TOKA TUMEANZA KUZOZANA NA IKHITILAF TUMEFIKA WAPI SIRI YA MAFANIKIO YETU WAISLAMU NI KUACHA MIZOZO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 26

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 14 часов назад

    Ma shaa allah tabarakallah
    Mi pia nlisema tuache kuzozan kila mmoja abaki n imani yake ❤

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 15 часов назад +1

    Allah akuweke Sheikh kishki

  • @ZawadFadhir
    @ZawadFadhir 10 часов назад

    wallah shekh Allah kakuongoa Nakuombea sana uzidi kuongoka kwahakika tumerudiswanyuma namigogoro isiyo namaana kbs

  • @fazahauzi5382
    @fazahauzi5382 23 часа назад

    Mashallah Sheikh wangu Allah atujaalie Waisilamu tuungane

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 7 часов назад

    mashaa Allah sheikh maneno matukufu umesema. basi utaona kuna waislamu wenye hasad watamraddi ndio hao washirikina wenyewe

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 15 часов назад

    Wallahi sheikh kishki ungekua ndio kiongozi wetu mkuu waislam tunagipa hatua mnooo

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 21 час назад

    Leo shekhe kishki umesema maneno mazito sanaaaaa mungu akulipe kheri shekhe kishki kwan watu wanagawanya waislamu unganisha watu shekhe watu wabaki kitu kimoja kwan mungu amekupa ulimi wa kupendwa na watu,

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 20 часов назад

    Shukran jazzilah kipenz changu

  • @MASHIRAMADHAN
    @MASHIRAMADHAN 14 часов назад +2

    Nisahihi kabisa hakuna faida yoyote iliyopatikana mpaka leo zaidi ya kudhalilishana

  • @uwesusaid5334
    @uwesusaid5334 19 часов назад

    Kishki amesema ukweli kabisa mimi nachukia sana yaani 😢

  • @KibwanaSimba-l3u
    @KibwanaSimba-l3u 9 часов назад

    Sssa nimeanza kukukubali shekh kishki mwanzo nilikua sikuelewi kabisaa
    Mwenyezmungu akupe umri mrefu wenye mafanikio

  • @mohamedbinyusuff1007
    @mohamedbinyusuff1007 13 часов назад +1

    Huyu bachu aende alinganie wakristo anachanganya waislamu na atakuja kusababisha vita baina ya Waislamu

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 19 часов назад

    Sio kweli, waislam waponyuma kila sehemu duniani na sababu kubwa ni nyinyi mnaokubali kupigia debe serekali za kikafiri na kuwataka waislam wawe pamoja na watawala hawo wanaotufanya tuwe duni na kutugawa kwa waislam

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 16 часов назад

    Naomba ufafanue uislam ni upi,wa tawhid 3,au wa tawhid 1.ndipo uunganishe waislam.

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 16 часов назад

    Waislam Hatuna umoja na mawahab,wao Wana tawhid 3,waislam tuna tawhid 1.

  • @AmiriUshanga
    @AmiriUshanga 11 часов назад

    tangulini kishki umeelimika na ume staarabika hadi waya sema haya Au nibaada ya mashekhe wa twariqa kukufundisha?kina shekh muhammad idi na shekh muhammad haatimi kisha viwahavi vyenzio vikaanza kukukosoawa na kuku kataa?

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 22 часа назад

    Wewe kishki unafikiri uislam ni dini yako si ya familia yako. Please Stop

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 22 часа назад +1

      😮nahisi na wew pia ni mfuasi wa ibilis,,yaani kishki anaunganisha watu wawe wamoja alaf wew unaona umoja haufai,sasa hiyo ni akili au matope?.

    • @SeifHamid-t5i
      @SeifHamid-t5i 21 час назад

      sasa umoja gani huo​@@athumanikhamisi3377

    • @SeifHamid-t5i
      @SeifHamid-t5i 21 час назад

      ​@@athumanikhamisi3377kwani huijui hadith ya iftirakil ummah

    • @Salsabiil12
      @Salsabiil12 20 часов назад

      Hajaelewa kweli arudie tena kumwangalia

    • @athumanikhamisi3377
      @athumanikhamisi3377 20 часов назад

      @@Salsabiil12 anajizima data,sio kama hajui.