Yesu naeka familia yang uifiche yesu hakuna mwingine haiwez bila ,,,,kupigwa na magonjwa kumezidi na umaskini nifanye nyota yesu siku moja nibadilshe historia ya kwetu mungu Wang usiniche nani Kama wewe yesu
Praise God,, oh bwana yesu kupitia Kwa haya madhabau naomba Mungu awasaidie wanangu Givan na Mary wasiwe box kwenye masomo yao waongoze bwana yesu kupitia Kwa haya madhabau
Pst Ezekiel niombee pamoja na watoto wangu na ndoa yangu nyota yangu irudi nakijana wangu n mtoto wa hivi.n hivi haeleweki n konashida nyingi pstezekiel wanangu wanasoma lakini hawapati kitu darasani Pesa yaenda Bure baba ni ombee nifunguke,ni Elizabeth mlewa,ni kosaudi arabia
Nitangulie kwa biashara yangu customer wanunue nguo zangu nilipwe madeni roho ya madhibau ya umasikini madeni laana kukataliwa kuzingiziwa ndoto mbaya out
God 🙏 lord remember me and my families give me my home house protect my son's
Powerful
Naomba uponyaji kupitia madhabahu hiii, uponyaji wa afya,elimu,kazi,na huduma amen
Nihitaji maombi paster
Tenda Jambo kwa maisha yangu nibadirishie ndoto mbaya siwe mzuri zinazo onyesha ukuu wako na uweza wako kwa jina la YESU AMEN
Mungu timiza mahitaji ya moyo wangu ni shuhudie kama wengine Niko chini ya mwamba 🙏🙏🙏🙏🙏
Ooh God nipe sehemu ya roho ya mtumishi wako
Babangu wa kiroho ubarikiwe milele daddy❤
When I listen to his songs I feel the presence of God and tears coming out 😢😢🙏
Tends Jambo kwa ndoa yangu family yangu in the name of Jesus Christ I pray and believe amen.
Asante yesu❤❤❤❤
Yesu amekuwa mwema kwangu ,ninaoosikiza Ii wimbo I feel like I'm being blessed more and more.
Yesu naeka familia yang uifiche yesu hakuna mwingine haiwez bila ,,,,kupigwa na magonjwa kumezidi na umaskini nifanye nyota yesu siku moja nibadilshe historia ya kwetu mungu Wang usiniche nani Kama wewe yesu
Mungu, watoto wangu nawaficha chini yako, wewe ndie mwamba wetu.
I feel so blessed when I watch pastor Ezekiel songs
Kweli baba Niko chini yamwamba nikumbuke pia yesu wangu unifungulie nyota yangu inirudilie kwamaana Niko kwenye changa moto sana
Powerful song keep it up dad and God bless you abundantly
Yesu wangu nifiche
Mungu naomba nitendee miujiza Yako juu ya maisha yangu na ya familia yetu ili nishudie kama wengine Yesu .
GOD we need your power 😭😭😭😭🙏🕊️🕊️🕊️🕊️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pia Mimi mungu si anifungue kama pastor Ezekiel aki
Niombee ndoa yangu nyota yangu na ya watoto wangu pamoja na biashara yangu madeni na loani ziniondokee nikue na amani
Mungu niponye Kila Haina ya sickness Niko Chini Ya Mwamba
Niko jini ya mwamba yesu nifiche pamoja na familia yangu
Yesu nifiche chini ya mwamba
Pst am here niko chini ya mwamba.yesu nifiche
Niko chini ya mwamba Yesu nifiche Mimi na ndugu zangu na watoto wangu naamini ni wewe tu Yesu wa kunificha
Pastor I thank God for the grace of worship upon your life.
Ni kweli uko chini ya mwamba .
Mungu nipe nguvu na ulinzi ili nisikufe mapema na pia nipe upendo kwako ndio nisikukasirishe baba katika Yesu mwanao🙏🙏🙏
God bless you pst,i love your worship songs i'm blessed true your songs i'm Emmanuel from Mombasa.🙏🙏
Amen my 40 days prayer and fasting be chini ya Mwamba, YESUUUUUUU wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Niombee ndoa ,nyota,nyota ya watoto wangu na biashara yangu isimame .
Niombe madeni na loan siniondokee nipate Amani.
Praise God,, oh bwana yesu kupitia Kwa haya madhabau naomba Mungu awasaidie wanangu Givan na Mary wasiwe box kwenye masomo yao waongoze bwana yesu kupitia Kwa haya madhabau
Amen 🙏 mtumishi wq mungu
Niombea n mm baba maan katk familia yetu twapitia magumu xana hkuna madanikio yoyote pasta ombea familia yang ifunguliwe
Nko chini ya mwambia na watoto wangu pia wazazu familia yote yangu mungu naomba kibali ndoa kazi
Mungu naomba nitende miujiza juu yangu na familia yetu ili nishudie kama wengine
Emeni 🙏 yesu uzidi kunificha Kwa bawa zako EMENI
Amen 🙏🙏 pastor niombee nipate uponyaji
Baba nifiche chini yawamba maadui wasinione
Mungu naomba uniondoe kutoka kwa mikono ya maadui pamoja watt wangu .
naitajimaombi pastor Ezekiel nafamiliya yangu
Kupitia Kwa haya madhabau naomba Mungu ongoza maisha yangu
May mighty GOD bless you pastor,,, wanaokuwinda na YESU awawinde,
Pastor!pastor!ubarikiwe sana Baba yangu wa kiroho,nyimbo zako ,mahubiri yako yamenifanya mtu mwingine
Iyo nisauti yenye nguvu MUNGU akupeekima zaidi
Yesu nikumbuke Leo na Mimi katika maisha yangu
Lord do me favour... Am yours my God... Forgive me my sins
Mungu yupo hatutetee kila wakati
Nifiche yesu mwamba ilove u lord so much.nifiche yesu kwA mwamba imara
Yesu nikumbuke nipate kazi
Nipo chini ya mwamba YESU nifiche
Mungu naomba unifiche niko chini ya mwamba, ooooh yesu unisamehe maovu yote nkuone katika maisha yangu amen
Umefichwa hakika mtumishi!! I'm praying for you now.
Niko chini ya mwamba 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
Yesu nifichea nko chini ya mwamba🙏🙏🙏🙏🙏
Glory be to God so powerful
Am so blessed wana new life.
Thanks for the song...plizz make more songs
🧎🏾♀️🧎🏾♀️🧎🏾♀️🧎🏾♀️🧎🏾♀️yesu nikumbuke in Jesus name 🙏
So emotional. Like uh pst.
God bless you pastor in Jesus Christ name
Ameeen Niko jini ya mwamba
Pliz God forgive my sins and set me free from debts oooh. Lord 😭😭😭😭
Mungu wngu nipe ushuhuda kama wengine juu ya familia yng nionikenie jehova niko chini ya mwamba😭😭😭😭🙏🙏
A very encouragement worship. Ukweli niko chini ya mwamba end God is fighting for me. I will win the war in Jesus Name.
These my best prayer for protection whenever I listen to it. Yesu ni fiche wewe n mwamba wangu mm niko chini yko be blessed so much pastor
It`s so ineractive song
Tuko pamoja mimi
Tupe hamani uku western 🇧🇪🇧🇪 Uganda na Uganda yote baba we want to get our children into line of godliness and live pleasing you oooh God
Ameeeeeeen pastor blood of Jesus Christ
Niko jini ya mwamba😢😢😢😢
Thank you Lord Jesus Christ for giving us Pastor Ezekiel his songs are blessing to our souls
Lord forgive me My sins heal me and dilever in Jesus Christ name Amen Amen Amen and bless our pastor
Pst Ezekiel niombee pamoja na watoto wangu na ndoa yangu nyota yangu irudi nakijana wangu n mtoto wa hivi.n hivi haeleweki n konashida nyingi pstezekiel wanangu wanasoma lakini hawapati kitu darasani Pesa yaenda Bure baba ni ombee nifunguke,ni Elizabeth mlewa,ni kosaudi arabia
Aaaaaamen in Jesus 🙏🙏🙏
Yesu akufiche pastor 😢
Am sinner,,,Lord forgive me 😭😭
I watch this worship more than 5times a day🙏🙏🙏
I like your preathig
God bless you paster
Blessed one
It is really touching pst .i am repenting may God forgive me bc iam not worthy even to be alive , to this days
Amen 🙏🙏 Amen
God am here Lord am here am go back home Jesus amen 🙏❤
God bless you pastor ezekiel🙏🙏
Really GOD AKO
Ilov❤this song Jesus wangu
Please God forgive me my sins and set me free from all kinds of attacks 🙏🙏🙏
Wonderful deep worship 🙏
It's true end amen 👏👏👏👏.
Whenever l listen to this song l feel blessed and humbled before the lord more blessings pastor Ezekiel ❤
I feel blessed listen to you pastor 🙏🙏 may God grant u more years yo live
Nitangulie kwa biashara yangu customer wanunue nguo zangu nilipwe madeni roho ya madhibau ya umasikini madeni laana kukataliwa kuzingiziwa ndoto mbaya out
naomba ukombozi mimi na familia
God bless you pastor Ezekiel
Good service
More Grace
Great 👍
More grace
My favourite song eve.may God continue to expand your territory in Jesus name 🙏
Amen 🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen i feel so blessed
Amen🙏🙏👏
Niombe, madeni, kuangaika, pamoja, nawatoto for the LORD to set me free