Mkuu wa Majeshi ya ulinzi aelezea tukio la wanajeshi 10 kufa kwenye mafunzo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2020
  • CDF Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia tukio la Wanajeshi 10 waliokufa wakiwa mafunzoni

Комментарии • 39

  • @evanccast6228
    @evanccast6228 2 месяца назад

    Pokeni sana jeshi letu hiii ni ajali kama ajali nyingine Mungu awajalie pepo njema 🙏🙏🙏

  • @marrymenas
    @marrymenas 2 года назад +7

    Aah mnawatesa sana wanafunzi wenu, vipigo mnavyo wapa sivyo ndivyo. Haipendezi, fuatilia kwa makin utajua kwa nn wamekufa, tusiisingizie sumu. Fuatilia mateso wanayo pitia wanajeshi wanafunzi utagundua mapema sana

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 года назад +1

    Polen hyo niajal Kama zinazo tokea mungu awapumzishe kwa Aman namuona jafoo ananena kit hapo mpe hey pia pole kamanda vita ni vita mla

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 года назад +7

    Mnaawatesa sana utumbuliwe. Jeshi huliwezi waliwapiga sana wanawavurufa kwenye maji na machafu. Msata wanauwa

    • @edwardsamson7951
      @edwardsamson7951 2 года назад +1

      hujui kitu kuhusu jeshi wewe. "train hard fight easy" hiyo ndo basic concept ya askari yoyote hasa wa miguu. maana kwenye uwanja wa mapambano ni zaidi ya unavyo ona kwenye movie

  • @tehran6086
    @tehran6086 2 года назад +3

    Pengine walikua wanafanyishwa mazoezi kwenye maji machafu wiki nzima ndo maana wametapika sana na kupoteza nguvu....

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 2 года назад +3

    Dah poleni saana, Lakini naona kama kuna shida kidogo kwenye eneo la huduma ya dharula

    • @edwardsamson7951
      @edwardsamson7951 2 года назад

      great thinker. umeweza poa sana.kama kungekuwa na gari la dharura(ambulance) full equiped) makamanda wangepigwa fluid tu( NS & DNS) WAKALAMBA NA GLUCOSE then wakapata bed rest na baada ya siku mbili wangerudi mzigoni full. kilicho wapokonya uhai ni kupoteza maji mengi na eletrolyte mwilini. wala sio mazoezi makali. maana hakuna uhusiano kati ya mazoezi makali na kuharisha na kutapika

  • @waltersilayo49
    @waltersilayo49 2 года назад

    wazeee wa upelelezi unaendelea.... MUNGU IBARIKI TANZANIA.....

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 2 года назад

    Inauma sana....

  • @sebastianmichael4031
    @sebastianmichael4031 2 года назад +2

    Wamekula kitu kibaya, pole saa

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 2 года назад +2

    Uchunguzi ufanyike hao kumi aliye waunganisha ninani na je walipimwa afya zao isije ikawa mtu analeta majina ya ndugu kwenye jeshi

  • @mussalazaro4528
    @mussalazaro4528 2 года назад

    Kila mtu atalipwa sawa sawa na alichokipanda maana hasira ya Mungu ni kali kwa haya yanayoendelea Tz hasa kwa wenye nyazifa.

  • @josiahlugwisha6273
    @josiahlugwisha6273 2 года назад +2

    Pole kwa nchi yetu ya tanzania pole kwa jeshi la ulinzi.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 2 года назад

      Mmmh MWZ MUNGU TUHURUMIE NA WATOTO WETU, wote huu ni Umasikini tu sisi 😭😭

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 2 года назад

    Wale wanaokimbilia jeshi . Msidhani jeshi ni lelemama hakuna kufuzu kwa mchongo kule . Ni Zoez hadi kali kama uko lege lege kishoga ndio unatapika damu Unaharisha damu . Unakufa. Safi kabisa hatutaki wajeshi legevu ukifuzu umefuzu kihalali wew unafaa sana

  • @everever2807
    @everever2807 2 года назад

    Nyie jeshi la tz mmenenepeana mazoezi magum yanni peaneni ujuzi tu basi msituulie watto wetu nyie mungu anawaona mungu ndo mjeshi mkuu tena ushindwe na ulegee

  • @philimonjengela1601
    @philimonjengela1601 2 года назад +3

    Kazi ya jeshi sio lelemama poleni sana makamanda

  • @jaybreeze1237
    @jaybreeze1237 2 года назад

    Yani ayo maneno wala haya ridhish kbs kwanin wamekufa kuna kitu sibure 🥺

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 года назад +1

    Mungu awatangulie

  • @ahz6907
    @ahz6907 2 года назад +3

    hata kama kazi ya jeshi si lelemama sidhani kama ni ishu ya mazoezi.itakuwa kuna kitu wamekula au kunywa kimewadhuru.

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum663 2 года назад +2

    ww nasiro hamuezi .kusimamia kakazetu.mulichaguliwa .namwendazake kwaukatili tuu.sasa .wafanyeni kz nawao .wajue.km kufa.sio kuzuri.

  • @ramadhanikhamisramadhani7326
    @ramadhanikhamisramadhani7326 2 года назад

    We kamanda hebu silim utasalimika

  • @ezekielezekiely8476
    @ezekielezekiely8476 2 года назад

    Nani afanye hivyo ?

  • @safelyrafiki5465
    @safelyrafiki5465 2 года назад

    Wapumzike kwa Amani

  • @godfreywilliam5810
    @godfreywilliam5810 2 года назад +1

    Tajeni majina walio kufa

  • @barakasilungwe9305
    @barakasilungwe9305 2 года назад

    A

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 года назад

    Tajeni majina jamani tujue hao waliyokufa

    • @edwardsamson7951
      @edwardsamson7951 2 года назад

      wangekuwa ndugu zako ungekuwa umeshapata habari jeshi na mambo yake ni siri

  • @allyfleva8920
    @allyfleva8920 2 года назад

    sitaki tena jeshi wacha nife na njaa

  • @ramadhanikhamisramadhani7326
    @ramadhanikhamisramadhani7326 2 года назад

    J

  • @nixonjohnson6346
    @nixonjohnson6346 2 года назад +4

    Mazoezi mtu afe ..mazoezi gani hayo ?? Acheni jutuona wajinga serikali wajibisheni huyu nione kama itatokea tena. Ila mkimuacha anaoba jswaida zu..eti tunafanya uchubguzi hii kauli imebaki tz tu. Jeshini ukichoka wanaona ndio sehemu ya kukuadhibu waache ujinga . Wapeleke dazu shamba kilima na kuvina kama atakufa,,watu 10,,,watu kumi, watu 10..yy na familia yake wapo mangapi. Angepoteza wake aje useme wamekula pembeni .. watanzania sio wajinga hivyo

    • @edwardsamson7951
      @edwardsamson7951 2 года назад

      wanakufa vijana wa JKT kwa mujibu wa sheria wa miezi mitatu tu wakiwa kozi sembuse hao askari wanao pikwa miezi 09 !! kazi ya jeshi ni kug'ang'amala wewe. wanapona 10000 wanakufa 10 alafu ndo awajibishwe uko seriousy kweli au unaleta siasa hadi jeshini..??

  • @forestynjombeiringatunteme5659
    @forestynjombeiringatunteme5659 2 года назад +1

    Jeshini hakuna mchezo hivi nyie mnao lalamika mnafikiri jeshini wanaenda kushika peni? acheni siasa hadi jeshini kufa kawaida kama mtu upo legelege afya yako haipo powa lazima utakufa.
    Hata kama wanakufa 100 kwa siku jeshi m naenda. Siasa hakuna jeshi ndo lilivo.
    Kama JKT wa mujibu wanavuta sembuse mafunzo ya JWTZ nyie vip.