NI NANI HUYU - PR DAVID MMBAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 60

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 День назад

    Thank you LORD for You will never leave me. GOD bless you so much Pastor Mmbaga,I've been blessed greatly.

  • @chance0709
    @chance0709 27 дней назад +2

    Kweli mahubiri yako yananitia nguvu Nakiri ❤❤❤❤❤

  • @FulgenceNombo
    @FulgenceNombo Месяц назад +2

    Mahubiri yako yanatia Nguvu sana, Mungu akujaze Roho mtakatifu zaidi kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo.

  • @LeahObedi
    @LeahObedi 2 месяца назад +4

    ninabarikiwa sana na ww mchungaji. Mungu wetu akubariki sana na familia yako. niombee sana na mm katika hali ngumu ninazopitia.

  • @AgnesLukinga
    @AgnesLukinga 11 дней назад

    Nimebadilika sana PR , MUNGU AWABARIKI,lakini mimi na Familia yangu atuoneshe njia ya kutokea baada ya changamoto tuliyopita tuvuke kwa UTUKUFU Wake

  • @MahamakigeorgeMkamba
    @MahamakigeorgeMkamba 25 дней назад +1

    Kaka mshukuru sana Mungu kama unaguswa na mahubiri haha songa mbele na Mangu wa mbinguni awe nawe daima

  • @ClaudineClaudine-h9f
    @ClaudineClaudine-h9f 2 месяца назад +2

    Amen Mungu akubariki sn Mtumishi wa Mungu pamoja na familia yako yote 🙏🙏

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 22 дня назад

    Amen bwana akubariki mtumishi Kwa mafundisho mazuri

  • @mussacharles5311
    @mussacharles5311 2 месяца назад +7

    MMBAGA moyo wangu ukikusikilza unapata falijiko sana,nipo Tanzania tabora igunga.

  • @amororogers8597
    @amororogers8597 2 месяца назад +2

    Nashukuru sana kwa mahubiri Yako yamenibadilisha sana mpaka namuona yesu

  • @btechie04
    @btechie04 2 месяца назад +6

    Ubarikiwe mtumishi, tunaona upendo wa Mungu kupitia mafundisho yako.
    Mungu wetu azidi kukutumia kwa ajili ya utukufu wake.
    Amina

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 2 месяца назад +1

    Pasto mungu akubariki napitia hali ngumu nashukuru Mungu kwa kunileta hili somo limejipatia ukatili wa kuzinga mbele kwa imani kwamba ya anaweza yote

  • @CarinaNyamagwa
    @CarinaNyamagwa 2 месяца назад +1

    Napenda unavyo tafsiri maandishi , mungu hatuonei haya kama wadogo zake.mimi nami ntaijua lini biblia

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 2 месяца назад +1

    Nabarikiwa saana Pr.

  • @beatricekatunzi3721
    @beatricekatunzi3721 25 дней назад

    Ameeen❤

  • @AngelinaChacha-gb3yh
    @AngelinaChacha-gb3yh Месяц назад

    Mungu akubariki kwa mafundisho, na maelekezo ya kuutafuta uso wa Mungu.

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 месяца назад

    Mungu akubariki sana pastor hakika najikuta napona

  • @janetwambuchi830
    @janetwambuchi830 2 месяца назад

    Amen 🙏🙏 nabarikiwa sana pr be blessed

  • @gelardjames2595
    @gelardjames2595 2 месяца назад

    Barikiwa sana Mchungaji Mmbaga 🙏🙏..

  • @kitalejuniordairyfarm3483
    @kitalejuniordairyfarm3483 25 дней назад +1

    Sabato njema wapendwa.Haki mahubiri yanatutia nguvu

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 Месяц назад

    Amen 🙏

  • @Aaronmodesty
    @Aaronmodesty 8 дней назад

    Mimi Niko kwenye misho wadunia, naomba maombi yaukombozi.

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 2 месяца назад

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @tomborathomas2124
    @tomborathomas2124 2 месяца назад

    Kazi ya Mungu haitasimama Licha ya majaribu nimeshajoin tena

  • @DotoS12
    @DotoS12 2 месяца назад

    Amina ,mch mbaga Ile mahubiri tv Bado hamjairudisha mikononi mwenu???

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 2 месяца назад +1

    Asantii YESU❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @christinalunyilija
    @christinalunyilija 2 месяца назад +1

    Amina

  • @DoreenCaspian
    @DoreenCaspian Месяц назад

    Hata nikishitushwa usingizn pr yupi unamkubali bhas ni David mmbaga

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 Месяц назад

    AMINAAA

  • @LeahKabosoro
    @LeahKabosoro 2 месяца назад

    Amen

  • @MachineTayc-x3e
    @MachineTayc-x3e День назад

    Neno limeingia

  • @EsperanceKahindo-kc4gq
    @EsperanceKahindo-kc4gq 2 месяца назад

    Ikiwa hii Channel imeingiya majaribuni, tusiwe na hofu, kwasababu yesu mwenyewe, huwa anajifanyiya kazi yake.

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 2 месяца назад

    Aminaaa

  • @christinalunyilija
    @christinalunyilija 2 месяца назад +1

    😅😂😂😂

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 2 месяца назад

    Nauliza hapo alipoponya mama mkwe wa petro ..petro alikuwa bado mwanafunzi . Wa. Yesu?

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 2 месяца назад

    Hyo nembo cyo. Mbona inanembo ya jua?

  • @joynaiponaipasoi1335
    @joynaiponaipasoi1335 2 месяца назад

    Mchungaji hii Mahubiri TV2 mpya?

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 2 месяца назад

    Wana wa giza walituibiya Mahubiri Tv hivyo hii Mahubiri Tv2 ni backup channel. Mahubiri Tv, walioiba wameshindwa Bwana ameirudisha.

    • @wordsofhopewestpalzab4875
      @wordsofhopewestpalzab4875 2 месяца назад

      Kwa Nini upuuzi wa namna hii waka fanya, basi kwa Hayo Mungu kafunguwe macho yao kuona nuru

  • @beckykenyaable
    @beckykenyaable 2 месяца назад +1

    What happened to mahubiri TV

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 2 месяца назад

    Hii chanel pastor alisema imehakiwa. Nahivyo picha ya malaika sielewi. Ama adui wanarusha vipndi. Au mindosjaelewa jamani

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 2 месяца назад +11

    𝘏𝘪𝘷𝘪 𝘸𝘦𝘸𝘦 𝘱𝘳 𝘩𝘶𝘸𝘢 𝘶𝘯𝘢𝘯𝘪𝘫𝘶𝘢𝘫𝘦 𝘱𝘢𝘬𝘢 𝘶𝘯𝘢𝘯𝘪𝘰𝘯𝘨𝘦𝘢 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘮𝘢𝘩𝘶𝘣𝘪𝘳𝘪 𝘺𝘢𝘬𝘰.?😢😢

    • @nahasonfadhili-un8or
      @nahasonfadhili-un8or 2 месяца назад +1

      Ananiongeleaga mimi, sio wewe🙄😁

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 2 месяца назад

      @@nahasonfadhili-un8or 𝘋𝘢𝘩 𝘬𝘸𝘢𝘬𝘸𝘦𝘭𝘪 𝘩𝘶𝘺𝘶 𝘣𝘸𝘢𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘭𝘢 𝘯𝘪𝘬𝘪𝘧𝘶𝘯𝘨𝘶𝘢 𝘮𝘢𝘩𝘶𝘣𝘪𝘳𝘪 𝘵𝘷 𝘯𝘢𝘬𝘶𝘵𝘢 𝘢𝘯𝘢𝘯𝘪𝘴𝘦𝘮𝘢 𝘵𝘶 𝘮𝘪𝘮𝘪 𝘪𝘭𝘢 𝘯𝘢𝘴𝘩𝘶𝘬𝘶𝘳𝘶 𝘬𝘸𝘢𝘬𝘶𝘸𝘢 𝘢𝘮𝘦𝘯𝘪𝘰𝘬𝘰𝘢.

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @Grace-ts2rf
      @Grace-ts2rf 21 день назад

      hh

    • @Grace-ts2rf
      @Grace-ts2rf 21 день назад

      ni roho mtakatifu,

  • @fredinandvyoisaka6490
    @fredinandvyoisaka6490 2 месяца назад +1

    Ooh kumbe Kuna mahubiri tv2!!

    • @ellycondanptyltd3437
      @ellycondanptyltd3437 2 месяца назад

      Ile ya kwanza imedukuliwa, haipo tena mikononi mwa Pastor Mmbaga, kwa sasa tupo hapa hadi itakapotangazwa vinginevyo tena

    • @JuliaLumande-r4p
      @JuliaLumande-r4p 2 месяца назад

      🤔???

    • @tomborathomas2124
      @tomborathomas2124 2 месяца назад

      Hii ndio sahihi ile ya kwanza muovu ameivamia ila kazi ya Mungu haitasimama

  • @InnohubGroup
    @InnohubGroup 2 месяца назад

    Fake fake fake a million times

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 Месяц назад +1

    Amen!

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q Месяц назад

    Amina