MWANASHERIA WA FIFA AISHANGAA YANGA KUSHITAKIWA NA MAGOMA NA TAASISI HAIJUI!! AMEONA MAPUNGUFU YAO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 сен 2024

Комментарии • 40

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Месяц назад

    Kazi ipo

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 Месяц назад

    Kenya nchi ilitolewa katika mashindano ya mpira kwa muda wa mwaka basda ya kuingilia viongozi bila kushirikisha taasisi zz mpira

  • @MagehemaGodfrey
    @MagehemaGodfrey Месяц назад

    Amesema lazima yanga walitumiwa barua ya witoma kimahaka

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 Месяц назад

    Tuache ushabiki kesi kwa mpira wa miguu ni mbaya sana na hairuhusiwi timu inaweza kufungiwa mpira hautakiwi kupelekwa mahakamani moira una mahali pake pakushitaki Tff Caf Fifa baraza la mpira Tznzania siyo mahakamani

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 Месяц назад

    Mwanasheria nijuavyo mimi mpira haupelekwi mahakamani hiyo imekuaje najua ibara ya 64 inasema timu ikipelekwa mahakamani haitashiriki ligi wala mechi za kimataifa sasa haya mambo yakoje

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Месяц назад +4

    Adamu mbona huelewi nikwamba mgawanyo wa madaraka pawepo anayoshughulika kesi za kilabu, pawepo anayeshughulikia usajili na kadhalika bimaana wakati magoma anafungua kesi muhusika idara hiyo angeshughulikia hata isingefika huko. Umenielewa umemuelewa alichokisema mwanasheria wa FIFA?

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 Месяц назад

    JE HAKI YA KUKABIDHIWA TIMU INATOKA WAPI AU MAHAKAMA INA UWEZO YA KUMPA MTU KITU INAYOMTAKA

  • @hamidulingamba9252
    @hamidulingamba9252 Месяц назад

    Kikubwa kwenye taasisi yetu eneo la Sheria tunapokuwa na kesi tunazidiwa hivyo naomba uongozi kufanya maboresho makubwa kwa kumpata mwanasheria mwingine ambaye ataweza kukabili kesi zetu zinapojitikeza kuliko Hali hii inayoendelea sasa hata magoma anapata nguvu ya kutusumbua kisheria

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 Месяц назад +2

    Hivyo vibabu viwili vimetuletea nuksi kweli.

  • @user-bb8de4bl5n
    @user-bb8de4bl5n Месяц назад

    Mtangazaji ni Yanga ila wakili ni msomi sana namkubali

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 Месяц назад

    Mtu kuichafua brand sio jipya ila mtu akiichafua brand na akafanikiwa ndio tatizo. Sasa unavyoona wenye yanga yao si wanaendelea na ratiba zao. Au kuna kilichobadilika.

  • @deograsiassteven9262
    @deograsiassteven9262 Месяц назад

    Huyu sio mwanasheria

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 Месяц назад

    Dawa ya magoma na mwaipopo tunaijua sisi wanayanga itakua ni fundisho kwa wazee wengine waliobaki tutakata kelele zao

  • @richardmwita8535
    @richardmwita8535 Месяц назад

    Kama mnaona haiwezekani Yanga kutokujua kama inashitakiwa na nyie vyombo vya habari mlishindwa kuripoti kesi hiyo tangu mwaka jana, mmesubiri mtu mmoja avujishe taarifa hii ndio kila mmoja anaona mwanasheria wa Yanga hajui kazi yake, hata hivyo Magoma tangu siku ya kwanza alisema hajaishitaki Yanga na uongozi wake bali ni bodi ya wadhamini na akainisha majina yao.

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr Месяц назад

    MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI ANATAKIWA APIGE MARUFUKU MAMBO YA SOKA KUPELEKWA MAHAKAMANI HII NI AINA YA UJINGA WA AJABU SANA

  • @salukisendi9333
    @salukisendi9333 Месяц назад

    YANGA WANAMWANASHERIA KILAZA SANA..HATA ALIVYOKUWA ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARINALIKUWA.ANAONGEA KWA MIHEMUKO NA KIMUHUKUMU MAGOMA KUWA AMEFANYA FOJARI.BILA KUWA UTHIBITISHO MAHAKAMA NDO INAWEZA.KUTHIBITISHA HILO WALA.SIYOMYY

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 Месяц назад

    Hata sisi mashabiki tulioko mtaani hatujuwi hiyo kesi sembuse viongozi walioko bize na kazi. Na kwenda mahakamani bila kupata wito halali sidhani kama ni utaratibu mzuri. Mnaongea nadharia tu hapo museme yaliyopo hayo mengine tutayajua baadae.

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Месяц назад

    Herse fukuza yule mwanasheria uchwara mchukue huyu Mwamba. Kila siku tunapigwa. Kwa Morrison tulipigwa.

  • @jumaomary3452
    @jumaomary3452 Месяц назад

    Huyu sasa ndio mwanasheria sio wa madeni fc

  • @mosesmulashani5124
    @mosesmulashani5124 Месяц назад +3

    Brother huyu anaijua Sheria kweli?

    • @adamlubawa1281
      @adamlubawa1281 Месяц назад +1

      Huyu yeye anabwabwaja tu haongei Sheria inasemaje

    • @195941233
      @195941233 Месяц назад

      Kama ni Mwanasheria basi bila shaka anaijua Sheria.

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 Месяц назад

    Ingelikuwa kesi ipo TFF sawa

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 Месяц назад

    YANGA KUBWA
    INAHITAJI WANASHERIA WAKUBWA. UWEKEZAJI MKUBWA ULIOFANYIKA, UNADAI KITENGO CHA SHERIA KILICHO IMARA,KIUWEZO,KIUZOEFU NA EXPOSURE PIA. Kitengo kilichopo hakiendani na ukubwa wa yanga wa sasa. Bila kuoneana aibu kwa maslahi mapana ya yanga, wanasheria waliopo hawatufai

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 Месяц назад

    Kama tulivyo na uhaba wa wanahabari nchi hii vivyo hivyo tuna uhaba wa wanasheria makini. Wengi wao ni makanjanja tu. Tazama tumavyopigwa kwenye mikataba. Kina Magoma wamepata publicity kitokana na mapungufu ya kisheria. Yanga ni Taasisi (Institution) inayojulokana kimataifa, inaruhusuje vilaza kama Magoma kuhatarisha Brand yake? Mimi nafikiri Katiba yao ina mapungufu makubwa. Na huyo mbobezi wetu mbona anajitafuna tafuna? Atuambie bayana Yanga wamehukumiwa kihalali? Kwa Magoma kwenda mahakamani wakati TFF ipo, ni sahihi? Hao kina Mama-Karume wame-affidave kuhusu uhalali wa signatures zao?

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Месяц назад

    Unaongea sana kuliko mwanasheria

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Месяц назад

    Nanayehoji na anayehojiwa wote wanaongelea na kuogelea kstika udhanifu. Sijapata hoja yenye mantiki. Ujinga kuonakwamba hapa kuna "one man show"! Kukalia "terminology" hazisaidii bila kuwa umefanyia utafiti wa kiutosha katika mada husika ni upuuzi mtupu!

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h Месяц назад

    Ana miaka 4 hajawa mwanachama siyo miaka miwili.

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Месяц назад

    Yanga wawe walikuwa hawajui au wanajua kesi hiyo haiwahusu Yanga. Ikionekana aliyefungua muhuni hana mamlaka hayo itafia hapo. Na hiyo itamfunga huyo mzee.

    • @chancelorharubu2731
      @chancelorharubu2731 Месяц назад

      Ivi ummuelewa mzee,yeye nachodai ni katiba hikosawaa,hana shida na watu wla hajamshtaki mtu,shid yake ni katiba iwekwe sawa tu basii

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Месяц назад

      HUJUI SHERIA.POLE

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA Месяц назад

    NINACHOJIULIZA ni kwamba najua MAGOMA SIO MWANASHERIA hata kwa ngazi ya cheti sasa KAWANINI AMEKUWA MAARUFU KISHERIA KULIKO MWANASHERIA WA YANGA NA KUUMIZA KICHWA SHERIA ZA KLABU YA YANGA?

  • @user-pt1pk9iv9v
    @user-pt1pk9iv9v Месяц назад

    Wacheni dawa iwaingie nyie ngogwe

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Месяц назад

    Huyu mwanasheria ni kolo hivi unaweza kwenda mahakamani tu bila wito? Au ukasikia mtaani kwamba unashitakiwa,ukaamua kwenda mahakamani,ukifika pale utasema nimesikia nashitakiwa hapa? Mimi mnanichanganya

    • @fadhilamos1094
      @fadhilamos1094 Месяц назад

      Ameelezea mahakama namna ya kumpa taarifa mtuhumiwa au tasisi ili afike mahakamani,kwa samasi na publication.hajasema vibaya acha mihemuko alichosema pia yeye kwa klabu kama yangu haamini kwamba mahakama haikuwapa taarifa ya kufika mahakaman

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j Месяц назад

    yeye ahamini kama yanga awajui anamahanisha hata mama karume sio mkweli ameongopa kusema ajausishwa kwatafasiliya huyo mwanashelia wako ndugu mtangazaji ifikike sehemu tukubali kinachosemwa na wausika na si kiakili zetu tuache tuone tuachekujua sana kesi inawezakua Kuna ukweli na unaweza kua na udanganyifu tusiamini kiakili yetu mpaka iuzishe pande zote

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 Месяц назад

    Sasa labda nimuulize mwanasheria
    Hivi kila siku mwanasheria wa Yanga awe anaenda mahakamani kujua kuwakuna kesi ya Yanga

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Месяц назад

      MFUATE OFISINI KWAKE KAMA UNATAKA KWELI JIBU ZURI