MUNGU HAMSHUKIA MKE WA MADELEKA UNABII WATIKISA TANZANIA ANGUKO LA VIONGOZI AWATAJA HAPA 2025 DAMU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 май 2024
  • #trending MUNGU HAMSHUKIA MKE WA MADELEKA UNABII WATIKISA TANZANIA ANGUKO LA VIONGOZI AWATAJA HAPA 2025 DAMU.

Комментарии • 578

  • @djumakadege659
    @djumakadege659 28 дней назад +21

    😂😂😂😂😂 Nchii hii ina Mambo!!
    MwenyeziMungu atunusuru na matamanio ya watu wabaya.

  • @t.jsaidia2047
    @t.jsaidia2047 28 дней назад +10

    Hongera MamaJamira.Tumekuelewa ❤

  • @jifunzekuhusuwewe7475
    @jifunzekuhusuwewe7475 28 дней назад +19

    Maneno ya Mungu huwa sipingi- Nimekuelewa mama na si wote wanaweza kukuelewa

  • @mkubwa2769
    @mkubwa2769 27 дней назад +2

    JE ULIPOMUONA MUNGU ALIKUWA AMEVAA SUTI AU KANZU? TUAMBIE BIBIE

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 23 дня назад +1

    MUNGU AKUBARIKI SANAAA.

  • @pastorysent6586
    @pastorysent6586 28 дней назад +15

    Ubarikiwe sana mama Peter Madereka❤

    • @annethmmari
      @annethmmari 22 дня назад

      Be blessed my dear🙏🙏

  • @shimoranyamusagori7356
    @shimoranyamusagori7356 22 дня назад +1

    Nimekuelewa! unapo wasilisha unabii kwa ujasiri! Usiogope kwa kuwa kama MUNGU, ndie amekutuma, wewe ni chombo tu, hupaswi kujishusha kwa kuhofia watu. MUNGU, akutie nguvu utoke kudhani wewe ndie unazungumza. Yohan 14:19-20. Amen.

  • @user-hp2ix5wp6i
    @user-hp2ix5wp6i 28 дней назад +8

    Nakubaliana nawewe saaana mungu na akubariki sana

  • @user-hl8gf5rx8i
    @user-hl8gf5rx8i 28 дней назад +11

    Ubalikiwe sana mama.

  • @rodenmgata4927
    @rodenmgata4927 23 дня назад +3

    Jaman mie nakumbuka saana lema alitoa unabii wake wenye zalau walizaliu usimzalau usie mjua mama endelea na kaz ya mungu usiogope wenye zarau na kejel mungu akubalik

  • @Marjeby
    @Marjeby 22 дня назад +1

    Leo nimejua akili za Madeleka chanzo cheke ni wapi!aiseeee

  • @genescosmas432
    @genescosmas432 25 дней назад +2

    😂😂😂😂 daaaah hi nchi

  • @user-wl6zs4sf5p
    @user-wl6zs4sf5p 27 дней назад +2

    Lisemwalo lipo kama alipo laja

  • @charlesngovi3802
    @charlesngovi3802 28 дней назад +2

    Mimi Enny nampenda yesu kwahili 😮😮😮😮😮 ngoja nifunge kwanza

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 23 дня назад +2

    Wanaosema kachizika au laah!!kuweni makini saana kwani hakuna mwenye uhakika.mambo mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo ili kujiepusha na laana au mabalaa usiyoyajua.binafsi sielewi lakini mm ni nani mpaka nipinge?tulishaambiwa kuna mbegu zilizopo dunia ambazo vyakula vyake vitakuwa na vichocheo vya hormone za kike kwa wanaume.mm ni nani hata nipinge?

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 28 дней назад +12

    Nibora kuamini kuliko kutokuamini. Mungu atusamehe Sana.

  • @championalways192
    @championalways192 24 дня назад +2

    Naomba namba ya huyu mama

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 27 дней назад +3

    Yesu alikuja kwa ajiri ya watu wenye dhambi sio wema. Kwa hiyo Makonda anafanya vizuri ila mama lala uendelee kuota ndoto mbaya

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 28 дней назад +15

    Mwenye masikio,naasikie maneno haya ambayo Mungu awaambia wanadamu,Mungu huwajulisha awapendao

    • @d15355
      @d15355 27 дней назад

      hamna mungu nyie mnaabudu mizimu tu na sisi hatuwezi kusikilza maneno ya mizimu ya kishetani maana ni roho chafu na ni dhambi, malaika ambae ni nabii mwanamke kichwa wazi hapo alipo anatembea na janaba halafu useme katokewa na mungu

  • @abubakarmakoy2420
    @abubakarmakoy2420 23 дня назад +4

    Wanaopaswa kudhibiti viwatilifu vyenye madhara ni TBS siyo Hussein Bashe.

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 23 дня назад +2

    Mungu hapendi uonevu Mama naamini upo sahihi

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 24 дня назад +2

    Usipo amini je akiwa ni Mungu utafanyaje

  • @user-dc7kf7np3l
    @user-dc7kf7np3l 28 дней назад +4

    😂😂😂Tanzania sihami😅 Mambo ni Mengi muda Hautoshi, Tutaondoka tumechoka SAANA 😂😂😂😂

  • @RosemaryMigire
    @RosemaryMigire 26 дней назад +1

    Mwenye sikio na asikie. BABA utusamehe na kuturehemu. Tanzania tembea na Neema ya MUNGU. Asante mama. Iko siku watakujua na kukupa heshima yako.

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi 28 дней назад +2

    mungu.tusaidie wakuelewa wataelewa hana kichaa huyu ni maono ya mungu watu kama hawa wapo wachache sana

  • @estambuya3901
    @estambuya3901 27 дней назад +2

    Nauona ukweli ndani ya huyu mama.

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 23 дня назад +2

    Amini Kama unahami,na Kama hauamini Basi, Basi,ipo siku hutamini,na mawazo ya mtu yoyote yule yaheshimike,

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 28 дней назад +2

    Umeongea ukweli.wanaipinga semen wenu.yeue ajapinda mtu katazarisha watu.

  • @ericamwkyokile4681
    @ericamwkyokile4681 24 дня назад +2

    Mungu tusaidie watoto wako.vyema kuomba na sio kupinga haya.

  • @yustusmalende9263
    @yustusmalende9263 28 дней назад +2

    😅😅😅😅😅😅daah

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 24 дня назад +1

    Hahahajajaaaaaaaaa jamani nchi hii inamambo jamani imevamiwa

  • @marcomayalla5138
    @marcomayalla5138 24 дня назад +2

    Mi dijakuelewa kabisa hatakidogo

  • @hellenmhina8461
    @hellenmhina8461 28 дней назад +13

    YESU KRISTO ni Bwana na mwokozi,.

  • @mkubwa2769
    @mkubwa2769 27 дней назад +5

    😅 kachizika mchana kweupeee anaongea mambo yanayomsumbua kichwani

  • @isaacthomas7888
    @isaacthomas7888 27 дней назад +6

    Wee siyo mzima,unamatatizo ya Akili..kama sivyo basi umeumizwa unasema yaliyo moyoni mwako nasi ya Mungu

    • @susanraphael5894
      @susanraphael5894 23 дня назад

      Uwiii 😂😂😂😂 dah Mungu tusamee

    • @TumtukuzeMbise
      @TumtukuzeMbise 21 день назад

      Mama MUNGU Kulinde najua Kuna watu hawataelewa hujumbe huu walee waovu

  • @hamissnjumba302
    @hamissnjumba302 24 дня назад +1

    eme peleka huko

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 27 дней назад +3

    Kesho utapewa unabii wa kimwacha madereka ili umtmikie MUNGU vizuri 🤔

  • @-online5update
    @-online5update 28 дней назад +6

    Ivi sis waafrica alituloga nan😂😂😂😂😂Booh jaman tushakua kama machizi

    • @Don_Will.i.am07
      @Don_Will.i.am07 27 дней назад

      Acha tu MTZ mwenzangu maana daaah

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 24 дня назад

      Afya ya akili ni changamoto inayoongezeka kadri siku zinavyokwenda

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 23 дня назад

      Wakija wataalamu watamwa access watajua shida inaanzia wapi huyu aliyekuwa Afisa w Uhamiaji

  • @hassankidilikia5566
    @hassankidilikia5566 28 дней назад +3

    Na Hubarikiwe Amina

    • @d15355
      @d15355 27 дней назад

      hujielewi wewe muabudu mizimu mungu gani anayeijua neno democrasia mungu anaemjua DJ Mbowe si hatari hii

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 24 дня назад +2

    Hiyo kweli ni MEDITATION

  • @ayubujoel
    @ayubujoel 28 дней назад +3

    Mama ume Nena mungu akulinde

  • @issasheikh2270
    @issasheikh2270 28 дней назад +2

    Yn Mungu amekuja kukufunulia kuhusu siasa t 😂😂 haka kabibi tena kanasema ni chosen one😂😂😂

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 17 дней назад

    Mungu atutimizie bila kuwaumiza wenye lengo jema na nchi yetu

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 28 дней назад +5

    Mmmh ivi Madeleka si yule.......na huyu ndiye Mke wale au? Kwaiyo watu siku hizi wanajitengenezea movie ndani.Ha ha ha ha..Mama tafuta kazi ingine..Hatuna Mungu wa Siasa.....hiyo movie mmetengenezea chumbani..

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 27 дней назад +2

    Mangu akuinue

  • @Don_Will.i.am07
    @Don_Will.i.am07 27 дней назад +1

    Ibrahim TZ 😂😂😂😂 jamani. Hiv mazombi yana exist kweli? .Mwenyezi Mungu na siasa wapi na wapi? Yan huyu angekuwa enzi za Ibrahim tumpiga vitofa 😅😅😅😅

  • @GilesKhamis
    @GilesKhamis 28 дней назад +3

    Mungu wa mbinguni anataka watu wote waokolewe, na KAZI ya Mhubiri ni kuhubiri wema na waovu ili wote wafikilie au wafikilie toba na wapate uzima wa milele. Kusema Mkuu wa Mkowa wa Arusha Makonda amekumbatia vijana

  • @omarikhalfan1079
    @omarikhalfan1079 24 дня назад +1

    Wewe ni malaika?😂😂

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 24 дня назад +1

    Uko sawa mama nimekuelewa sana mama na mungu akubariki meaeg imefika

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 28 дней назад +2

    Zombiz 😂😂😂😂 devils mamangu umepigwaa vita Mungu amlinde amiri jeshi mkuu wa Tanzania🇹🇿

  • @paschalpaschal9261
    @paschalpaschal9261 26 дней назад

    Wewe muongo sana, acha swaga

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 20 дней назад

    Mungu aponye Tanzania , Kenya damu imemwagika sana nahofia TZ mlindwe na Mungu

  • @user-uf8lx3wm3e
    @user-uf8lx3wm3e 27 дней назад +2

    Kweli Duniani kuna mambo vituko kila uchwao Acha kuleta ramli chonganishi itabidi uhojiwe vizuri Polisi wamewataja watu kwa majina yao

  • @raphaelkatanga5335
    @raphaelkatanga5335 28 дней назад +2

    Kwaupande wa lais Samia nikwer wabaya wamemzunguluka kweli na Mimi nimekuona Samia akiwa ndani ya kibaba Cha mpesa nikawazasana leo nimezibitisha

  • @paschalpaschal9261
    @paschalpaschal9261 26 дней назад +1

    Hamna maono hapo. acha hizo swaga mama

  • @user-qc7yt9pf8b
    @user-qc7yt9pf8b 27 дней назад +4

    Maneno mazito sana haya, dada Mungu akubariki sana kwa kufikisha ujumbe huu muhimu...

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 28 дней назад +2

    Mungu atusamehe Sana.

  • @TuroRukiko
    @TuroRukiko 24 дня назад +1

    Kiki hizi zinakera Mungu wako mimi simo hilo ni pepo

  • @user-jd5ru7dr2r
    @user-jd5ru7dr2r 28 дней назад +1

    Hapo kwanza nicheke. Manabii wa mchongo

  • @Bless-sk8uv
    @Bless-sk8uv 24 дня назад +1

    Duh! Haya bana mama nabidi niamini kuliko kutokuamini ila asije akaonekana mchonganishi kwa viongozi wengine maana kuna watu na viatu😁😁😁😁😁ila nafikiri wakati umewadia kila goti litapigwa kwake yesu kristo amen 🤔🙏🙏🙏🙏

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 28 дней назад +3

    Kweli wagalatia mmechanganyikiwa 😢😢😢😢😢

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 26 дней назад +1

      Mbona mtume wenu mnasema alitokewa ?

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 26 дней назад

      @@zakiamseka9698 ROHO MTAKATIFU LINI ANAKUJA WAGALATIA MAPEPO YAMITOKE 🤧🤧🤧🤧🤧🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @HappyJohn-kk1pr
    @HappyJohn-kk1pr 26 дней назад +1

    Yy ni malaika

  • @MnanilaMrsmnanila
    @MnanilaMrsmnanila 19 дней назад

    Mama shuka chini mbele za Mungu,mwambie Mungu kama ni wewe naomba ujumbe huu ujirudie tena na ilitakiwa usiseme mpaka upate uhakika kweli ni Mungu amesema wewe?

  • @emmanuelmwakibolwa735
    @emmanuelmwakibolwa735 28 дней назад

    Si kweli kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Hata wachache huweza kuwa sauti ya Mungu. Ni SAUTI YA HAKI NA UKWELI TU NDIO SAUTI YA MUNGU. Mtu mmoja mwenye haki na mkweli anaweza kuwa sauti ya Mungu kama NABII kuliko sauti millioni za wasio haki na waongo.

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b 22 дня назад

    Wewe ulitokewa na mashetani na sii Mwenyewe Mungu usidanganye watu, halafu wakristo hammjui Mwenyenzi mungu ,wewe ni mwana siasa ana sii malaika na sii nabii.

  • @OlivreKimario
    @OlivreKimario 24 дня назад +1

    Mungu akubariki kuhani wa bwana❤

  • @hanneremily3928
    @hanneremily3928 21 день назад

    sasa Mungu na siasa wapi na wapi jmn Mungu wa Brahanham hataki siasa wanasiasa wapo kwa ajiri yakutimiza unabii wakee !!!!!!!!!!!Alafu hakuna Malaika Mwanamke

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 28 дней назад +2

    😂😂😂 Sisemi sana ila muulizeni mchungaji hananja nikweli mlachips anaweza kuonana na M/MNGU?

  • @mangobase
    @mangobase 28 дней назад +2

    Huyu Mungu ulipiga nae story kweli... Si Mungu angekuchagua uwe Raisi

  • @jonasjoseph9237
    @jonasjoseph9237 24 дня назад +1

    Malaika Jamila!!😅
    Mungu sasa amekuwa Mwanasiasa

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 23 дня назад

      😂😂😂😂😂😂nakufa

  • @chrisantjohn8394
    @chrisantjohn8394 17 дней назад

    Tungeacha sasa kumchukiza Baba wa Mbinguni hebu tuache huo ujinga mala Yesu kanitokea mala Mungu amenitokea hebu jaribuni kuwa wastarabu tumheshimu baba wa Mbinguni , ujinga huuu sitaukubali nikiwa raisi mimi hii ni dharau

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 22 дня назад

    Huyo mungu akuonyesha mwigulu na matozo yote haya wewe huyo ni pepo sio mungu😂😂😂

  • @alexkakwaya4383
    @alexkakwaya4383 28 дней назад +3

    We we mama wapi imeandikwa kwamba sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Unabii wako hauko sawa na maandiko. Hiyo moja.

  • @derrickmbaku4768
    @derrickmbaku4768 24 дня назад +1

    Tuambie ben sanane yupo wapi

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 28 дней назад +3

    Natamani kutumwa na Mungu!🤲🙏

  • @mussaananiasmyonga727
    @mussaananiasmyonga727 28 дней назад +10

    Kweli kabisa sauti ya watu ni sauti ya Mungu. Mimi siidharau hata siku moja

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 28 дней назад

      Huna akili ati, sasa utapingaje wakati we mwenyewe hujitambuwi hata unachokiamini mjomba

  • @simonhaule8976
    @simonhaule8976 27 дней назад +1

    Bongo kunusurika 🔥🔥🔥 ni ngumu xna tunachezea Jina la Allah hovyo mno 😭😭😭 da!

  • @zulekha3028
    @zulekha3028 28 дней назад +5

    Tulishaambiwa..siku za mwisho watatujia mitume..manabii teleee wa uongo...sasa ndo tuyaonayo..Allh atuepushe nao..na atujaalie mwisho mwema inshllh.

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 28 дней назад +2

      Tangu lini waislamu mmjue MUNGU na wakati ninyi ni maamuma hamna MUNGU ninyi mna ya amini majini

    • @issasheikh2270
      @issasheikh2270 28 дней назад

      ​@@andrewkissava9184km uko vzr leta maandiko kuthibitisha unachoongea

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 28 дней назад

      Mungu akusamehe bure ​@@andrewkissava9184

    • @davidsarya9950
      @davidsarya9950 28 дней назад +1

      ​@@andrewkissava9184 mimi siyo muislam ila umekosea sana kusema maneno haya

  • @superhemed7590
    @superhemed7590 23 дня назад

    Unaogopa watu wasiojulikana kuongelea siasa unasingizia umetumwa na Mungu huo ni unafki. Kwann Mungu km anataka ivyo hasimtokee Mama Samia mwenyew mpk akufuate ww😂

  • @AgnessChambo-mx6rd
    @AgnessChambo-mx6rd 28 дней назад +2

    Ushauri wangu kwako mtoa unabii km unabii huu hukutumwa hata na lusifa basi ni vema ukatubu
    Mungu atakuchukia

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 28 дней назад +4

    Akuna mungu apo umetokewa roho za mtakakitu

  • @valeriamtenga3384
    @valeriamtenga3384 28 дней назад +8

    Hapa kuna kashida flani ivi!
    Ebu tusiongee sana

    • @bishopprofvictorchisanga2009
      @bishopprofvictorchisanga2009 27 дней назад

      Hebu kaeleze hako kashida ulikokaona ktk unabii huu ambao ni sauti ya Mungu! Yamkini wewe ni miongoni mwa MASHETANI wanao mshauri Rais akubali UJEURI wa CCM dhidi ya tume huru ya uchaguzi. Sasa wananchi HAWAIBEMBELEZI tena CCM; na Mungu anasema “NI DAMU TU KUMWAGIKA NDIYO NJIA PEKEE YA WATANGANYIKA KUJIPATIA HAKI YAO.”

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 28 дней назад +2

    😅😅😅😅😅 hakuna mtanzania mjinga skuiz uongo mtupu Makonda atabaki kua makonda na Bashe na makamba watakua malaika wa mchongo acha zako Tanzania kuna wajanja kuliko malaika wa mchongo

  • @mkemiaelias6009
    @mkemiaelias6009 28 дней назад +12

    Sauti ya watu ndo sauti ya mungu

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 28 дней назад

      Mungu yupi?na watu wepi, ndio M/Mungu huwasiliana na waja wake ila sio kila mja haswa kijitu kama hichi, kimekaa uchi apo shetani mtupu

    • @fadhilmandaliabdalla6736
      @fadhilmandaliabdalla6736 28 дней назад

      Acha ujinga we mama, tafuta shamba ukalime uko, Malaika hanyi wala hawamuasi M/Mungu wewe malaika una breed, unakunya, unakula, unakuja kuongea upuuzi apa

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 24 дня назад +1

    Milifikiria ni unabby wa mafuriko na kimbunga hidaya kumbe ni siasa😂😂😂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 28 дней назад +2

    Sauti yawatu nisauti ya Mungu. Tusizarau jamn maneno ya huy Mama

    • @fauzseif7344
      @fauzseif7344 27 дней назад

      Kaka huyo ni mnafiki musa hakumuona itakua yeye mungu asema mwanamke yeyote asimamae kwa watu nakutoa sauti amelaaniwa huyo mungu aw

  • @marcomayalla5138
    @marcomayalla5138 24 дня назад +1

    Huyo Mungu alikuwa mzungu au vipi kiki nyingine vipi zumaridi ulikutana naee

  • @jumaramadhan5903
    @jumaramadhan5903 27 дней назад +2

    Huyu ni muongo

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 24 дня назад +1

    Huyu mjelajela anatafuta kiki

  • @sadickmkanda8214
    @sadickmkanda8214 17 дней назад

    Asante malaika kutoka kwenye familia ya kimalaika Tanzania .!!!

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 22 дня назад

    Hata Lema alisema wakapuuza. Anachosema huyu mama, si yeye tu, ila baadhi yamesemwa na watumishi wakubwa wa Mungu, hasa eneo la mbegu, na utawala. Ujumbe usipuuzwe!!!!

  • @venancemwanya4212
    @venancemwanya4212 28 дней назад +1

    Sasa huu ni unabii? Anyway acha tusubirie. Maana shaka yangu imekuja alipoacha kuongea aliofunuliwa, kaanza kueleza ya kwake binafsi. Tusubirie

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 28 дней назад +4

    Kweli wewe umepewa unabii wa tofauti, hivi kweli upewe unabii tofauti tofauti, acha hizo tricks bado utasema Mungu amekuamru urudi uhamiaji

  • @leotv-tz
    @leotv-tz 28 дней назад +1

    naona millardayo mwenyew hajataka kuiweka hii habar 😀 coz ni mawazo yako mama yanaongea na kujifunua juu yako mwenyew..

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 27 дней назад +1

    Hu ni unabii wa kweli kabisa

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 24 дня назад +1

    Waambie mama wakishupaza shingo itavunjika.

  • @AbbasSaid-fp5rg
    @AbbasSaid-fp5rg 27 дней назад

    Kwahio mlikua mnapiga stor au

  • @kalingaasukile8730
    @kalingaasukile8730 28 дней назад +1

    😂😂😂😂 mna vituko sana

  • @obadiahnkwale124
    @obadiahnkwale124 28 дней назад +2

    Mungu ni samehe ila sina uhakika na huu unabii🏃

  • @bsparks6643
    @bsparks6643 26 дней назад +1

    Falaaa wewe hauna hakili faalaaaa sana