Tulimshukuru Mungu kwa kusema Ahsantee Elohim nae akatusikia na akatutendea makuu mno na sas tu nasema ni yeye mwokozi...ni misingi tuliyojengewa tangu mwanzo kwamba tumtegemee na kumtukuza yeye...Ahsanteni sana watumishi wa Mungu
I'm always blessed listening to AIC Changombe music. Gusa,kila mwenye pumzi , twayaweza mambo yote, pazia, pokea sifa.... the list is endless. mungu awabariki sanaa.
Mungu aendelee kuwabariki nawapenda sana nyimbo zenu nzuli niko Kenya ila siku moja nikiwaona mkija burundi naeza furahi sana kanisa Anglicane maana najua AIC ni anglicane hata hapa kenya❤❤🧎♀️💯
Hongera Sana kwa mpangilio wa vyombo, guitars, saxophone, trumpets,Drum, keyboards,waimbaji wako vizuriii sana,kubwa zaidi huyo wa number moja wa solo anaimba kwa hisia bila stress na kuipenda huduma yake.mbarikiewe sana.
Message on point Melody on point Waitikiaji moto Solo wako moto Music arrangements moto Brass band balaa! Drummer hatari! Base guitar sasa ........ amemalizia kila kitu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nilipowaona kwa mara ya kwanza kwenye uzinduzi wa kanisa huko Kahama AIC sikuamini😢 KABISA kwamba nilikuwa nawaon live! Mmeendelea kuwa namba moja mpaka Sasa. Mungu awabariki CVC.
Dada ulieanza nakupenda milele yote ww hata ungekuwa unaimba nyimbo zote hakuna kama ww! Unaimba live ila kama CD🙌🙌 Yaani umebarikiwa ukabalikiwa teena. Jamanii ninyi chang'ombe mnaimba bhana , na leo nawauliza teena wale wamama wawil walobaki wako wapi ? Yule mweupe kama mzungu na yule kama mnyarwanda wako wapi jmn?? Nimemuona uyu kidogo roho yangu imefurahi bado hao wawili😂 Chang'ombe mnajuaga kutupa burudani kwakweli
Sister diana hata ukija ibaada za kawaida church unaweza kusema amewekewa auto tune, anasauti huwezi ipata kwingine....... she is gifted ,the vocals are so natural and pure and mesmerising! Tuko wengi tunaompenda ❤
Mungu azidi kuwabariki watumishi wa Mungu kwa kuendelea kuieneza INJILI ya YESU KRISTO kwa njia ya UIMBAJI pasipo kuiacha Melody ya UIMBAJI ya Kanisa la AICT. Pongezi binafsi kwa Dada Diana, Bahati, Rebecka Daniel, Mtunzi wa Wimbo, wapiga vyombo pamoja na huyo kaka anayeimbisha. Jaman Karibu sana AICT CHANIKA mje kutubariki kupitia INJILI hii.
Wow! Hongereni sana kufikisha miaka 35 ya kutoa huduma wapendwa!!! Hakika mmekuwa wainjilisti wazuri na mmegusa mioyo yetu wengi kutuelekeza na kutukumbusha tutekeleze wajibu wetu wa kiroho!!! Mbarikiwe saaanaaa AICC Choir
Tunasema kutoka Gusa hadi leo hawa watumishi wako fire gonga like
Amen mzidi kutuombea katika huduma hi ya Bwana..
VUNJA
tuko pamoja
TUNAOANGALIA ZAIDI YA MARA MOJA TUJUANE😀😋🔥🔥👆
Tupoo😂😂😂,tulikuwepo live Chañgombe na tunaview tn na tn
Mam yangu unaimbaaa vzr unanigusaaa MUNGU akupee hatuaa zaidi na zaidii❤❤ppp❤
Dada Diana Kwa kweli wamasai wa morogoro unatubariki sana umekuwa faraja wa miyoyo yetu mungu azidi kukupa ufunua CVC fireeeeeeee
❤ Asante sana Mama James,you have kept the fire burning, God bless you.
Cvc iko moja tu ndugu zangu🔥🔥✋🏾✋🏾✍🏿✍🏿✍🏿
Jaman uyu mama nampenda sana
Ni Jumapili njema kabisa.
Yesu Kristo Ndiye Bwana na #Mwokozi wa maisha yetu., Iwe baraka kwako Leo mtu wa Mungu.,
Dada Dayana u always there.....never disappointing......be blessed CVC
Tuendelee kubarikiwa wakati tunasubiria wimbo huu wa mwokozi. Usisahau kusubscribe,like,share na kucomment.
Yeye Mwenyewe anatupa nguvu a kuendelea kumtumikia
Mackob 🙌🙌🙌 nifanyie mpango wa hilo guitar basss
Tulimshukuru Mungu kwa kusema Ahsantee Elohim nae akatusikia na akatutendea makuu mno na sas tu nasema ni yeye mwokozi...ni misingi tuliyojengewa tangu mwanzo kwamba tumtegemee na kumtukuza yeye...Ahsanteni sana watumishi wa Mungu
Amen
Amina sifa kwa Bwana YESU
Nice song...may God continue lifting ur talent guys 👏👏👏👏👏
Tangu nimewai kuwasikiliza miaka ya nyuma mpaka leo nawapenda mno
I'm always blessed listening to AIC Changombe music. Gusa,kila mwenye pumzi , twayaweza mambo yote, pazia, pokea sifa.... the list is endless. mungu awabariki sanaa.
Amen. Be blessed
Keep connected for more
@@rachelsenni8919Karibu
Mungu aendelee kuwabariki nawapenda sana nyimbo zenu nzuli niko Kenya ila siku moja nikiwaona mkija burundi naeza furahi sana kanisa Anglicane maana najua AIC ni anglicane hata hapa kenya❤❤🧎♀️💯
Sokota kama ulayaa
Mama diana❤
Choir melody❤
Hatimae Leo na mi nimewahii
What a Bass guiter
Sifa na utukufu kwa Mwokozi wetu
Tunawapenda na tunawakaribisha Tena KKKT SINZA ❤
Amen. Asanteni sana, tuendelee kuombeana
Amen
Amen
Blessed.
Nimebarikiwa nae sanaaa
Hongera Sana kwa mpangilio wa vyombo, guitars, saxophone, trumpets,Drum, keyboards,waimbaji wako vizuriii sana,kubwa zaidi huyo wa number moja wa solo anaimba kwa hisia bila stress na kuipenda huduma yake.mbarikiewe sana.
Ubarikiwe
Benja tumekosea naomba utusamehe kaka
Song of the year imeshapatikana
Ama kweli mkubwa mkubwa tu. Mmeupiga mwingi sanaaaaaa. Na bado tunasubilia
Katika mema yote yanayoonekana kwetu tunarudisha sifa, heshima na utukufu.
Hakuna aliye kama Mwokozi wetu aliyetuokoa katika utumwa wa Shetani
Tuna wa fwata Safi sana kutoka Congo drc Aic in congo
Hongera Sana kwa taasisi hii ❤❤❤ hakika kazi yenu ni njema Sana.
Huyu mama wa kwanza ku lead uuuwi❤️❤️🫶
Message on point
Melody on point
Waitikiaji moto
Solo wako moto
Music arrangements moto
Brass band balaa!
Drummer hatari!
Base guitar sasa ........ amemalizia kila kitu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sifa na utukufu ni kwa MUNGU
😂😂😂 that the CPA makobel a I know,the Bass Guitar is singing
Bassist never dissapoint😂🔥🔥🔥
Huu wimbo unanibariki sana.
Misingi tuliyo jengewa tangu mwanzo ni kwamba tumtegemee Bwana Mungu 🙏
Mungu ni mwema Sana kazi ni nzuri Sana sifa na utukufi tunamrudishia Mungu
Wow! Very wonderful song❤ nabarikiwa sana nahuu wimbo hakuna kama Mungu awezaye kutenda mambo makuu namna hii 🥰🔥🔥🔥
Amen
Show your love for this great team...
#Kenya represented well
Amen. We real appreciate your support
Kazi nzuri , hakika mna ni bariki sana
I like the strength of this Lady..love you mom
Naamin nimebalikiwa nahuu wimbo
Ata ivy ni nzuli sana
Nakupenda odo Diana sauti yako utulivu wako
Ana karama kubwa sana ya uimbaji… ananibariki sana
aiseeee kila kitu moto...... ila bassisst umeuaa mno .. mno mno
What a masterpiece. Tunamtukuza Mungu kwa ajili yenu wapendwa. Wimbo unabariki
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA. Endelea kutuombea
Kuna mziki umelia humu ndani ni hatari sana🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥
Napenda
Frm
Mwanza
Watching from Nairobi..changombe my all tyme favorite aic choir.
Nice songs indeed
Amen. Be blessed for your encouragement
Indeed it's my all time aic choir...may God keep on upgrading them
Me naomba likes za bassist, huyu jamaaa ni mnoma, nafeel ikiimbiana bass guitar wueh
Umeona eeh; jamaa apewe🌹🌹🌹yake🤔🤔🤔
Amen
Fireeeee
CPA Makolobela ni moto sana,yupo vizuri na Ndie MD wa CVC
Yupo moto kwenye Accounts Profession na Music
Mungu awatunzee sanaaa mumewezaaaa Sanaa nawapendaaa sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏yeye ni Bwana wa Vita.
Moto sanaaaaaa. Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen. Glory be to God
Nilipowaona kwa mara ya kwanza kwenye uzinduzi wa kanisa huko Kahama AIC sikuamini😢 KABISA kwamba nilikuwa nawaon live! Mmeendelea kuwa namba moja mpaka Sasa. Mungu awabariki CVC.
Amen 🙏
aombeni number yahuyumama jaman anaegonga
What a beautiful song hongereni CVC. Diana on pint as usual. Dad Mary umetisha sanaaaaaaa balaaaaaaa #Mwokozi
Dada Marry uko juuu
Naomba unielekeze namna ya kufika hapo kanisani
@@KedrickSalvatory ukiingia goggle map ukiandika AIC changombe Church it will direct you mpka kanisani
Jamani wimbo mzuri sana ongera sana da Mary unaomba vizuriiii
Nawapenda.....
Mziki umetulia, umepangwa vyema.... Moja safi❤❤.
Kenya tunawapenda hamuwezi kuelewa😊😊❤
Asanteni kitupenda nasi tunawapenda pia. Tunarudisha sifa na utukufu kwa BWANA
Tuhuishe MUNGU
The Bassist never disappoint 🙌🔥am blessed
Bassist never dissapoint at all😂😂😂😂🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Dada ulieanza nakupenda milele yote ww hata ungekuwa unaimba nyimbo zote hakuna kama ww! Unaimba live ila kama CD🙌🙌 Yaani umebarikiwa ukabalikiwa teena. Jamanii ninyi chang'ombe mnaimba bhana , na leo nawauliza teena wale wamama wawil walobaki wako wapi ? Yule mweupe kama mzungu na yule kama mnyarwanda wako wapi jmn?? Nimemuona uyu kidogo roho yangu imefurahi bado hao wawili😂 Chang'ombe mnajuaga kutupa burudani kwakweli
Wapo woteeeeee
Wote wapo mpendwa
Kaa karibu tuh na Social media zetu 😊
Sister diana hata ukija ibaada za kawaida church unaweza kusema amewekewa auto tune, anasauti huwezi ipata kwingine....... she is gifted ,the vocals are so natural and pure and mesmerising! Tuko wengi tunaompenda ❤
@@masalugusessa3702dada Diana Ana taji yake mbinguni inamngoja a ameponya roho za watu wengi sana,nikiwepo mimi,MUNGU AWATUNZE CVC
I just love them
The bassist...have a cool drink boss...You laid the groove proper...🎉
The best one 🎉🎉🎉🎉
Yeye mwenyewe anatupa nguvu za kuendelea kumutumikia,
Barikiwa sana and keep going on bringing the good songs I believe there is more
More to come
Stay tuned
Shkamoo mpiga bass, kwa kweli mpini umeshikwa na mtu sahihi
Ameua 😂😂😂😂
Kabisaa
Bass siyo tu linapigwa bali linaongea kuna hiyo miannguko yachini inanogesha sana
Yeye ni Bwana wa Vita🫵 Brass mmetenda JAMBO…Bassist njoo chukua 50k yako aisee
🙏🙏yeye ni Bwana wa Vita. 🔥🔥🔥🔥 Family for mery&Joel❤ Mungu afanyike baraka kwenu🙏
Kenya is watching
wow still in the same genre of music since that time of gusa and safisha ladha haijapotea hongereni sana 👏👏👏👏
but bassist steal the show 😀
#Mwokozi.,
Mwenye kubadilisha mambo, Uwezae kutenda zaidi na zaidi.,
Uhimidiwe jioni hii❤
Amen
Waooooooo Hongeren Sana kazi nzurii Cvc
Naona Bro Joel lumala na Shem angu..Ma Caren... Mmetishaàa Sana ❤❤❤
Utukufu kwa Mungu kaka
Jamani ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, God bless you people. Mungu atukuzwe kwa kazi hii nzuri ❤❤❤
Bwana unayeweza kubadilisha Mambo
The bassist never disappoint
Barikiwa Sana tena sana,karibu Dumila-Morogoro
Amen
Ukweli bwana anatupa ujasiri
Wimbo mzur San endeleen kutumika nyimbo Ina Jenga nakutia moyo nakufundisha barikiweni San cvc
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
Apostle Benja🎸 umemaliZ luku yetu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nawakubali sana hawa waimbaji.. Ni #1 kwa kila kitu.. ✌️🙏👍🙌❣️❤️
Mungu azidi kuwabariki watumishi wa Mungu kwa kuendelea kuieneza INJILI ya YESU KRISTO kwa njia ya UIMBAJI pasipo kuiacha Melody ya UIMBAJI ya Kanisa la AICT. Pongezi binafsi kwa Dada Diana, Bahati, Rebecka Daniel, Mtunzi wa Wimbo, wapiga vyombo pamoja na huyo kaka anayeimbisha.
Jaman Karibu sana AICT CHANIKA mje kutubariki kupitia INJILI hii.
Amina sifa na utukufu ni kwa Bwana
Hongereni CVC kwa wimbo huu.
Glory to God.
Amen. Humbled for God's Glory
Anatenda Mungu wala hajanyamaza...nawapenda mno nyie watu❤
Amen. Tunakupenda pia. Endeleeni kutuombea
Tulishukuru kwa kusema arsante elohim na sasa tumerudi kuita mwikozi atufunike kwa damu ya mwanae
MAYANDA GA YESU ❤❤❤
Kazi yenu ni nzuri. You bless me.
Amen
Amen kaxi safi
Ni mwendo wa #Mwokozi tu asubuhi hii, have a blessed morning kwa Jina La Yesu Kristo as u go beyond your day hahahaaa
YEYE MWENYEWE ANATUPA NGUVU ZAKUENDELEA KUMTUMIKIA
Dada ulieanzisha zidi kuinuliwa zaidi❤ sichoki kusikiza wimbo wa nafsi yangu, penda sana chang'ombe
Amen. Sifa na utukufu kwa BWANA
Changombe church mko number one Tanzania Mnajitahidi kuhimba kwapamoja kama wa MAREKANI MUNGU awainuwe zaidi
This choir,,,,,changombe vijana choir,,,,,, they never disappoint ❤❤❤,,,my all time favourite,,,,mwokozi all the way,,,mbarkiwe sana
Amen. Glory be to God
Mbarikiwe sana kwaya mama❤
🔥🔥🔥 You guys never disappoint.Bassist ameweza sana
Glory to God
Mpini umeshikwa na mtu sahihi
The bassist ako poa sana
Glory be to God
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kazi yenu isisahauliwe hata milele . Amen dada yangu Diana ni alama kubwa kwa utumishi katk kwaya hii
Pokeeeni baraka za bwana. Na wale Ufunuo choir waendelee kujifunza kutoka kwenu haswa kwenye uvaaji maana wanawake wanavaa suruali! Sio sahihi!🙏🙏
Amen. Bwana Yesu KRISTO atende wa utukufu wake. Endelea kutuombea
Amen 🙏 wajina Mungu akubariki yote ni utukufu kwa Mungu
Wow! Hongereni sana kufikisha miaka 35 ya kutoa huduma wapendwa!!!
Hakika mmekuwa wainjilisti wazuri na mmegusa mioyo yetu wengi kutuelekeza na kutukumbusha tutekeleze wajibu wetu wa kiroho!!!
Mbarikiwe saaanaaa AICC Choir
Amen. Tuendeleeni kulitumikia kusudi la Mungu na tuombeane
Wueh, great!!. Blessed is the Mighty Lord .
Amen
Kenya twawapenda sana❤
Asanteni sana, nasi twawapenda pia
Hii song Ina Bamba Sana Ni Kali juu ya Kali blessed 🔥🔥🔥
Glory be to God
Dada ulieanza ubarikiwe kazi yako ni njema
Joel Lumala umetisha sana kaka bgup nyingi CVC kwaya yangu
Glory to God.,
Glory to God.,
Hongereni sana kwaya yanvu pendwa nabarikiwa sana kupitia guduma yenu
Misingi tuliyojengewa ...🔥🔥🔥.
Zaidiiiii❤