Motra The Future afunguka A-Z bifu lake na P Mawenge, Anatafuta kiki kupitia Mimi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 18

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 2 года назад +4

    Future wife ndio diss kali ambayo motra umedissiwa. Alafu Diss zako Motra unaandaa kwa muda mrefu sana alafu bado zinatoka za kawaida sana.

  • @PeterMgonja-u1m
    @PeterMgonja-u1m 11 месяцев назад

    P n noumaaa wew khaligraph n ni ile ngeli

  • @mbeyaboy5225
    @mbeyaboy5225 2 года назад

    Weupe ime jibiwa na future wife,, we ukaona uongezee na pisi kali hakunj jipya hapa

  • @ZEMOST_Tz
    @ZEMOST_Tz 2 года назад

    🤣🤣Mbona kama ana cha kuongea bado anakopi maneno ya P

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 Год назад

    Ah hana ishu huyu hajulikani

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 2 года назад

    A town aitawalikiiii tambua tuu mm ndio baba akoo kabla ya uyo jonijoo

  • @bamatv651
    @bamatv651 2 года назад

    Mbona mtoto wa mawenge aitwi kabint

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 года назад

    real beef😂😂😂

  • @kendrickloy9310
    @kendrickloy9310 2 года назад

    Future unazingua unakazana na p wa nn fanya yako anakupotezea tension aloo

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 года назад

    Safisha meno kwanza, humuwezi mbeya boy NKULU wewe

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 2 года назад

    Hamna kitu apo

  • @joseckndubi8248
    @joseckndubi8248 2 года назад

    kelele wewe bwege humwezi P nyamaza miziki zako za kipuzi sana nyimbo za chipsy bwege wewe childish music peleka izo taarabu zako uko mwanaume kama binti P IS THE REAL MC mr man ongea kama mwanaume aliye na nguvu acha kukoroma wewe kike nini?

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 года назад

    Acha uoga hiphop sio taarabu mafumbo ya nini?

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 2 года назад

    Huyu matako kweli

  • @archsonkimaro6748
    @archsonkimaro6748 2 года назад

    Huyu mwana kipa katoka

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 года назад

    Ukitaka kufanikiwa basi jitume kufanya kazi, kama mkulima Lima sana, kama msanii imba sana, na sio kukaa na ma tajiri ati ndo utaupata utajiri, fokoofu wewe boya kweli,

  • @allymnali4918
    @allymnali4918 2 года назад

    🚮🚮🚮

  • @aafisa
    @aafisa 2 года назад

    Hahaha Motra unazinguwa man, kwenye hii diss humuwezi P. I always been your listener but kwa hii umepigwa kitu kigumu kichwani.
    Hii league ni zaid yako.
    P is 200 times better than u.