I will never forget Dr. Magufuli, 5th President of Tanzania. That man did wonders for Tanzania. There was no greed or selfishness in him. He only wanted the best for his country. These are rare leaders in Africa. MHSRIP.
@@mbwizax87 Kwa sisi laymen tumeridhika, hizo technicalities hazina nafasi sana. Tumeona sehemu nyingine ambazo “quality “ kwakweli ni mgogoro ila huyu jamaa amefanya kazi nzuri na tungependa afanye kazi nyingine sehemu nyingine ya nchi.
Barabara sawa tunayo ,lakini uendeshaji madereva hawafuati sheria.hivi hakuna sheria inayosema magari makubwa hasa ya mizigo ya kae upande mmoja kushoto yayapishe magari madogo ambayo yanakwenda mwendo kasi zaidi ya malori?bila kuvuja sheria maana semi trailer ipo kulia katikati ipo ingine na kushoto lipo gari ndogo hapo haieleweki.wenzetu walioendelea huo ni utaratibu wao.huwezi kuona lori linaovertake gari ndogo na likiovertake linarudi sehemu yake kushoto.
Ww unasema roli lipishe gar ndogo ndo hujui shelia kwan huoni micholo mzee angalia micholo sisi tupo rod na malori miyaka kibao ndo maana zikawekwa overteke Ambae hana mwendo yeyote yule haijalishi ni gar ndogo au kubwa mpite ukimaliza kumpita rud pemben mwengine nae mwenye uwezo atapita
@@habibuhabibu9728 nimeendesha Ulaya kama nimekosea nisamehe ,barabara tatu ni kwamba malori kushoto katikati ni magari yaendayo mwendo ambao unayazidi magari makubwa na kuna alata kuwa aliyeko katikati pia anaweza kukaa hapo maana anaenda masafa kidg marefu hatoki barabara kubwa muda mfupi,ili atakapotaka kutoka aingie kushoto ki urahisi na atoke.hivyo hivyo mwenye lori pia akijua anataka kutoka kabla ya kilomita hata tatu anarudi kati polepole anarudi kushoto bila fumo na anatoka bila ttz.kwetu ni mix nyingi ubabe nk.
@@christineopiyo7769 The only superhighway you can atleat call in Kenya is the thika one and it's not in the level and standard of the ones we see in developed cities.
@@bazilmwakajila2923 nope thika, expressway, dongo kundu Mombasa upcoming Nairobi Mombasa express way and many more. I suggest you visit our country and see for yourself. Hii wivu mnayo kwa wakenya mtaiwacha
Hongera watanzania kwa kazi hili nzuri kutoka kenya
I will never forget Dr. Magufuli, 5th President of Tanzania. That man did wonders for Tanzania. There was no greed or selfishness in him. He only wanted the best for his country. These are rare leaders in Africa. MHSRIP.
R.l.p jembe letu penda sana sisi lakini ndiyo vile wadwanzi walituwahi
Jpm r.l.p daddy ulifanyakazi kubwa sana just kwa miaka 5na miezi 4 umeacha alama kubwa sana kuliko waliomaliza miaka 10 dankie daddy
Ma he Rest In Peace
Rest in hell that man brutal dictator....na tribal politics zake....
@@zawadix9574 his works still stand tall Tanzanians need development and not bla bla like from madam president Samia !
wenye matatizo ndo mnaponda wenzenu wanasoma nyie mkasubir kunua vyet
@@zawadix9574 Dictatorship is needed if you are to do anything in government. Enda usikie vibaya na uko
Our Magufuli. Upo kwenye Mioyo yetu Baba. U were amazing and your work still surprising us. We will surely remember you till our time❤️
Well done Tanzania.🙏👏👍🌹🔊💯🇹🇿
R.i.p uncle Magufuli
Huyu mkandarasi aliyejenga huu mkeka angepewa kazi sehemu nyingine. Ingawaje yupo slow lakini quality wise jamaa wapo vizuri.
Kabisa mkuu
Workmanship ndo nzuri, quality haipimwi kwa macho
@@mbwizax87 Kwa sisi laymen tumeridhika, hizo technicalities hazina nafasi sana. Tumeona sehemu nyingine ambazo “quality “ kwakweli ni mgogoro ila huyu jamaa amefanya kazi nzuri na tungependa afanye kazi nyingine sehemu nyingine ya nchi.
Huyu Mkandalasi ni Mtanzania Mwenye Asili ya Kihindi. Kwa kweli kazi yake ni Nzuri. Sanaa sio ya kubabaisha
R.i.p mwamba
Bongo hiyo kama kwazulu Natal mdogo mdogo hata mbuyu ulianza kama mchicha
Big Respect
Thanks mkuu
Duuh mzee baba umetisha gud video
Thanks Mello
Nimependa sana
Ahsante Edita
sahizi tunajenga ma godown ya familia
This video made me very nervous. I could not imagine ever driving on any of these roads , no matter how beautiful the scenery is!!!!
Welcome to Tanzania
Barabara sawa tunayo ,lakini uendeshaji madereva hawafuati sheria.hivi hakuna sheria inayosema magari makubwa hasa ya mizigo ya kae upande mmoja kushoto yayapishe magari madogo ambayo yanakwenda mwendo kasi zaidi ya malori?bila kuvuja sheria maana semi trailer ipo kulia katikati ipo ingine na kushoto lipo gari ndogo hapo haieleweki.wenzetu walioendelea huo ni utaratibu wao.huwezi kuona lori linaovertake gari ndogo na likiovertake linarudi sehemu yake kushoto.
Wazo zuri sana na itasaidia kupunguza ajali...Ngoja nikienda Tanroad niwaonyeshe comment yako
Ww unasema roli lipishe gar ndogo ndo hujui shelia kwan huoni micholo mzee angalia micholo sisi tupo rod na malori miyaka kibao ndo maana zikawekwa overteke Ambae hana mwendo yeyote yule haijalishi ni gar ndogo au kubwa mpite ukimaliza kumpita rud pemben mwengine nae mwenye uwezo atapita
@@habibuhabibu9728 nimeendesha Ulaya kama nimekosea nisamehe ,barabara tatu ni kwamba malori kushoto katikati ni magari yaendayo mwendo ambao unayazidi magari makubwa na kuna alata kuwa aliyeko katikati pia anaweza kukaa hapo maana anaenda masafa kidg marefu hatoki barabara kubwa muda mfupi,ili atakapotaka kutoka aingie kushoto ki urahisi na atoke.hivyo hivyo mwenye lori pia akijua anataka kutoka kabla ya kilomita hata tatu anarudi kati polepole anarudi kushoto bila fumo na anatoka bila ttz.kwetu ni mix nyingi ubabe nk.
Good planning. Pls do not pot people crossing the road. Slow traffic Dow.
Tanzania is fast overtaking kenya, very nice road .politic and corruption is slowly killing kenya 😢
Kenya has had many superhighways for many years. Nyinyi juzi mlipata highway na SGR and you have been making noise all over the Internet tulieni plz
@@christineopiyo7769 The only superhighway you can atleat call in Kenya is the thika one and it's not in the level and standard of the ones we see in developed cities.
@@bazilmwakajila2923 nope thika, expressway, dongo kundu Mombasa upcoming Nairobi Mombasa express way and many more. I suggest you visit our country and see for yourself. Hii wivu mnayo kwa wakenya mtaiwacha
Dah! Nipo Simiyu hv nikangaliaga mandhari ya home natamani kuacha kazi!!
Acha ujinga fanya kazi utakula barabara😅😅😅
Kwanza nikupongeze...
Nilipita Sumiyu mwaka 2019 I'm telling you huko siwezi kaa😂😂😂
@@rehemamwandemani5182 Kwani Simiyu hakuna barabara?

@@Kendrickclaviushuko ndyo kuna hela sasa
Mkiunganisha Kila mkoa kwa Barabara ya njia nane hakika tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana
Kabisa mkuu....
Mm jamani na hofu kuhusu hyo barabara nahisi kama hawatoweka zile taa za usiku jamani au🤔
Wataweka.....
Mbaraka mambo niaje
@@elibari1034 fresh vp
mwekaji alishakufa
Is batte Tanzania not Malawia 2 moch corruption all chakwela chilima is t