MASWALI NA MAJIBU NA CHARLES HILARY (Kiswahili Only)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 35

  • @chahali
    @chahali 9 лет назад +3

    What can I say, well, nimeyapenda mahojiano hayo kati ya baba na bintiye, nimependa umahiri wa Charles katika kujibu maswali hayo, na nimevutiwa zaidi na mchanganyiko wa facts na stories kama hiyo ya South Africa na Kenya, na zaidi ya yote ni hiyo hobby yake katika kilimo. Imenifanya na mie nijione nipo kwenye kibustani changu naangalia mbongamboga na kadhalika. One of the best videos nilizokwishaona kwa mwaka huu 2015 (and I watch a lot of them). Big up, Fay!

    • @TanzanianVloggerr
      @TanzanianVloggerr  9 лет назад

      And what can I say? Other than just giving you my sincere thank you. Thank you for your support and very heartfelt comment, greatly appreciated. And try to plant stuff in spring you know, that's when most produce can grow properly! Hehehe thank you so much

    • @armstrong_007
      @armstrong_007 Год назад

      @@TanzanianVloggerr
      YOU ARE VERY BEAUTIFUL GORGEOUS LADY OF EAST AFRICA AND AFRICA…..!

  • @nsabimanajeanbaptiste9251
    @nsabimanajeanbaptiste9251 3 года назад

    Kutoka Rwanda nilipokuwa nchini Kenya wakati wa utoto nilivutiwa sana kukusikia ukitangaza katika BBC sana sana wakati wa kombe la dunia. Jameni sauti yako,umaarufu wa utangazaji kiswahili chako kilinipendeza. Nyakati hizo ndoto yangu ilikuwa kuwa mtangazaji kama wewe lakini hazikutimia. Bali sikukata tamaa nilifaidika kufahamu kiswahili kwa kiwango nilichoitaji. Shukran Charles Hillary!

  • @GodloveLwendo
    @GodloveLwendo 9 лет назад +3

    Hey sijawahi kujua kama kuna hiki kitu kinaendelea, i just found my self here. Very brilliant! Hongera mdada.

  • @jacksonmboroomanase1941
    @jacksonmboroomanase1941 5 лет назад +2

    hongera saana mzee charles Hilary..hongera pia kwa bint wako

  • @rehemamassawe8321
    @rehemamassawe8321 9 лет назад +2

    waooooh dady ana voice nzuri sanaaa aiseee so funny so happy so lovely to have a dady like him

  • @BrunoJoseph90
    @BrunoJoseph90 9 лет назад +3

    Show ya leo iko poa. umejitahidi keep it up.

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 4 года назад

    Huu mkao na mavazi.......hongereni

  • @khadijaludiashermarx6880
    @khadijaludiashermarx6880 9 лет назад +3

    good one hun... 💜 unajitahidi siku baada y siku

  • @ZEZETVTZA
    @ZEZETVTZA 9 лет назад +1

    great work Daughter ....... was nice muamkie Daddy

  • @Godlovemmanuel
    @Godlovemmanuel 9 лет назад +1

    🙌 🙌 Umetisha Kazi nzuri

  • @ibrahimkisili99
    @ibrahimkisili99 9 лет назад

    Oooooh...Hii nzuri saaana. nadhani unakuja vizuri na kitu kipya kipya hivi

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 5 лет назад

    Kuishi nchini kitu kizuri sana kuliko ugenini✌️👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Desytz
    @Desytz 9 лет назад +2

    Nice 1 👏👏

  • @kelvinfaustin
    @kelvinfaustin 9 лет назад +2

    Kwanzia leo we are changing the name to ROGERS coz yo name is jus too good and halikufai Anyways big Up

    • @TanzanianVloggerr
      @TanzanianVloggerr  9 лет назад

      +kelvin faustin hahahahahha u r craaaazy!! lol Thanks dear

  • @denispeter7684
    @denispeter7684 8 лет назад +1

    hongera :)

  • @OscarEugine
    @OscarEugine 9 лет назад +2

    Awesome Q&A

  • @moruoking
    @moruoking 9 лет назад +1

    Faith ungeitwa rogger eeh? haha, kazi nzuri sana

  • @geofreybonner5967
    @geofreybonner5967 9 лет назад +3

    Roggeeeeeer😂😂 nice work but punguza kucheka bhana

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 лет назад

    Charles tunakuani elimu ni ngumu kwetu Pia vituo vingi havina uwezo na uthabiti wa kutowa habari na vyombo vingi vinakuwa na woga wa kuwahoji viongozi. Ni mahojiano ambayo yako kifamilia zaidi napenda uwe msimamizi na mshauri wa habari katika vyombo vyetu. Hapo ndipo hasa watanzania wanapopakosa katika habari.

  • @geofreybonner5967
    @geofreybonner5967 9 лет назад +1

    na me nasubiri kumuuliza dad next vdeo