MWINYI AINGIA IKULU,NYERERE AAGA TAIFA 1985

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 апр 2020
  • Safari ya kung’atuka madarakani kwa Mwalimu Julius Nyerere baada ya kuhudumu kwa miaka 24 kwa nafasi ya urais wa Tanganyika na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilianza Jumatatu ya Oktoba 14, 1985.
    Ilikuwa ni baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 27 na mgombea pekee wa nafasi ya urais, Ali Hassan Mwinyi akaibuka mshindi.

Комментарии • 22

  • @patrickkambale603
    @patrickkambale603 4 года назад +3

    Mungu akupe maisha marefu mzee mwinyi almaarufu mzee wa ruksa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 месяца назад

    Mungu akupe maisha marefu mzee mwinyi❤❤

  • @verenikapallanjyo41
    @verenikapallanjyo41 Год назад +1

    Kuna watu hapa duniani hawakubalianagi na taarifa hata moja.Wao ni kutoa kasoro tu kila taarifa.Nahao watu kwenye familia,kwenye jamii inayowazunguka wanasumbua sana.

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 2 года назад +1

    Tumetoka mbali🇹🇿

  • @wilbertchafumbwe4353
    @wilbertchafumbwe4353 4 года назад

    Asante mwanamke digital kwa historia hii

  • @geoffreynghumba1029
    @geoffreynghumba1029 3 месяца назад

    Hii habari haikundikwa vizuri. Safari haiwezi kuanza Oktober 14 baada ya uchaguzi uliomalizika October 27, what for

  • @SML2019
    @SML2019 4 года назад +1

    Safi sana. Tunahitaji vitu kama hivi

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 года назад

    Mungu ni mwema sana

  • @salimkombo1017
    @salimkombo1017 3 года назад

    Powa

  • @lwitikophilipopelela1891
    @lwitikophilipopelela1891 3 года назад

    R.I.P mzee Njelu Kasaka

  • @rahabukimena8464
    @rahabukimena8464 3 года назад

    Tutakukumbuka daima baba

    • @aminaomary5567
      @aminaomary5567 3 месяца назад

      Mungu akuponye haraka❤❤❤mzee Rukusa.

  • @ebenezatv765
    @ebenezatv765 4 года назад

    Ebeneza

  • @elishangoma8235
    @elishangoma8235 3 года назад

    Maisha ya zamani yalikuwa mazuri sana

    • @khamisibinamu5323
      @khamisibinamu5323 3 года назад

      Hayajawahi kuwa mazuri toka sisi tukiwa wadogo kaulimbio maisha magumu hadi leo

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 3 года назад

      Nchi imetoka mbali sana

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 Год назад

      ​@@khamisibinamu5323 kweli kabisa wewe unakumbukumbu nzuri za wapi
      tulipotoka.

  • @paulmaziku240
    @paulmaziku240 3 года назад

    Yaan kununua gari..upewe kibali

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 года назад

    Sasa ndio nini radio au TV?

  • @oraionsabibi2756
    @oraionsabibi2756 3 года назад

    Unachagua picha na kivuri enzi za mwalimu

  • @Bulji1
    @Bulji1 4 года назад

    I hope all you have is a good

  • @nkyabosi4827
    @nkyabosi4827 4 года назад

    3:05 historical picture