Nyinyi makhurafi ndio mulio potea mwasema sheke wenu Al marhum Al sharif Al bidhi alijikafini mwenyewe, sasa angalia walio potea Kati ya mawahabi na nyinyi ni Nani?
Tatizo masufi hamjui lolote kuhusu uislamu. Nyinyi na hao masheikh wenu ni vipofu. Hakuna mtu asiye na dhambi ha awe mtume saw. Malaika ndo hawana dhambi.
@@ababdsuleiman1167 kwanza ungejua maana ya dhambi, pili ujue kuna aina ya dhambi, tatu kwani wewe kila dhambi unayofanya watu wanajua? Pia rejea kusoma mwanzoni mwa sura 'ABASA. Tatizo masufi mmepindukia mipaka katika kumsifu na kumuelezea mtume wa Allah. Mmemfanya kama Mungu wakati yeye ni binadamu na kama binadamu basi ubinadamu atakuwa nao tu. Pia rejea aya mwisho katika suratul Kahf
Mashaallah
Alhamdulillah. jazakallahu khair
MAWAHABI NI MAYAHUDI
HAWAMPENDI MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM
ALLAH AWAONGOZE WAO PAMOJA NA SISI AMIN
Ww wapenda leta mizozo wajifanya Una elimu na upotofu mwingi
Nyinyi makhurafi ndio mulio potea mwasema sheke wenu Al marhum Al sharif Al bidhi alijikafini mwenyewe, sasa angalia walio potea Kati ya mawahabi na nyinyi ni Nani?
Maashallah
Na hii aya inayo sema, laysa laka min amri shaiun tizama katika sababunnuzuli nailiteremshwa kwa ajili gani
Hawana adabuu hawa mawahabi wapotoshaji mtu yuwasema mpaka wazazi wa mtume s a w wako motoni hawa mawahabi wapotoshaji
Tatizo masufi hamjui lolote kuhusu uislamu. Nyinyi na hao masheikh wenu ni vipofu. Hakuna mtu asiye na dhambi ha awe mtume saw. Malaika ndo hawana dhambi.
@@mohdkhatib223 ww ulio kua na ilimu mtume s a w Ana dhambi subhana Allah pole mungu akuongoze
@@mohdkhatib223
Sheikh wetu
Tunaomba utujulishe dhambi moja tuu la Bwana wetu kipenzi chetu Mtume wetu Muhammad swalla Allahu Alyhi wasalam
@@ababdsuleiman1167 kwanza ungejua maana ya dhambi, pili ujue kuna aina ya dhambi, tatu kwani wewe kila dhambi unayofanya watu wanajua?
Pia rejea kusoma mwanzoni mwa sura 'ABASA.
Tatizo masufi mmepindukia mipaka katika kumsifu na kumuelezea mtume wa Allah. Mmemfanya kama Mungu wakati yeye ni binadamu na kama binadamu basi ubinadamu atakuwa nao tu. Pia rejea aya mwisho katika suratul Kahf
@@mohdkhatib223 kwani ayainasema uongo?
Kwan katika Surat عبس و تولى mtume saw analaumiwa na Alla Kwa kitu Gani hebu someni nyie Masufi acheni porojo nyingi
Wewe wajua Ali zungumzi sha kwa lugha gani soma wacha maneno mingi