BWANA ALIWAAMBIA MITUME - Kwaya Kuu ya Mt.Yosefu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 28

  • @liliankwizera8546
    @liliankwizera8546 4 года назад +7

    Jesus Christ,never thought nitazisikia tena hizi nyimbo! Reminds me of my childhood going to Church with my Late Daddy🙏

  • @dianakitika
    @dianakitika Месяц назад

    Kazi safi sana uimbaji uliotukuka🙏

  • @PeterMsanzya
    @PeterMsanzya 9 месяцев назад

    Nabalikiwa kila ninapo sikiliza nyimbo hizi mungu watie nguvu

  • @fabianmghanga4092
    @fabianmghanga4092 Год назад

    Just like the original version. Hongereni sana

  • @benswai8099
    @benswai8099 3 года назад +3

    Asanteni sana St. Joseph's Cathedral. Binafsi ni shabiki mkubwa sana wa music wenu. Hakika mnaimba kwa style inayokubalika kikatiliki. Hongereni sana

  • @rosechenga6515
    @rosechenga6515 3 года назад

    Nabarikiwa sana nikisikiliza huu wimbo

  • @fabianmabano8400
    @fabianmabano8400 4 года назад

    JAMANI MMEIMBA VIZURI.HONGERENI SANA.TUPENI NYINGINE .MMEPENDEZA NA BABA YETU.KEEP IT UP...MBARIKIWE SANA.MLIIMBA VIZURI.TUNATUMAINI PIA MLISALI VIZURI.HONGERENI HONGERENI SANA.

  • @ezekieltembo6915
    @ezekieltembo6915 3 года назад +1

    Kwa kweli Fr.G.Kayetta, Simya, Padri Ntapambata, Malema, Leonard Teza Mwanampempo na wengine wengi wa nyakati zile nyinyi ni manju wa muziki Katoliki ambao nina imani mpaka huko mbinguni mtakuwa na kazi njema ya kumburudisha Mungu katika Ufalme na enZi yake takatifu

  • @ericangao2243
    @ericangao2243 4 года назад +1

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzito kwa wakati

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 2 года назад

    Nice song congratulations.

  • @leonardleoni5427
    @leonardleoni5427 4 года назад

    Nimebarikiwa na wimbo huu jmapili hii ya misioni

  • @beatusidama6233
    @beatusidama6233 4 года назад +1

    Safi sana.
    Tungo bora, uimbaji bora, uwasilishaji bora

    • @saintjosephcathedralchoird3769
      @saintjosephcathedralchoird3769  4 года назад

      Ahsante Sana
      Endelea kutushauri katika mwanzo huu,ili tusipotee tuendako

    • @josephadolph605
      @josephadolph605 4 года назад +1

      Hizi ndo nyimbo bora katika litrujia utunzi mzuri na melody safi kabisa

    • @saintjosephcathedralchoird3769
      @saintjosephcathedralchoird3769  4 года назад +1

      @@josephadolph605 Hakika Mungu ambariki mtunzi wa huu wimbo
      Endelea kutembelea hii Chanel yetu
      Usisahau ku subscribe

    • @josephadolph605
      @josephadolph605 4 года назад +1

      Tuko pamoja na Tuendelee kumtukuza Mungu bila kusita

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 года назад

      @@saintjosephcathedralchoird3769 Abarikiwe S. J. Simya mtunzi wa huu wimbo na waimbaji wote katika utumishi wa bwana

  • @ezekieltembo6915
    @ezekieltembo6915 3 года назад

    Nakumbuka Jimbo Kuu la Sumbawanga mtunzi na mpiga kinanda mashururi wa RC aliyetunga wimbo huo mjomba wangu SIMYA kwa kweli Original yake pamoja na ule wimbo wa Umeniita Bwana Nipokee, Nimeitika wito niwe mtumishi wako milele ambazo alitunga pamoja na huu, jaribu ku search UMENIITA BWANA utaona umahiri wa mtunzi huyu.

  • @Amatha_K
    @Amatha_K Год назад

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ezekieltembo6915
    @ezekieltembo6915 3 года назад +8

    Wakati huo niko Sumbawanga nilikozaliwa nyumba yetu ikiwa pembezoni mwa Donatus J. Simya, (mjomba) wimbo huu pamoja na nyingine nzuri zilitungwa na kurekodiwa kwa ufadhili wa Baba Askofu Karolo Msakila na kuimbwa kwa mara ya kwanza katika Kanisa kuu la Sumbawanga la Jimbo miaka ya sabini na nane au na tisa, pamoja na Umeniita Bwana nipokee,(mtunzi na mpiga kinanda wake SJ SIMYA) zimekuja kurudiwa na Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph) mwaka wa Kihistoria kwani tangu dunia hii iumbwe Papa wa Kanisa Katoliki alikuwa hajawahi kukanyaga ardhi ya Tanzania ila mwaka huo alipofika PAPA JOHN PAUL wa kwanza aliyekaribishwa na RAIS ALLY HASSAN MWINYI na kulakiwa pamoja na Kardinali wa kwanza kabisa mweusi kutoka Bara la Afrika Hayati Muadhama Kardinali Laurean Rugambwa ndipo wimbo huo uliporudiwa....

    • @fabianmghanga4092
      @fabianmghanga4092 Год назад

      Asante sana kwa kumbukumbu nzuri. Umenikumbusha nikiwa darasa la saba mwaka aliofika Papa nchini.

    • @msangibongimichael6209
      @msangibongimichael6209 20 дней назад

      Daah mpaka nimetanani Kama ningekuwa nishazaliwa mwaka huo