Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Umesema kweli kabisaa sheikh Walid, Allah akulinde 🙏. Ukitaka mtoto au mke mwema, fuata tabia za Nabii Muhammad rehma na amani zimshukie yeye. Wanaume watavunjwa viuno kwa sababu wanaenda kinyume na sharia ya dini. Wengi wao hata kuswali uwakumbishe. Jazakallah kheir 🙏
Mashallah tabaraka Allah kwa elimu hiyo jaza yako iko kwa Allah
Mashallah shekhe Allah zkujaze kheri
Maash Allah jazakallah kheir
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!! Umesema kweli kabisaa sheikh Walid, Allah akulinde 🙏. Ukitaka mtoto au mke mwema, fuata tabia za Nabii Muhammad rehma na amani zimshukie yeye. Wanaume watavunjwa viuno kwa sababu wanaenda kinyume na sharia ya dini. Wengi wao hata kuswali uwakumbishe. Jazakallah kheir 🙏
mashallah mashallah Allah akulipe kila la kheri sheikh
Shukran sana jaman kwa kututoa ujinga 🙏🏽🙏🏽
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu sheikh Walid ntakuletea wajukuu wangu in Sha Allah uwalee ki elmu
Allah atuongoze ktk kher inshaallah
جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ الحبيب وليد
mawaidha mazuri wallah Alhamdullillah Alhamdullillah
Jamani mwatupeleka motoni wanawake.
Darsa muhimu Sana inajenga khaswaa.Allah atuongoze
Amiina
Mashaa Allah .. Darsa zuri sana la kibingwa
Jazakallah kheir mola akuzidishie umri na elmu
maashaallah maashaallah
Masha'allah
Shukran shekhe kwa ukumbusho
Masha Allah shehe Walid Allah akupe afya njema na umri mrefu uzidi kutuelimisha
Amin
Shukran Kwa Dawa Habib
Jazakallah kheir sheikh
Maa shaa Allah
Ahsantum wamashkuuriin
Innaa aatwainaak 🤣🤣
MaashaAllah