BREAKING: GHOROFA LAPOROMOKA KARIAKOO, KUNA WATU NDANI “TUNAOMBA MSAADA”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 ноя 2024

Комментарии • 436

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 7 дней назад +128

    Mpaka Sasa hamna greda imefika Kwa ajili ya uokozi, lakini ingekuwa kuzima maandamano ya chadema dakika Tano nyingi, wangekuwa wameisha jaa. Mungu tupe nguvu , peke yetu hatuwezi tumechoka 😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 7 дней назад +6

      Majanga yanakupa taarifa au ?

    • @Khadija-ne8ul
      @Khadija-ne8ul 7 дней назад

      ​@@staanstaan8722kwahiyo hawana taarifa hadi mda huu?? 😏

    • @AhmadaHassan-gy5uj
      @AhmadaHassan-gy5uj 7 дней назад

      ​@@staanstaan8722acha ujinga wewe swali Gani Hilo wamuuliza?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 7 дней назад

      Maandamano hata wasipopewa taarifa vifaa vyote vinafika fasta​@@staanstaan8722

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 дней назад +10

      @@staanstaan8722 Use your brain acha upumbavu maana ya Emegency sector ni nini ?unalipa kodi kwa maafa ya nini mbona hamjitambui hapo unajiona umepatia kumbe boya tu

  • @avitusjovin
    @avitusjovin 7 дней назад +23

    Nakubali sana Millard ayo ucheleweshag abal mungu akubalik sana

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 7 дней назад +16

    Eeee mungu!!komboa watu wako,,wazima watoke na wafu nao uwapokee,,hakika wew unaeweza,,,

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 7 дней назад +28

    Mtumeeeeee!!!!! Yarabbi MOLA Wangu tunusuru waja wako🤲🤲🤲🤲

  • @alimau7939
    @alimau7939 7 дней назад +37

    Hiyo ndio Tanzania yetu pesa zinafujwa tu kwenye mipira na mambo mengine

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 7 дней назад +10

    Innalilah wainna ilahirajiun Allah alete wepes polen sana waja wa Mwenyezi Mungu wa waDar

  • @BinsonEnose
    @BinsonEnose 7 дней назад +23

    Mungu atusaidie watu wapone

  • @victoriapatrick9840
    @victoriapatrick9840 7 дней назад +9

    Bado wiki chache tumalize mwaka, lakin izo wiki ni nyingi sana kwa mwenyezi Mungu zidi ya pumzi zetu, ukitoka salama na kurudi salama sema Hasante Mungu! Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushie mabalaa🙏

  • @aishalaizer8132
    @aishalaizer8132 7 дней назад +9

    Jamn kwann mpk sasahv vitendea Kaz havijafik kuokoa watu? Allah awanusuru

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 7 дней назад

      Alafu ndo center ya mji sijui ingetokea mkuranga wangefika baada ya mwezi

  • @melvinkanje70
    @melvinkanje70 7 дней назад +10

    Mwenyez Mungu Awapiganie Jamani Mtoke Salama

  • @SalmaAbdallah-b3x
    @SalmaAbdallah-b3x День назад

    Polen mliopatwa na janga hil ,Allah ndo muweza wa yote Amin inshaallah

  • @HusseinMohammed-s3j
    @HusseinMohammed-s3j 7 дней назад +9

    Hii ndio africa isiojali raia wake viongozi wanajali matumbo yao tu gorofa limeanguka tangu saambili mpk ss hkn kitendea kz ht kimoja kilichofika mpk ss ukiongea unaambiwa unatukana serekali usenge ntupu yn mpk hawajali haswa km mpk ss walioangukiwa n gorofa niwatu km wao mungu atawajalia wote waliobaki watatok salama kwauwez wake 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 дней назад

      Kweli kabisa ila wakisikia maandamano ya Chadema wanatoa mpaka mbwa hawa watu hawajali raia katika hii nchi ni wabinafsi tamaa za madaraka zimewajaa

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 7 дней назад

      Unajua iyo ikoje kabla hujakua baba unakua unakna kila kitu simpo unamlaumu mzee umetka kitu hajakufanyia lkn unapikua mzee unaona yale yote unaishia kuguna

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 7 дней назад

      My advise tusishie kulaumu sio phala pake

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 дней назад

      @@staanstaan8722 Use akili badala ya ushabiki na kama huna la kusema acha ikupite maana akili yako ipo usingizini ukiamka utajitambua

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 7 дней назад +2

    Subuhallah alla ewe mungu wasaidie wewe ndo unayojua zaidi kuliko sisi tunavyoelewa yaarabi

  • @Dhawani-t8s
    @Dhawani-t8s 7 дней назад

    Mtu anakubari kutoa pesa kwenye mipirq na so kununu a combo vya uokoaji vya dharula kama hii watu mpaka wafe na mpresha kuzima maandamano ya chadema ndo kitu mnakiweza

  • @MwanaidiMpili
    @MwanaidiMpili 7 дней назад +6

    Ghorofa linajengwa mwezi mmoja tu limekwisha.magorofa mengi yanayojengwa kariakoo hayana viwango.na bado tutaendelea sana kushuhudia kesi kama hii

  • @BoraHamisi-zl6xy
    @BoraHamisi-zl6xy 7 дней назад +3

    Subhana laaaa yarabi ee mungu tunaomba mwisho mwema ya alah

  • @MukyaMimi
    @MukyaMimi 7 дней назад +24

    Ndugu waandishi inabidi mfikie wakati muemunajitambua uyojamaa unaemsimamisha yupo katika zoezi la kuwaokoa watu alafu wewe unamsimamisha aanzekuongea uko chini ya ghorofa kunawatu wanaitaji msaada Asee daah.

    • @abdulapolinari178
      @abdulapolinari178 7 дней назад +3

      Sasa wewe mbwa binadamu hiyo taarifa ungepataja? Kunguru wewe😅

    • @NoelNoah-y9z
      @NoelNoah-y9z 7 дней назад

      Ww je unajitambua?

    • @TaizInvestment
      @TaizInvestment 7 дней назад

      ​@@abdulapolinari178😂😂😂

    • @cammackmarck
      @cammackmarck 7 дней назад

      Tumia akili ndugu ashakwmbia hawz kuokoa mtu bila vitendea kaz inamaana hana uwezo wwte apo mpk vptkne vifaa vya uokoz

    • @LuciaMagari-h8o
      @LuciaMagari-h8o 7 дней назад

      ​@abdu Ungekuwa ww unahtaj kuokolewa ungejb hvv chz wew

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 7 дней назад +43

    Kwenye maandamano mngeona kila aina ya zana ila kwenye uokoaji hamna

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 дней назад +2

      Kabisa nchi haina uongozi wapo kula tu

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 7 дней назад +1

      Serikali kichaa

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 7 дней назад

      😂😂😂😂😂

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 7 дней назад

      Kwanza ndugu acha kuendekeza ujinga sio kila kitu siasa
      Pili hakuna anaejua majanga yanakuja saa ngapi lini na wapi

    • @salama1113
      @salama1113 7 дней назад +1

      Kumbe na ww umeliona hilo kiufupi hawana vifaa ila wanatumia kifaa cha mdomo kutupa vitisho tuu😂😂😂😂

  • @NasibuBakari-k4u
    @NasibuBakari-k4u 7 дней назад

    tatizo hiichi haosamini wanaiji ila walarushwaa ndo wanapewa vipaobele wajegaichi hatusaminiwi poleni ndugu namarafiki mulio patwa nahumutihani tuwaombe mugu ndugu zetu walio tutoka mugu alaze rozao peponi amiya yarabi 🤲🤲🤲🤲🤲🙏

  • @khadijajuma3370
    @khadijajuma3370 7 дней назад +2

    Subhanallah allah awafanyie wepes watoke wote wakiwa wazma amiin

  • @AterehemuMhepera
    @AterehemuMhepera 7 дней назад

    Jaman pole sana watu wa dar mungu awatie nguvu katika hili

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 7 дней назад +5

    Wizara ya mambo ya ndani wajiangalie, kushughulikia kesi za utekaji wanachelewa hadi uokoaji pia 😂😂😂😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 7 дней назад

      @@MailesSezero-l4c Hivi ipo kweli?

  • @abduhamisi6769
    @abduhamisi6769 7 дней назад +4

    Mungu awasaidie ndugu zetu waliomo ndani, inasikitisha kuona hii ni hali ya kila siku kwa binadam wenzetu wa Gaza

  • @philberttheophil606
    @philberttheophil606 7 дней назад +3

    Grade tena hapo ni excavator au wheel loader au dozzer grade haina kazi hapo grade ina jembe katikati ya itatoaje udongo

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 7 дней назад

      Raia hawajui kutofautisha ila alikuwa na maana ya excavator,wengine wanaita Caterpillar kabisa😂

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 7 дней назад

    Tuseme hakuna kitengo maalumu cha kjshughulika na maafa?? Nchi yangu jamani greda hakuna kweli inatia uchungu sana. Vifaa vye uokozi vinunuliwe sio mpaka tatizo litokee ndio tuanze kuulizana cha kufanya.

  • @christineneema3008
    @christineneema3008 7 дней назад

    Mbona hili tukio nilitokea kenya juzi tu Nairobi eee Mungu azirehemu roho za wenda zake na walio jeruhiwa wapone

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 7 дней назад +8

    Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 7 дней назад +11

    Serekali tengenezeni mazingira mazuri kwenye mambo ya dharura km haya sio kazi kulipa wasani mahela kibao kwenye kampeni

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 7 дней назад +2

      Umeshasema mambo ya dharura sasa nani alijua kuq gorofa litadondoka?

    • @enochzacharia960
      @enochzacharia960 7 дней назад

      Nchi zote zilizoendelea kitengo cha zarura na uokozi kipo​@@AminiMsellem-gk3yy

    • @khalidwaid8021
      @khalidwaid8021 7 дней назад +3

      @@AminiMsellem-gk3yy acha akili ndogo ndio maana nikasema itengeneze mazingira mazuri kwenye mambo ya dharura

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 7 дней назад +1

      ​@@AminiMsellem-gk3yyKwa hiyo hatuna namna ya kujiandaa kwa dharura? Kwamba inapita saa zaidi ya moja hakuna kinachofanywa turidhike tu kwa kuwa ni dharura? Au dharura ni kitu kipya hapa duniani?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 7 дней назад +1

      ​@@khalidwaid8021Lofa huyo achana naye,unamaliza bando bure.

  • @JulianaMagodi-d3d
    @JulianaMagodi-d3d 6 дней назад +1

    Mungu wasaidie😢😢😢😢

  • @NadiamapiraNadiamapira
    @NadiamapiraNadiamapira 7 дней назад

    Yaa Rabi tunusuru ss waja wak na uwape tahafifu wagonj na uwape kauli thabit walotangulia mbele ya hak

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p 7 дней назад +3

    Yaani ni aibu sana rescue team hakuna fire hakuna daaaaah kweli tanzania nchi yangu

    • @edchrisbeatz8976
      @edchrisbeatz8976 7 дней назад +1

      Huna nchi ndugu kumuomba mungu tu

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 7 дней назад

      Kaka fofauti ya rescure team na fire ni nini?

  • @EstherPetro-gv6vt
    @EstherPetro-gv6vt 7 дней назад

    😭😭 Duuuuh poleni sana jaman MUNGU awasaidie watoke salama 😢😢

  • @martharichard8204
    @martharichard8204 7 дней назад

    Daaaaah maisha haya kifo ni fumbo mungu atunusuru 😢😢😢😢😢

  • @kashindyeThomas
    @kashindyeThomas 5 дней назад

    Jaman mungu atuongoze Kwa hiki kipindi kigumu

  • @mathiasmanonga3939
    @mathiasmanonga3939 7 дней назад +2

    Hii stuation isikie kwa mtu mwingine tu , Mungu awasaidie watoke salama

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 7 дней назад +1

    Msiba mkubwaa huu wa Taifa, yoote haya ni uzembe wa ma injinia tu, gorofa siku hizi linajengwa kwa miezi 2, mpaka 3 na wtu washa hamia? Kweliii? Serikali ipo wapii ktk hili hamna bahati mbaya ni uzembeee wa hali ya juu TZ😭😭😭

  • @JohnsonFredrickJohn
    @JohnsonFredrickJohn 7 дней назад

    MUNGU awabariki sana ayo tv mnaturahisishiabl sana kupata habari zinazoendelea nchini mwetu❤❤❤❤❤❤

  • @jacklineminja2022
    @jacklineminja2022 7 дней назад +2

    Baba wa mbinguni naomba utusaidie kwa hili gumu wenzetu watoke salama nalia simu zinaita ndani ya kifusi jaman

  • @Mungukwanza-t6l
    @Mungukwanza-t6l 6 дней назад

    Mungu azidi kuwapigania walio katika janga hili.

  • @allymwakasege8620
    @allymwakasege8620 7 дней назад +4

    Poleni sana wana kariakoo

  • @YasminShemulugu
    @YasminShemulugu 7 дней назад

    Mungu awafanyie wepesi ndugu zetu

  • @amonsangawe8440
    @amonsangawe8440 7 дней назад

    Mungu waponye wote waliopata janga hilii

  • @nancygilliad2883
    @nancygilliad2883 6 дней назад

    Mungu awasaidie kweli

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 7 дней назад +2

    Wakandarasi ndio chanzo kikubwa cha udondokaji wa maghorofa ni kawaida sana .engineers kupuuzia kazi ya surveyors ktk constructions

    • @allymtito8117
      @allymtito8117 7 дней назад

      So kweli,, hilo limetokea kwa mipango ya mungu

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 7 дней назад

      @allymtito8117
      Sisi ndio tunajua ndugu kama umesoma ktk fani zisizo za Engineering huwezi elewa! Kuna tetemeko hapa! Luna janga lolote la asili hapana!
      Jirani hakuna majengo mengine? Yapo kwanini hayajaanguka! Sio kila jambo amapanga Mungu! Pia unajua kuwa hata ajali za barabarani nyingi chanzo ni hao watu? Huwezu elewa! Kama umesoma kidogo physics unakumbuka nini kuhusu Circular motion? Na kama unakumbuka nambie ni barabara ngapi zinafata hizo kanuni hasa kwenye kona?

  • @munatySheby
    @munatySheby 7 дней назад

    Mmh mungu mkubwa siku yangu ilikua Bado mana ndo nilikua njian naenda mtaa uwo uwo 😢😢😢😢 asant mungu

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 7 дней назад

    Mungu awatie nguvu wote wanaojitolea kufanya kazi ya uokozi.

  • @Piner315
    @Piner315 7 дней назад

    Ee Mungu wetu fanya njia hapo wanadamu tunapoona hapana njia🙏🙏

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 7 дней назад +2

    My God kwa uokoaji wakibongo ni hatari

  • @ReginaPantaleo-rq3oq
    @ReginaPantaleo-rq3oq 7 дней назад

    Jaman hayo majengo ni ya muda mrefu serikali ichukuwe hatua,,mungu wasaidie walioko chino watoke salama

  • @KassimKessy-o1v
    @KassimKessy-o1v 7 дней назад +2

    Tz tunaferi hapo sasa Greda alijafika duh mpaka sasa

  • @AgredaMoyo
    @AgredaMoyo 7 дней назад +2

    Mungu waokoe watu wangu WA kariakoo

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 6 дней назад

    Greda si oitakata watu miili? Cha msingi ni jeshi linalohusika wao ndiyo warajua mbinu sahihi tuwaamini wao.

  • @neemamosha3803
    @neemamosha3803 7 дней назад

    Eee Bwana Yesu naomba uwasaidie familia za wahanga🙏🙏

  • @Sounding.the.trumpet
    @Sounding.the.trumpet 7 дней назад

    Poleni sana ndugu zetu,
    MUNGU awasaidie

  • @smj8265
    @smj8265 7 дней назад +3

    Duh greda tu mtihani

  • @fadhilimutarubukwa3255
    @fadhilimutarubukwa3255 7 дней назад

    Kwa kasi ya ujenzi wa maghorofa Kariakoo, serikali kupitia idara ya ujenzi inabidi iwe makini sana. Vinginevyo majanga kama haya yanaweza kuwa mengi sana katika siku za usoni. Ya Rabbi tunusuru waja wako

  • @esquaredoublee2497
    @esquaredoublee2497 7 дней назад +1

    Tanzaniaaaa eeeee mwanangu kuwa uyaone tukio linatokea saa 3 asubuhi uokowaji unaanza saa 6 mchana😢

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 7 дней назад

    Tanzania imekuwa nchi ya majonzi kuteka kuuwa ghorofa kuanguka soko kuunguwa mama achia kiti tupate Baraka za Mungu

  • @okoyospo
    @okoyospo 7 дней назад +1

    Jaman jaman jaman inamana selikar yetuu kuwahisha tuuuy vifaa nishida d,ㅍ

  • @SurprisedOmbreSky-qg6dk
    @SurprisedOmbreSky-qg6dk 7 дней назад

    Allah awatoe salama.lakini tuwakumbuke wenzetu wa ghaza wanangukiwa na majumba kila leo

  • @AmosiMganyizi
    @AmosiMganyizi 7 дней назад

    Ingelikuwa ni maandamano mabomu yakutosha ila kwa Hilo watu watakufa wengi

  • @AidaMwaipungu
    @AidaMwaipungu 7 дней назад

    Polen sana jaman Mungu atunusur

  • @djdisboy255tz
    @djdisboy255tz 7 дней назад

    Ingekuwa maadamano ya chadema wangeshafika ila kwenye majanga awaji hii nchi ya k sana daah nimechukia njoon mniteke kama kawaida niko mbeya mjini hapa

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 7 дней назад

    From 🇧🇮 mungu yupo watatoka salama🤲

  • @KamgishaIsaya
    @KamgishaIsaya 7 дней назад

    HATUNA serikari makini up ndiyo ukweri

  • @khamisikhamisi7225
    @khamisikhamisi7225 7 дней назад

    Maviongoz wote wako busser???
    Mungusaid WAJA!!

  • @AmadFadhili
    @AmadFadhili 6 дней назад

    Mungu wasaidie watu wapone

  • @mdoeclassic1094
    @mdoeclassic1094 7 дней назад +2

    Allah awape afya majeruh jmn

  • @JoanNestory-h4v
    @JoanNestory-h4v 7 дней назад

    Mungu wanusuru jamani ,wanasubiri vifaa wapi tenaaa,

  • @MalaikaBrighton
    @MalaikaBrighton 7 дней назад

    Aisee polenta sana ndungu zang😭😭😭😭

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 7 дней назад

    Mungu baba saidia watu wapone 😢😢 hii nchi jamani tangu saa3 kweli mpaka sasa zima moto awajafika mweee 😢😢😢

  • @waziriasangalwisye6393
    @waziriasangalwisye6393 6 дней назад

    Ingekuwa maandamano ya chadema polisi wangezagaa hilo eneo ila kuokoa watu aaah

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 7 дней назад

    Nna huzuni na hasira,mola nisaidie tu ninyamaze,tunawahurumia sana ndugu zetu mliofikwa na balaa

  • @HijjatyIddy
    @HijjatyIddy 7 дней назад +1

    Allaa awanusuru ndugu zetu mtoke salama

  • @zaitunijuma8710
    @zaitunijuma8710 7 дней назад +2

    Serikali mhhh ninyamaze naogopa kutekwa

    • @himnakhatib1050
      @himnakhatib1050 7 дней назад +1

      Wallh nimechk km mazur mtihn sana Allah atuhifadh loo hiii nchi

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 7 дней назад

      Maana tungesema ila UNAWEZA potea kabla haujarudi home

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 7 дней назад +1

    Ila Tanzania jaman aibu sana greda mtihani kweliii mungu wangu daah

  • @tiffah9234
    @tiffah9234 7 дней назад +2

    Ewe mungu tetea waja waki

  • @lucasmanyerere7644
    @lucasmanyerere7644 7 дней назад

    Jeshi la zima moto wako wapi na kaziyao ni ipo kama wanashidwa kushiriki apa kwenye zoezi la uokowaji Serekali iangalie hili

  • @evanceedwine8111
    @evanceedwine8111 7 дней назад +2

    E
    Mungu hawanusuru🙏🙏

  • @MinnahMtoo-cm8dr
    @MinnahMtoo-cm8dr 7 дней назад

    Mungu awatoe salama, poleni sana.

  • @ummy0095
    @ummy0095 7 дней назад

    Mungu wewe ni wetuhili ndio utalijuawisho wake poleni pole sote

  • @AngelFelix-wz2ry
    @AngelFelix-wz2ry 7 дней назад

    Da mungu tuone wajawako

  • @AnnathNjohole
    @AnnathNjohole 7 дней назад +1

    Subhanallah

  • @UfalmewaYesutv
    @UfalmewaYesutv 7 дней назад

    EE Yesu kristo wasaidie watu wako watoke salama

  • @RaelNjoroge
    @RaelNjoroge 7 дней назад

    The building was weak...the sacks of sand could have contributed to the collapse..so sad, poleni

  • @FatumaMichael-c9v
    @FatumaMichael-c9v 7 дней назад

    Poleni sana ndugu zetuungu awatetee

  • @doriztanza8998
    @doriztanza8998 7 дней назад

    Poleni sana bdugu zetu kwamahafa

  • @Safinamfinanga
    @Safinamfinanga 7 дней назад

    😢😢😢😢Mungu asaidie waokilewe mtihani huu jamani

  • @hussenhussenathuman2811
    @hussenhussenathuman2811 7 дней назад

    Allah Awatie Nguvu Walio Athirika Ishaallah

  • @MwanaidykassimKaniki
    @MwanaidykassimKaniki 7 дней назад +1

    Polen ndugu zetu ALLAH awape nguvu

  • @justinebalaguyu7769
    @justinebalaguyu7769 7 дней назад +1

    Mnasubiri vifaaa vya😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮Tanzania nchi yangu.

  • @Rahellazaromungure
    @Rahellazaromungure 4 дня назад

    ee mungu wanusuri watu wako

  • @johnsabai400
    @johnsabai400 7 дней назад +2

    Mungu asaidie

  • @blacksomaly5822
    @blacksomaly5822 7 дней назад

    Dah Allah awatie nguv ndug zang polen sana

  • @jesuspower2390
    @jesuspower2390 7 дней назад

    Maghorofa mengi ya kariakoo hata siku ije tetemeko la Ardhi hapo mmh itakuwa patashika mengi hayana viwango

  • @jumamganga5136
    @jumamganga5136 7 дней назад

    Kuna mambo hayafanyiki ktk ujenzi wa maghorofa dar,Sina elimu,lakini nijuavyo,hawafanyi bearing test,au soil analysis ,itakayowapelekea kujua ni aina gani foundation inatakiwa,kama ni pad au raft foundation,ila pia windload/wind velocity Haifanyiwi utafiti,ukiachilia mbali tests za nondo na designs yake,Wana base kwenye concrete tuu,hapo hawadanganyi,ni c.25 Hadi c.30,yataanguka mengi

    • @jumamganga5136
      @jumamganga5136 7 дней назад

      ( bearing capacity test) ndio haifanyiki kabisa,

    • @Williamstozzo
      @Williamstozzo 7 дней назад

      Hilo jengo utakuta Lina vibali vyote vya ujenzi,,,

    • @jumamganga5136
      @jumamganga5136 7 дней назад

      @Williamstozzo vibari vya rushwa,mbona barabara zinajengwa km 59, wako km ya 35,huku mwanzo km 6 zimebomoka,hata madaraja,sitaki kuyataja,maana Mimi sio msomi,ila ni kibarua mzoefu ktk barabara,majengo na madaraja

  • @MariahJulius-f2m
    @MariahJulius-f2m 7 дней назад +1

    Mungu awanusulu jaman ukokalikoo

  • @FilbertRobert-e4u
    @FilbertRobert-e4u 7 дней назад

    Daaah! Poleni sana jamani kwa hayo majanga 😢😢😢

  • @stephanSandika
    @stephanSandika 7 дней назад

    Baada ende kuokoa ndy kwanza unamuhoji

  • @ElinaMgaya-p8b
    @ElinaMgaya-p8b 7 дней назад

    Vyombo VYA habari vinawah kufika kuliko uokoaji jmn Tanzania tuna nn lkn