Wete yapigwa vita na watawala.vita vya kila aina.Mji uliokuwa na watu wengi,wataalam wengi na maendeleo,Leo limekuwa gofu.Ndiio maana vijana wengi wanakimbia kutafuta maisha.Leo vijana wa mji wa Wete hawana fursa hata ya kutumia bahari kujielimisha na kujiendeleza uzoefu wa kuogelea.Ni marufuku kuogelea bandari ya wete,wakati wenzetu kila jioni wanajifurahisha forodhani kwa kuogelea.
Unajuwa kiuhalisia haswa kw pemba bandar kuu inatakiwa iwe wete cz kumekaa vzr na mandhar ya wete km itajengwa bandar thn hile sehem ya kujia huku kwenye jahaz za fundo kuboreshwe iwe sehem ya kuogelea basi mji utarud km zaman na pemba itafunguka
Iwe kheri inshaa Allah.

Kila siku master plan tu
Ikiwa barabara ya chake/wete imechukua miaka 15,hio bandari sijui itachukua mingapi
Hawana lolote serikali hawana nia na Wete haswa
Hapana kwana wangetukinga na mvua
Apo panaitaji kujengw na sio kuboreshw mana hamn bandr apo ni aibu asa kwa tuta ilo na lile la mkoan kuita bandr
Unajuwa kiuhalisia haswa kw pemba bandar kuu inatakiwa iwe wete cz kumekaa vzr na mandhar ya wete km itajengwa bandar thn hile sehem ya kujia huku kwenye jahaz za fundo kuboreshwe iwe sehem ya kuogelea basi mji utarud km zaman na pemba itafunguka
Kila sku story ni izo izo
Inshallah
Lini mwatujengea ss
Mutujengee bandari ya kisasa musije kujenga km ya mkoani,tutakuja walaaani mpk kufa kwenu.
Tushukuru ikiwa watafanya angalau kama hio ya Mkoani
Msituganganye hampo na ukweli huo mmeona uchaguzi upo karibu ndio mnatutamanisha tu
👁️👁️👂👂🤭