#TBC1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 14

  • @GodfreyMabeja
    @GodfreyMabeja 4 месяца назад +3

    Noma san

  • @jimogelelameck3244
    @jimogelelameck3244 2 месяца назад +1

    Ni mbegu gan kwa maeneo yetu ya hapa simiyu

  • @congolese-w2n
    @congolese-w2n 4 месяца назад +1

    Hizo dawa za palizi ni hatari sana kwa maisha kibinadamu , zina pigwa marufuku ichi nyingi sana

  • @shebbyelphonce8514
    @shebbyelphonce8514 28 дней назад

    Mwandishi uko vizur kwa maswali yako hasa pale ulipouliza technically question sumu ina kiambata gani ,kilimo ni kizur sanaaa East West seed mna wataalam wazur sana mna nimefatilia at kwa mrisho mpoto wanamsaidia haswaaa

  • @bilid4128
    @bilid4128 5 месяцев назад +1

    Hizo Dawa za kuua magugu zina madhara kwa Binadamu ! Kuna baadhi ya nchi wamezikataza banned

  • @jimogelelameck3244
    @jimogelelameck3244 2 месяца назад

    Nipo simiyu naomba mawasiliano

  • @MjuleEdward
    @MjuleEdward 4 месяца назад

    Tunawekaje mbolea kwenye vitunguu

  • @AthumaniAhamadi
    @AthumaniAhamadi 5 месяцев назад +1

    Naomba mawasiliano afisa kilimo

  • @congolese-w2n
    @congolese-w2n 4 месяца назад

    Swali kwa wa dau , ni sahihi kulima vitunguu kipindi cha nvuwa ?

  • @ramadhanabas4455
    @ramadhanabas4455 5 месяцев назад

    Mbona naona vitunguu vingi? Kwa nini unasema kilimo cha kitunguu badala ya kilimo cha vitunguu?