Ugomvi wa Motra the Future na Kikosi Kazi | Afunguka kila kitu studio | Hii ni game ya Hip Hop

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 36

  • @sahidymassoudysahidy8776
    @sahidymassoudysahidy8776 3 года назад +3

    Ujuw bhna ata boshoo ninja umuwez

  • @salimsuleiman2340
    @salimsuleiman2340 3 года назад +4

    Motraa njoo Kenya ufanye kazi na King Kaka ama Khaligraph uko na uwezo bloody

  • @amaniurio5655
    @amaniurio5655 3 года назад +1

    Motra kijana Wa chuga tunakukubal sana from tengeru chuga

  • @silasmwamburi9284
    @silasmwamburi9284 3 месяца назад

    Hilo beat hapo chini kwa chini ni ngoma ipi

  • @yambadox5801
    @yambadox5801 3 года назад +3

    Hip hop baba ako

  • @shukrankalugo1472
    @shukrankalugo1472 3 года назад +2

    Kama umeona picha la TUPAC gonga hapa

  • @mcndeu984
    @mcndeu984 3 года назад +1

    Kikosi kazi wehu,wanapenda kumdis johmakin kama ndo kaharibu hiphop tz,,wanaendekeza roh za chuki,,simpendi mbishi

  • @nzeyimanaabdallah131
    @nzeyimanaabdallah131 3 года назад

    God is good all the time 🎼🎼🎼🤦‍♂️

  • @philippeter198
    @philippeter198 3 года назад

    subiri reply kutoka kwa mawenge

  • @jumazinga941
    @jumazinga941 3 года назад +1

    Ujui ata interview jfunze Kwanza boya

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 3 года назад +3

    Motra hamwezi Mark kotez mdosi ana spit vibaya sana

    • @dee.bdee.b2449
      @dee.bdee.b2449 3 года назад

      Jifunze kuandika Kwanza ndo umdic babaaaaakooo

  • @shabanihassani3223
    @shabanihassani3223 3 года назад +1

    Bwanaaa weee mwehu motra king's, tunaijua bwana RAF na sight na sio ww

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 3 года назад

    Uyo jamaa wa nguo ya njano hajuwi kuhuliza maswali (kuwa mwanaume jiamini🤦🤦🙆🏻🙆🏻🙆🏻)

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 3 года назад +3

    Apa Sasa umenyoosha fresh no hard feeling

  • @othmanrashid8400
    @othmanrashid8400 3 года назад +2

    Motra bado mchanga Sana kwenye game Hao kikosi kazi huwawezi kabisa Hao ni Manunda wa mistari maintain your game beef na kikosi huwezi kaka zako weusi wanawajua

  • @innocentrichard9316
    @innocentrichard9316 3 года назад

    Kumtaja songa ni kosa kubwa saana..ameyumba..

    • @mcndeu984
      @mcndeu984 3 года назад

      Sio kosa,maana anajikut anasonga lkn yuko palepale

  • @imaramc6802
    @imaramc6802 3 года назад

    Mamc wa Arusha watengwa Raff mc kwangu Mimi ndiyoThe Best Hip Hop mc.uyo motra anaongea sana.watu Kama hao wanakuwaga masnich

    • @amaniurio5655
      @amaniurio5655 3 года назад +1

      Aruxha kuna rap wakal sana kuliko raff mc usijidanganye

    • @imaramc6802
      @imaramc6802 3 года назад

      @@amaniurio5655 yah naelewa wapo wengi.nimewataja Raff mc na watengwa Sabu ni watu wa vitendo..ujue marapa wa chuga wengi wanaongea Sana kuliko wanachofanya..so mc ni ni vitendo.

  • @jumazinga941
    @jumazinga941 3 года назад

    Mtoto mdogo boya tu

  • @antonymodestus5102
    @antonymodestus5102 3 года назад +2

    gem ailazizimishwi broo wenichoko tu wa mistari

  • @zamoyoniismail9733
    @zamoyoniismail9733 3 года назад +1

    Cnich 🖕🏻

  • @shivalonso8277
    @shivalonso8277 3 года назад +2

    Motra upo vzur lakn hawa jamaa kikos kaz wapo vzur zaid yako kwahiyo njoo taratb kama ni kk sawa ila kiuwezo ata robo yao hufk si kwa songa si kwa moko si nik kwastereo sngasnga ndio kabsa mawenge zaiid star snza hao jamaa huwa wez mzee

  • @imaramc6802
    @imaramc6802 3 года назад

    Uyo anazingua.leo anawakataa kikosi kazi wakati washampa Sana nafasi kilingeni. Ashapita m rap.halafu leo anawakataa wana.uyo jamaa ni wack

  • @lazarokisenya5457
    @lazarokisenya5457 3 года назад +2

    Aache kiki kalelewa ndani yetu mimi nikki mbishi one the incredible umesafiri lini kwenda wapi

  • @furahabenard7952
    @furahabenard7952 3 года назад +1

    Uyu ni hanisi hata akidisi akiwa uchi awezi kufika hata robo ya wezo wa songa anachokifanya nikuleta shobo kwa mashost wenzie huyo Joe anaemsifia huwezi mfananisha na Niki mbishi mpaka dunia inafika mwisho ilo lieleweke

  • @mussamboto8835
    @mussamboto8835 3 года назад +1

    AMKIA

  • @elisantemsumanje1381
    @elisantemsumanje1381 3 года назад +1

    Cheki eti iki kisela

  • @streetboy8950
    @streetboy8950 3 года назад +1

    Tamadunimusik forever

  • @AhmedAli-hk1il
    @AhmedAli-hk1il 3 года назад +3

    Mbona kashaaanza kuogopaaa huyuu jamaaaaaaaaa kuwa na msimamo ww falaa

  • @mimisir5717
    @mimisir5717 3 года назад +2

    Jifunze kujibu maswali

    • @ayyubthescholarsoul8171
      @ayyubthescholarsoul8171 3 года назад

      Jifunze kusikiliza majibu...he explains his understanding in clear and consice way

  • @mackpinno10
    @mackpinno10 3 года назад +2

    Uyo boya2 hana lolote fala2 hamwez mdosi kamnyosha Sana.