Kazi nzuri Sana Wana maruku! Mimi ni shabiki yenu tangu kitambo! Ujumbe mzuri, mpangilio wa sauti mzuri, utamkaji wa maneno mzuri, changamoto ninayo iona mimi ni moja tu na sio kwa kiasi kikubwa! Picha Alizififiz Sana kiasi kwamba sura ya mtu haionekani kwa uharisia wake! Yaani zinakua kama Zina yum a kidogo, utamtambua mtu kama amemzoom mmoja mmoja lakini wakikaa katika line wengi labda kama unawajua utawatambua kwa maumbo yao. Tofauti na hilo kazi nzuri Sana mbarikiwe sana
Jamani nzuri sàna. Napataje video yenu
Alto imenyooka sana
Comment yangu naomba isiguswee kazii nzurii mnoh na yenyew viwango vya juu mungu azidii kuwainua Wana maruku Ila mpga kinanda aisee🔥🔥🔥
Kazi nzuri
Amina sana wanakwaya wenzangu Mungu awabariki
Hongera sana tena sana kwa wimbo huu naomba mnisaidie namna ya kuupata wimbo huu hasa copy nimeupenda sana mbarikiwe sana🎉🎉🎉
Waitu Mayo ge ba mawe na batata Rugaba abatunge ebyo mulikwetaga. 🎉
Mtunzi bora sana
Waooooo!!!!!!!! Nzur sana nimeikumbuka kwayà yang mungu awasidie
Mko vizr Mungu awabariki
Kazi nzuri💥
Heko nyingi watumishi
Nawapenda bure mung awabariki San kazi nzurii ♥️❤️
Usafi wa picha 100%, Production audio 100%, Waimbaji 100%, Ujumbe 100% siwadai kabisa Wana maruku 🙌 wimbo Bora wa #MAY2023
Kazi nzuri Sana Wana maruku! Mimi ni shabiki yenu tangu kitambo! Ujumbe mzuri, mpangilio wa sauti mzuri, utamkaji wa maneno mzuri, changamoto ninayo iona mimi ni moja tu na sio kwa kiasi kikubwa! Picha Alizififiz Sana kiasi kwamba sura ya mtu haionekani kwa uharisia wake! Yaani zinakua kama Zina yum a kidogo, utamtambua mtu kama amemzoom mmoja mmoja lakini wakikaa katika line wengi labda kama unawajua utawatambua kwa maumbo yao. Tofauti na hilo kazi nzuri Sana mbarikiwe sana
Hongeren sana
Hongereni na endeleeni kuitangaza injili
Hongeren sana kazi nzr
Hongeleni Kwa utume mungu awabariki
Hongereni sana wanamaruku
Kazi nzuri sana sana👏👏👏hongereni Maruku Parish
hongera sana mr Richard naona unapiga kinanda ipasavyo
😊😊😊amen
Congratulations 🎉❤️