Yohana 18:3-7 "Basi Yuda, akiisha kupokea kikosi cha askari na watumishi waliotoka kwa wakuu wa makuhani na Mafarisayo, akaenda huko na taa na mienge na silaha. Basi Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Ni nani mnayemtafuta? Wao wakamjibu, Ni Yesu Mnazareti. Yesu akawaambia, Ni mimi. Yuda naye aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao. Basi alipowaambia, Ni mimi, walirudi nyuma, wakaanguka chini. Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti"
Mi Magdalena kazmil mkazi washinyanga kahama napenda kumtumikia mungu lakini nyota yakazi imefungwa, uchumi, na afya ya watoto na ndoa naomba mungu anisaidie Sina hata ada za watoto.
31:46 this pastor is right; women have very strong and big hearts you can call her anything and she wont freak but call a man a dog then you will know. we thank God for our mothers
Ameeen 🙏🙏🙏 Yesu nenda mbele yangu unajua aja ya moyo wangu ..... Nambarikiwa kutoka kenya
Kazi Mzuri mtumxhi wa Mungu naomba hiyo neema na mm niifanye kazi ya Mungu
I'm Pauline from Kenya, working in Saudi Arabia as house girl I m Soo blessed.... Pray for me tooo npate amani kati yangu na my madam
Hello Pauline uko na shida gani na madam , Uko Saudi Arabia upande gani nikusaidie ....mim nko Saudi Arabia pia
@@ramyramy3455 hi too, nko jedah. Ni chuki na kelele za mara Kwa mara
Powerful massage .... jamani yesu enda mbele yangu much love from Kenya mtumishi
Amen mtumishi kuwa ndan ya raha sana, nabarikiwa na shuhuda zako mtumishi, Mungu aendelee kukutumia zaid na zaid
Hongera Sana mtumishi umekuwa kichaa wa Yesu...haleluya! Haleluyaa..hakika Kuna njia nyingi za kumtumikia MUNGU
mchungaji YESU Kristo akubariki...haki ushuda huu umenipeleka viwango vingine ktk kumwamini Mungu
Watching you from Kenya.we welcome you man of GOD to our nation Kenya.wachawi kibao apa...
hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah yesu kuwa mbele yangu
Ameen 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 halaleluya barikiwa mtumishi napenda ubabe wa YESU KRISTO 🙏 🙏
Pastor umenikumbusha mbali sana weldone Yesu ni kiboko ya wachawi
Nimefurahi Sana kweli yesu aliepasua Ngoma ya madogori akafanye muujiza kwangu
Ubarikiwe sana mtumishi 🎉🎉 namhitaji huyu yesu ulie nae.
Nimeyapenda sana mahubiri yako mtumishi ubarikiwe sana nimekupenda bure mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe Sana Mtumishi Wa Mungu Nikodem Nimekukumbuka Sana.
Hakika huu ushuhuda umeni bariki sana na umeongeza kitu katika maisha yangu kweli yesu kristo ni bwana wa maisha yangu. Ubarikiwe sana mtumishi
Mchungaji wangu nakupenda Sana mpendwa wangu hongera sana kwa huduma hii nzuri
Nisaidie no zake Nina shida nae
Yessss!,huu ni Ubabe wa Ki YESU aliye juu yetu ni mkuu kuliko wawo
UBARIKIWE SANA babayangu mchungaji nakuelewa San nimejifunza mengi kutoka kwako hata hukunniliko najivunia San kuwa na Yesu wetu
Nisaidie no za huyu mtumishi naomba
Jesus Christ is 🔥🔥🔥 forever to is beloved ones never deserpoint us❤ hallelujah 🙏❤ . Keep fire burning yes yes I like it pastor Naomi.
Yesu nenda mbele yangu, nakuomba
Amen nimebarikiwa sana, barikiwa Mteule!
🇰🇪 Niko Mombasa Kenya,Asifiwe yesu kristo!
Amina fridah
Mchungaji,Mungu akubali kwa ushuhuda huu.nakuomba ushuhuda ulioebdelea baada ya huu ushuhuda wa siku hii
Praise God man of God pliz nnaomba kuongea nawe ,nimepitia changamoto mingi nnatoka kenya
Yesu akutunze mtumishi wa mungu injili ipenye Kwa Kila masikio Kila mwenye pumzi
Ujumbe mzuri sana mchungaji... karibu Kenya
Barikiwa mchungaji..moyoni mwangu nina furaha Sana kwa mahubili yako
Pls nisaidie no za huyu mtumishi
Nakubari barikiwa mtu wa Mungu nimeipenda hiyo
Nakupenda Yesu nakupenda Yesu nakupenda Yesu ❤❤❤
Amen Amen, Asante Mtumishi kwa ushuhuda huu umenijenga Sana,naomba unikumbuke nimeomba Mungu Sana ili nipate ndoa, nikumbuke ili nipate ubavu wangu.
God bless you pastor for this powerful message 🙏
⁷⁷⁶⁷yyy you ⁷😮 ya ç
Amen sana mtumishi naomba namba Yako mchungaj
Am jael from kenya nilikuwa nimeaply mambo na Saudi Naomba uniombee milangoi funguke na mungu akubariki
Eee Yesu naomba utende muujiza ktkt ya familia yangu ili niendelee kukujua wewe na niwe mbabe aliyejaa nguvu ya Yesu
Ubarikiwe sana mchungaji
Oooh haleluya nampenda sana huyu YESU vita yake hakuna aliye shinda Oooh haleluya YESU KRISTO ni BWANA na MFALME
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Ameeen, mchungaji Mungu akubariki sana.
Fireeeeeee! Wapigwe hao kwa jina la Yesu
Amen 🙏
Hii imebariki Sana...MChungaji uinuliwe Zaidi
Amen wapigwe na radi wachawi wote
😂😂😂😂😂, Ameeeeeen, wapigwe radi
So powerful am so blessed man of God be blessed too more and more
Asante Bwana Yesu kwa nguvu zako za kipekee.
Kwenda pangani you have be so annointed asante Yesu
Amina
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 fast day and fast time am blessed and I feel anointing, man of God be blessed
Wooo ,Iko sawa from kenya
Yesu nenda mbele yangu, Mungu akutunze Mtumishi
Mtu wa mungu tunamhitaji huku kwetu same mashariki
I am so blessed and it is my first time I tap this anointing in Jesus Christ Name Amen Amen Amen
Mungu akubariki
Amen mchungaji mungu abaki kuwa mungu,,🙏🙏
Eee Yesu karibu kwangu ukatende muujiza ndan ya familia yangu
Amen amen nyumbayangu haitaguswa na wachawi
Ubarikiwe chombo Cha Bwana injili imenona haswa
Ubarikiwe saaaaaaaaa na mtumish
Amen powerfully jamani Yesu ni mzuri
Jamani wapendwa mwemye no za huyu mtumishi naziomba
Mungu azidi kukutumia kama chombo chake
Yeesss 🔥🔥🔥🔥🔥
Glory to God Jesus bless me Be blessed Paster
Hakika yesu ni mzuri sana
Amen Mungu akitangulia hakuna jambo linatushinda
Baba nakusikiliza nipo hapa kagera karagwe kayanga.amakweli waliomjua mungu wanayo faraja
Welcome to Kenya. Mtumishi.
Amen amen napokea kwa jina la yesu
Mchungaji tume barikiwa na wi mpya
Tumebarikiwa na wimbo mpya
Amina yesu safisha njia yangu
Hakuna yawzekanaaaaaaa Mungu atukuzwe . Ameeen.
Yohana 18:3-7
"Basi Yuda, akiisha kupokea kikosi cha askari na watumishi waliotoka kwa wakuu wa makuhani na Mafarisayo, akaenda huko na taa na mienge na silaha. Basi Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Ni nani mnayemtafuta? Wao wakamjibu, Ni Yesu Mnazareti. Yesu akawaambia, Ni mimi. Yuda naye aliyemsaliti alikuwa amesimama pamoja nao. Basi alipowaambia, Ni mimi, walirudi nyuma, wakaanguka chini. Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti"
Amen
Mungu aende mbele yangu
Yesu nenda mbele yangu ameeen
Hallelujah ❤Thank you Jesus
Naomba mawasiliano ya mchungaji huyu nateseka jamani 😂😂
Yesu Tosha ❤
Amen 👏👏👏God bless you pastor 👏👏 that's the presence of God, acha Mungu azdi kukuinua juu, 🙏🏾
Mi Magdalena kazmil mkazi washinyanga kahama napenda kumtumikia mungu lakini nyota yakazi imefungwa, uchumi, na afya ya watoto na ndoa naomba mungu anisaidie Sina hata ada za watoto.
31:46 this pastor is right; women have very strong and big hearts you can call her anything and she wont freak but call a man a dog then you will know. we thank God for our mothers
Mutumishi mungu akubariki sana
This is so powerful,... Amen be Blessed... I love the power of God
Amen mutumishi wa mungu karibu kenya 🇰🇪 🙏
Yesu uinuliwe haleluya haleluya
Matendo makuu ya Mungu ni 🔥
Ameeeeeeeeeeee yesu wewe ni mzuri sana
Mtumishi karibu mwanza umeniinua sana Leo kiimani
Bwana yesu nitangulie katika shida zangu zote
Jamani karibu kenya 🇰🇪 mtumishi huwa unanibariki sana.
Karibu mombasa
Triza mweng'e Watching from Saudi Arabia
Yesu awe radi yangu
Haleluya haleluya yesu nenda mbele yangu 🙏
Damaris, moto moto......wachawi akufe...
Ubarikiweee sana
Yesu nenda mbele yangu
Yesu wetu ni mkuu sanaaaa!!
Mchungaji yesu WAKO namwamini namwitaji SANAA. Nimekuwa nikimtafuta SANAA. Ila nimeambulia vingine. Yamkini huyo atakuwa ndiyo
Yesu enda mbele yangu
Nenda mbele yangu Yesu mwana wa Mungu.
Mungu apewe sifa
Mtumishi wa mungu niombee madeni yaishe yamenichokesha
Baba nitendee wewe ni Mungu wa wajane miyujiza unatenda karibu kenya
Big up keep it up ,MAN OF GOD !!!
Hallelujah, Bwana nenda mbele yangu wanaonichezea ni wengi
Aaaaaamen Yesu
Nipo Egypt Sema Mtumishi
Amen..yesu enda mbele yangu
Sawa kabisa YESU hapingiki na kitu chochote