Arrange Mariage is the best, ina heshima,adabu ndio inayo dumu hasa kwa karne hizi za sasa hakuna tena heshima kwa ndoa, shukran kwa topic nzuri mashalah
Mmenigusa wawahi.....mi wanangu kwa bibi yao mzaa baba hawataki kwenda...wameambiwa na shangazi yao wao weusi wanachafua dunia😢...mim ni mweusi ..na mme wng mweupe...sas watot wamechnganya....na watot wa shemeji yng wanapakatwa km wafalme hua basi watot wng hawatki at kukuskia ..binafsi naumia mnoooo😢😢
Si ubaguzi ndugu lkn ukweli ili ndoa iwe na ufanisi inahitaji uwiano wa kimaadili , utamaduni na sillka , ili baadae mkipata watoto mujuwe vipi mtawalea na kusiwe na mvutano iwapo wanandoa mutaamua kwenda ukweni
Wazanzibar Wengi wao waislam jina hawafati u Islam wanafata Mila na desturi usheitwain kibao wanajifanya miungu watu....wanasambaratisha ndoa kwa majini alimradi yao yawaendee laanakum
Bora tunyamaze tu...tutaanza kuliya upyaaa.... Mungu atupe subra kwenye mitihan yetu
Arrange Mariage is the best, ina heshima,adabu ndio inayo dumu hasa kwa karne hizi za sasa hakuna tena heshima kwa ndoa, shukran kwa topic nzuri mashalah
MashaAllah somo zurii❤
Mtihani Kwa kweli Allah qaddar wa yote tuzidi kuomba Dua tu
Subhana Allah 😭 Al-Malik Quddus Yaa Allah 🤲
Masha Allah somo zur na chagamoto tuna ziona na kupitia
Asalam aleykum hamjambo kwakweli mm sitaki kuchangia kitu KTK hii mada mana inauma mmnoo niseme t shukran sana alfatah TV online
Astaghfriallah llaadhim eeee pilau safiii sheikh 😂😂😂
Masha ALLAH 🎉🎉🎉❤
Story nzuri mashallah
Mmenigusa wawahi.....mi wanangu kwa bibi yao mzaa baba hawataki kwenda...wameambiwa na shangazi yao wao weusi wanachafua dunia😢...mim ni mweusi ..na mme wng mweupe...sas watot wamechnganya....na watot wa shemeji yng wanapakatwa km wafalme hua basi watot wng hawatki at kukuskia ..binafsi naumia mnoooo😢😢
Mtihan kwa kwel pole
Assalamualaikum
Waaleykum salaam
Wa kwanza mm now Alhamdulillah
Mashaallah lakin hayo mapambo hapo sio sehem yake
Haswaaa wazanzibar mmezid ubaguzi jamn
Mutuwache kila moja na hulka zake na desturi