- Видео 53
- Просмотров 74 162
Shirika la Bandari Zanzibar
Добавлен 22 июн 2022
Fuatilia Vipindi vyetu kupitia TV na Radio kupata uelewa juu ya Mafanikio ya ZPC
Fuatilia Vipindi vyetu kupitia TV na Radio kupata uelewa juu ya Mafanikio ya ZPC
Просмотров: 154
Видео
ujumbe (Delegation) ya Maofisa kutoa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) .
Просмотров 14228 дней назад
Shirika la Bandari Zanzibar lilipokea ujumbe (Delegation) ya Maofisa kutoa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) (Command and staff College)Tanzania chini ya (JWTZ) ikijumuisha maofisa kuanzia nafasi za Meja hadi Luteni Canali kutoka majeshi mbali mbali bara la Africa na Asia ikiwemo Tanzania, Kenya Uganda , Nigeria , India na Zimbabwe wakiongozwa na Canali VC Mbuzi.. Lengo la Ujumbe huo ni kufan...
ONGEZEKO LA UAGIZAJI WA MAKONTENA KUPITIA BANDARI YA MKOANI PEMBA.
Просмотров 2,3 тыс.Месяц назад
ONGEZEKO LA UAGIZAJI WA MAKONTENA KUPITIA BANDARI YA MKOANI PEMBA.
KIPINDI CHA REDIO '' LIVE'' TUMBATU KUELEZEA MUELEKEO WA SHIRIKA LA BANDARI 2024/2025.
Просмотров 602 месяца назад
KIPINDI CHA REDIO '' LIVE'' TUMBATU KUELEZEA MUELEKEO WA SHIRIKA LA BANDARI 2024/2025.
MKUTANO NA WADAU WA HUDUMA ZA BANDARI.
Просмотров 3772 месяца назад
kikao hicho kimefanyika tarehe 27/08/2024 katika ukumbi wa jengo la ZURA maisara, kimejumuisha muendeshaji wa Bandari ya Malindi (ZMT) , mwekezaji wa Bandari ya Fumba (fumba Port) wamiliki wa Meli za ndani na za kimataifa, Wakala wa Forodha , wamiliki wa Majahazi pamoja na wafanya biashara.
ZIARA YA MAKAMU WA PILI RAIS KATIKA ENEO LA UJENZI WA BANDARI YA SHUMBA PEMBA.
Просмотров 2,2 тыс.3 месяца назад
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abbdulla amefanya ziara ya ukaguzi wa eneo la Ujenzi wa Bandari ya Shumba mjini iliyopo Wilaya ya Micheweni Pemba.
SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR LIMESHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA 48 YA BIASHARA SABA SABA.
Просмотров 3713 месяца назад
Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limeshiriki kikamilifu maonesho ya 48 ya Biashara Saba Saba yanayoendelea huko jijini Dar-es-Salaam. Shirika limepata nafasi kutoa elimu kwa wananchi, wafanyabiashara, wawekezaji na watu wote kwa ujumla juu ya fursa zinazopatikana katika sekta hii ya Bandari Zanzibar. Shirika linawakaribisha wananchi kuendelea kujitokeza kwa wingi kwa kutembelea Banda la ZPC ka...
WETE PEMBA 1
Просмотров 3,6 тыс.4 месяца назад
Shirika la Bandari lina Mpango wa kuwekeza katika maboresho ya Bandari ya Wete Pemba. Maboresho ya Bandari hiyo yatajumuisha ujenzi wa Gati mpya ya meli za Abrira na mizigo pamoja na gati ya ndege za bahari na kituo cha taxi ya baharini.
Ujumbe wa wafanya Biashara Kutoka Ufaransa.
Просмотров 2,2 тыс.5 месяцев назад
Kufuatia ujio wa Wafanya biashara kutoka Ufaransa,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara hao na kuangalia fursa za kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbali mbali. Sambamba na hilo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndg, Akif Ali Khamis ameongoza Ujumbe huo wa wafanyabiashara kutoka Ufaransa na kutembele...
Mafanikio ya bandari ya Malindi kupitia muendeshaji mpya ZMT/AGL ( Mafunzo kwa wafanyakazi).
Просмотров 335 месяцев назад
Mafanikio ya bandari ya Malindi kupitia muendeshaji mpya ZMT/AGL ( Mafunzo kwa wafanyakazi).
Mkutano na waandishi wa habari kujadili maendeleo ya Bandari ya Malindi kupitia muendeshaji mpya ZMT
Просмотров 535 месяцев назад
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Dkt. Khalid Salum Mohamed, Leo siku ya Jumamosi Tarehe 11/05/2024,ameitisha mkutano na waandishi wa habari kujadili maendeleo ya Bandari ya Malindi kupitia muendeshaji mpya ZMT/AGL, na kukanusha habari potofu zinazosambaa kupitia mitandai yaki jamii kuhusu Hali ya mapato ya Bandari.
Makabidhiano ya vyeti vya kukamilisha mafunzo ya uendeshi wa vifaa vya shughuli za operesheni.
Просмотров 5476 месяцев назад
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Zanzibar amehudhuria makabidhiano ya vyeti vya kukamilisha mafunzo ya uendeshi wa vifaa vya kupakia, kushusha na kupanga Makontena katika bandari ya Malindi (Reach Stacker, Mobile Crane) inayoendeshwa na kampuni ya Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT). Jumla ya wanafunzi 41 wamepata mafunzo hayo, 18 wakiwa waajiriwa wapya na 23 walobaki ni wale waliotoka Shiri...
TAMASHA LA MICHEZO LA PASAKA KUADHIMISHA SHREHE ZA MUUNGANO
Просмотров 586 месяцев назад
Shirika la Bandari Zanzibar, walokuwa wenyeji wa Tamashala michezo Baina ya Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC)na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Tamasha hilo hufanyika Kila Mwaka kuelekea maadhimisho ya muungano. ZPC na TPA waliahidi kuendelea kushirikiano katika nyanja mbalimbali Ili kidumisha muungano.
KIkao na wadau wa Sekta ya bandari Zanzibar kujadili utekelezaji wa Mpango Mkakati
Просмотров 866 месяцев назад
Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limefanya kikao na wadau wa Sekta ya bandari Zanzibar kujadili utekelezaji wa Mpango Mkakati (Strategic Plan) wa Shirika la Bandari (2023-2026).
UZINDUZI WA VIFAA VIPYA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR.
Просмотров 3,7 тыс.6 месяцев назад
UZINDUZI WA VIFAA VIPYA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR.
Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kutembelea maeneo ya bandari Unguja.
Просмотров 6007 месяцев назад
Ziara ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kutembelea maeneo ya bandari Unguja.
UKAGUZI WA ENEO LA UJENZI WA BANDARI YA MPIGA DURI/MARHUBI
Просмотров 3,2 тыс.7 месяцев назад
UKAGUZI WA ENEO LA UJENZI WA BANDARI YA MPIGA DURI/MARHUBI
KHERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIAN (HAPPY WOMENS DAY)
Просмотров 857 месяцев назад
KHERI YA SIKU YA WANAWAKE DUNIAN (HAPPY WOMENS DAY)
Ukaguzi wa vifaa vipya vya ushushaji makontena katika bandari ya Malindi.
Просмотров 2368 месяцев назад
Ukaguzi wa vifaa vipya vya ushushaji makontena katika bandari ya Malindi.
ZIARA YA MHE. RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI BANDARI YA MALINDI, ZANZIBAR
Просмотров 9238 месяцев назад
ZIARA YA MHE. RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI BANDARI YA MALINDI, ZANZIBAR
KIPINDI MAALUM RADIO JAMII MICHEWENI (PEMBA)
Просмотров 3479 месяцев назад
KIPINDI MAALUM RADIO JAMII MICHEWENI (PEMBA)
Ushirikiano baina ya Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na Taasisi ya Tony Blair (TBI)
Просмотров 519 месяцев назад
Ushirikiano baina ya Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na Taasisi ya Tony Blair (TBI)
Uzinduzi wa uimarishaji wa Bandari ya Mkoani katika shamra Shamra za Miaka 60 ya mapinduzi.
Просмотров 11 тыс.9 месяцев назад
Uzinduzi wa uimarishaji wa Bandari ya Mkoani katika shamra Shamra za Miaka 60 ya mapinduzi.
MIAKA MITATU YA UONGOZI WA DKT. HUSSEIN ALI MWINYI
Просмотров 8 тыс.Год назад
MIAKA MITATU YA UONGOZI WA DKT. HUSSEIN ALI MWINYI
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI NA UONGOZI WA ZPC KUHUSU WADAU WA BANDARI NA MUEKEZAJI MPYA AGL/ZMT
Просмотров 80Год назад
MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI NA UONGOZI WA ZPC KUHUSU WADAU WA BANDARI NA MUEKEZAJI MPYA AGL/ZMT
Ziara ya mafunzo ya shughuli za Bandari kwa Chama cha wafanyakazi wa bandari ya Mtwara Tanzania.
Просмотров 88Год назад
Ziara ya mafunzo ya shughuli za Bandari kwa Chama cha wafanyakazi wa bandari ya Mtwara Tanzania.
Wafanyabiashara wachukue hatua za haraka kukamilisha taratibu za utoaji mizigo yao.
Просмотров 88Год назад
Wafanyabiashara wachukue hatua za haraka kukamilisha taratibu za utoaji mizigo yao.
Iwe kheri inshaa Allah.
Kila siku master plan tu
Hapana kwana wangetukinga na mvua
Unajuwa kiuhalisia haswa kw pemba bandar kuu inatakiwa iwe wete cz kumekaa vzr na mandhar ya wete km itajengwa bandar thn hile sehem ya kujia huku kwenye jahaz za fundo kuboreshwe iwe sehem ya kuogelea basi mji utarud km zaman na pemba itafunguka
Hawana lolote serikali hawana nia na Wete haswa
Wete yapigwa vita na watawala.vita vya kila aina.Mji uliokuwa na watu wengi,wataalam wengi na maendeleo,Leo limekuwa gofu.Ndiio maana vijana wengi wanakimbia kutafuta maisha.Leo vijana wa mji wa Wete hawana fursa hata ya kutumia bahari kujielimisha na kujiendeleza uzoefu wa kuogelea.Ni marufuku kuogelea bandari ya wete,wakati wenzetu kila jioni wanajifurahisha forodhani kwa kuogelea.
Apo panaitaji kujengw na sio kuboreshw mana hamn bandr apo ni aibu asa kwa tuta ilo na lile la mkoan kuita bandr
Africa magharib wanawafukuza wafaransa hao sio watu kushirikiana nao
Msituganganye hampo na ukweli huo mmeona uchaguzi upo karibu ndio mnatutamanisha tu
Ikiwa barabara ya chake/wete imechukua miaka 15,hio bandari sijui itachukua mingapi
Inshallah
Kila sku story ni izo izo
👁️👁️👂👂🤭
Mutujengee bandari ya kisasa musije kujenga km ya mkoani,tutakuja walaaani mpk kufa kwenu.
Tushukuru ikiwa watafanya angalau kama hio ya Mkoani
Ufaransa nchi zingine zunikataa etisisi
Lini mwatujengea ss
safi sana muhimu serkali yetu inapata pato, nampongeza Mh Raisi wa Zanzibar