Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kutembelea maeneo ya bandari Unguja.
HTML-код
- Опубликовано: 6 ноя 2024
- Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, ameungana na Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari (ZPC) katika ziara maalum ya kutembelea maeneo yote ya bandari na maeneo yanayofanyika uwekezaji wa bandari Kwa upande wa Kisiwa cha Unguja.
Lengo la ziara hio ni kupata maelezo yakitaalam juu ya hatua iliyofikia Shirika katika kutatua changamoto zilizokuepo , na utekelezaji wa Miradi iliyopo.