KUMTUHUMU MBOWE KUSHIRIKIANA NA CCM NI KUMKOSEA HESHIMA/TUNAMUHTAJI MBOWE KULIKO ANAVYOJIHITAJI YEYE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 53

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 19 дней назад +6

    Hapa tulipo fika Lisu kwanza chama badae 💪✌️

    • @davidpallangyo114
      @davidpallangyo114 19 дней назад +2

      Lisu mnamuhitaji wa nini kama kutakuwa hakuna Chama!!?
      Sikilizeni ,acheni mihemko.Mheshimiwa Lissu ni Azina kubwa sana kwa Chadema lakini tukizingatia vigezo vyote vya uongozi na mazingira ya siasa za hapa Nchini ,Lissu siyo sahihi kuwa kiongozi mkuu wa chama kwa
      sasa.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 19 дней назад

      ​​@@davidpallangyo114tuwaache wachague Lissu wao chama kife. Sisi tunasonga mbele😊

    • @samwelmatemu8873
      @samwelmatemu8873 19 дней назад

      Pumbavu wewe .lisu ni Nani useme lisu chama baade unatumia kichwa kufikiria au makalio.

    • @EmmanueNzilano
      @EmmanueNzilano 19 дней назад

      Kama huamini nachoongea mbowe aendelee kujifanyazimeftuka apite Tena, nchi nzima watalia Kwa uchungu lakin lisu akipita nchi nzima itakua sherehe mana watu watakua na matumaini ya mageuzi Alipo Lisu ndipo walipo wa Tanzania 💪🙏

    • @EmmanueNzilano
      @EmmanueNzilano 19 дней назад

      Lisu ni zaidi ya chadema sema tuu nyie wanachadema wachache msio kua na mtazamo wa mbali mlio kula lushwa mpigie debe mbowe msio angalia nyakati mnafiri mbowe ataishi milele ndio mnakiua chama hivi Alipo Lisu ndipo walipo wa Tanzania wote Nyerere WA pili Tz MUNGU 💪🙏

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 19 дней назад

    Brother uko vizuri sana huyo mwandishi ni adui wa chadema anatetea lisu siyo kwamba anampenda Bali ni mpango WA kuuwa chadema umeandaliwa na mahafidhina wake hivyo anataka Mbowe atoke mipango Yao ishinde.

  • @nditiPeter
    @nditiPeter 19 дней назад +2

    Tunamtaka lissu anaesema ukweli bila kumumunya maneno na pia yupo upande wa wananchi kupingwa utekaji mauwaji na uonezi wa kilahaina

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 19 дней назад

    Daniel Naftari,unaongea vizuri sana,kuheshimiana ni jambo zuri ktk Taasisi

  • @johncharles323
    @johncharles323 19 дней назад +2

    Hata km ni muungwana ila tunachotaka ni mabadiliko ya uongozi

  • @EmmanueNzilano
    @EmmanueNzilano 19 дней назад +3

    Haw ndio wale waliogawana zile hela za Abduli na Mama yake Abduli😂 huwezi kutumia nguvu kuwajua🙏mtakiua chama hiki na huyo mbowe haya🙏

    • @philipongenzatv
      @philipongenzatv 19 дней назад

      Pesa za mama Abduli zinaongea

    • @EmmanueNzilano
      @EmmanueNzilano 18 дней назад +1

      Kama mbowe akishinda tujuwe mipango ya ccm itakua imetimia kuendelea kukipoooza chama chetu na kama Lisu akishinda tujuwe serikali matumbo moto watakua wanafikiria atatoa msimamo Gani lakini kwa mbowe wamesha mazoea hana jipyaaa.

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 19 дней назад

    Kama ndio hivyo,alienda kufanya Nini Kwa Samia,chama ni Cha mtu mmoja

  • @marysichinsambwe7708
    @marysichinsambwe7708 19 дней назад

    Mbowe must go

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 19 дней назад

    10 millions voters CDM na wapiga kura Tanzania nzima ni 26 millions halafu unashinda CDM (1%) na CCM (99%). Sasa 10 voters ni sawa na 45% Sasa 44%✓ zimeenda wapi kura zake. Mabadiliko ya uwenyekiti wa taifa chadema ni muhimu kuliko mbowe.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 19 дней назад

    Lisu kwanza

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 19 дней назад

    Wewe mtangazaji muuliza maswali mpe nafasi muongeaji amalize kuongea ndipo umuulize maswali.
    Maswali yako uliza kwa sauti ili watazamaji tusikie vizuri.
    Usipanick.
    Pangalia interview yako vizuri.

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 19 дней назад

    Hela za Abdul zimefanya KAZI lissu kasema,kwahiyo mbowe lazima awe mwenyekiti wa maisha?

  • @HashimMussa-ss4qf
    @HashimMussa-ss4qf 19 дней назад

    sisiatutaki umbea wakokwe ndazako sisi wanachama wa chadema wote tunaondo ka bakiwewe na Mbowe Atumtaki

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 19 дней назад

    Huyu sio mwanasayi ni mwanafalisafa. Sayansi inasema bayana na falisafa inahitaji utatuzi

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 19 дней назад

    Mtangazaji unataka kupata habari, halafu wewe una habari zako unataka watu waseme unachotaka. Humtaki mbowe ni haki yako, usilazimishe watu wengine wasimtake. Ni kweli opposition itachukua miaka mingi kupata mtu kama mbowe.

  • @Gilbertnyanda
    @Gilbertnyanda 19 дней назад

    Mhaya huyu ni chawa wa mbowe

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 19 дней назад

    Huyo mwandishi mjinga flani analake kichwani

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 19 дней назад

    Inahitaji Uwe mjinga Tu Au nja Ihamie kichwani ndo Useme chadema kwa Sasa inamwitaji mbowe MTU Ambae watu Makini ndani ya chadema Anawaona Hawafai kwa sababu ya masilai take tu Leo Tundulisu , Heche, Lema, Pambalu, Twaha Mwaipaya Leo wako wapi kwa jili ya Nkulunzinz

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 19 дней назад

    Weweeeunamhitaji wewe na familia yako ila watanzania wanamhitaji mh lisu,wewe nenda kwa mbowe wako ila sisi tuanaenda na lisu tu

  • @OmaryHeri-c3h
    @OmaryHeri-c3h 19 дней назад

    Lisu ndio kiboko yao utake usitake

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 19 дней назад

    Watu huwa wanafika point wanachoka, hivyo kuhitaji kitu kingine kipya hata kama ni kibovu! Watu walimhitaji mtu mkali zama hizo ikabidi aje Magufuli. Kipi kigeni?

  • @HalidiKasimu
    @HalidiKasimu 19 дней назад

    Labda ww unekula kupitia mbowe ndo unamuhitaji , amefanya mengi lkn kwa ss suo wakati wake apishe

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 19 дней назад

    Mnamuhitaji mbowe awasaidie kwenye jambo gani..?

  • @EdwrdPallangyo
    @EdwrdPallangyo 18 дней назад

    Usiseme Sisi SEMA were

  • @SalumKombo-sf5gs
    @SalumKombo-sf5gs 19 дней назад

    Hilo chawa achananalo mwandishi unapoteza muda wako hamna kitu hapo

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 19 дней назад

    Waliogombea wapo kadha wa kadha lakini habari zote ni Mbowe, Lissu. Why???

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 19 дней назад

    Mboye ndie kawapoteza watu wazuri chadema kutokana na urohoo wa madalaka,Obama alipendwa kwahiyo unataka kusema alitakiwa kuwepo madarakani na vipi nyerere kung'atuka

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 19 дней назад

    Hilo likamaaa halina akili mwandishi uko vzuri nakuelewa

  • @StevenMgaya-h9l
    @StevenMgaya-h9l 19 дней назад

    Pumbavu,we nichawa kama machawa wengine tu

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 19 дней назад

    Lissu for chadema.mbowe aende 21 backwards

  • @NdakiYacha
    @NdakiYacha 19 дней назад

    Unamhitaji wewe kwa ajili ya tumbo lako zaidi yapo alipaswa apumzike tauari alishafanya poshen yake akae pembeni amwache Lissu atapiga kazi.

  • @user-xk3xg8yr7c
    @user-xk3xg8yr7c 19 дней назад +1

    LISSU ANATOSHA

  • @SilveryMasalu
    @SilveryMasalu 19 дней назад

    Tunataka tufahamu:Zito Kabwe, Bob Chacha Wangwe, Cessil Mwambe, Fredrich Sumaye, na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa inakuwa shida, hii iko je?

  • @AdamPeter-s8v
    @AdamPeter-s8v 19 дней назад

    Ameogea mini said yakelele

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 19 дней назад

    Babu mbowe ukapumzike

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 19 дней назад

    Kwa hiyo anafaa kugombea sababu ya kutuhumiwa??

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 19 дней назад

    Tunamtaka lisu

  • @BikolimanaKamenya
    @BikolimanaKamenya 19 дней назад

    We ni musenge kabisa

  • @ufuduboy7278
    @ufuduboy7278 19 дней назад

    Kichaa mwingine huyo

  • @TausiOmary-r2h
    @TausiOmary-r2h 19 дней назад

    Lissu ni jembe kaka acha domo

  • @MosesMushi-p2p
    @MosesMushi-p2p 19 дней назад

    Mwandishi kiazi maswali yake ya kijingakijinga.. mwamba umemaliza.. achana uyo hq ndogo

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot 19 дней назад

      Mbowe anatetewa na watu wajinga

    • @MosesMushi-p2p
      @MosesMushi-p2p 19 дней назад

      @rahimsadru-ct4ot wapuuzi tu ndo watamtetea lusu. Ivi mnataka akiachie chama kichaa. Tangia nilipomfaamu lusu miaka 2010 tundu sijawahi ona umuhimu wake zaidi kusika uropokaji na domo kaya mhuongo na uokosaji wa adabu

    • @rahimsadru-ct4ot
      @rahimsadru-ct4ot 19 дней назад +1

      @@MosesMushi-p2p nyie mnatetea Kabila ,,,mboe hawez mfikia lisu HT robo ktk kujenga na kutetea hoja,,,anachowez mugabe n kubagain,,,kupiga ruzuku,,,

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 19 дней назад

      Lijinga wew hujui hata kuandka ​@@MosesMushi-p2p