PENZI LA JINI NYOKA EP 01 | S1 | LOVE STORY 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии •

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o 18 дней назад +58

    Waoo hatimae busati sasa mmeleta kitu tofauti tunashukuru sana wangapi mnakubaliana na mimi kwamba zuri siku hiz kapendeza sana na kazidi kuwa mrembo zaidi😂

    • @Teresia-bg9dt
      @Teresia-bg9dt 18 дней назад +3

      Kabisa hii movie ni tamu sana😂😂😂

    • @LucySamsoni
      @LucySamsoni 18 дней назад +5

      Kazi nzuri sana hongereni

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe 13 дней назад

      Hii ndiyo walitaka mtu shombe shombe

    • @veronicangendela9737
      @veronicangendela9737 4 дня назад

      Naomba kujua apo kamera iliwekwa wap ad kuonesh mazngrq ya juu wakat anakmbia

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 18 дней назад +2

    Yaan busat mpo vizur mv kibao n mnatoa kwa wakat

  • @Yesunijibuu
    @Yesunijibuu 17 дней назад +2

    toeni movie moja moja mana mnatuchanganya

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 18 дней назад +9

    Kai tulia bwana 😂😂😂 waoooo busat tv sasa hii move mumetoa kitu na yaonyesha ni kali ❤❤❤❤❤twawapenda hongera busat tv ....saaingine ukiona mtu katulia ujuwe siwatu 😂😂😂 sania mrembo kumbe much lov tuko pamoja

  • @JoharSalehe-j6s
    @JoharSalehe-j6s 18 дней назад +3

    Inapendeza sana movie nyingine tena

  • @MshefaMshefa
    @MshefaMshefa 18 дней назад +2

    Waah ama kwel mumekuwa wabunifu apa mumeweza pongezi sanaa❤❤❤❤❤

  • @neybadada3044
    @neybadada3044 18 дней назад +3

    Yaan hapo tuu mmejua kunikosha jmn busati tv.
    Jinsi navopenda hizi hekaheka jmn naenjoy mimi❤❤❤.

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v 18 дней назад +3

    Napenda busat TV kwakweli mpo vizury❤🎉🎉🎉aya bc msicheleweshe jamn

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 18 дней назад +25

    kumbe hii ndio ilikua inatafutiwa mtu anaeweza kuigiza kama jini😅😅😅😅,nzurii

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 18 дней назад +3

    😂😂😂😂😂 kai yuwaowa wanawake wote w busati mashabiki tutulie tu kila mtu ataolewa na kai pia hii movie niliisubir kwa hamu jini nyoka pinky ❤❤❤🎉🎉🎉 unajua

  • @Agnes-hy1vk
    @Agnes-hy1vk 18 дней назад +3

    Movie Kali Sana....... episode two isikawie tafadhali 🙏....kazi nzuri Wana busati🎉

  • @JohorahassanHadi
    @JohorahassanHadi 18 дней назад +3

    Asanteni wana busati tv MashaAllah sinema zenu ❤❤❤

  • @evancePonciano-vs3gl
    @evancePonciano-vs3gl 18 дней назад +2

    Mjitahidi sauti wapendwa ipo chini sana

  • @جميلةالثبيتي-ج9ه
    @جميلةالثبيتي-ج9ه 10 дней назад +3

    Yaani mnaweza mpaka mnaweza tena😂😂nipeni like ata moja😢😢

  • @MRTASHA-c2k
    @MRTASHA-c2k 18 дней назад +17

    Kazi nzuri sana

  • @JohariMakinda
    @JohariMakinda 18 дней назад +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉waooooo mzuri sanaaa

  • @MonicaSimon-n3i
    @MonicaSimon-n3i 18 дней назад +3

    hongelen kaz nzr tuk pamoja

  • @GinaFaruqueFaruque-e6j
    @GinaFaruqueFaruque-e6j 18 дней назад +2

    Twaombah muendelezo EP 2

  • @MariaHussein-f5w
    @MariaHussein-f5w 18 дней назад +3

    Wapiii ep 2

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 18 дней назад +2

    Kumbe umalaya kuna no 1 hadi 5🤣🤣😍 ila kilamba # mashallah baby pink go girl 💖

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 18 дней назад +2

    Iyi itakua ya moto🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ruthetabale
    @ruthetabale 18 дней назад +6

    Kazi nzuri wana busati

  • @KhalidaUridu
    @KhalidaUridu 17 дней назад +2

    Nice job 🎉❤❤❤ msicheleweshe basi

  • @SheilaSiriya
    @SheilaSiriya 17 дней назад +2

    Wow hongera sana hii kali🎉🎉❤

  • @husnahusna1544
    @husnahusna1544 18 дней назад +2

    Jamani vitu vizuri 🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @MAKAMEMAKAME-l8p
    @MAKAMEMAKAME-l8p 18 дней назад +3

    nimeipenda sana kar sana sana piya naomba nafasi japo moja tu 5:36

  • @JanetKamene-i4y
    @JanetKamene-i4y 18 дней назад +4

    Kilamba weeee Wacha kuchongoa Kai wangu na zuu

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o 18 дней назад +3

    Nawafutilia nkiwa kingdom, kazi nzuri wana busati🎉🎉🎉

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 18 дней назад +3

    Nimewahi kwa hii movie mpya❤❤❤

  • @NeemaPhares-q7n
    @NeemaPhares-q7n 18 дней назад +4

    Duh mbna mnatuchanganya nyie movie zimezidi malizeni Moja Moja keanza

    • @SaumuRuwa-r7j
      @SaumuRuwa-r7j 18 дней назад +3

      Sindo vizur watu wasiboeke waking wakingoja muendelezo wa series moja

  • @mwagombamwachupa3396
    @mwagombamwachupa3396 18 дней назад +2

    Kazi babu kubwa❤❤🎉,,,kwa mtazamo wangu bora msingetoa house gal season 4 mka concentrate na hii ili isikawie,,,😅😅😅😅msinipige mawe mashabiki wa busat ni maoni t😂😂ila najua house gal iliteka myoyo ya kila mtazamaji,,😅😅

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 6 дней назад +2

    KAZI nzul sana ❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉

  • @sinarohasina9175
    @sinarohasina9175 18 дней назад +3

    Angalau tumepata jini Pinky ... Rushayna mumempizisha mda mrefu wAna Busati

  • @AishaSad-ck8zk
    @AishaSad-ck8zk 4 дня назад +1

    Jmn uyo jini mzuriii ad asira🥰😂😂😂swez ishi bila uyo jini jmn em nifte leo usk😹😹😹

  • @lailaramadhani-kq2tf
    @lailaramadhani-kq2tf 18 дней назад +3

    Jamani na mimi nipo sambambqn tugonge pamoja tuliokuwa sambamba tuwale maua yao🎉

  • @SAKINAOmaryBakari
    @SAKINAOmaryBakari 18 дней назад +12

    NI Nzuri sna ila Msichelewe kutoa epsd nyngne❤napenda kazi zenu sna tuu🎉

    • @coolboymicky3651
      @coolboymicky3651 18 дней назад

      ❤❤❤

    • @FinindyFiana
      @FinindyFiana 18 дней назад +1

      Kweli wakitufanyia kama walivokua wanafanya kwenye house girl tunaandamana,,, wakenya kujeni😂😂😂

    • @SAKINAOmaryBakari
      @SAKINAOmaryBakari 18 дней назад

      @@FinindyFiana tupo sisi

  • @KulsamirHamad
    @KulsamirHamad 18 дней назад +3

    Hongera pink lady kaz ndhur my dear😊😊😊

  • @LuciaBukula
    @LuciaBukula 18 дней назад +10

    Busati TV michanganyo michanganyo Bwana Yesu amekataa😅😅😅😅 msipende kutuchanganya na vitu vingi

  • @UwaseNadia-k1g
    @UwaseNadia-k1g 18 дней назад +6

    Ivi mutoto zuu kamuweka wp

  • @ZaharaNapereta
    @ZaharaNapereta 18 дней назад +2

    Mumeweza San 😊😅😮😢😢 kweny hii

  • @MARYAMSHABAN-l5w
    @MARYAMSHABAN-l5w 18 дней назад +4

    Tupo uku tena❤

  • @asmaahibrahim
    @asmaahibrahim 18 дней назад +6

    Uwii naogopa nyokaa😂😂

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 18 дней назад +4

    Jee tumuangalie jini zile sifa alizotakiwa anazo

  • @Mounirahya
    @Mounirahya 18 дней назад +3

    Kaz nzur

  • @asyaomar-b9v
    @asyaomar-b9v 17 дней назад +5

    Pink umechez vizur sana karat yako unaonesha🎉umakin wa hali ya juu sana🎉🎉🎉😅upo pamoja na comment yangu naombe bc like❤❤

  • @Veicepetro-xd7ns
    @Veicepetro-xd7ns 10 дней назад +1

    Mm moja wapo

  • @AnzaziTsuma
    @AnzaziTsuma 18 дней назад +3

    Mambo tuyapendayo ndo haya sasa

  • @SheilahJeptoo-l4j
    @SheilahJeptoo-l4j 18 дней назад +3

    Hii y nyoka 😢😢😢

  • @jersonjerson-nl9ny
    @jersonjerson-nl9ny 4 дня назад +1

    Mko vizur xana 🎉🎉

  • @AshuneyHamisi
    @AshuneyHamisi 18 дней назад +3

    Haya mambo me ndo nayapenda😅

  • @JanetKamene-i4y
    @JanetKamene-i4y 18 дней назад +5

    Wacha Kai akajionee mwenyewe

  • @ZulfaChai
    @ZulfaChai 18 дней назад +3

    Jmni kawimbo nacho ..nanunua TV saudia nikiangalia Busati tv 😅😅more love 🥰

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua 4 дня назад +1

    Kirambaaa eti anataka kuingeneer😅😅

  • @Soone123
    @Soone123 17 дней назад +2

    Ni 🔥🔥🔥🔥 hii tamdhili

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 18 дней назад +3

    Kilamba rafiki wa kai kweli

  • @husnababe
    @husnababe 18 дней назад +3

    Kai ashaanza n mchepuko

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 18 дней назад +2

    Wow kazi nzuri ❤❤🎉🎉

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 18 дней назад +10

    Wa kwanza n mm hapa kwa hii movie mpya naomba like zenu ❤❤❤🎉🎉

  • @TimeAly-z1l
    @TimeAly-z1l 18 дней назад +2

    kazi nzuri ❤❤

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 18 дней назад +2

    Kay inaonekana nimpenda vyeupe maana vyeupe havimpiti mpenzi shikamo

  • @JacintaMaloba
    @JacintaMaloba 18 дней назад +5

    Among top 40😂

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 18 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂kumbe lilamba hauna ndevu😂😂😂😂 pole

  • @kidempunga4337
    @kidempunga4337 18 дней назад +1

    Apa ssa mnatukosha mioyo yetu movie nzuri sana

  • @MaziamJororo
    @MaziamJororo 18 дней назад +2

    Movie bila kilamba ukwanju bd haijanong😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 18 дней назад +1

    KAI BEE KAI BEE hauna baya mwamba na kikosi chako🖐️👏💯🌷❣️👐💥🇹🇿👋🖐️👏❤️💔💔🙌🙌❣️

  • @Gloriazawad
    @Gloriazawad 18 дней назад +2

    Kai na kilamba yani umalaya tu 😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro 12 дней назад

    Kai acha kuangaika tulia na mkeo usimtese zatiti akaishia kulia Kama kwa mr tasha alipomwagiwa tindi Kali .

  • @WardaSalumu-xl8dz
    @WardaSalumu-xl8dz 18 дней назад +2

    Mko majina Sana vijana ata dakika 2 bado kama wote umu

  • @Gloriazawad
    @Gloriazawad 18 дней назад +1

    Pink 😅❤❤❤🎉❤hiyo ndodawa ya mwanaume malaya

  • @sakina5550
    @sakina5550 18 дней назад +2

    Kilamba jamn eti umalaya tu😂😂😂😂 eloooooo mtandao gani unaopiga😂😂😂😂

  • @ChallaYussuf
    @ChallaYussuf 15 дней назад

    Zatity hakuna sbb ya kukunya ucwe km wolper mung akuzixhie ❤❤❤

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 18 дней назад +2

    Hatimae yule jini aliyekuwa akitafutwa amepatikan ndio huyo mnamuon

  • @SelestiniAlfonce
    @SelestiniAlfonce 18 дней назад +2

    Wa miambili leo leo nipeni ma ua yangu miambili

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 15 дней назад

    Tatizo movie zenu hazimalizi mnaanzisha nyengine ikiwa hivyo mnazingua sanaaaa

  • @halimaali2999
    @halimaali2999 18 часов назад

    Naona mambo mazuri ❤❤❤

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 18 дней назад +2

    Mara hii zuu huwez kumuiba Kai maana zatiti munaendan tabia zenu

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 18 дней назад +3

    Kai umalaya ume huweka Mbele

  • @RehemaWandaty
    @RehemaWandaty 13 дней назад

    Hongera 254 🇰🇪🇰🇪tuko pamoja busati🎉🎉🎉

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 18 дней назад +2

    Kai uwezi kujishikilia😅😅

  • @EvethaSimba-i1c
    @EvethaSimba-i1c 13 дней назад

    kilamba tulia kimrambe kai litamkuta jambo kwa mrembo huyo,zuuu amekuwa mrembo jamani Sania utakuwa mfanya kazi dada nyoka

  • @ElizahJames-u1o
    @ElizahJames-u1o 9 дней назад

    Kaz bomb sana ♥️♥️♥️busat

  • @ChallaYussuf
    @ChallaYussuf 15 дней назад

    Zatity mm nikikuona kweny movie nafurah xn Mana kipji unacho❤❤❤❤

  • @teddysananga
    @teddysananga 18 дней назад +1

    Hiyoo nzuri mmetuletea kitu kipya🎉🎉

  • @Bintnailah
    @Bintnailah 18 дней назад

    Woow🎉 wow hapa sibanduki mie 😂😂😂😂😂asanteni sana wana busati tv chukueni haya🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @Kai_bey_manyoya
    @Kai_bey_manyoya 18 дней назад +3

    HII STORY NI YA KIPEKEE SANA🙌 SIJAWAHI ONA BONGO NZIMA🔥

  • @FinindyFiana
    @FinindyFiana 18 дней назад +1

    Weh!!!kumbe hi tayar ipo online...tupo nyuma kama mkia 😂😂

  • @SamouOman
    @SamouOman 14 дней назад

    Wowiii kazi nzur jaman

  • @AminaMjeni-iz8uo
    @AminaMjeni-iz8uo 18 дней назад

    Wow hii move mbona ni nzuri sana jamani 🥰🥰🥰🌹🌹

  • @ChantalGAKIZA
    @ChantalGAKIZA 17 дней назад

    Hiii kari kabisa hongela buzati tv

  • @coolboymicky3651
    @coolboymicky3651 18 дней назад +1

    Yamotooooo sanaaa

  • @RehemaSalim-m8s
    @RehemaSalim-m8s 16 дней назад

    Wow kazi nzuri hongereni🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 18 дней назад +2

    Kazi njema 😂😂😂

  • @MAGEEDMUND
    @MAGEEDMUND 18 дней назад +2

    Nikam house girl hii movie

  • @NaomiLalika-lp6oy
    @NaomiLalika-lp6oy День назад

    Tuna tamba na NAAGIN yetu😍😍

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 14 дней назад +1

    Kilamba kwani ayo Maneno unayatoaga wapi 😅😂🤣

  • @RachelNgalya
    @RachelNgalya 17 дней назад

    Mmmh naogopa Jmn kabla ya kuangalia muv 😂😂😂😮😮😮😮😮

  • @BenadethaSankwa-p7x
    @BenadethaSankwa-p7x 18 дней назад +3

    Busati mnatupa burudan sana like jamn

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 4 дня назад

    Mashallah ❤❤❤❤

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 18 дней назад +3

    Hii pat ya nyoka ilikua apewe candy 😂😂😂😂

    • @Bintnailah
      @Bintnailah 18 дней назад

      😂😂😂😂😂😂nimeipenda hiyo😂😂

    • @Bintnailah
      @Bintnailah 18 дней назад

      😂😂😂😂😂😂habari ndo hiyo😂😂

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 18 дней назад

    Kazi nzuri sna kwa kwel mumeweza