Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 55

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 5 лет назад +3

    Nimekumis Sana baba yangu wakiroho... Sana Mungu akubariki

  • @Teachercandle
    @Teachercandle 5 лет назад +7

    Jamaa ana IQ kubwa sana..ukikaa nae utajifunza mengi

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 5 лет назад +8

    Dr, Elia tulio wengi wafuasi wa darsa zako ukweli ni tunakuelewa! tunaomba soma la hekma ss maana wengi tunakwama hapo! tuokoe Dr, hekma tulio wengi balaa zitooo!!!!

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 года назад

    Dr Maneno yako yako Smart toka mwanzo mpaka mwisho 🤝🤝🤝🤝

  • @johnmbwambo4327
    @johnmbwambo4327 5 лет назад

    Dr Mungu akubariki na awabariki wote team chomoza yaan nawafuatilie vilivyo

  • @raymondbashaka5948
    @raymondbashaka5948 5 лет назад +4

    daaah!!! jamaa ana madini amazing

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 года назад

    Twakusalimu kwa upendo wa dhati

  • @richardmwaswala11
    @richardmwaswala11 4 года назад

    Nashukuru Mungu kwa ajili yako mwanga unazidi kuongezeka kwangu Ubarikiwe Dr.

  • @hoseakayubu5220
    @hoseakayubu5220 5 лет назад +1

    mafundisho yapo vzr. tatizo moja ni sauti kuifikia vzr.

  • @beatricekikove2979
    @beatricekikove2979 5 лет назад +1

    Asante sana Dk.Elie na Team yote ya chomoza.Mungu awabariki sana.

  • @barick
    @barick 5 лет назад

    Dr.elly tukiacha wanasiasa wafanye siasa na wakulima walime mi naona haijakaa vizuri kwasabu siasa haiepukiki ktk maisha yetu pia wanasiasa ndio wanaoamua kutuyumbisha au la!unaweza ukajenga wanasiasa wakaja kubomoa utawaachaje wanasiasa

  • @yvettenyashimwe250
    @yvettenyashimwe250 4 года назад

    Thank you so much DR .Elie .nawependa sana

  • @raykim6420
    @raykim6420 5 лет назад +2

    Excellent teachings from Dr Elie I really appreciate you sir

  • @mariaurassa8081
    @mariaurassa8081 2 года назад

    Asante Mungu.

  • @OGomba-ht7yq
    @OGomba-ht7yq 5 лет назад +1

    Ubarikiwe sana Dr Elie

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 5 лет назад

    Ahsante sana ,kuendelea kutupata elimu ya kujifahamu sisi ,barikiwe sana,.

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 лет назад +1

    Umenibadilisha sana kimtazamo

  • @lamlanyamdonya2131
    @lamlanyamdonya2131 5 лет назад +6

    Wenye elimu wengi ni wapumbavu balaa .....

  • @egason2591
    @egason2591 5 лет назад +1

    SHUKRANI ZA DHATI KWA TEAM NZIMA YA CHOMOZA

  • @davidmrema3179
    @davidmrema3179 5 лет назад

    Jim huyo doctr namkubali sna aisee

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 5 лет назад +1

    Tukianza kujisoma...... Hahahahahaha ✌ your great nakuelewa Papa

  • @patrickmadiwa3845
    @patrickmadiwa3845 5 лет назад +6

    Dr ilikuwa wapi siku zote ? hakika kuna kusudi kubwa kwa muanzilishi wa Chomoza tv only , nawapenda mno Chomoza. Dr eli Mungu abarikiwe.

  • @patrickndayishimiye41
    @patrickndayishimiye41 5 лет назад

    Doctor anajua,atanifanya niache kwenda kanisani nikuwe najisoma mwenyewe na bible yangu

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 5 лет назад

    Asanteni sana God bless you.

  • @kelvintz7684
    @kelvintz7684 5 лет назад +1

    Ahsante sana

  • @lalasafitungulalasafitungu9141
    @lalasafitungulalasafitungu9141 4 года назад

    Asante

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 лет назад

    Be blessed Dr.

  • @pablomufasa854
    @pablomufasa854 5 лет назад +4

    Sikuwahi kudhani kuna mtu anaezungumza kiswahili anaweza kuwa na hekima kiasi hiki

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 года назад

    Amin

  • @kbdk3065
    @kbdk3065 5 лет назад +2

    Uyo jamaa alisoma sana theology na philosophy

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 5 лет назад +2

    😂😂😂😂somo la leo najikuta nacheka tu nafulai tu

  • @stanuelyherman368
    @stanuelyherman368 5 лет назад

    Nimejifunza mengi kwa maada hii

  • @zachariahexegesists7892
    @zachariahexegesists7892 5 лет назад

    naelewa saaana

  • @dr.tumainiandrea6957
    @dr.tumainiandrea6957 5 лет назад

    Nawafuatilia sana kutoka hapa India 🇮🇳
    Dr. Elie & Chomoza Tv, Tufanye Hatua Za kuingiza masomo haya katika mfumo Wa elimu Yetu, ili tunusuru Vijana wetu.

  • @graciousmeena3
    @graciousmeena3 4 года назад

    Kipindi kinanibarikii Sanaa
    Na Un kwepable🤣 kwangu🤣🤣

  • @chachamagoti2400
    @chachamagoti2400 5 лет назад

    naomba mruhusu video zenu tudanload

  • @remigiuschilumba4685
    @remigiuschilumba4685 5 лет назад +10

    Kama Dr Elie una kitabu chochote tujulishe vinapatikana wapi naomba namba za simu ili nikipate

  • @cuthbertmaro9131
    @cuthbertmaro9131 5 лет назад +1

    Solomonic wisdom

  • @imakisaka1548
    @imakisaka1548 5 лет назад +1

    Mbona inakatakata au nikwangu tu!

  • @asiabidyabidya5971
    @asiabidyabidya5971 5 лет назад +1

    Amen

  • @burundisgottalent2184
    @burundisgottalent2184 5 лет назад

    Salama chomaza tv, naomba Dokta akimaliza color ya violet, niuliziye mtu izo color zilivugika dawa ni ipi?

  • @lamlanyamdonya2131
    @lamlanyamdonya2131 5 лет назад +3

    Unkwepable 😁😁😁

  • @emmanuelmayombo6188
    @emmanuelmayombo6188 5 лет назад +1

    Dr nauliza uneandika kitabu chochote?

  • @victoremanuelmollel5396
    @victoremanuelmollel5396 5 лет назад

    Dr una vitabu vyako na je nitavipataje???

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 5 лет назад

    Introverted hapo sasa

  • @egason2591
    @egason2591 5 лет назад

    HAHAHAH NI SAA TISA USIKU LAKINI NIMECHEKA KWA SAUTI

  • @remigiuschilumba4685
    @remigiuschilumba4685 5 лет назад +1

    Watu wengi wanaokwenda shule wanawatumikia watu wenye hekima

    • @brydenkalus3979
      @brydenkalus3979 5 лет назад +1

      Kizazi hiking kinaitaJi mafundisho haya

    • @remigiuschilumba4685
      @remigiuschilumba4685 5 лет назад

      @@brydenkalus3979 wenzetu walioendelea wameyajua haya ndo
      maana kuna wahamasishaji wengi

  • @hellychavdy5531
    @hellychavdy5531 5 лет назад

    Kwer wewe Dk nikwanza reo nimekusikia ya umenikosha nafsn