MUNGU ANAJUA NI LINI MAMBO YAKO YATAKAA SAWA (SEH 2)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 147

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 2 года назад +3

    Pastor una busara sana hakika ww ni mtumishi wa Mungu

  • @judithmakoye6592
    @judithmakoye6592 3 года назад +17

    Asante Yesu, kila ninalolipitia lipo kwenye ramani yako Mungu wangu hata kama linaniumiza na kunitoa machozi, kuna asubuhi njema inakuja, asante Yesu

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 3 года назад +11

    Mungu Mwenyezi asantee kwa namna unavyotenda maishani mwangu, BABA OMBI LANGU KUU NIFUNDISHE KUKUAMINI, NIFANYE KUWA MBARAKA KWA WAHITAJI WENZANGU.

    • @nikolasjeffery3225
      @nikolasjeffery3225 3 года назад

      pro tip: you can watch movies at kaldroStream. Been using it for watching a lot of movies recently.

    • @raylanamir3359
      @raylanamir3359 3 года назад

      @Nikolas Jeffery yup, been using kaldrostream for since december myself :)

  • @isayakomba9467
    @isayakomba9467 3 года назад +7

    Namshukuru MUNGU kwa hili neno la leo maana limenitia tumaini Sana maana changamoto nyingi nilizozipata nikigeuka nyuma na hapa nilipo sasa kwakwer acheni MUNGU aitwe MUNGU , mchungaji ubarikiwe Sana umenigusa Sana kweri sikuzaliwa kwa bahati mbaya maana nilihisi hvo kabisa na kuna mda nilikua na blem Sana kuhusu wazazi wangu kwann walifany niwepo dunian bila kuniandalia mazingira had napata shida hivi kumbe nimejua leo nimekua na nimezaliwa kwa mpango maalumu sasa Nina Amani moyoni mwangu , ubarikiwe Sana mchungaji 🙏🙏🙏

  • @susanotambo9544
    @susanotambo9544 3 года назад +4

    Asante Mtumishi wa Bwana Neno hil somo limeni funza. Ubarikiwe sana.Bwana ni mwema,kila wakati,

    • @wemapaul674
      @wemapaul674 2 года назад

      Pastor niombee nikue kiroho

  • @josephkimbory7700
    @josephkimbory7700 3 года назад +4

    Ashukuriwe bwana Mungu wa Majeshi kwa kutufungua akili na mioyo yetu kupitia kwa mtumishi wake. Hakika neno hili limenifundisha na kunifungua akili katika mambo mengi. Ikafanyike baraka kwako mtumishi wa Mungu

  • @mercywanjala3762
    @mercywanjala3762 Год назад +1

    Ameni🙏..nimebarikiwa naneno la Mungu... inanitia nguvu.ameni🙏.

  • @gracejohn1769
    @gracejohn1769 3 года назад +1

    Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako na hakika pastor masomo yako yananibariki sana, japo napitia changamoto ila masomo yako yananipa ujasiri wa kisonga mbele kwa imani, kazi yangu ni kukuombea tu afya njema na maisha malefu.

  • @dianamalaba1776
    @dianamalaba1776 3 года назад +3

    Ombi langu kwa Mungu kila siku ni kukutunza pr.maana umekuwa mbaraka mkubwa Sana kiroho kwny maisha yangu.napata nguvu sana na matumaini mapya kila nkisikiliza masomo yako.ubarikiwee pr.Mmbaga.

  • @damarisangasa9757
    @damarisangasa9757 3 года назад +2

    Asante sana Mungu kwa maana wewe ndiwe dereva wa maisha yatu.Hakika kwa Yesu narelax tu.Bwana asifiwe kila wakati.Asante sana mtumishi wa Mungu maana ujumbe umeufikisha.Mungu akushushie baraka teletele

  • @simonfundisha6817
    @simonfundisha6817 3 года назад +1

    Ahsante Mungu kwa ajili ya Neno Hili. Mungu na Unifanye Nikutii wewe siku zote za Maisha yangu. Kwa maana Maisha Yangu yote umeyachora katika Viganja vyako. Ukanifanye kuwa Mbaraka ktk Maisha Yangu yote. Niwasamehe watesi Wangu ili Nani nisamehewe dhambi Zangu. Amein.

  • @rubias2978
    @rubias2978 2 года назад +1

    Ni kweli acha mungu aitwe mungu siku zote ubarikiwe

  • @trizatina7219
    @trizatina7219 2 года назад +1

    Amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu umenitua mzigo uliyokua moyoni umenipandisha kiwango kingine asante sana

    • @NeemaSitta-i2b
      @NeemaSitta-i2b Год назад

      Asante mungu sana mwanangu kaolewa na msabato yeye.
      Ni mlokole mwòmbee awe msabato

  • @Pendomabula
    @Pendomabula 3 года назад +1

    Namshukuru Mungu kwa ajiri ya huyu PR,hunifanya niendelee kumpenda MUNGU zaidi na zaidi ktk hali zote Niko salama rohoni mwangu kwa ajiri ya Mungu anayemhubiri.

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 3 года назад +6

    Thank you LORD because you're the LORD of LORDS and everything is possible before you. GOD bless u pastor for the powerful teaching .

  • @anastaziaemily4708
    @anastaziaemily4708 3 года назад +2

    Duh, Mungu tusaidie tuitambue thamani yetu, kwamba n zaid Mali zote za dunia......!!!!

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 3 года назад +1

    Asanteee Mungu kwa kuruhusu nilisikie SOMO HILI LEO, Jina Lako LITUKUZWE BABA.

  • @MaombiJofre-k8m
    @MaombiJofre-k8m Год назад

    Asante YESU kwamaana leo nimejua kuwa wewe wajua nilini utanivusha hapa nilipo ,pai Bwana nakukabidhi kila hatua zangu ziongoze wewe 🙏🙏🙏🙏

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 3 года назад +3

    Ameen sana pastor kwa somo zuri limenibariki sana

  • @froline5209
    @froline5209 Год назад

    AMEN 🙏🏻🙏🏻. Utajiri wangu sio pesa, pesa ni yule ambaye aliye ndani yangu.

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 3 года назад +1

    Amen, Mungu akubariki sana pastor

  • @Mathias-yi5bo
    @Mathias-yi5bo 6 месяцев назад

    Barikiwa sana pastor hili somo ni zur na nnaona ni jipya kila sku kwa sababu linanibariki kila nikilitazama Amen🙏🙏

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 3 года назад +7

    Aminaa pastor nakujuza kwamba unawaandaa walimu uku nje ambao huwajuwi. Wenzangu wanashangaa kwani wewe unasomaje biblia nawaambia Mahubiri TV wamenisaidia mno kupenda kusoma neno na kusikia Mahubiri.Pastor kupitia mafundisho hayo Mungu amenitoa kabisa kutoka kupenda mambo ya ulimwengu hadi nikawa mwalimu wa neno online Wenzangu wanapata tumaini ya kuendelea na kazi licha ya kupitia changamoto mingi uku Saudi Arabia. Barikiwa sana.

  • @victoriousblessedmom4343
    @victoriousblessedmom4343 3 года назад +2

    Amen and I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree and Believe and receive this Powerful Prayers upon my life and my Son and my family We receive Devine Miracle Victory in our case 12 may let the court and the judge declare victory over my case on 12 may we shall testify through Christ Jesus because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God

  • @isabelavictor9964
    @isabelavictor9964 3 года назад +2

    Asante Sana mchungaji kwa neno la Mungu takatifu🙏

  • @linethowire7031
    @linethowire7031 2 года назад

    Hakika Somo hili limenigusa na linanibadilisha Sasa,niwe mtu wakusikiliza SAUTI YA BWANA MUNGU WANGU TU....MTUMISHI ubarikiwe kwa kazi nzuri unayoifanya....Hakika nimebarikiwa Sana...AMEEEN...

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 3 года назад +5

    Baba yangu uliye mbinguni nakupenda sana naomba unipende na Mimi pia

  • @linethowire7031
    @linethowire7031 2 года назад

    Asante kwa maneno yenye kuleta moyo Kwangu/kwetu...Sasa Sina hofu Maana Bwana alinijua Mimi Lineth hata kabla ya kuzaliwa Kwangu ,... Ubarikiwe Pastor kwa Somo zuri...Mungu na akubariki

  • @meilleurkitoko7487
    @meilleurkitoko7487 3 года назад +2

    AMEN👏NASHUKURU KWA NENO HILI LIME NITIA MOYO KWA CHANGA MOTO NI NAZO.NAMUSUBIRI MUNGU ATENDE.

  • @namsifumaduhumwita2495
    @namsifumaduhumwita2495 3 года назад +1

    Nakushukuru Mungu kwamba unaniwazia mema siku zote

  • @neemajonas5459
    @neemajonas5459 Год назад

    Asante pr, kupitia somo hili Mungu ameweka tumaini jipya ktk moyo wangu. Hakika ameniongezea nguvu furaha na amani. Asant sn

  • @joycegesare1571
    @joycegesare1571 3 года назад +1

    Amen, nimebrikiwa na hili somo , pastor nimekufuatilia sana na mila nimizikilisa fundisho lako nasikia kuna nguvu mpya sasa nikaamua kwamba kila asubuhi nikiamka maombi kwanza then fundisho lako, mungu akubariki sana pator

  • @estherwambuies1782
    @estherwambuies1782 3 года назад +1

    Lime nibariki hilo neno mungu aedelee kukuinua mtumishi wa mungu

  • @azaransari7307
    @azaransari7307 3 года назад +2

    Amina, Yeremia 29:11 imenigusa sana kwa kipindi ninachokipitia salamu nyingi sana kutoka Germany, Nakufuatialia sana na umenisogesa sana ktk imani yangu na ukaribu wangu na Mungu.

  • @Vel42
    @Vel42 3 года назад +1

    AMEN ninahitaji maombi MUNGU anitawale na anioshe nikuwe msafi.Pastor niombee kuna my cousin ako na pesa zangu anirudishie.

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 года назад +2

    AMINA.🙏asante sana kwa mahubiri mchungaji,na kwa maombi pia....napenda jinsi hua unaanzisha nyimbo pia.barikiwa sana🙏

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 3 года назад +2

    its a blessing to listen to you mtumishi.Regards frm kenya

  • @marsellah9295
    @marsellah9295 2 года назад

    Ninafuraha pastor 🙌 🙏 na mahubiri yako ubarikiwe sana

  • @joycemaxmillian4909
    @joycemaxmillian4909 3 года назад +1

    Mungu akutunze pastor na akubariki

  • @leahdaniel271
    @leahdaniel271 3 года назад +1

    Amina jina la BWANA litukuzwe

  • @amosbyarufu100
    @amosbyarufu100 3 года назад +1

    Asante kwamafundisho mtumishi

  • @antoinettefuraha8790
    @antoinettefuraha8790 3 года назад +3

    Amen huwa nabarikiwa sana na Pr David

    • @ruthnzotha1410
      @ruthnzotha1410 3 года назад

      Mchungaji ubarikiwe sana niombi langu ikimpendeza mungu uje kabuki xku moja

  • @juliusmantago4511
    @juliusmantago4511 3 года назад +1

    Pasta mbaga ubarikiwe sanavna Mungu akujalie maisha marefu.

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 3 года назад +1

    Amen, Bwana azidi kukubariki

  • @salehlubunga1892
    @salehlubunga1892 2 года назад +1

    Amina sana Mchungaji wangu

  • @asherwarda7590
    @asherwarda7590 3 года назад +2

    Amen, am blessed man of God....following from saudi Arabia

  • @joycekabungo6483
    @joycekabungo6483 2 года назад +2

    Dah Mungu ni mkubwa fadhili zake hazichunguziki

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 4 месяца назад

    Asantii YESU nimembalikiwa nikiwa Saudi Arabia, jameni MUNGU wetu ni ajabu kweli nimelipokea Kwa wakati 🙏🙏🙏🙏

  • @dausonmdee4303
    @dausonmdee4303 Год назад

    Nibaada ya miaka miwili lakini hili Neno bado like hai kwaajili yangu.... Ninapokea kwa Jina la Yesu Kristo

  • @dorcasrhobi8211
    @dorcasrhobi8211 2 года назад

    Amen pst ubarikiwe

  • @joyceobiyanyaundi1977
    @joyceobiyanyaundi1977 3 года назад +2

    Mungu wangu asante KWA yote unayonitendea siku KWA siku. Mahubiri haya yamenitia nguvu, Mungu nishindie the remaining part ndio nipate nafasi ya kwenda kuona watoto wangu Africa. Amen

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 года назад

    Kiukweli hili somo nimekuwa nikililudia kila Mara Amina pastor

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 3 года назад +1

    Ameniii Mungu nakupendaa

  • @محمدالاحمدي-ف4ص
    @محمدالاحمدي-ف4ص 3 года назад +1

    Nasikiza mahubiri nikiwa saudia mm nimkenya haki nimeeka pesa mbele na kila siku haitoshi Nimechoka lakini naongeza miezi kila siku 😪😪haki limenifariji barikiwa sana mtumishi

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 3 года назад +1

    Amen,kila kitu hufanyika na wakati wake,wakati ikiifika ushaafika.

  • @PeterCharles-yc7tn
    @PeterCharles-yc7tn 6 месяцев назад

    Kiukweli mchungaji umenifungua macho ninauza biashara yangu koliko wote namshukuru mungu sana asante sana mungu

  • @KabulaElias-l5c
    @KabulaElias-l5c 9 месяцев назад

    Kwakweli Mungu akuongoze na akulinde mchungaji

  • @marymachete9152
    @marymachete9152 3 года назад +1

    Asenta mungu kwa uai najua umenimbangie mema yeremai29. 11

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 года назад

    Dumu kubarikiwa pastor hakika unabariki wengi

  • @pendomatei846
    @pendomatei846 2 года назад +1

    Ameeeeeeeee napokea mtumizi

  • @madgaleinebukuru6572
    @madgaleinebukuru6572 3 года назад +1

    Mtumishi naitaji maombi naitwa magdaleine please

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 года назад +1

    Yan mchungaji aya mahubiri naona unanisema mimi apa😭😭😭😭Mungu akubariki

  • @KabulaElias-l5c
    @KabulaElias-l5c 9 месяцев назад

    Mungu akulinde na kuongoze sana

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 Год назад

    Barikiwa sana Pastor Mbaga 🙏🏻

  • @francomukumu
    @francomukumu 3 года назад +1

    Tafadhali upload that hymn, Nimeskia Mbiu

  • @victoriousblessedmom4343
    @victoriousblessedmom4343 3 года назад +2

    Amen 🙏 Hallelujah Glory be to God

  • @paschalemmanuellutandula8640
    @paschalemmanuellutandula8640 3 года назад +1

    Kwan Petro mwenyewe anasemaje 🤣🤣🤣

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 года назад +2

    Ahsante mungu ananiwazia mazuri niko Qatar mimi Kenya

    • @otiliahaule6867
      @otiliahaule6867 3 года назад

      Hakika Mungu nimwema kwetu naomba no ya WA whatasp yako Dada Elizabeth

    • @byamungubahati5978
      @byamungubahati5978 3 года назад

      Asante, habari za Qatar?

    • @davidhezron9478
      @davidhezron9478 3 года назад

      mungu ni mwema hakika naomba namba yako ya whattapp

  • @salomehingi19
    @salomehingi19 3 года назад +1

    Amina pr

  • @galaxykahalid3172
    @galaxykahalid3172 3 года назад +1

    Amina Mchungaji nabarikiwa san

  • @andreakulwa2759
    @andreakulwa2759 3 года назад +1

    Ameen

  • @piliechildofkingjesus4594
    @piliechildofkingjesus4594 3 года назад +1

    Amina.. glory glory to God in the Highest

  • @gracebasondole6990
    @gracebasondole6990 Год назад

    Mungu akutunze sana poster, unanikuza kiroho kila iitwapo leo

  • @claricealice4241
    @claricealice4241 3 года назад +1

    Asant sana n'a mungu asifiwe

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 года назад +1

    Ameen pastor

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 3 года назад +2

    Amina

  • @joyceobiyanyaundi1977
    @joyceobiyanyaundi1977 3 года назад +5

    God you hold the future. You know me well than I know myself.

  • @marthakahimba1390
    @marthakahimba1390 3 года назад +1

    Mch Mungu Akubariki samahani naomba nisaidie namba yako

  • @glorykamenya2543
    @glorykamenya2543 3 года назад +1

    Amen pastor

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 8 месяцев назад

    Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dinahk.7622
    @dinahk.7622 2 месяца назад

    Asante sana mchungaji

  • @peninadunda6348
    @peninadunda6348 3 года назад +1

    Amen

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 3 года назад +1

    SAWA mchungaji.

  • @wadyanali900
    @wadyanali900 3 года назад +1

    Amen. Am blessed

  • @lucasmabuli9374
    @lucasmabuli9374 3 года назад +1

    Aminaaa

  • @rimepeter789
    @rimepeter789 3 года назад +2

    Amen ❤🙏

  • @jacquelinebyaombe9729
    @jacquelinebyaombe9729 3 года назад +1

    AMEN 🙏 SANA

  • @ombenigodfrey1182
    @ombenigodfrey1182 3 года назад +1

    Pastor naomba unisaidie mawasiliano yako

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 года назад +1

      +255 755 932 283 Whatspp

    • @ruthmnyuku7113
      @ruthmnyuku7113 3 года назад

      Dear pr nakupenda sana unajua technic za kuwaweka watu huru barikiwa sana

  • @sarahbahath333
    @sarahbahath333 3 года назад +1

    Mungu akubarik san natamn kupat namb yako ya whatsap me ninayo changamoto ya uchumb lakin kila nikisikiliza mafundisho yako najikuta napat nguv tena

  • @febbycosmas6298
    @febbycosmas6298 3 года назад +1

    Àmen

  • @ZilipaDickson-u4w
    @ZilipaDickson-u4w 6 месяцев назад

    Somo zurii ❤❤

  • @delishbby8542
    @delishbby8542 3 года назад +1

    I surrender my all to you Jesus.

  • @dinahk.7622
    @dinahk.7622 2 месяца назад

    Hallelujah

  • @rizikichigodi4316
    @rizikichigodi4316 3 года назад +1

    Ameeen

  • @wittinessmbwambo5759
    @wittinessmbwambo5759 3 года назад +2

    Pastor nafurahia Ila ulituahid Kuwa mwanzoni April utaleta somo la ufunuo

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  3 года назад

      Kuna MKUTANO WA INJILI MWEZI WA 10 ,WIKI 2 zote ni UFUNUO,NIMEONA NISUBIRI

    • @onesmoelias8509
      @onesmoelias8509 3 года назад

      We witnes mbwambo ameshalitoa andka tukasa

  • @kizajacqueline8583
    @kizajacqueline8583 2 года назад

    Amen 🙏

  • @priscamb10
    @priscamb10 Год назад

    ❤❤❤

  • @wankurujulius4510
    @wankurujulius4510 3 года назад +1

    0p

  • @beatricempiga-ex9wz
    @beatricempiga-ex9wz Год назад

    MUNGU atusaidie

  • @karatasimsilu8928
    @karatasimsilu8928 3 года назад +1

    Mm ninaomba namba zako mchungaji