteTMCS-Must Год назад +2

    Kazi nzuri hongereni sana🔥🔥🔥

  • @marymkamwa3779
    @marymkamwa3779 Год назад

    So blessing thank ❤

  • @delphinnkoma5757
    @delphinnkoma5757 Год назад

    Asanteni sana watumishi wa Bwana na waana wa Mama wetu Maria 🥰

  • @catherinendunga766
    @catherinendunga766 Год назад

    Good job congrats indeed. Well Hit

  • @eugenekeragori
    @eugenekeragori Год назад

    Wimbo mtamu kweli ajabu..Asante sana bwana Ray ufunguo

    • @JamesMbafumoja
      @JamesMbafumoja 9 месяцев назад

      Asante sana kwa wimbo Mtamu huu. Hongereni kwaya

  • @gildawaithira
    @gildawaithira Год назад

    Wimbo mzuri sana kwa Mama Maria❤️❤️🎉

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 Год назад

    Mbarikiwe.sana.mungu.muumba.mbingu.na.inchi

  • @jumaanthony4938
    @jumaanthony4938 Год назад

    Kazi nzuri sana wapendwa

  • @SarahMgote-mn6lp
    @SarahMgote-mn6lp Год назад

    Nimefurahi sana wimbo huu mzuri mnoo hongereni sans

  • @VeronicaMua-te9kp
    @VeronicaMua-te9kp Год назад

    Nice song there hongereni sana

  • @alberttemba1676
    @alberttemba1676 Год назад

    Hongereni

  • @martinngala9658
    @martinngala9658 Год назад

    Good song

  • @zenicelasway
    @zenicelasway Год назад

    Nice song congratulation

  • @leahnyongesa8545
    @leahnyongesa8545 Год назад

    Mama Maria ❤...wimbo mzuri hongera mtunzi Ray na waimbaji

  • @RedentoDabalen-kb6sv
    @RedentoDabalen-kb6sv Год назад +3

    Hongereni sana wimbo mtamu wa mama Maria.Hongera sana mtunzi Ray Mungu azidi kukukirimia neema ili uzidi kumtumkia Bwana 🙏

  • @lucykaruu2291
    @lucykaruu2291 Год назад

    Nice song for Mama yetu❤

  • @poulina4007
    @poulina4007 Год назад

    Hongera

  • @hurumadanda4205
    @hurumadanda4205 Год назад

    Mbarikiwe!

  • @emmanuelkahabi1439
    @emmanuelkahabi1439 Год назад

    Mhandu on 🔥🔥🔥🔥

  • @simonmbondo5953
    @simonmbondo5953 Год назад

    Wimbo mtamu wa maria..mwenyezi Mungu aendelee kuwazindishia...naeza pata nota za huu wimbo?

  • @kelvinnyawili7971
    @kelvinnyawili7971 Год назад

    🔥🔥🔥

  • @DignaProsper-y1e
    @DignaProsper-y1e Год назад

    Singa

  • @mosesisura4350
    @mosesisura4350 Год назад

    Congratulations

  • @joycengovi2039
    @joycengovi2039 Год назад

    wow

  • @JamesMbafumoja
    @JamesMbafumoja 9 месяцев назад

  • @trynessmhagama2
    @trynessmhagama2 Год назад

    Nice song 💝❤❤

  • @DignaProsper-y1e
    @DignaProsper-y1e Год назад

    Lex sili

  • @danielmuli5372
    @danielmuli5372 Год назад

    Nice

  • @OGT456
    @OGT456 Год назад

    Wimbo mzuri

  • @johnnestory3584
    @johnnestory3584 Год назад

    💥💥💥💥

  • @johnmalibiche7454
    @johnmalibiche7454 Год назад

    Kazi nzuri na hongereni
    Tunapata wapi nota ya huu wimbo

  • @delphinnkoma5757
    @delphinnkoma5757 Год назад

    Can i get a lyrics ? pls.

  • @justuskalunge
    @justuskalunge Год назад

    Nice song in terms of melody and harmony...but lyrics...I disagree...tunafaa kusifu Mungu tu...Maria ni mwombezi wetu...tukimsifu ni kama atakuwa amechukua nafasi ya Mungu.

    • @fredkimondiu6236
      @fredkimondiu6236 Год назад +4

      Unless you are not differentiating between kuabudu na kumsifu hapo ndio mna tatizo... Kumsifu Maria Hamna tatizo kwa sababu hata Malaika wa Mungu (Angel Gabriel) alimwambia Maria kwamba amebarikiwa kuliko wanawake wote hivyo basi kumsifu Maria ni kama kumpongeza kwa Ukuu wake kuteuliwa kuwa Mama wa Mungu....
      I stand to be corrected

    • @musamabogo182
      @musamabogo182 Год назад

      @justuskalunge1 You're correct

    • @vascoaidan8648
      @vascoaidan8648 Год назад

      Anazo sifa za pekee, naye tunamtambua kwa sifa hizo. Lazima tuzisifie. Tunapozifia hizo ndo tunamsifu Maria. Labda lugha imekuchanganya. Mbona hata watu wakawaida tunawasifia juu ya jambo fulani nako ni kusifu vilevile. How far about Merry.

    • @charlessweetberth4836
      @charlessweetberth4836 9 месяцев назад

      Hii teolojia wapi brother 😂😂😂

  • @FABIANNYAMBATI-pi1zd
    @FABIANNYAMBATI-pi1zd Год назад +1

    Hiyo feeling weeh!Hongereni wanakwaya angasha zingeni tafadhali ndiposa tumuenzi mama Maria kwa kumzaa mkombozi wa ulimwengu.

  • @dokctv_dokccatholic
    @dokctv_dokccatholic Год назад

    wimbo mzuri