@@marykinyanjui7827 sio kila mtu mweupe ako Saudi Arabia ni msaudi kuna wa lebanon kuna wamisri kuna Morocco na hao wote hujiita wasaudi mbele ya mashaghala
Huyu ana tafuta wateja na kuingiza hizo online business, tena hapo kwa kuolewa saudi aaii na kupendwa na kila mwanume kwa hiyo boma kwani alikuwa ana patana na wao wapi ,alafu eti ulikuja na almost 19 yrs kwa hivyo ata hukuwa umefikisha 19 tuambie huyo agent alikuleta na hizo miaka
Mwangi leo umeamua story za jaba. Uyu amekam na fake story,anarobokwa tu. Leta connection za canada, USA. Bado hana maturity ety boss akambeg na akarudi nonsense
Aseme ukweli she was raped and cooperated with all the men in that family.Mwarabu huwa haheshimu even their own women sembuse mwnamke mwafrika. Halafu hiyp aim global si ni pyrumid scheme???
😮😂uliacha simu n i.d tena ulikuwa umepewa line ya Saudi n uliacha simu line ulikuwa umeweka kwa kiatu ama?ndio useme mulicommunicate ata before uingie kwa ndege
This lady is lying , she must hv slept with them all, there’s no gift for nothing from those people even from anyone, there’s something more she’s not saying ,
😅😅😅😅😅 huyu mtaita Sylvia veke mwana na mjuwa tulikuwa na yy training ruiru ubaya wake ana kuwaga muongo lakini kabeste kangu😅😅 na veli nime kutafuta hebu nitumie namba yake pliz
😂😂😂😂😂Aki Mwangi unatoanga hawa watu wapi.Na mbona anajificha sura.Akuna kitu anasema huyu.Hiyo advise apee agamate yake from 15years to 22years.Again anasema she is financially stable😂😂😂😂
Nina-sense ka-envy fulani from the comment section. But nimefurahia this lady, at least she accomplished something baada ya kutoka huko kwa mashida mengi..
Imagination 😂😂😂😂😂amka kwa ndoto my friend, ama huyu alikua akifanyia black Saudi 😂hiyo familia walikua wanataka shagala hawalip ugefanya kazi kwa hiyo hadi ujuwe wewe ni bibi ya nani😂😂😂😂😂😂😂😂
As i continue listening may i say its better you run for your dear life than engaging in this love affairs ....za warabu na vyenye naona wasichana wetu wakifanyiwa unyama 💔💔💔
What is your opinion towards this story?
😂😂😂 lies on top of lies aki hizi story zitafanya Mtu aboeke
I think you start interviewing from how they landed in saudi ...i Naona uneanzia katkat
have been to product company for long na let me tell you MAINA uko utazuguka ukufe maskini....
Hapo pa kuolewa alijidanganya.I dont think they had any serious plans for her
The story ain't flowing,... 🤣🤣🤣Kile najua gulf ni kunoma lkn vile ana peana story kuna dot's nyingi
Mwangi online business ni wezi stop giving them platform 😢
Bn anjificha ed nothing serious hpo😢😢
Huyu Ako zake akuna kitu anatwambia mbona anajificha
Chris pls leta story ziko matchured hii nini aki hii ni story ya jaba kabisa haileti shangwe😮
Guys mi acheni niskize ,,nko jaba😂😂😂kameshika ,,ati baba analeta gifts mbele ya madam wake aaah you people jok alot😅😅😂😂
Nko gulf ama nko hell😂😂
Halafu mama anatupa, siku ya kwanza uletewe hio ndio itakuwa mwisho yako weeeee
Huyu alikwa amekuja kuadvertise Aim global 😂
Wezi🤣🤣🤣🤣
According to coment section its not Worth listening too🤣🤣🤣na nimeenda mkileta story ingine mniite 🤣🤣
😂😂😂😂
Wacha Na ndio nimeanza kuskiza
Hizo ni jabbah huyu alikua anataka kuadvertise m-globo,, hatuingii uko😂😂😂
Ata mm husoma comments ndo sasa niamue kuwatch or not to .. Sasa nimeenda
😂😂😂was typing then boom nikaona hii 😅😅😅 thank you very important 😂
Aaaaiiiiiii jamani ni gulf gani sijawaii sikia story za jaba kama hizi
Uyu ata hajawai panda ndege,,awache story za miraa😅
😂😂😂😂
Ile mambo tutasikia na hawa watoto mwingine juzi kapiga police
Hii story nayo Hapana ...Hakuna mwaraabu anaweza marry mwaafrika ...........
wako bbygal mm nko gulf mdem wa kenya ameolewa but seems hawa n makadama wa kitambo bcz huyu dem sai ako na 8kids nd living happily with her husband❤❤
Story za jaba
Thank God i came to comment section first wacheni nirudi tiktok wakileta ingine nitarudi😂😂😂
Mwangi hii according to the comments section sitawatch,ukileta ingine ya team strong 💪 ntawatch
Pamoja darling
Don't the story is not making sense😂
Show us your face if your case is genuine.
Hapo kwa bibi ati anatuma mzee uwongo,
Mimi niko Saudi Dammam, lakini hii ni story ya jab,.story hata haina flow. There's no way mwarabu anaweza kubali mtoto wake aone mwafrika.
Vile wanachukia ngozi nyeusi
True
Kwenye nafanya their daughter in law ni mkenya and she have 2 kids.
@@marykinyanjui7827 sio kila mtu mweupe ako Saudi Arabia ni msaudi kuna wa lebanon kuna wamisri kuna Morocco na hao wote hujiita wasaudi mbele ya mashaghala
😂😂😂😂 mwaarabu ata na madawa hawezi kubali watoto wao waoe shaghara,,jii niuongo.again Saudi haileti under 21yrs
Acha ni cheke nki pita tu😂😂😂😂😂
Kuolewa na mharabu!anaficha uso relatives wasimuone
Huyu ana tafuta wateja na kuingiza hizo online business, tena hapo kwa kuolewa saudi aaii na kupendwa na kila mwanume kwa hiyo boma kwani alikuwa ana patana na wao wapi ,alafu eti ulikuja na almost 19 yrs kwa hivyo ata hukuwa umefikisha 19 tuambie huyo agent alikuleta na hizo miaka
Wueeh usibishane dear niloedaga Jordan na 19yrs so it might b true about the yrs ok
Jordan and Bahrain hakuna shida but Saudi ni ngumu kupelekwa na hizo miaka
Story za jaba fast 19 years huezi kuja saudi (2) kuolewa na mwarabu my dear friend ww ni x mathare aki 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Ghai ,Kenyans are daring kuenda Saudia kuolewa na mwarabu.Trauma nayo
😂😂😂😂😂Ati ex mathare....
Siz ya Daddy's girl?
Online bsn ni scam. Pyramid scheme!
Mwangi leo umeamua story za jaba.
Uyu amekam na fake story,anarobokwa tu.
Leta connection za canada, USA.
Bado hana maturity ety boss akambeg na akarudi nonsense
😂😂😂😂😂huyu na ule wa fridge kule Tuko akuna difference 😂😂pthoo watoto mnyamaze,sema ulikuja kuadvise business yako,watu si wajinga naniii 😂😂😂
Huyu msichana ni mukora kwanza uwezi enda Saudi kama ujafikisha 21 years
😂😂😂😂😂
Dio nashidwa
The Gen z generation na story za jaba😂😂😂...wewe mtoto mwenye hujui hardlife unaeza tupea advice gani
Aseme ukweli she was raped and cooperated with all the men in that family.Mwarabu huwa haheshimu even their own women sembuse mwnamke mwafrika. Halafu hiyp aim global si ni pyrumid scheme???
😮😂uliacha simu n i.d tena ulikuwa umepewa line ya Saudi n uliacha simu line ulikuwa umeweka kwa kiatu ama?ndio useme mulicommunicate ata before uingie kwa ndege
😂😂😂 story za jaba
@@Gloma479 aki mtu akienda interview kaa n story za jaba do mic testing first
😂😂😂😂😂😂 from Tanzaniia the she is confuse
I regret watching this...what a waste of time 🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Izi ni mawhat afadhali niskie woi cherop...mwangi kuwa tu serious for once
This girl is clever
Jaba😂🤣🤣
Mwangi kwa story zote umeleta hii ya leo imeboooh😂😂😂woi kaschana
This lady is lying , she must hv slept with them all, there’s no gift for nothing from those people even from anyone, there’s something more she’s not saying ,
Saudi Arabia ni kutu kwa kusema umepata opprtunity kweli? Huko ni kichinjio my sister ma kutia signature kifo yako. Waarabu ni takataka mashetani
Not this mwangi
Aky stry c ukwli😂😂😂mwarabu gani anaeza kubali ndugu yake aowe kadama😅😅😅
Eti pesa ya gulf haitoshi what a fuck mm niko gulf 3yrs now n I have dane more thing wewe mwangi tuletee stori zenye tumexoea achana na hawa
Mwangi, it doesn't add up!
Huyu amesema kuweka watu kwa system but doing what? Anaongea asif hatujakuwa part of
Ukimaliza form 4 ulikuwa already 21yrs ad above ama sielewi
😅😅😅😅😅 huyu mtaita Sylvia veke mwana na mjuwa tulikuwa na yy training ruiru ubaya wake ana kuwaga muongo lakini kabeste kangu😅😅 na veli nime kutafuta hebu nitumie namba yake pliz
Mwangi honestly hizi n nn umetuletea😒vitu ata hazina maana
Huyu kwani alikuwa saudi gani sisi hatujui .huyu ni stori aliakia zikipeanwa anaruka ruka kama chura stori hai flow yenyewe
Huyu hata hajawahi panda ndege hata hajui kupretend kudanganya
Msamalia mwema. .ulipie mtu 40k? Toka hapa
After kupitia comments nime give up😂😂😂😂hii siwezi skia,
Hata mimi sioni nikiendelea 😂
mwangi huoni ukiwaste tym yko mkora yeye anakubeba wanaaaa
Ramadhan watu huwa hawasafiri mara Hana simu mara akapewa line
Sijawatch..comments zimeniikstaza
Her own wish to get a arab hubby 😂😂😂
Comment section bana😂😂😂haina haja niskize
Comment section wamenifukuza
Sura imefichwa so you guys also don’t fall in love ovyo ovyo with her…ala! Akili mtu wangu 🌳🚬
Anapigiwa simu yet alihome Bila simu walai line Kwan mwarabu n MGANGA anajuatu no 😂😂😂😂koma😂😂😂watu tulifunguka PELEKA global yako ukoo aTUTAKII😂😂😂
😂😂😂😂😂Aki Mwangi unatoanga hawa watu wapi.Na mbona anajificha sura.Akuna kitu anasema huyu.Hiyo advise apee agamate yake from 15years to 22years.Again anasema she is financially stable😂😂😂😂
Aiii apa ni storytelling za baby class 😂
13,49imebidi nirudie tena kuskiza..Ati mwarabu kuoa mwafrica?tena saudi Araria???Hii ni story ya jaba kama wengine wanavyo Comments..
Huyu anaongea nn ama kuna gulf ingine ama amelewa
Huyu ni Patricia mwizi wa online
Hawa watu wa jaba mnawatoa wapy🤔🤔
For the first time umeleta ma what hizi
Nina-sense ka-envy fulani from the comment section. But nimefurahia this lady, at least she accomplished something baada ya kutoka huko kwa mashida mengi..
Story ya kubuniwa 😢
Imagination 😂😂😂😂😂amka kwa ndoto my friend, ama huyu alikua akifanyia black Saudi 😂hiyo familia walikua wanataka shagala hawalip ugefanya kazi kwa hiyo hadi ujuwe wewe ni bibi ya nani😂😂😂😂😂😂😂😂
Ati true caller inashow nini?
A big lier
Alienda aje na 19 years?
🤣🤣🤣🤣At 28: nimeboeka tu....
huyu n muongo tena sana utaolewaje na mwarabu kisha kulazimishwa kwan huyo mwarabu n wazimu 😂😂😂😂😂😂
😅😅. Comment section is giving i don't need to comment all my comment are here😂😂😂😂
if stry za jaba was a persson😅😅ukinunulia mafta za kujipaka na sabuni unasema ni gift lawd have mercy
As i continue listening may i say its better you run for your dear life than engaging in this love affairs ....za warabu na vyenye naona wasichana wetu wakifanyiwa unyama 💔💔💔
Aki uwongo wewe 😅😅
Waah kajaba kajaba story za jaba
huyu amekuja kuadvertise online business zake
Ametumwa kwani?
Sasa unajificha nini??Kwani atakuja kenya kukutafuta
😂😂😂😂ata ii hair style tunaijua
Huyu alikua anataka ku advirtice her bussiness tuu .Hakuna Gold ameenda huyu.
Hiki kinadaganyana kinajuficha nn
😂😂
Watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Story za Aim global ameruka kujibu swali bana! 😂
No wonder amekataa kuonyesha uso.. because she knows she is lying
Pesa ya two yrs kwa mpesa ? Yangu ilikua ya one yr ilitolewa kwa mpesa yangu , my sim card wss swapped 😢 😭 😢 😭 😢 😭
Woi pole
Pole sana
@annestaciahwangui refunded but it was not easier I travelled emergency
@rerisamba refunded but it was a process
Hii sio content
Ulikuwa na number ya Boss waaaah nko na 7 years na cjui number ya Boss
😂😂saud Arabia huwezi enda 4 21years babygirl..
🤣🤣🤣🤣The wey mwangi anaangalia huyo dem. Ako like unani beba wana aje
Story za jaba 🤣🤣🤣
Uwongo😂😂
Mm nimeingia comment section ...wacha ni scroll tu
Nko saudi saa hii criss bt aaai wee sioni kama ni kweri bt anyway
Huyu alikua ameandikwa na wapakistani ndio wanaweza kumuoa
Nimewatch 2mins nikaachana nayo..next!
Hauko serious yawa,mbona ulirudi nawalikwa wanataka kkuoa
Weeeh hizi ni story zajaba weweee 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwangi hizo ni mawhat surely
😂😂😂😂