In the spirit,we are together with you Evangelist Ezekiel and pastor Sarah in prayers 🙏🙏🙏🙏 🙏 🙏 🙏 Because we believe in the power of GOD through prayer. _COLOSSIANS 4:21:10:02
Najiungamanisha na ibada hii katika madhabao hii kwa nabii Ezekiel kwanza nisamehewe zambi zangu zote nifunguliwe kiuchumi kuimalika kiafya kusambalatisha maadui wote kubaliki familia nimjue zaidi mungu nimtumikie zaidi vema kupitia nabii Ezekiel mungu atanifanikisha amen.
I pray in this service tonight my husband comes back to me. It is five years now he abandoned me with five children. He went to another woman who has five children from different hasbands. Man of God pray for me.
Nashukuru ❤❤ kuwa nimeconnect sahizi.Ee mungu uliyejidhihorisha kwa Madhabau haya inyeshe kwangu baraka ya mafuta ya mchungaji Mungu Uniondolee mawimbi njiani.
Haya mafundisho ni yangu, mwenyezi Mungu niondole roho ya usingizi wakati wa Maombi. Mwenyezi Mungu nipee roho ya maombi, roho ya kukutukuza, Neema ya Huduma, nijaze roho wako mwenyezi Mungu, katika jina la Yesu. Amen 🙏
Bwana Yesu asifiwe. Nasimamia praise team Na pia nasimamia Christian Education Department. Natamani nikuje unifunze nipate kulea Wale Mungu amenipatia kuwasimamia sababu nahisi Niko Na mwito wa injili ya Kristo
Bwana yesu asifiwe mchungaji,Nina tatizo kubwa sana,na ni hili ,ninapenda sana maombi ila wakati naendelea kukufwatilia kwa maombi usiku,siku Moja niliota nimepigwa risasi ya kwenye kooromeo,na baada ya hapo,nilijikuta nashindwa kua naomba Tena usiku.kila ninapoitaji kuomba nashindwa kuomba muda mrefu nachoka,napata usingiz mzito,naomba uniombee napenda sana uduma ya maombi,
Kwa majina ninaitwa Doricah riro Mungu amenitendea majabu Sana, mungu amenilejesea huduma ,nilikua nimejoka na huduma watoto wangu walikua wananyungwa na mapepo tangu nilipatoka crushed ya kasarani safari back,tumefunguliwa pastor , pastor mungu akubariki,niko na furaha ya machozi
Bwana yesu Niko mbele zako kwa akili yako nsamee maana nmekutenda mengi yasiyofaa naitaji ukanisafishe ukaniumbie moyo wakunyenyekea mbele zako mungu wangu
Pray for me pastor am in Saudi for now but am going through allot but in our family also in my marriage ineed ur pray to my mum to be healed sickness is not our position
In the spirit,we are together with you Evangelist Ezekiel and pastor Sarah in prayers 🙏🙏🙏🙏 🙏 🙏 🙏 Because we believe in the power of GOD through prayer.
_COLOSSIANS 4:2 1:10:02
Najiungamanisha na ibada hii katika madhabao hii kwa nabii Ezekiel kwanza nisamehewe zambi zangu zote nifunguliwe kiuchumi kuimalika kiafya kusambalatisha maadui wote kubaliki familia nimjue zaidi mungu nimtumikie zaidi vema kupitia nabii Ezekiel mungu atanifanikisha amen.
Thanks be to God,for the life he has given tome🙏 and change my life forever.
I like the way you express your scriptures pastor Amen Amen may God bless you abudantly son of God
Naitwa Mildred nafula mpango wa kando ameharibu ndoa ya Nina Imani ujumbe wangu ukifi new life ndoa yangu ataachiliwa na mpango wa kando amen
I need the spirit of prayer 🙏 my father. Anoint me, in Jesus's mighty name 🙏
Mungu acha maisha yangu ibadilike huyu mwaka unapoisha nakuomba mungu wangu niombea in Jesus name amen amen amen 🙏🙏🙏 i
Baba sina kazi Namibia ni mwao niombee tu sana amina
Its true pastor, I have no even one bedroom 😢 may God give me the spirit 🙏 of construction
Through this higher altar my husband to be delivered in jesus
Watching I. Marsabit pastor.you are really a blessings to me.
be blessed man of God be stro ger and wise daddy Amen
Mungu nipe kazi nzuri na ndoa ya heshima In Jesus name
Bwana Asfiwe pastor, I request the lord to fill me with the spirit of loving prayer, the spirit of ministry
Bwana yesu asifiwe pastor niombee kwetu Kuna madhabau ambayo Mungu tu aondoe
Naomba uponyaji pastor kwa jina la yesu
Mungu naomba sana unipe bwana, nikuwe na jina jipia ,ni kuwe mtu katikati ya watu, open all
Doors dat i can see my happiness
Najiunga na madhabahu haya mungu anifungulie njia na aniondalee roho ya umaskini na magonjwa 🙏🙏
Kila maagano mabaya yavunjike kwa jina la yesu niwe mpya nizaliwe upya ndani yakristor madhabau ya new life church anitetee Amina
AMEN AMEÑ THANK YOU LORD JESUS, GLORY TO GOD🇹🇿🌟🌟❤️💍AMEN AMEN🤲🤲👏👏🙌🙌🙏🙏
I pray for my star to shine from now in jesus name 🙏🏾
Mungu kupitia madhabahu haya nijalie maisha ya ustawi niupate msimamo ule.. Amina
Njoo Bwana ukae Namibia siku zote za Marshall Yangu.Amina
I pray in this service tonight my husband comes back to me. It is five years now he abandoned me with five children. He went to another woman who has five children from different hasbands. Man of God pray for me.
I need the power of prayer my father🙏🙏🙏🙏
I recv it by faith by this altar in Jesus mighty name. Lucy nduta
Amen pastor namomba anijalie anipee ndoa ya eshima nmechako nakuchezewa na wanaume naomba mungu ani bariki na kutazama nikiwa buruburu
Jesus Christ cover my family with your blood amen 🙏
Mungu niodolee roho yakusunguka maali pamoja umasikini madeni ing'olewe nakemea maroho pelelesi ing'olewe misimu ndoto baya kulishwa chakula usiku roho yakukataliwa kusanya shoshote kisicho chako ndani yangu kusanya choma kwa moto wako yesu
Naomba mungu anipe roho ya maombi in jesus name 🙏🏾
I connect myself my son Riyam and my family members to this higher alter of God
Amen Amen Amen 🙏 🙌 👏🏻 ❤️
Bwana asifiwe Ombea Joseph ngesa apate passport aweze kwenda kazi Hana kazi kwa miaka sita Amen
Lord through this altar heal My son Desmond oduor Gabriel Amen thank you jesus
Mungu wa new life church anionekanie kwa family yangu maut ikome kwa jina la yesu
Mungu atabaki mungu Mambo yako mungu kweli mtumishi naguzwa .
Mungu nifungulia kipawa cha masomo katika maisha yangu
Naomba Mungu anijaze na nguvu ya kufunga na kuomba,ilinilipuke katika uombezi na uimbaji,Eeh YESU tawala
Pastor i pray that may i get the power of prayer in jesus name
Nakemea roho ya usingiz ushindwe katika jina kuu la yesu kristo
Asanti Dadi for your word my prayer request is that God helps me be prayerful and powerful in all my doings
Nashukuru ❤❤ kuwa nimeconnect sahizi.Ee mungu uliyejidhihorisha kwa Madhabau haya inyeshe kwangu baraka ya mafuta ya mchungaji Mungu Uniondolee mawimbi njiani.
Nipo hapa baba nione
Haya mafundisho ni yangu, mwenyezi Mungu niondole roho ya usingizi wakati wa Maombi. Mwenyezi Mungu nipee roho ya maombi, roho ya kukutukuza, Neema ya Huduma, nijaze roho wako mwenyezi Mungu, katika jina la Yesu. Amen 🙏
mbwana yesu asifiwe pastor mungu nipe ndoa heshima nimeshoka kuka pekeyañgu pls pls
I need power of God and wisdom
Mungu niponye na uniongeze miaka na pia unipe nguvu na ujasiri ya kukutumikia
Naomba Mungu anipe nyota ya huduma na mme wangu,kila roho ya kutuvuta nyumba itoweke Kwa jina la YESU.....
Eeh mungu nikumbuke kupitia kwa haya mafundisho ya mtumishi wako.
It's true pastor, may God give me the spirit of prayer and prayer for me to get a good man who has dedicated to me who will married me
Amen.
Amen.
Pastor prayed for me for good health long life
Mungu nisaidie kwa maisha haya,kuteseka,kukosa elimu , niishi maisha ya upendo na amani🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu nipe roho ya kuomba kupitia hii mathabau
You have really blessed me servant of God .. wenye nguvu ndio watakao uteka ufalume wa mungu ...
Mungu naomba niongezwe mshahara huu mwezi yesu ili nikutumikie zaidi yesu
Through this prayer heal my son jeremia
Bwana Yesu asifiwe. Nasimamia praise team Na pia nasimamia Christian Education Department. Natamani nikuje unifunze nipate kulea Wale Mungu amenipatia kuwasimamia sababu nahisi Niko Na mwito wa injili ya Kristo
Eeh Mungu pokeahikikidogo nlichonacho na unibaribi mimi mwanao❤
Mungu wangu nipped rohoya kuomba usiku aki nimesinzia kimaombi kabisaa
Mungu nipee amani kwa kazi yangu
pray for me and our family to be healed sickness his not our position amen
Amen man of God
God may the month of 10 be of blessing to me in Jesus name
Bwana yesu asifiwe mchungaji,Nina tatizo kubwa sana,na ni hili ,ninapenda sana maombi ila wakati naendelea kukufwatilia kwa maombi usiku,siku Moja niliota nimepigwa risasi ya kwenye kooromeo,na baada ya hapo,nilijikuta nashindwa kua naomba Tena usiku.kila ninapoitaji kuomba nashindwa kuomba muda mrefu nachoka,napata usingiz mzito,naomba uniombee napenda sana uduma ya maombi,
God my marriage is going astray remember me God
Niombee postor mungu afungue njia niende shule
Mungu naombeya mume wangu ... awachane na mpango wa kando... hyo mausiono naharibu usiku waleo
Mungu nataka my mother apone pressure in Jesus mighty name
Mungu naomba nirudishie miaka yangu iliyopotea kabla ya tarehe 15
Naomba mungu aniondolee upweke na anibariki niwe na finance break through,pia niwe na amani kwa kazi,watoto wabarikiwe na kupata maitaji yao
Thank u god pastor uniombee tumbo yangu na baba yangu na mama yangu na family yatu pastor na mungu akubariki ameeeeeeen🙏
Mungu nipe ndoa nyota ya uduma Kwa hii mathapau Kwa jina la yesu 🙌🙌
Amen 🙏
This service when playing piano it's great
Let's have this 9t service oftentimes it's much blessing
AMEEEEEEN 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏
Through this service mungu nikumbuke
Naomba na mimi ni barikiwe kupitia kwa hii ibaada ,Amen
God I gv this altar sacrifice to have success in selling the land at parklands today ad recv money in Jesus mighty name. Lucy nduta
Bwana yesu niinue kimaisha peke yangu siwezi,
Pray for me dady....the debt is the things making my life miserable..pray for my family dady
Mungu nakuomba unipe ndoa ya heshima.niponye magonja.biashara yangu ins with Katie jina ya yesu kristo
Mungu aniondolee roho ya umaskini na magonjwa katika maisha yangu.Amen.
Ee mungu nifungulie milango ya baraka kupitia mafundisho haya
Thank you Lord for this alter
May God bless me with my second born through this alter
Let's this night to be night of blessing to my life
Naomba mungu akubike watoto wangu hawafiche mikononi mea anduo zangu
God I need prayer for my relationship... I need peace
Help me to pray for my marriage to work smoothly.
Pray for me to receive my star of business in Jesus name
Mungu niponye nitoke nikue mzima kwa kila mwili yangu yote
Mungu kupitia kwa hii ibaada na sacrifice yangu Mungu ipokee kwa anjili ya Mwenzi huu wa kumi uwe wenye Mafanikio Amem
God let me understand you through this altar
Nami nijue yale ambayo sijui kwa jina la yesu kristo usiku huu
Mtoto aparikiwe na hii altar.A A Ain Jesus.
mungu fungua baraka zangu na kila mapito yaishe leo usiku uniondolee talaka na kukataliwa, nikaolewe kwa heshima tena
Pray for me
GOD.. I dedicate my bro at this time...mung amuponyee in Jesus name
Amen. Mtumish
Kwa majina ninaitwa Doricah riro Mungu amenitendea majabu Sana, mungu amenilejesea huduma ,nilikua nimejoka na huduma watoto wangu walikua wananyungwa na mapepo tangu nilipatoka crushed ya kasarani safari back,tumefunguliwa pastor , pastor mungu akubariki,niko na furaha ya machozi
GOD Of this Alter heal my bro write now in Jesus name..blood of Jesus surround to him..